×

Habari

Tanzia: Mwenyekiti wa Klabu ya Azam, Said Mohammed Afariki Dunia

Uongozi wa Klabu ya Azam FC kwa masikitiko makubwa, unatangaza kifo cha mwenyekiti wake, Mzee Said Mohamed Abeid, kilichotokea alasir...

READ MORE

Shigongo Atoa Vitabu 20 Kwa Washindi

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi ya kitabu Selina Ezekiel katika Ofisi za Global Publishers zilizopo...

READ MORE

Kufungwa kwa Mageti ya Daraja la Kigamboni Kwasababisha, Vurugu, Foleni

DAR ES SALAAM: Kufungwa kwa muda kwa mageti mengi ambayo hutumiwa na magari kupita katika Kivuko cha Daraja la Nyerere...

READ MORE

Pichaz: Taswira ya Msiba wa Samueli Sitta Nyumbani Kwake Masaki Dar

Samwel Sitta, enzi za uhai wake. Mwenyekiti wa Chama Ccha Mmapinduzi Mkoa wa Dar-es-Salaam, Ramadhan Madabida katikati akifarijiana na waombolezaji...

READ MORE

Ommy Dimpoz, Alikiba Wamekuletea “Kajiandae” Inapatikana Mkito

Mkali wa wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz aliyetamba na kibao chake cha “Baadae” ametuletea burudani mpya akiwa na Alikiba inaitwa...

READ MORE

Singeli Michano Yatikisa Bagamoyo

Baadhi ya washiriiki wa Muziki wa Singeli Michano wakionyeshana uwezo jukwaani. Wakazi wa Bagamoyo na wasikilizaji wa Efm Redio wakiwa...

READ MORE

Makonda Kujenga Vituo 20 Vya Kisasa Vya Polisi Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi Kituo cha Polisi cha Tandika, Dar. ..Maongezi yakiendelea...

READ MORE

Ajali ya Noah na Lori Yaua 17 Shinyanga

SHINYANGA: Watu 17 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za...

READ MORE

Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Samwel Sitta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Tanzia: Spika Samwel Sitta Afariki Dunia

DAR ES SALAAM: Spika wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Samuel Sitta (74) amefariki dunia...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumatatu Novemba 7, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 7, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Benki ya Twiga Kuanza Kutoa Huduma Novemba 8, 2016

Kwa mamlaka iliyopewa kisheria kupitia kifungu namba 58(2) (a) na (b) cha Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya...

READ MORE

Maisha Magic Bongo na Multichoice Walivyozindua Chaneli ya Filamu za Kibongo

Wageni waalikwa wakiwa ndani ya nyumba. Mzee Chilo (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Dar, Paul Makonda katikati ni Mkuu...

READ MORE

Tishio la Usalama Lamuondoa Trump Jukwaani

Mgombea wa urais wa chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump amelazimika kuondolewa jukwaani kwa muda na walinzi wake baada...

READ MORE

Kikosi cha Yanga SC Leo Dhidi ya Tanzania Prisons

1. Beno Kakolanya 2. Mbuyu Twite 3. Mwinyi Haji 4. Vicent Bossou 5. Kelvin Yondani 6. Thabani Kamusoko 7. Yusufu...

READ MORE

Wawili Wauawa Baada ya Msafara wa Majeshi Kushambuliwa Somalia

WATU wawili wameuawa baada ya mlipuaji wa kujitoa muhanga kushambulia msafara wa majeshi karibu na bunge la Somalia mjini Mogadishu....

READ MORE

Fiesta 2016 Imooo Yatikisa Jiji la Dar

Mwanadada kutoka Nigeria, Yemi Alade akizikonga nyoyo za mashabiki waliohudhuria tamasha la Fiesta 2016 Imoooo katika Viwanja vya Leaders Club...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumapili Novemba 6, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 6, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Mgonja: Watumiaji Wa Barabara Kupatiwa Elimu Wiki Ya Usalama Barabarani

DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Kamati ya Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam,  Elifadhili Mgonja (pichani anayezungumza) amesema...

READ MORE

Hatimaye Bunge Lapitisha Mswada Sheria ya Huduma za Habari

Hatimaye mchana huu wabunge wamepitisha bungeni muswada wa sheria ya huduma za habari wa mwaka 2016 uliojadiliwa kwa siku mbili....

READ MORE

Mwenye Nidhamu Ana Silaha Dhidi ya Ujinga na Umasikini

Vita dhidi ya umasikini kwa kiwango cha kaya mpaka Taifa kwa jumla, nidhamu naipa namba moja kama ni sababu ya...

READ MORE

Listi Ya Wasanii Watakao Kinukisha Jukwaa La Fiesta, Dar leo

Staa kutoka Nigeria, Yemi Alade. Mkali wa ngoma ya Wash, Where, Dulo kutoka Nigeria, Tekno Miles. Staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Wema Amdondoshea Povu Shosti Wake Muna, Pachimbika!

KIMENUKA TENA! Jana Ijumaa, Novemba 4, 2016, hali ya hewa ilichafuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya staa wa filamu...

READ MORE

Mbunge Sadifa Afunguka Ishu ya Ulevi

NA IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI: WIKI hii tumefunga safari mpaka visiwani Zanzibar, ambapo imeenda kuyadadavua maisha halisi ya mbunge...

READ MORE

Polisi Dar Yaeleza kwa Nini Hawajamkamata Tundu Lissu

DAR ES SALAAM: Jana, Novemba 4, 2016 iliripotiwa kwenye vyombo vya habari kwamba Mbunge na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu...

READ MORE

Yemi Alade: Nilimtabiria Nandy Atakuwa Msanii Mkubwa

DAR ES SALAAm: Msanii wa kike maarufu nchini Nigeria na Afrika kwa ujumla ambaye atakuwa ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumamosi Novemba 5, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Novemba 5, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti...

READ MORE

Tundu Lissu Akataa Kujisalimisha Mahakamani

Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuagiza Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu...

READ MORE

Nape Nnauye Awsailisha Bungeni Mswada wa Huduma za Habari

  Hotuba ya Waziri Nape Nnauye Kuhusu Mswada wa Huduma za Habari

READ MORE

Rais JPM Atumia Saa 2 Kutathimini Mwaka Mmoja Madarakani na Wanahabari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam leo....

READ MORE

Wananchi Wafuatilia Mahojiano Kati ya JPM na Wahariri

Baadhi ya wananchi wakifuatilia mahojiano ya vyombo mbalimbali vya habari na Rais Magufuli kwenye runinga. WANANCHI  leo walifuatilia mahojiano kati...

READ MORE

Vurugu Zilivyotanda Kati ya Machinga Vs Mgambo Moro!

Eneo la Soko Kuu la Morogoro ambapo baada ya kuvunjwa kwa lengo la kumpisha makandarasi kujenga soko la Kisasa ya...

READ MORE

Live Updates: Yanayojili Kwenye Mahojiano ya JPM na Wanahabari

IKULU, DAR ES SALAAM: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 04 Novemba, 2016...

READ MORE

Airtel Yatangaza Washindi wa Shindano la Video Bora Lijulikanalo Kama “Jicho la Kitaa”

Jaji wa shindano la jicho la kitaa na mmiliki na mkurugenzi mkuu wa studio ya picha ya I-View,  Raqey Mohamed...

READ MORE

Ujue Umasikini Usiozaliwa Nao

Wananchi wa Tanzania wakiwa sokoni. Hali ngumu ya maisha kwa sasa imenisukuma kukuandikia haya mpenzi msomaji.  Kukomesha umasikini wa kupindukia...

READ MORE