×


KimataifaAKATAA CHAKULA KIZURI KABLA YA KUNYONGWA!

DONNIE EDWARD JOHNSON aliyekuwa anasubiri kunyongwa huko Nashville, Tennessee, Marekani, alikikataa chakula chake maalum cha mwisho kabla ya kunyongwa wiki iliyopita Alhamisi, na badala yake…

SOMA ZAIDI

Kasuku Afanyiwa Upasuaji Kichwani

  MADAKTARI wa wanyama nchini New Zealand wamemfanyia upasuaji kasuku mmoja kutoka jamii ya kakapos ambayo ipo hatarini kutoweka.   Madaktari hao wa upasuaji, walitumia…

SOMA ZAIDI
Akamatwa na Silaha Zaidi ya 1,000

  MWANAMME  mmoja nchini Marekani anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo kwa kukutwa na silaha mbalimbali za moto zikiwemo bunduki zaidi ya 1,000 katika…

SOMA ZAIDI


Ukikamatwa Unapiga Umbea Faini Tsh 9,200

BINALONAN kijiji kinachopatikana kaskazini mwa mji mkuu wa Ufilipino, Manila, kimepiga marufuku kufanya umbea. Meya wa mji, Ramon Guico, amesema umbea ulisababisha ugomvi mkubwa utokee…

SOMA ZAIDI
Maporomoko ya Udongo Yaua Watu 60

  MAPOROMOKO ya udongo yaliyotokana na mvua kubwa yamesababisha vifo vya watu 60 katika mikoa ya Durban na KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini.   Zaidi ya…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online