×

Habari

Mbunge Adai Yuko Tayari Kutaja Wabunge Wanaouza Madawa ya Kulevya

Kuanzia wiki iliyopita, vita dhidi ya Madawa ya kulevya iliyoibuliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, inazidi kuchukua...

READ MORE

Serikali Yapitisha Kanuni za Sheria za Huduma ya Habari ya 2016, Zisome Hapa!

Serikali yapitisha kanuni za Sheria za Huduma ya Habari ya MWAKA 2016 zinazomzuia mgeni kumiliki zaidi ya asilimia 49 za...

READ MORE

Dk Kigwangalla Aagiza Kukamatwa kwa Anayejiita James Delicious kwa Kujitangaza Shoga

Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamis Kigwangala, ametoa maagizo mazito kwa Vyombo vya...

READ MORE

Kala Pina: Makonda Tobo la Unga hili Hapa!

Na BONIPHACE NGUMIJE| UWAZI| SHOWBIZ SAKATA la mastaa na watu mbalimbali wakiwemo askari 15 wanaohusishwa katika matumizi pamoja na biashara...

READ MORE

Makonda; Hata Kama ni Vigogo; Wataje Umma Upo Nyuma Yako

MAKALA: NA ELVAN STAMBULI | UWAZI | NIONAVYO MIMI WIKI iliyopita tulimsikia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akisema...

READ MORE

Kichupa Chakwamisha Wimbo wa P THE MC

UWAZI | ShowBiz MWANAMUZIKI wa miondoko ya Hip Hop Bongo, P The MC anayetamba na ngoma iitwayo Run DSM aliyomshirikisha...

READ MORE

Bonge la Nyau: Naogopa Uhusiano na Mastaa

STORI: Boniface Ngumije | UWAZI | ShowBiz MWANAMUZIKI anayekimbiza kwenye gemu na ngoma za Vais Vesa na Aza, Bonge la...

READ MORE

Kitambi kwa Wanaume / Wanawake na Jinsi ya Kuondoa

UWAZI | AFYA MAFUTA ya tumbo yanayofanya mtu kuwa na kitambi ambacho hukusanywa kwa njia kuu mbili: Njia ya kwanza...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo, Jumanne, Februari 7, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Februari 7, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Wakati Akiiacha White House Obama Anakupa Njia 6 za Kufanikiwa

Na NYEMO CHILONGANI| IJUMAA WIKIENDA| MAKALA Obama si mchoyo, amekuwa akizungumza katika vituo mbalimbali vya televisheni na hata kwenye majukwaa...

READ MORE

Queen Darleen Amshangaa Hamorapa…

Na ALLY KATAMBULA| GAZETI LA UWAZI| SHOWBIZ MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva akiwa chini ya...

READ MORE

Mama Wema Azidiwa Sentro!

MAMA mzazi wa Wema  Sepetu, Mariam Sepetu amezidiwa baada ya kupandwa na presha wakati alipokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi...

READ MORE

Tundu Lissu Akamatwa na Polisi Nje ya Bunge, Dodoma

DODOMA: Jeshi la Polisi nchini, limemtia mbaroni Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu na kumsafirisha kwenda jijini Dar...

READ MORE

Sakata la Madawa Bado Bichi, Wema, TID Kulala ‘Ndani’ Tena Leo

DAR: SAKATA la dawa za kulevya bado linaendelea hapa Dar es Salaam, ambapo leo Februari 6, 2017, Kamanda wa Polisi Kanda...

READ MORE

Kisa Wema Kulala Lupango, Mama Wema Hali Mbaya….

Na WAANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Hali ni tete! Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Pichaz: Msanii Rachel Alivyowasili Kituo Kikuu cha Polisi Ishu ya ‘Unga’

DAR: Msanii msanii wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat  ‘Rachel’ ameripoti leo katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar kwa ajili...

READ MORE

Sakata la ‘Unga’: Makonda Ametoa Siku 10 kwa Wahusika Kujisalimisha, Baada ya Hapo…!

  DAR ES SALAAM: LEO Jumatatu, Februari 6, 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwa na...

READ MORE

Mr. Shinda Nyumba Aibukia Ilala, Kigogo na Mbagala

  Mr. Shinda Nyumba amewatembelea wasomaji wa Magazeti yanayochapishwa na Kampuni ya Global Publishers (Amani, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Risasi, Risasi...

READ MORE

Yapo Mengi Lakini Haya ni Matukio Matano Yaliyoishangaza Dunia

  KUNA mambo mengi yamekuwa yakitokea duniani, yanashangaza na wakati mwingine mtu kujiuliza kwamba inawezekanaje jambo hilo kutokea? Tangu dunia...

