×

Hadithi

Kahaba Kutoka China-14

Peter akaondoka hospitalini hapo huku akiwa na mawazo lukuki, hakuwa na uhakika wa kumpata Rose na hatimae kumchukua mtoto wake...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 13

ILIPOISHIA: Ilibidi yule askari avunje ukimya na kurudia tena kumuuliza swali lile lakini badala ya kutoa majibu kama alivyokuwa akifanya...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 19

ILIPOISHIA: MARA mlango wa wodi ulifunguliwa, daktari mmoja akachungulia nje na kuwaonesha ishara ya kuwaita baba na baba yake Rahma,...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (6)

Ilipoishia jana… Maneno ya mzee hayakuwa kichekesho, lakini yalitosha kuitwa mzaha uliolenga kuniweka sawa kiakili. Alisema maneno yale akitabasamu. Akili...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na hatia) -18

ILIPOISHIA: “SIJUI itakuwaje sasa mume wangu, lazima balaa litokee tuombe tu Mungu Togo atuhakikishie kwamba hawajafanya mapenzi na ndugu yake,”...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 12

ILIPOISHIA: Nilikuja kugundua kuwa huenda tunaelekea Mwananyamala Hospitali baada ya kuumaliza Mtaa wa Makumbusho na kushika Barabara ya Mwananyamala, moyoni...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (5)

ILIPOISHIA JANA…   Mganga alikimbia kama swala, niliona rubega yake ikipepea, nilikimbia kuelekea alikoelekea mganga, lakini kasi ya mganga ilikuwa...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 11

ILIPOISHIA: Baada ya kumjibu jambo lililonishitua zaidi ni pale aliponiambia kuwa ilibainika Shenazia alikuwa ni mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 17

ILIPOISHIA: “UNASEMA?” Mama yake Rahma aliuliza kwa mshtuko, huku  akiacha kila kitu alichokuwa akifanya. Haraka akakimbilia chumbani kwa mwanaye huku...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (4)

ILIPOISHIA JANA Nilimaliza kuzungumza, ikawa zamu ya mganga kusema: “Nimekusikia mwanangu… kinachokusumbua ni mzimu wa huyo marehemu ambaye hakufurahishwa na...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 10

Ilipoishia… “Mungu wangu,” nilisema huku nikifikicha macho na kutazama vizuri, kuna muda nilikuwa nahisi kwamba huenda nipo ndotoni lakini haikuwa...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 16

ILIPOISHIA: “TOGO,” nilisikia sauti nzito ya baba ikiniita, harakaharaka nikamtoa Rahma, kila mmoja akawa anahaha kujiweza vizuri. “Togooo,” alirudia kuniita,...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (3)

ILIPOISHIA JANA   Nilifika nyumbani, nikafungua mlango nikiwa siamini kama nilipona katika tukio lile. Niliingia ndani. Nilipowasha taa, sikuamini nilichokiona,...

READ MORE

SEVEN DAYS IN HELL (SIKU SABA KUZIMU)- 9

ILIPOISHIA: Sikupata hata muda wa kujibu chochote, Raya akanikumbatia kwa nguvu mwilini na kuanza kunibusu sehemu mbalimbali za mwili wangu,...

READ MORE

The Graves of The Innocent (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 15

ILIPOISHIA: “ETI kumetokea nini kwani?” sauti ya mama yake Rahma ilisikika, akiwa ameongozana na binti yake ambaye sasa fahamu zilikuwa...

READ MORE

Kabila Linalohusudu Vitambi, Linalotembea Utupu-8

  TUNAENDELEA kuwaletea simulizi ya kabila moja la nchini Ethiopia ambalo wavulana hushindanishwa kuotesha vitambi, hawa watu wanaohusudu vitambi na...

READ MORE

SEVEN DAYS IN HELL (SIKU SABA KUZIMU)- 8

ILIPOISHIA: “Please nakuomba tuonane usiku huuhuu, baba na mama wamesafiri tangu juzi, niko mwenyewe tu, nahisi haupo sawa na nahitaji...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (2)

Hatukutembea sana, tukayafikia makaburi. Watu walikuwa wengi siku hiyo, karibia kila kaburi lilikuwa na wazinzi wakifanya mambo yao. Hawakuogopa lolote,...

READ MORE

Mwanamke Jini Alivyonipenda na Kunipeleka Ujinini! – 2

ILIPOISHIA ALHAMISI: Nikahisi labda palitokea wizi.  Wazo kwamba kuliingia wezi lilinifanya niyazungushe macho yangu pale sebuleni.  Lakini niliona kila kitu...

READ MORE

The Graves of The Innocent (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 14

ILIPOISHIA: “MUNGU wangu,” nilijisemea, mapigo ya moyo yakiwa yananienda mbio kuliko kawaida, nikiwa sijui nini kitatokea, hasa ukizingatia kwamba nilikuwa...

