ILIPOISHIA: Nikamuongoza baba mpaka kwenye kaburi la Alfred ambalo juu yake kulikuwa na msalaba ulioandikwa jina lake kamili, tarehe ya...
READ MOREILIPOISHIA: ILIBIDI nisogee mpaka kwenye maegesho ya bodaboda nikiamini pale itakuwa rahisi kuzungumza na dereva yeyote ili aniwahishe kabla ile...
READ MOREDamu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala...
READ MOREILIPOISHIA: Tulipokaribia nyumbani kwa mzee huyo, baba alinionesha ishara kwamba nisimame, nikafanya hivyo, tukawa tunasikia sauti za watu...
READ MOREJINA langu naitwa Togolai Mahimba, ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba...
READ MOREWachina bado walionekana kuwa na hasira kupita kawaida, kila siku hitaji lao liliendelea kuwa lile lile, Bwana Zhan afikishwe mahakamani....
READ MOREMaandamano bado yalikuwa yakiendelea ndani ya nchi ya China katika mji mkuu wa Beijing. Watu zaidi ya laki saba walikuwa...
READ MOREMAISHA ya watu wa Kabila la Wabodi waishio Ethiopia katika Bonde la Mto Omo wanategemea ufugaji. Japokuwa huwa wanakula...
READ MOREUKIONA mwenyeji wako anakukaribisha halafu anakueleza jambo kuonyesha ana hofu nawe kuhusiana na jambo fulani basi ujue una shida...
READ MORERose akaonekana kama kuchanganyikiwa, tayari hali ya hatari ikaonekana mbele yake, alijua fika kwamba baba yake alikuwa akielekea katika hostel...
READ MOREILIPOISHIA “Yule mpenzi wake alifariki dunia katika maumivu makali sana,” alisema baba mwenye nyumba, yeye mwenyewe akashindwa kuvumilia, machozi yakaanza...
READ MOREMpenzi msomaji, wiki iliyopita tulikuahidi kukuletea mwendelezo wa simulizi ya kusimumua ya motto aliyewahi kuwa gumzo, Ramadhan Seleman Musa...
READ MOREKwa Ibrahim, ni kama pua zake ziliziba, chumba kizima kilikuwa na harufu mbaya lakini hakusikia hata kidogo. Kila siku alikaa...
READ MOREBwana Shedrack akajiona kumaliza kila kitu, kitendo cha yeye kuchukua simu ya Rose na kisha kuanza kukaa nae aliona kwamba...
READ MOREIlikuwa ni kesi kubwa, Richard hakutaka kukubali, moyo wake ulikuwa na hasira kubwa kutokana na kile kilichokuwa kimetokea. Alikuwa akilalamika...
READ MORERose alibaki akiwa amepigwa na mshtuko mkubwa, hakuamini kama baba yake ndiye ambaye alisimama mbele ya geti lile. Alikuwa...
READ MOREGloria alisimama mbele ya kitanda alichokuwa mume wake, mashavu yake yalilowanishwa na machozi yaliyokuwa yakimtoka, aliumia, hakuamini kama huo ndiyo...
READ MOREPeter akaliegesha gari lake nje ya geti la kuingilia katika kambi ya kijeshi ya Lugalo. Kwa kuwa alikuwa ni mtoto...
READ MOREMoyo wa Richard ulikuwa na presha kubwa, pale alipokaa alikuwa akitetemeka kwa furaha, aliikutanisha mikono yake huku akimuomba Mungu, wazazi...
READ MOREMawingu mazito yakaanza kujikusanya katika anga lote la Dar es Salaam, watu wote waliokuwa njiani kuelekea majumbani mwao wakaanza kufanya...
READ MOREManeno ya Irene kila siku yalikuwa moyoni mwake, moyo wake ukatokea kumuamini Irene kupita mtu yeyote katika dunia hii, hakuona...
READ MORERichard alishindwa kuubadilisha ukweli, ukabaki palepale kwamba mtoto wake alikuwa amefariki alipokuwa akizaliwa. Alilia sana, alimwangalia mke wake pale kitandani...
READ MOREYalikuwa ni majibu mabaya kwa Gloria, hakuamini kile alichokisikia kwamba mume wake mpendwa, David alikuwa na kansa ya damu iliyokuwa...
READ MOREKatika kipindi chote ambacho Peter alikuwa chuoni nchini Afrika Kusini kichwa chake kilikuwa kikimfikiria Rose, msichana ambaye alitokea kumpenda kuliko...
READ MORERose hakuonekana tena kuwa na imani juu ya Irene ambaye kwake tayari alionekana kuwa msagaji. Kila wakati alikuwa mkimya huku...
READ MOREAlianza taratibu sana lakini mwisho wa siku David akaanza kuzoea, akawa mtumiaji mzuri wa madawa hayo, alifanya kwa siri, hakutaka...
READ MORE“Nisikilize Rose. Unataka niseme nini ili ujue kwamba nakupenda? Unataka nifanye nini ili ujue kwamba nakuhitaji? Au unataka nijiue? Au...
READ MOREMalaika alikuwa kitandani, mwili wake haukuwa na nguvu, kwa juu, dripu ya damu ilikuwa ikining’inia. Aliyafumba macho yake, wakati mwingine...
READ MORESafari ilikuwa ikiendelea kuelekea katika Msitu wa Pande, kitu kilichokuwa kichwani mwao ni kufanya mauaji kwa watoto hao bila kuwaonea...
READ MOREMTUNZI: NYEMO CHILONGANI Ibrahim alirudi mpaka kule alipokuwa akilala na Malaika, alipofika, hakumwambia kitu kwa kuwa alikuwa na watoto...
READ MOREBianca aliendelea kumfuatilia Richard, hakuwa radhi kuona akimkosa mwanaume huyo ambaye kwake alikuwa kama mwanaume wa maisha yake. Alikuwa mgumu...
READ MOREKubakwa ndiyo yalikuwa sehemu ya maisha ya msichana Malaika. Kila siku Ibrahim ilikuwa ni lazima amuingilie, alifanya naye mapenzi kinguvu...
READ MOREMiaka mingi iliyopita, Mama yako alikuwa mwanaume mwenye kuitwa Kalindimya, akafariki, ikaja siku akazaliwa upya akiwa mwanamke mwenye kuitwa bi...
READ MORERichard akaingia nchini Marekani, moyo wake ulikuwa kwenye maumivu makali, hakuamini kama alimkosa msichana ambaye alimpenda kwa moyo wa dhati,...
READ MOREMchungaji Johannes Veldhuizen, Mdachi aliyepania… ELVAN STAMBULI NA MTANDAO | UWAZI MWONGOZA watalii, Kornelius Kembaren aliyekuwa anawaongoza waandishi Paul Ruffael...
READ MORE“Uchawi maana yake ni mkataba baina ya mchawi na shetani, wana wa zuoni wanasema, hakuna uchawi unao weza kufanya kazi...
READ MORESarafina aliendelea kusimama pale alipokuwa, hakuamini kama mwanaume aliyempa mimba, David ndiye alikuwa ndani ya gari lile, aliumia mno, akalia...
READ MOREMvua kubwa ya upepo na mawe ilinyesha zaidi ya masaa mawili..baada ya kutoka katika mapambano makali kule katika makabuli ya...
READ MOREWakati anatueleza hayo mara tukasikia sauti kali kutoka kwenye kichaka kilichokuwa karibu na pale tulipokuwa MAKALA: ELVAN STAMBULI NA MTANDAO...
READ MORE