×

Ijumaa

Kamanda OFM avamiwa na vibaka

Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, Mkoa wa Morogoro, Dustan Shekidele. Mwandishi wetu, Moro Hii si sawa!...

READ MORE

Diamond, Romy Jones watibuana

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,. MUSA MATEJA Kimenuka! Mbongo-Fleva mwenye taito kubwa Afrika kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kutibuana...

READ MORE

Gigy, msanii Tekno ukweli waanikwa

Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’. Mayasa Mariwata na Imelda Mtema Siri imefichuka!...

READ MORE

Machangu: Magufuli ametunyoosha

Machangudoa wakiwa mawindoni. Richard Bukos na Issa Mnally NJAA KALI! Wadada wanaojihusisha na biashara ya kuuza miili yao maarufu kama...

READ MORE

TRA wampa presha Masanja

Mwimba nyimbo za Injili na mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji. MUSA MATEJA 2016, kazi imepamba moto! Zoezi linaloendelea kufanywa na...

READ MORE

Masogange adaiwa kutumia tunguri kunasa vigogo!

Video Queen wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’. Stori: Brighton Masalu na Mayasa Mariwata Ulozi? Video Queen wa Bongo, Agness Gerald...

READ MORE

Esha: Nikipata tatizo team diamond itahusika

Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buhet. Stori: Imelda Mtema Chokochoko! Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buhet amefunguka kuwa...

READ MORE

Bomoabomoa Dar, Herieth aangua kilio

Stori: Imelda Mtema Machozi! Mwigizaji mkongwe wa Bongo Movies, Herieth Chumila amejikuta akiangua kilio baada ya nyumba yake kukumbwa na...

READ MORE

Licha ya kusherekea kuuona mwaka 2016, atuko salama

Baadhi ya siraha zilizokamatwa. Mwandishi wetu Matukio ya watu kuporwa pesa kisha kuuawa na majambazi yatikisha, bodaboda zadaiwa kuwa tatizoLicha...

READ MORE

Mh. diwani laivu akimbambia Linah!

Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Mwanga Kigoma-Kaskazini, Clayton Revocatus ‘Baba Levo’, akimbambia Linah. Musa mateja HII ni aibu ya kufungulia...

READ MORE

Mastaa wanaodaiwa kuwauza wenzao watajwa

Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’. HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA MASTAA kadhaa hapa Bongo wamekanyaga skendo ya kudaiwa kuwauza wenzao kwa...

READ MORE

Bongo Muvi, Taff wamaliza tofauti zao

Simon Mwakifwamba. HAMIDA HASSAN BIFU kubwa lililokuwepo kati ya wasanii wa fi lamu wanaounda Bongo Movie na wale wa Shirikisho...

READ MORE

Thea atetwa kwa vimini, acharuka!

Msanii mkongwe wa fi lamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’Gladness Mallya. MSANII mkongwe wa fi lamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amejikuta...

READ MORE

Kidoa amtangazia vita Zari

MUSA MATEJA Video Queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amemtangazia vita mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan‘Zari’ akidai atafanya...

READ MORE

AY: Wazungu wamenitibulia sapraizi

Ambwene Yesaya ‘AY ‘. Gabriel ng’osha Hii nayo kali! Unajua AY na ngoma yake iitwayo Zigo, sasa basi jamaa alifanya...

READ MORE

Kidoa amtangazia vita Zari

Video Queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’. Musa mateja Video Queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amemtangazia vita mpenzi wa...

READ MORE

OFM yatumbua jipu la Tanesco Moro

Dustan Shekidele, Moro Watanyooka! Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers imeungana na Rais John Pombe Magufuli katika...

READ MORE

Bella kufunga mwaka na Koffi, Dar Live

KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’. Na Mwandishi Wetu KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa...

READ MORE

Baba Haji adai anasakwa auawe!

Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’. Mwandishi wetu Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’...

READ MORE

Diamond aangua kilio ukumbini!

Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia. Musa mateja SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio...

READ MORE

Denti atoroshwa, awekwa kinyumba

Binti huyo anayedaiwa kuwekwa kinyumba. Boniphace Ngumije Dunia imekwisha! Binti mwenye umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa kimaadili), mkazi wa...