READ MORE

The Graves of The Innocent (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 13

ILIPOISHIA: “YULE uliyekuwa umekaa naye kwenye basi ni nani?” “Ni rafiki yangu.” “Unamjua wewe? Na hicho alichokupa una uhakika gani...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 12

ILIPOISHIA: Alikuwa ni msichana mzuri sana, upande wa nyuma alikuwa amejazia huku kiuno chake kikiwa kimegawanyika, kama nyigu ambao kule...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 11

ILIPOISHIA: Bado sikuwa na majibu na hakukuwa na mtu yeyote wa kunijibu zaidi ya baba mwenyewe. Jambo kubwa ambalo lilikuwa...

READ MORE

Mwanamke Jini Alivyonipenda na Kunipeleka Ujinini! – Sehemu ya 1

NAITWA Omar Ibrahim Msangi.  Nilikuwa ndiyo kwanza nitimize umri wa miaka thelathini.  Masomo niliyochukua yalikuwa ni ufundi wa kompyuta na...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 10

ILIPOISHIA: “Kuna tukio baya linataka kutokea, kuwa makini,” nilisikia sauti ya baba ikiniongelesha sikioni mwangu, nikageuka huku na kule, baba...

READ MORE

Kahaba Kutoka China-13

Katika kipindi cha kwanza Peter aliona kazi aliyopewa ya kumteka Irene na kisha kumpeleka sehemu husika kuwa kazi rahisi sana...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 9

ILIPOISHIA: SIKUELEWA kwa nini wananiambia vile, ghafla niligeuka kutazama upande wangu wa kushoto, lori kubwa la mafuta, lilikuwa limeshanisogelea huku...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 8

ILIPOISHIA:  Dereva alizidi kuyumba huku gari likiongeza kasi, hali iliyofanya abiria waanze kupiga kelele kwa nguvu, wengi wakilitaja jina la...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu) -7

ILIPOISHIA: “Mungu wangu, akina nani tena hao usiku wote huu?” nilijiuliza huku nikirudi nyuma na kujibanza pale uchochoroni, nikawaona wale...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 7

ILIPOISHIA: Wale wageni waliaga na kuondoka, baba akatuita tena ndani na kuanza kuhesabu fedha zilizopatikana. Zilikuwa ni shilingi milioni mbili...

READ MORE

Seven Days In Hell (Siku Saba Kuzimu)- 6

ILIPOISHIA: Mara simu yake ilianza kuita mfululizo, akaishika na kutazama namba ya mpigaji lakini katika hali ambayo sikuielewa, aliiachia simu...

READ MORE

Kahaba Kutoka China-12

Bwana Shedrack bado alionekana mwenye hasira nyingi. Kila siku hasira zake zilikuwa juu ya Irene ambaye alionekana kuwa chanzo cha...

READ MORE

Lulu Adaiwa Kutoka na Jaguar

BAADA ya kuweka hadharani kuwa amepata meneja mpya katika za muziki, msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa...

READ MORE

Graves of The Innocents (Makaburi Yasiyo na Hatia)- 6

ILIPOISHIA: Huku nikitetemeka, nilisogea mpaka pale yule mganga alipokuwa amelala, akiendelea kukoroma kwa nguvu, mimi nikamshika miguuni na baba akamshika...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 5

ILIPOSHIA: Aliniambia Shenaiza amerejewa na fahamu na jambo la kwanza alilouliza ni kama nilikuwa nimempigia simu. “Nimemwambia kwamba upo hapa...

READ MORE

Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 5

ILIPOISHIA: MWANAUME mzee mwenye macho mekundu sana na midomo myeusi, akiwa amejifunga shuka refu lenye rangi nyekundu na nyeusi, kichwani...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 4

ILIPOISHIA: Niliondoka kazini nikiwa ni kama nimechanganyikiwa, sikuwa namjua Shenaiza lakini sijui kwa nini nilihisi kama matatizo yake yalikuwa yakinihusu...

READ MORE

Makaburi ya Wasio na Hatia (The Graves of the Innocents)- 4

ILIPOISHIA: “Naongea na wewe Togolai, ni kweli nini?” alihoji tena Madam Timbuka, safari hii akiwa amenikaribia kabisa pale nilipokuwa nimekaa,...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 3

ILIPOISHIA: NILISHANGAA kugundua kwamba ukiachilia mbali meseji mbili za rafiki zangu, Justice na Prosper, nyingine zote zilikuwa zimetoka kwa yule...

READ MORE

Kahaba Kutoka China-11

Maisha yalikuwa magumu kwa upande wake hasa mara baada ya fedha ambazo alipewa na Joshua kumuishia. Hapo ndipo picha halisi...

READ MORE