×

Hadithi

MPENZI WANGU SARAFINA-14

Bianca aliendelea kumfuatilia Richard, hakuwa radhi kuona akimkosa mwanaume huyo ambaye kwake alikuwa kama mwanaume wa maisha yake. Alikuwa mgumu...

READ MORE

Katika kipindi kipya cha maisha yangu katika jiji la  Dar es salam sikuwa na ndugu wala jamaa katika mji huu...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-13

Kubakwa ndiyo yalikuwa sehemu ya maisha ya msichana Malaika. Kila siku Ibrahim ilikuwa ni lazima amuingilie, alifanya naye mapenzi kinguvu...

READ MORE

JINI MTU-15

Miaka mingi iliyopita, Mama yako alikuwa mwanaume mwenye kuitwa Kalindimya, akafariki, ikaja siku akazaliwa upya akiwa mwanamke mwenye kuitwa bi...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-12

Richard akaingia nchini Marekani, moyo wake ulikuwa kwenye maumivu makali, hakuamini kama alimkosa msichana ambaye alimpenda kwa moyo wa dhati,...

READ MORE

Kabila la Wala Watu-17

Mchungaji Johannes Veldhuizen, Mdachi aliyepania… ELVAN STAMBULI NA MTANDAO | UWAZI MWONGOZA watalii, Kornelius Kembaren aliyekuwa anawaongoza waandishi Paul Ruffael...

READ MORE

JINI MTU-14

“Uchawi maana yake ni mkataba baina ya mchawi na shetani,  wana wa zuoni wanasema, hakuna uchawi unao weza kufanya kazi...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-11

Sarafina aliendelea kusimama pale alipokuwa, hakuamini kama mwanaume aliyempa mimba, David ndiye alikuwa ndani ya gari lile, aliumia mno, akalia...

READ MORE

JINI MTU-13

Mvua kubwa ya upepo na mawe ilinyesha zaidi ya masaa mawili..baada ya kutoka katika mapambano makali kule katika makabuli ya...

READ MORE

Kabila la Wala Watu-16

Wakati anatueleza hayo mara tukasikia sauti kali kutoka kwenye kichaka kilichokuwa karibu na pale tulipokuwa MAKALA: ELVAN STAMBULI NA MTANDAO...

READ MORE

Lord Eyez, Huna wa Kumlaumu!

NA OJUKU ABRAHAM | RISASI JUMAMOSI | MZEE BUNDUKI SIKU zote maisha ni vile unavyotaka yawe na kila mmoja ana...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-10

David alichanganyikiwa, hakuamini kile alichokiona, picha ya msichana Sarafina ikaja kichwani mwake, hakuamini kama kweli yule msichana aliyechoka, aliyekongoroka, asiyekuwa...

READ MORE

JINI MTU-12

“Hey,. Hey,. Hey..wee vipi mbona walala namna hiyo weye? kumekucha  haya amka upesi, haupo kwenu hapa” Nilistushwa katika usingizi mzito,...

READ MORE

Mpenzi Wangu Sarafina-09

Uzuri wa Gloria ulikuwa balaa, David alikuwa na mawazo tele, kila alipokaa alimfikiria msichana huyo mrembo. Alikuwa mtoto wa kishua,...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-08

David hakutaka kukumbuka kuhusu Sarafina, kwake, msichana huyo alikuwa kama wengine tu, kutembea nao na kufanya mapenzi kisha kuwaacha wakiwa...

READ MORE

Shughulikieni Tabia, Zikiwashinda Bora Muachane!

Na. Erick Evarist +255 768 811595, Risasi Jumamosi, Mahusiano MAPENZI ni uvumilivu. Watu mnakutana ukubwani, mnaanzisha uhusiano kila mmoja akiwa...

READ MORE

JINI MTU-11

Yapata saa saba za usiku nilikuwa mbele ya kitanda alicho lalila Nasra nikiwa kiumbe mwingine mwenye uwezo wa ajabu. Ni...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-07

“Nesi….nesi fungua mlango!” alisikika mwanaume mmoja akipiga kelele, saa ilionyesha ni saa saba usiku. “Kuna nini jamani?” “Huyu dada! Analalamika...

READ MORE

Jini Mtu-10

Niliibuka mbele ya watu wanne katika jumba lililokuwa halijamilika kujengwa, wale watu wanne kimwonekano walikuwa ni vijana waliozamia katika matumizi...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-06

Baada ya saa kadhaa ndege ikaanza kuingia katika uwanja wa ndege jijini Mwanza, Richard akateremka na kuanza kuelekea katika jengo...