READ MORE

Pedeshee aapa kuvunja uchumba wa dida

Khadija Shaibu ‘Dida’. Imelda Mtema Pedeshee maarufu jijini Dar anadaiwa kuapa kuvunja uchumba wa Mtangazaji wa Radio Times FM, Khadija...

READ MORE

Odama: Hakuna wa kuniondolea heshima yangu

Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Imelda mtema Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amesema kuwa tangu alipoingia...

READ MORE

Amanda atumika kwa utapeli

Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’. Mwandishi wetu Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye...

READ MORE

Funga Mwaka Concert…. Dar Live hapatoshi leo!

1 Kwa mara ya kwanza kupiga kwa kutumia vyombo 2 Kutoa sapraizi ya Krismasi kwa mashabiki 3 Mshindi wa Ijumaa...

READ MORE

Kajala: Mwanangu Paula ni mlevi wa kuogelea

Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul akiwa anaogelea na mwenzie. Musa Mateja Mtoto wa msanii wa...

READ MORE

Mbunge ampa Wema ujauzito

Mwigizaji Wema Sepetu ‘Madam’. Mwandishi wetu MJINI bwana! Habari nyingi huanzia kwenye mikeka, siku hizi wenyewe wamezimebatiza jina la ‘Ubuyu’...

READ MORE

Aibu ya Krismasi

Issa Mnally AIBU ya mwaka! Mwalimu aliyefahamika kwa jina la Henry wa shule moja maarufu iliyopo Kimara jijini Dar, amenaswa...

READ MORE

Davina aanika ‘mazagazaga’…

Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’. Imelda mtema Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ hivi karibuni alianika ‘mazagazaga’...

READ MORE

Mastaa wajiachia uzinduzi wa Dimpoz

Stori: Gabriel Ng’osha Bata batani! Wikiendi iliyopita mastaa kibao Bongo walijiachia vilivyo kwenye uzinduzi wa ngoma mpya ya Achia Body...

READ MORE

Denti darasa la kwanza ajinyonga

Stephano Mango, SONGEA MAJANGA! Mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Skill Path mjini Songea Mkoa wa Ruvuma, Fatuma...

READ MORE

Joanita aipeleka Ijumaa Sexiest Girl, Dar Live

Fatuma Makame ‘Joanita’. ANDREW CARLOS dhamini wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015, Fatuma Makame ‘Joanita’ ambaye ni Mkurugenzi wa...

READ MORE

Picha za x zatikisa ndoa ya kigogo!

Aibu ilioje! Picha chafu za ngono ‘X’ za mrembo aliyetajwa kwa jina moja la Mariam, mkazi wa Kinondoni jijini Dar,...

READ MORE

Aunt: mdogo wa cookie anakuja soon!!

Staa maarufu wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel na mwanaye, Cookie. Stori: Imelda Mtema Staa maarufu wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel...

READ MORE

Wema atimuliwa kwenye nyumba

Mizigo ikipakizwa kutoka kwenye nyumba hiyo. Musa Mateja UFALME umeanguka! Unaweza kusema hivyo! Hatimaye Miss Tanzania 2006, aliye pia staa...

READ MORE

Diamond akacha shoo ya zari

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. MUSA MATEJA Habari ya mjini! Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amezua utata kwa mashabiki wake baada ya...

READ MORE

Bella kufanya video na Koffi mwakani

Stori: Andrew Carlos Kimataifa zaidi! KING of the Best Melodies, Christian Bella amefungukia video ya ngoma yake ya Acha Kabisa...

READ MORE

Mlokole Mainda anaswa!

STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ akikumbatiana na mwanaume huyo. Musa mateja STAA mkongwe wa sinema za...

READ MORE

Adakwa akienda kutupa kichanga!

Kichanga kilichotaka kutupwa  na mama yake. Deogratius Mongela na Chande Abdallah INASIKITISHA! Wakati watu wengi wakisaka watoto kwa udi na...

READ MORE

Shamsa Ford hana aibu!

Msanii wa filamu, Shamsa Ford. Imelda Mtema Hana aibu! Msanii wa filamu, Shamsa Ford hivi karibuni alizua gumzo baada ya...

READ MORE