×

Habari

Basi La Timu Lapinduka Na Kuua Wanne

Mwonekano wa basi baada ya kupata ajali likiwa bado eneo la tukio. NORTH CAROLINA, MAREKANI. Watu wanne wamefariki dunia baada...

READ MORE

Ndoto Yangu Kushinda Grammy- Vanessa Mdee

Vanesaa Mdee Mwanamuziki wa kike anayesumbua ndani na nje ya Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema ana ndoto kubwa. Ndoto...

READ MORE

Watu 29 Wajeruhiwa Kwenye Mlipuko New York, Marekani

Jose Vasquez mmoja wa majeruhi wa shambulio hilo.  Kikosi cha uokoaji kikiwa kimembeba mmoja wa majeruhi.Eneo la tukio.Baadhi ya vitu...

READ MORE

Siku Za Mwisho Za Uhai Wa Samuel Doe

Rais Samuel Doe katika moja ya ziara zake akiwa rais. Alfajiri ya Aprili 12, 1980, kikundi kidogo cha wanajeshi 17...

READ MORE

Samatta Kuiongoza Genk Leo Dhidi Ya Anderlecht

Mbwana Samatta katika moja ya matukio awapo uwanjani. BAADA ya kuanza vibaya hatua ya makundi ya Europa League kwa kufungwa...

READ MORE

Ngassa Kutua Fanja FC

Mrisho Ngasaa wakati akitumikia timu yake ya zamani. KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa leo anatarajiwa kuwa na...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kwa Kubaka Juu Ya Kaburi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemhukumu Ally Rashid maarufu kwa jina la Ally Mwizi kifungo cha miaka 30...

READ MORE

Museveni, Kenyatta Wamuunga Mkono Rais Magufuli

Rais Magufuli akipokea msaada wa fedha taslimu zilizotolewa na Rais Museveni RAIS John Magufuli amepokea taarifa ya maafa yaliyosababishwa na...

READ MORE

A-Z Oparesheni Ya Mauaji Ya Gaidi Osama Bin Laden 2011

Osama Bin Laden enzi za uhai wake. Mwaka 2001, mwezi desemba katika milima ta Tora Bora baada ya mapambano ya...

READ MORE

FT: Kutoka Uwanja Wa Uhuru, Azam 0-1 Simba

Mchezo umemalizika hapa kwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Simba imepata ushindi wa bao 1-0. Mfungaji ni...

READ MORE

Fiesta Yawapagawisha Wabunge Na Mawaziri Dodoma

 Mwanamuziki Vanessa na Jux wakitumbuiza kwenye tamasha hilo.Baadhi ya waheshimiwa wabunge waliohudhuria tamasha hilo akiwemo Profesa Maji Marefu (wa pili...

READ MORE

Mwinyi Achangisha Shilingi Bilioni Moja Dar Za Waathirika Kagera

Rais  Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akizungumza jambo baada ya matembezi hayo. Baadhi ya wadau wakikabidhi mfano...

READ MORE

Serengeti VS Congo-Brazzaville Kupambana Kesho Taifa

Kocha wa Serengeti Boys Bakari Shime(kulia) akiwa na Kocha wa Congo-Brazzaville Ekarik Basile walipokutana mapema leo kuzungumzia mchezo wa kesho....

READ MORE

Lulu Diva: ‘Mgonjwa’ Wa Kioo (Mpaka Home)

       Muuza sura kwenye video za Kibongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ akiwa nyumbani kwake Mitaa ya Kinondoni Vijana jijini Dar. Na...

READ MORE

Wananchi Waliopo Dar es Saalam Kupatiwa Matibabu Bure

Tangazo linaloonesha taarifa muhimu kuhusu tukio hilo la matibabu bure. Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Saalam iliyo...

READ MORE

Nuh: Siwezi Kurudiana Na Shilole Ng’o

Staa wa Bongo Fleva anayetamba na Wimbo wa Jike Shupa, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’. MSANII wa Bongo Fleva anayetamba na Wimbo...

READ MORE

Nyota Ya Rais Magufuli Yazidi Kung’ara

Rais John Pombe Magufuli ASILIMIA 96 ya Watanzania wanakubali utendaji wa Rais John Magufuli tangu alipoingia madarakani Novemba mwaka jana,...

