Peter akaondoka hospitalini hapo huku akiwa na mawazo lukuki, hakuwa na uhakika wa kumpata Rose na hatimae kumchukua mtoto wake...
READ MOREILIPOISHIA: Ilibidi yule askari avunje ukimya na kurudia tena kumuuliza swali lile lakini badala ya kutoa majibu kama alivyokuwa akifanya...
READ MOREILIPOISHIA: MARA mlango wa wodi ulifunguliwa, daktari mmoja akachungulia nje na kuwaonesha ishara ya kuwaita baba na baba yake Rahma,...
READ MOREIlipoishia jana… Maneno ya mzee hayakuwa kichekesho, lakini yalitosha kuitwa mzaha uliolenga kuniweka sawa kiakili. Alisema maneno yale akitabasamu. Akili...
READ MOREILIPOISHIA: “SIJUI itakuwaje sasa mume wangu, lazima balaa litokee tuombe tu Mungu Togo atuhakikishie kwamba hawajafanya mapenzi na ndugu yake,”...
READ MOREILIPOISHIA: Nilikuja kugundua kuwa huenda tunaelekea Mwananyamala Hospitali baada ya kuumaliza Mtaa wa Makumbusho na kushika Barabara ya Mwananyamala, moyoni...
READ MOREILIPOISHIA JANA… Mganga alikimbia kama swala, niliona rubega yake ikipepea, nilikimbia kuelekea alikoelekea mganga, lakini kasi ya mganga ilikuwa...
READ MOREILIPOISHIA: Baada ya kumjibu jambo lililonishitua zaidi ni pale aliponiambia kuwa ilibainika Shenazia alikuwa ni mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya...
READ MOREILIPOISHIA: “UNASEMA?” Mama yake Rahma aliuliza kwa mshtuko, huku akiacha kila kitu alichokuwa akifanya. Haraka akakimbilia chumbani kwa mwanaye huku...
READ MOREILIPOISHIA JANA Nilimaliza kuzungumza, ikawa zamu ya mganga kusema: “Nimekusikia mwanangu… kinachokusumbua ni mzimu wa huyo marehemu ambaye hakufurahishwa na...
READ MOREIlipoishia… “Mungu wangu,” nilisema huku nikifikicha macho na kutazama vizuri, kuna muda nilikuwa nahisi kwamba huenda nipo ndotoni lakini haikuwa...
READ MOREILIPOISHIA: “TOGO,” nilisikia sauti nzito ya baba ikiniita, harakaharaka nikamtoa Rahma, kila mmoja akawa anahaha kujiweza vizuri. “Togooo,” alirudia kuniita,...
READ MOREILIPOISHIA JANA Nilifika nyumbani, nikafungua mlango nikiwa siamini kama nilipona katika tukio lile. Niliingia ndani. Nilipowasha taa, sikuamini nilichokiona,...
READ MOREILIPOISHIA: Sikupata hata muda wa kujibu chochote, Raya akanikumbatia kwa nguvu mwilini na kuanza kunibusu sehemu mbalimbali za mwili wangu,...
READ MOREILIPOISHIA: “ETI kumetokea nini kwani?” sauti ya mama yake Rahma ilisikika, akiwa ameongozana na binti yake ambaye sasa fahamu zilikuwa...
READ MORETUNAENDELEA kuwaletea simulizi ya kabila moja la nchini Ethiopia ambalo wavulana hushindanishwa kuotesha vitambi, hawa watu wanaohusudu vitambi na...
READ MOREILIPOISHIA: “Please nakuomba tuonane usiku huuhuu, baba na mama wamesafiri tangu juzi, niko mwenyewe tu, nahisi haupo sawa na nahitaji...
READ MOREHatukutembea sana, tukayafikia makaburi. Watu walikuwa wengi siku hiyo, karibia kila kaburi lilikuwa na wazinzi wakifanya mambo yao. Hawakuogopa lolote,...
READ MOREILIPOISHIA ALHAMISI: Nikahisi labda palitokea wizi. Wazo kwamba kuliingia wezi lilinifanya niyazungushe macho yangu pale sebuleni. Lakini niliona kila kitu...
