×

Habari

Kingunge Awataka Mkapa na Mwinyi Wamshauri JPM Azungumze na Chadema

ALIYEKUWA kada wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru  amewaomba  marais wastaafu, Rais Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa kuzungumza na Rais...

READ MORE

JPM Amuapisha Mkurugenzi Mpya wa Usalama wa Taifa

    Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis...

READ MORE

Hukumu Kesi ya Babu Tale Yaahirishwa Tena

Bab Tale akitoka mahakamani akiongozana na Said Fela a.k.a Mkubwa Fela. Bab Tale akishuka ngazi za mahakama. Mkubwa Fela na...

READ MORE

Wanaume ‘Wazaa’ Mapacha Watatu wa Kupandikizwa

WANAUME wawili wanaoishi kama mume na mke (mashoga) nchini Afrika Kusini wanasemekana kuwa watu wa kwanza katika ukanda huo na...

READ MORE

Twiga Bancorp Yakabidhi Tuzo kwa Kikoba cha Chamabavu

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa banki ya Twiga Bancorp, Solomon Haule (kulia) akionesha tuzo aliyoikabidhi kwa kikoba cha  Chamabavu...

READ MORE

Rais JPM Amteua Dk. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa

Rais Dk. Magufuli. Rais Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Dk. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama...

READ MORE

Mke wa Bilionea Msuya Kortini kwa Mauaji ya Wifi Yake

Dar es Salaam MKE wa bilionea Erasto Msuya, Miriam Elisaria Msuya (41) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya dada...

READ MORE

Chadema Wamualika Sirro Kuhudhuria Maandamano ya UKUTA

Kamanda Sirro akionesha moja ya fulana zilizokamatwa zikiuzwa mtaani zinazodaiwa kuwa za kuhamasisha uvunjifu na uchochezi, juzi Jumatatu jijini Dar...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Laua 6 Italia

WATU takribani sita wanahofiwa kupoteza maisha kutokana na tetemeko kubwa la ardhi lililoukumba Mji wa Umbria uliopo katikati mwa Italia...

READ MORE

Etihad Yaungana na Mwanamitindo Maarufu India Katika Wiki ya Mitindo

Mbunifu maarufu wa India, Manish Malhotra (katikati) na Mkuu wa Shirikisho la Mawasiliano wa Shirika la Etihad Amina Taher (wa...

READ MORE

Majambazi Yaua Polisi 4 Mbagala, Dar

Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa jumla ya askari wake wanne wameuawa usiku wa kuamkia leo baada ya majambazi kuvamia tawi...

READ MORE

Anusurika Kifo Ajali ya Gari Tabata-Barakuda, Dar

Gari likiwa limepinduka. MTU mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akiliendesha kuacha njia...

READ MORE

Mutungi Ataka Vyama Vimalize Migogoro

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari. MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji...

READ MORE

Picha: Twiga Mwenye Mimba Aliyegongwa na Gari na Kufa

Askari wakimtazama Twiga mwenye mimba aliyegongwa na gari na kufa barabara ya Arusha- Dodoma Agosti 18

READ MORE

Polisi Wamzuia Lowassa Kuingia Rukwa na Katavi

Msafara wa aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa umekwama kwenda Mikoa ya Rukwa na Katavi  baada ya polisi...

READ MORE

Mbwa Achaguliwa Tena Kuwa Meya

Mbwa mmoja katika Jimbo la Minnesota, Marekani amechaguliwa tena kuhudumu kama Meya wa mji mmoja katika jimbo hilo, mbwa huyo...

READ MORE

Mpiga Tarumbeta wa Bob Marley, Afariki Dunia

Mpiga tarumbeta Headley Bennett, ambaye alishiriki katika wimbo wa kwanza wa mwanamuziki maarufu wa nyimbo za rege Bob Marley ‘Judge...

READ MORE

Wanafunzi Waruhusiwa Kuingia na Bunduki Darasani

Texas, Marekani Mahakama Kuu ya Jimbo la Texas nchini Marekani imepitisha sheria mpya inayoruhusu wanafunzi wa vyuo ambao wamefikisha umri...

READ MORE

Kiongozi wa Boko Haram Ajeruhiwa Kwenye Shambulio Nigeria

Kiongozi wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria, Aboubakar Shekau amejeruhiwa vibaya kwenye shambulio la angani lililotekelezwa na jeshi la...