READ MORE

JINI MTU-09

Ghafla.. Nilistuka kutoka katika usingizi ilikuwa ni saa kumi na mbili asabuhi ndani ya gereza la bangwe, nilijinyanyua mahala pale...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-05

Moyo wa Richard haukuwa na nafuu, ulitawaliwa na majonzi tele, alikosa furaha ambayo alitegemea kwamba angeipata. Alihuzunika mno kwa sababu...

READ MORE

JINI MTU-08

 Nilikuwa mbele ya hospitali ya maweni, yapata saa tatu za usiku, nilikuwa nimefura kwa hasira na chuki kubwa dhidi ya...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-04

Sarafina hakuwa na habari na Richard, kwake, mwanaume huyo alionekana kuwa mtu wa kawaida, asiyejiweza ambaye hakuwa na uhakika kama...

READ MORE

JINI MTU-07

Tayari maghalibi ilikuwa imeingia kwani mwanga hafifu wa njano ulipenya katika dirisha la lockup ya polisi na kuniangazia mahala nilipo...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-02

MTUNZI: NYEMO CHILONGANI Miongoni mwa wanaume waliokuwa wakimpenda Sarafina alikuwa kijana Richard Lema. Huyu hakumpenda msichana huyo kipindi hicho tangu...

READ MORE

JINI MTU-06

Taarifa za ajali ya wachezaji wa timu ya joy  zilikuwa gumzo karibu nchi nzima, taarifa zilisema gari liltumbukia katika kolongo...

READ MORE

Mpenzi Wangu Sarafina-01

MTUNZI: Nyemo Chilongani SIMU: 0718069269   “Jamani leo natangaza rasmi….” alisikika jamaa mmoja akiwaambia wenzake. “Tangaza…” wenzake walisema huku wakicheka....

READ MORE

Hadithi ya Shigongo: Dimbwi la Damu-16

Ghafla tajiri Abdulwakil 
alirejea na fahamu zake 
tofauti na walivyofikiri madaktari,  baada ya kufungua macho yake aliangaza  huku na huku...

READ MORE

JINI MTU-05

Mapafu…mapafu yanauma…yanashindwa kufanya kazi? yanapata moto…pumzi..pumzi hakuna kabisa…..  Oooh my god  kumbe hivi ndivyo inavyo kuwa roho inapo mtoka mtu?aah,pumzi...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike-26

Nilikuwa nimedhamiria kutoa roho za watu na niliamini kusingekuwa na mtu ambaye angenitisha kwa lolote lile. Niligundua kwamba kupitia ajali...

READ MORE

Hadithi ya Shigongo: Dimbwi la Damu-15

Baada ya Manjit kukabidhiwa 
kampuni yake na Multilat
eral Investiment Inc. kwa haraka alichukua uamuzi wa kuibadilisha  kampuni yake jina  na ...

READ MORE

Kabila la Wala Watu-12

Wanaokula nyama za watu waliona bora miili wale wao kuliko kuoza na kuliwa na funza! ELVAN STAMBULI NA MTANDAO |...

READ MORE

Jini Mtu-04

Nikiwa pale katika kile chumba pweke nimeegemea ukuta fikra zilinipeleka nyumbani, namwona mama yangu akiwa ni mwenye tabasamu pana siku...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike-25

ILIPOISHIA Nilihisi hisia zote, nilijua kwamba nilikuwa nafanya mapenzi na Majeed lakini cha kushangaza baada ya dakika kadhaa, nikashtuka kutoka...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike-24

ILIPOISHIA Nikatulia kwenye kiti lakini sikuwa na amani hata kidogo. Nikaagiza juisi, ilipokuja, nikachukua na kuanza kunywa taratibu. Wakati juisi...

READ MORE

JINI MTU-03

Kwa mbali kabisa nikiwa sielewi A wala B  fahamu zangu zikiwa zimepotea, lakini kama nukta kumi ama kumi na moja ...

READ MORE

Hadithi ya Shigongo: Dimbwi la Damu-14

Ilikuwa harufu mbaya  na kali 
mno, Leah na Manjit 
walishindwa kuelewa ilitokea sehemu gani ndani ya nyumba! Walijaribu kuita jina...

READ MORE

Hadithi ya Shigongo: Dimbwi la Damu-13

Shabir alimpiga Victoria kwa  
mateke na ngumi bila 
huruma, akilalamika kitendo cha  Victoria kuitoa mimba ya mtoto wake! Victoria alilia...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nifanikiwe-23

ILIPOISHIA Nikakifuata kiti kimoja na kutulia, tukaletewa vitabu vidogo kwa lengo la kuimba nyimbo za kumtukuza shetani, mbali na vitabu...

READ MORE