READ MORE

Rachel, Tunda Waungana na Akina Wema, TID Police Central -Dar

DAR ES SALAAM: Video Queen maarufu hapa Bongo, Tunda pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat  ‘Rachel’ wameripoti leo...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Alivyopigilia Msumari Kuhusu Sakata la ‘Unga’

DAR ES SALAAM: Sakata la Madawa ya Kulevya limezidi kuchukua sura mpya kila baada Rais John Pombe Magufuli ‘kupighilia msumali...

READ MORE

Dada wa Diamond Atoa Pole kwa Wasanii Walioko Polisi

WAKATI sakata la madawa ya kulevya linaendelea kuunguruma kila kona ya nchi na kuwajumuisha wasanii maarufu nchini wa Muziki na...

READ MORE

Rais Magufuli Apigilia Msumari Vita ya Makonda Dhidi ya Watumiaji na Wauzaji wa Dawa za Kulevya

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujitosa kwenye vita ya...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Mkuu wa Majeshi, Kamishna wa Magereza, Mnadhimu Mkuu na Mabalozi

DAR ES SALAAM: AMRI Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo amewaapisha...

READ MORE

Makonda Angekuja Mapema… Wakali Hawa Wasingepotea

GUMZO kubwa kunako burudani nchini ni juu ya mastaa wa Bongo kutuhumiwa kuhusika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wikiendi...

READ MORE

Kumwagana na Mpenzi Wake Eti ni Kiki

Na GLADNESS MALLYA |IJUMAA WIKIENDA| UBUYU ULIYONYOOKA DAR ES SALAAM: Huu ubuyu si wa nchi hii! Habari za unyunyuzi zikufi...

READ MORE

Sabby: Ndoa Ilinipotezea Muda

IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend DUH! Kwa mara ya kwanza tangu ndoa yake ivunjike mwaka jana, msanii wa filamu...

READ MORE

Cameroon Ndiyo Mabingwa wa AFCON 2017

GABON: Usiku wa kuamkia leo, Timu ya Taifa ya Cameroon wamefanikiwa kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2017‘ baada...

READ MORE

Khadija Kopa: Nina Zawadi ya Kuwapa Wapendanao, Dar Live

IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend ZIKIWA zimesalia siku kadhaa kufikia Februari 14, am­bayo ni Sikukuu ya Wapendan­ao ‘Valentine’s Day’...

READ MORE

Ndoa Siyo Nguo ya Kujaribisha na Kuacha

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA| XXLove NINA kila sababu ya kumshuku ru Mwenyezi Mungu kwa wema wake, kwa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo, Jumatatu, Februari 6, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Februari 6, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Rashida Adaiwa Kuwauza Mastaa Kwenye Msambwanda

Na HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Baada ya habari kujaa tele kwenye Wikienda kuwa...

READ MORE

Profesa Lipumba Akanusha Kuwa ‘Kibaraka’ wa Serikali

Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amekanusha tuhuma za kuwa na ukaribu unaotia shaka kati yake na...

READ MORE

Ajali ya Gari Yaua Saba Wakiwamo Viongozi wa CCM na Mwanahabari Kilimanjaro

KILIMANJARO: Watu saba wamefariki dunia wakiwemo Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Hai, MNEC wa Wilaya ya Same pamoja na mwandishi...

READ MORE

Nape: Busara Itumike Kutaja Wasanii Wanaotuhumiwa kwa Madawa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ameingilia kati na kutaka busara itumike katika zoezi la kutaja wasanii...

READ MORE

Serikali Imetangaza ‘Diploma’ Ndiyo Kigezo cha Chini Elimu kwa Waandishi wa Habari

Serikali imetangaza kuwa kiwango cha chini cha taaluma anayopaswa kuwa nayo mwandishi wa habri kuwa ni ‘Diploma ya Uandishi wa...

READ MORE

ACT- Wazalendo Kuadhimisha Miaka 50 ya Azimio la Arusha

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimepanga kufanya mkutano mkuu kuadhimisha mwaka wa miaka 50 wa Azimio la Arusha Machi 25 mwaka huu...

READ MORE

Mpoto Atinga Ofisi za Global Publishers

Mkali wa tungo za Kiswahili aliyejizolea umaarufu mkubwa Bongo kutokana na ujumbe unaobebwa kwenye mashairi yake, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’, leo...

READ MORE

Mzambia, Mtanzania Wakamatwa na Madawa ya Kulevya India

Thelma Mkandwire (kushoto) na Pamela Devid Kirtitta. NEW DELHI, INDIA: WANAWAKE wawili, Mzambia Thelma Mkandawire (38) na Mtanzania Pamela David...

READ MORE

Amwua Binti Yake Kwa Kutopiga Mswaki

IRIS HERNANDEZ-RIVER (20) mwanamke mkazi wa Gaithersburg, Jimbo la Maryland, Marekani, alimwua binti yake, Nohely Alexandra Martinez Hernandez mwenye umri...

READ MORE