READ MORE

Wema Kumburuza Diamond Mahakamani

Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu. STORI: IMELDA MTEMA NA MAYASA MARIWATA, Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu anaandaa utaratibu...

READ MORE

Ndugai Kuwashtaki Mawaziri Watoro Kwa Rais Magufuli

Rais John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge Job Ndugai (picha na maktaba) DODOMA Spika wa Bunge, Job Ndugai...

READ MORE

Mbowe Aibwaga NHC Mahakamani

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.   Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Ardhi, imetupilia mbali...

READ MORE

Wasomaji Ijumaa Muonekano Mpya Waduwazwa Na Mr. Championi

Msomaji wa Gazeti la Championi akiwa na Mr. Championi. Mr. Championi akipozi na wasomaji wa Gazeti la Ijumaa lenye muonekano...

READ MORE

Watano Mbaroni Kwa Tuhuma Za Ujambazi Wa Kutumia Silaha

Kamanda Simon Sirro. Kikosi Maalum cha Kupambana na ujambazi wa kutumia silaha cha Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam...

READ MORE

Mama Mzazi Wa Clarence Wa Global Kuzikwa Kesho

Marehemu Feliciana Mulisa . Bwana Meddy Mulisa wa Kagondo Mweruka Kata Muhutwe anasikitika kuwatangazia kifo cha mke wake mpendwa Feliciana...

READ MORE

Sikinde Watembelea Global Publishers

Wanamuziki hao wakiwa wamepozi mbele ya kamera za Globa TV. Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (wa pili kulia)...

READ MORE

Simulizi Za Kusisimua Kuhusu Siang’a…

  WAKATI naanza kuichezea Simba mwaka 2,000, niliikuta hali ya timu hiyo haikuwa nzuri kiuwezo, ilikuwa imepita miaka minne haijatwaa...

READ MORE

Watoto Wenye Ulemavu Mbeya Wafungukia Changamoto Zinazowakabili

Sehemu ya watoto wa Shule ya Msingi Mwenge wakiwa kwenye semina hiyo. Afisa Mipango wa Mbeya, Milinga akizungumzia changamoto za...

READ MORE

Watanzania Wametekwa DRC Congo Wameokolewa

Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye wameokolewa na vikosi vya...

READ MORE

Zombe na Wenzake Washinda Kesi, Christopher Bageni Kunyongwa

Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kinondoni,  SP Christopher Bageni (kushoto) baada ya kuhukumiwa kunyongwa akiagana na aliyekuwa Mkuu...

READ MORE

Madereva Waliotekwa Na Waasi Nchini DRC, Waachiwa

Baadhi ya malori yaliyochomwa moto na waasi hao siku walipowateka madereva. Chama cha Wasafirishaji wa Malori nchini Tanzania – TATOA...

READ MORE

Shirika La Ndege la Etihad na mshirika wake Air Serbia wasaidia wakimbizi na yatima wa Belgrade

Kutoka Kushoto ni Rais wa Kamati ya Bunge, Mwakilishi kutoka WAHA na Balozi wa Falme za Kiarabu-Serbia wakikabidhi msaada kwa...

READ MORE

Penny: Kuwa Singo Kuna Raha Yake

   Penniel Mungwilwa ‘Penny’. ALIYEKUWA Mtangazaji wa Redio Efm ambaye pia ni zilipendwa wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mungwilwa...

READ MORE

Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo

DAR ES SALAAM: Zikiwa zimesalia takriban siku 53 kufika Novemba 8, mwaka huu, siku ya Uchaguzi wa Urais wa Marekani,...

READ MORE

Jacqueline Mengi Afanya Uzinduzi Wa Duka La Samani (Molocaho – Amorette)

Mrembo wa taji la Miss Tanzania 2000, Bi. Jacqueline Mengi akizungumza na wageni walikwa pamoja na waandishi wa habari (hawapo...

READ MORE

Mimba sasa yamtesa Zari

   Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’. MPENZI wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ anaonekana...

READ MORE

Hukumu Ya Rufaa Ya Zombe na Wenzake Kutolewa Leo

Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam (RCO) Kamishna Msaidizi wa Polisi Abdallah Zombe Baada ya kimya kirefu,...

READ MORE