×

Habari

Jamii Forums Yafungiwa Siku 90 na TCRA kwa Maudhui Yenye Utata

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha kwa muda wa siku 90 leseni ya huduma za maudhui mtandaoni ya kampuni ya...

READ MORE

Iringa Yatikisika! Dkt. Samia Apokelewa Kwa Shangwe Nyororo – (Video +Picha)

Wananchi wa Nyororo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wamemiminika kwa wingi kumpokea na kumpongeza Mgombea wa Urais kupitia Chama cha...

READ MORE

DAWASA Yatoa Onyo: Mradi wa Usafi Mbezi Beach Kukamilika Bila Kusuasua

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire amemuagiza...

READ MORE

Msanii Rose Ndauka Anusurika Ajali ya Gari, Amshukuru Mungu!

Msanii wa filamu na muziki, Rose Ndauka, amenusurika katika ajali ya gari na kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake. Kupitia ukurasa...

READ MORE

League One Yazidi Kunoga Meridianbet Waweka Odds Kali Leo

Jumamosi ya kibabe imefika, mechi za Mataifa mbalimbali zinaendelea kwani kila timu inajifua kufuzu Kombe la Dunia 2026. Meridianbet wao...

READ MORE

Thailand Yampata Waziri Mkuu Mpya Baada ya Msukosuko wa Kisiasa

Bunge la Thailand limemchagua mfanyabiashara Anutin Charnvirakul kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, ikiwa ni kiongozi wa tatu kushika...

READ MORE

Mataifa 26 Yajitolea Kuunga Mkono Ukraine Kijeshi

Washirika 26 wa Magharibi wamejitolea rasmi kupeleka wanajeshi “nchi kavu, baharini au angani” kwenda Ukraine, siku moja tu baada ya...

READ MORE

Meridianbet Kuja na Meridian Bonanza Yenye Ushindi Mfululizo

Katika zama hizi ambapo michezo ya kubashiri mtandaoni inazidi kuchukua nafasi kubwa kwenye burudani ya kidijitali, Meridianbet imezidi kujiimarisha zaidi...

READ MORE

Columbia Africa Yaingia Tanzania Kwa Kuinunua IST Clinic

Dar es Salaam, Tanzania – Septemba 7, 2025. Columbia Africa Healthcare Limited imetangaza ununuzi wa IST Clinic, kituo maarufu cha huduma...

READ MORE

China na Tanzania Washirikiana Kukuza Ujuzi wa Ufundi kwa Vijana

Ushirikiano wa kielimu kati ya Tanzania na China umechukua hatua mpya baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya ubunifu ya “Kichina...

READ MORE

Nmb bank Yatambuliwa Katika Maadhimisho ya Miaka 10 ya JKCI

Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema imeokoa zaidi ya Sh. bilioni 172 ambazo awali...

READ MORE

Samia: Serikali ya CCM Inafanya Kazi kwa Kuheshimu Utu wa Mtanzania

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 5,...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Atunuku Tuzo Ya Chakula Barani Afrika

Wanasayansi wanawake wawili – Profesa Mary Abukutsa-Onyango kutoka Kenya na Mercy Diebiru-Ojo kutoka Nigeria – wametangazwa washindi wa Tuzo ya...

READ MORE

Rais Mwinyi aungana na Waislamu Maulid ya Kitaifa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, usiku wa Septemba 4, 2025, ameungana...

READ MORE

Ripoti Mpya Ya Elimu Yaangazia Uhitaji Wa Kutumia Utafiti Kwa Sera Elekezi Kukabiliana Na Umaskini Wa Kujifunza Ulimwenguni

Kwame Akyeampong, Profesa wa Elimu ya Kimataifa na Maendeleo katika Chuo Kikuu Huria, Uingereza Ijumaa, 5 Septemba 2025 – Embu,...

READ MORE

SBL Yaendeleza Uwekezaji Kwa Vijana Kupitia Programu Ya Learning For Life Arusha

Arusha, 6 Septemba 2025: Kampuni ya Bia ya Serengeti kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) wamezindua rasmi...

READ MORE

Magari 15 Yanaswa kwa Kubeba Namba Moja ‘SSH 2530’ – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata jumla ya magari 15 kwa kosa la kubandika namba za...

READ MORE

Nilichekwa Kwa Kutupa Kila Kitu Kwenye Betting, Lakini Siri Niliyopata Imenigeuza Milionea

Jina langu ni Kevin kutoka Nakuru. Wakati mwingi watu walinitazama kama mjinga na mpotevu. Nilipoacha kazi yangu ya kawaida ili...

READ MORE

Mpenzi wangu kila mwezi ananipa milioni 1.5 ya matumizi ila nina wasiwasi

Jina langu ni Aisha, nina umri wa miaka 23. Kwa bahati au majaliwa, nimejikuta kwenye mahusiano na mwanaume Amani, mwenye...