READ MOREILIPOISHIA: “MUNGU wangu,” nilijisemea, mapigo ya moyo yakiwa yananienda mbio kuliko kawaida, nikiwa sijui nini kitatokea, hasa ukizingatia kwamba nilikuwa...
READ MOREILIPOISHIA: “YULE uliyekuwa umekaa naye kwenye basi ni nani?” “Ni rafiki yangu.” “Unamjua wewe? Na hicho alichokupa una uhakika gani...
READ MOREILIPOISHIA: Alikuwa ni msichana mzuri sana, upande wa nyuma alikuwa amejazia huku kiuno chake kikiwa kimegawanyika, kama nyigu ambao kule...
READ MOREILIPOISHIA: Bado sikuwa na majibu na hakukuwa na mtu yeyote wa kunijibu zaidi ya baba mwenyewe. Jambo kubwa ambalo lilikuwa...
READ MORENAITWA Omar Ibrahim Msangi. Nilikuwa ndiyo kwanza nitimize umri wa miaka thelathini. Masomo niliyochukua yalikuwa ni ufundi wa kompyuta na...
READ MOREILIPOISHIA: “Kuna tukio baya linataka kutokea, kuwa makini,” nilisikia sauti ya baba ikiniongelesha sikioni mwangu, nikageuka huku na kule, baba...
READ MOREKatika kipindi cha kwanza Peter aliona kazi aliyopewa ya kumteka Irene na kisha kumpeleka sehemu husika kuwa kazi rahisi sana...
READ MOREILIPOISHIA: SIKUELEWA kwa nini wananiambia vile, ghafla niligeuka kutazama upande wangu wa kushoto, lori kubwa la mafuta, lilikuwa limeshanisogelea huku...
READ MOREILIPOISHIA: Dereva alizidi kuyumba huku gari likiongeza kasi, hali iliyofanya abiria waanze kupiga kelele kwa nguvu, wengi wakilitaja jina la...
READ MOREILIPOISHIA: “Mungu wangu, akina nani tena hao usiku wote huu?” nilijiuliza huku nikirudi nyuma na kujibanza pale uchochoroni, nikawaona wale...
READ MOREILIPOISHIA: Wale wageni waliaga na kuondoka, baba akatuita tena ndani na kuanza kuhesabu fedha zilizopatikana. Zilikuwa ni shilingi milioni mbili...
READ MOREILIPOISHIA: Mara simu yake ilianza kuita mfululizo, akaishika na kutazama namba ya mpigaji lakini katika hali ambayo sikuielewa, aliiachia simu...
READ MOREBwana Shedrack bado alionekana mwenye hasira nyingi. Kila siku hasira zake zilikuwa juu ya Irene ambaye alionekana kuwa chanzo cha...
READ MOREBAADA ya kuweka hadharani kuwa amepata meneja mpya katika za muziki, msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa...
READ MOREILIPOISHIA: Huku nikitetemeka, nilisogea mpaka pale yule mganga alipokuwa amelala, akiendelea kukoroma kwa nguvu, mimi nikamshika miguuni na baba akamshika...
READ MOREILIPOSHIA: Aliniambia Shenaiza amerejewa na fahamu na jambo la kwanza alilouliza ni kama nilikuwa nimempigia simu. “Nimemwambia kwamba upo hapa...
READ MOREILIPOISHIA: MWANAUME mzee mwenye macho mekundu sana na midomo myeusi, akiwa amejifunga shuka refu lenye rangi nyekundu na nyeusi, kichwani...
READ MOREILIPOISHIA: Niliondoka kazini nikiwa ni kama nimechanganyikiwa, sikuwa namjua Shenaiza lakini sijui kwa nini nilihisi kama matatizo yake yalikuwa yakinihusu...
READ MOREILIPOISHIA: “Naongea na wewe Togolai, ni kweli nini?” alihoji tena Madam Timbuka, safari hii akiwa amenikaribia kabisa pale nilipokuwa nimekaa,...
READ MOREILIPOISHIA: NILISHANGAA kugundua kwamba ukiachilia mbali meseji mbili za rafiki zangu, Justice na Prosper, nyingine zote zilikuwa zimetoka kwa yule...
READ MOREMaisha yalikuwa magumu kwa upande wake hasa mara baada ya fedha ambazo alipewa na Joshua kumuishia. Hapo ndipo picha halisi...
READ MORE