READ MORE

Prof. Lipumba Akana Kuhusika na Vurugu Mkutano wa CUF

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa hausiki na vurugu zilizoibuka katika mkutano mkuu wa...

READ MORE

Mwanzilishi wa Bendi za Backstreet Boys na NSYnc Afariki Dunia

Mwanzilishi na Kiongozi Mkuu wa bendi za Boy Bands ambazo ni  Backstreet Boys na pamoja na ile ya NSYnc, Lou...

READ MORE

Lowassa Apigilia Msumari wa Oparesheni UKUTA ya Sept. 1

JANA Agosti 22, 2016, aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka jana ambaye pia...

READ MORE

Mbunge Mussa Mbaruk Apandishwa Kortini

Mbunge wa jimbo la Tanga kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF chini ya umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA)...

READ MORE

Pichaz: Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida Likifanya Majaribio ya Silaha

Baadhi ya askari polisi mkoani Singida, wametembeza silaha zao kwenye mitaa mbalimbali Singida mjini, kwa ajili ya kuwaonyesha wananchi silaha...

READ MORE

Utoaji wa Malalamiko na Kero Juu ya Huduma za Afya Nchini

Kaimu Mkurugenzi wa Kinga Dkt. Khalid Massa (katikati) akifafanua jambo. Ummy (katikati) akisikiliza maswali ya wanahabari yaliyokuwa yakiulizwa baada ya...

READ MORE

Taarifa kwa Umma: Mapitio ya Sera ya Afya ya Mwaka 2007

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akionesha kitabu chenye mwongozo wa Sera ya wizara...

READ MORE

UVCCM Waitisha Maandamano Nchi Nzima Agosti 31

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamidu. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wanatarajia kufanya maandamano ya Amani...

READ MORE

Vinara wa Wizi wa Magari na Vifaa Vyake Wakamatwa Dar!

Gari lililokuwa limeibiwa n kubadilishwa rangi. Wanahabari wakifuatilia taarifa ya Kamanda Sirro. KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA KWA KOSA LA WIZI WA...

READ MORE

Majambazi 3 Hatari Wauawa Dar, Polisi Wakamata Sare za ‘UKUTA’

Kamishna wa Polisi  Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro akizungumza na wanahabari kuhusiana na matukio mbalimbali waliyokamata. Kamanda...

READ MORE

Mghwira wa ACT-Wazalendo Azindua ‘Tanzania Role Model’

       Mwenyekiti wa Chama cha  ACT-Wazarendo, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo,  Anna Mghwira, akizindua mashindano hayo. …Akifafanua jambo...

READ MORE

Watu 15 wauawa kwa mlipuko wa bomu nchini Somalia

Milipuko miwili ya mabomu iliyotekelezwa na kundi la kigaidi la Alshabab imesababisha vifo vya watu 15 katika mji wa Galkayo....

READ MORE

Sherehe za Kuapishwa Kwa Rais Zambia Zaahirishwa

Rais Mteule wa Zambia, Edgar Lungu Serikali ya Zambia imeahirisha sherehe za kuapishwa Rais mteule wa nchi hiyo, Edgar Lungu...

READ MORE

Obama: Kama Trump Atashinda Urais, Nitaihama Marekani

Rais Barack Obama Marekani Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa iwapo mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump...

READ MORE

Audio: Lema Amjibu Waziri Mwigulu Kuhusu Maandamano Septemba 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba hivi karibuni akiwa ziarani mkoani Mtwara alizungumza na Askari wa...

READ MORE

Askari wa Upelelezi Mwanza Auawa Club Akidai Laptop

Tarehe 21.08.2016 majira ya 10:00 usiku katika eneo la Club ya Villa Park Resort Kata ya Kirumba Wilaya ya Ilemela...

READ MORE

Aliyejibadilisha Kuwa Mzee Anaswa Marekani

Shaun “Shizz” Miller. Polisi nchini Marekani wamemkamata mtoro mmoja baada ya kugundua kuwa alikuwa akidanganya kuwa yeye ni mtu mzee....

READ MORE

Magufuli Amteua Mrithi wa Gambo

Rais Dk. John Pombe Magufuli amemteua Gabriel Fabian Daqarro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha akichukua nafasi ya Mrisho Gambo...

READ MORE