READ MORE

Dkt. Samia Aingia Mbeya Kwa Kishindo, Maelfu Wajitokeza Mbalizi (Picha +Video)

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba...

READ MORE

Ukraine Yapinga Pendekezo la Putin la Mkutano Moscow

KIEV, Ukraine – Ukraine imekataa pendekezo la Rais wa Urusi, Vladimir Putin, la kwamba Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, aende...

READ MORE

CHAUMMA Jimbo la Segerea Kwazidi Kuwaka

Chama cha CHAUMMA katika Jimbo la Segerea, kumezidi kuwaka. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia makundi ya wanachama kuzidi kukihama  chama...

READ MORE

Kuelekea Siku Ya Kuzuia Kujiua Duniani Dkt. Kimambo Azindua Kliniki Mahsusi Ya Afya Ya Akili Kwa Wafanyakazi Muhimbili 

Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani tarehe 10 Septemba, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt....

READ MORE

Boti ya Kifahari Yazama Dakika 15 Baada ya Uzinduzi

BOTI mpya ya kifahari (yacht) yenye thamani ya Dola za Kimarekani 940,000 (sawa na takribani Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania)...

READ MORE

Marekani Yaituhumu Urusi, China na Korea Kaskazini Kupanga Njama

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameibua shutuma nzito dhidi ya viongozi wa mataifa matatu yenye nguvu duniani, akiwatuhumu kupanga njama...

READ MORE

UAE Yashutumu Mpango wa Israel Kupora Ukingo wa Magharibi

Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umeionya Israel kwamba mpango wa kutwaa kwa mabavu maeneo ya Ukingo wa Magharibi utavunja...

READ MORE

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Golugwa, Ajibu Hoja Nzito Global Radio – Video

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, Septemba 3, 2025 amefanya mahojiano maalum na...

READ MORE

Balozi Dkt. Nchimbi Aagana na Simiyu, Asepa Shinyanga Kusaka Kura za Ushindi CCM

Wananchi wa Mji Mdogo wa Lalago,Maswa Mashariki wilayani Maswa wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi...

READ MORE

Waziri Mkuu Awataka Madereva Wa Serikali Kufanyakazi Kwa Weledi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa madereva wa Serikali wanawajibu wa kufanya kazi kwa weledi na nidhamu ya hali ya...

READ MORE

Liverpool Yavunja Rekodi EPL, Bayern Yamtua Luis Diaz – Bashiri na Meridianbet

Je unajua kuwa kwenye dirisha hili la usajili timu mbalimbali zimejifua vilivyo kusajili wachezaji kwa pesa nyingi ili waweze kuwasaidia...

READ MORE

Stanbic Bank Yachangia Tsh 100 Mil. Kusaidia Kampeni ya Afya Check

Dar es Salaam, Tanzania – Jumatano, 4Septemba 2025: Stanbic Bank Tanzania imeahidi jumla ya TZS 100 milioni kwenye kampeni ya...

READ MORE

Wananchi Tunduma Wamthibitishia Dkt. Samia Ushindi Mkubwa Oktoba 29 – Video

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na...

READ MORE

Iceland Yatajwa Tena Kuwa Nchi Yenye Amani Zaidi Duniani

Taifa la Iceland, lililoko katika kanda ya Nordic, limeendelea kushikilia nafasi yake kama nchi yenye amani zaidi duniani kwa mujibu...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Amwomba Mpina Kurejea CCM, Aahidi kumpokea mwenyewe

Mgombea Mwenza wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwomba Luhaga Mpina kurejea kwenye chama chake cha...

READ MORE

Burkina Faso yapitisha sheria kali dhidi ya uhusiano wa jinsia moja

Serikali ya kijeshi nchini Burkina Faso imepitisha sheria inayopiga marufuku uhusiano wa kimapenzi wa jinsi moja na kuweka adhabu ya...

READ MORE

Dkt. Samia Kuendelea na Kampeni za CCM Leo Mkoani Songwe

Wananchi na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kwa wingi kuonesha imani yao kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Balozi Nchimbi: Meatu itaendelea kushuhudia maendeleo chini ya Dkt. Samia

Mgombea Mwenza wa CCM, Balozi Emmanuel Nchimbi, amehutubia kwa moyo mkunjufu wananchi wa Meatu, akisisitiza dhamira halisi ya Mgombea Urais...

READ MORE

TAKUKURU Kinondoni Ilivyofuatilia Miradi ya Bilioni Moja

Dar es Salaam, 2 Septemba 2025: Taarifa iliyowasilishwa leo na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa TAKUKURU Kinondoni, Christian Nyakizee inahusu...

READ MORE

CCM Yazindua Kampeni Nyehunge, Eric Shigongo Apokelewa Kwa Shangwe – Video

Leo, mamia ya wananchi pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Buchosa wamefuurika kwa shangwe kubwa...

READ MORE

Sakata La Muuguzi Kibondo Mganga Mkuu Wa Serikali Atoa Tamko

Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na...

READ MORE