×

Kimataifa

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 3, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Furaha Kwa Wamiliki Wa Magari, Petroli Yashuka Kwa Shilingi 102 Na Dizeli Shilingi 101 Kila Lita

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za bidhaa za mafuta ya petroli nchini,...

READ MORE

Julián Álvarez Aamua Kubaki Atletico Madrid, Aikataa Arsenal

Mshambuliaji wa Atlético Madrid, Julián Álvarez, ameamua kuendelea kusalia katika klabu hiyo licha ya kuwepo kwa taarifa za kuhusishwa na...

READ MORE

Davido Aongoza Afrimma 2026 Kwa Nominations Tano

Msanii wa Nigeria, Davido, ameibuka kuwa msanii mwenye uteuzi mwingi zaidi katika tuzo za AFRIMMA 2026 baada ya kutajwa katika...

READ MORE

Antonio Rüdiger Afunga Ukurasa wa Ujerumani Baada ya Mechi 86

Beki wa Real Madrid, Antonio Rüdiger, ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la kimataifa akiwa na timu ya taifa ya Ujerumani....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 2, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Ebola Yazidi Kusambaa DRC, Vifo Vyakaribia 3,000 Afrika

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inakabiliwa na ongezeko kubwa la maambukizi ya ugonjwa wa Ebola, huku idadi ya wagonjwa...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Nchini Kwenda Zambia Kwa Uapisho Wa Hichilema

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 1, 2026, ameondoka nchini kuelekea Lusaka, Zambia,...

READ MORE

Waamuzi Wanne wa Tanzania Wateuliwa Kusimamia Mechi ya CAF

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limewateua rasmi waamuzi kutoka Tanzania kusimamia mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Dortmund Yaanza Safari Ya Dfb Cup Dhidi Ya Hebc Hamburg

Leo Jumanne, tarehe 1 Septemba 2026, saa 21:45, uwanja wa Volksparkstadion jijini Hamburg utakuwa jukwaa la mechi ya raundi ya...

READ MORE

Baada Ya Miaka 30; Keefe D Akutwa na Hatia ya Mauaji ya Tupac Shakur

Mahakama nchini Marekani imemkuta na hatia Duane “Keffe D” Davis kwa kosa la mauaji ya mwanamuziki maarufu wa Hip Hop,...

READ MORE

Lionel Richie Alazwa ICU Baada Ya Tamasha, Afanyiwa Vipimo

Mwanamuziki mkongwe wa Marekani, Lionel Richie, amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) mjini St. Louis, Missouri, baada ya kumaliza...

READ MORE

Tanzania Yapata Mwakilishi Algeria, Mabula Asaini Js Kabylie

Kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Mabula Msanga, ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya JS Kabylie ya Algeria....

READ MORE

Tottenham Yapigwa Chenga, Ndiaye Aelekea Man City Kwa Bilioni

Manchester City imefikia makubaliano na Everton kwa ajili ya kumsajili winga wa Senegal, Iliman Ndiaye, katika dili lenye thamani ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 1, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Msichana wa Miaka 14 Auawa Akirekodi Tiktok, Kijana wa Miaka 17 Akamatwa

Washington, D.C. — Kifo cha kutatanisha cha Zytina Mason-Brown, msichana mwenye umri wa miaka 14, kimechukua mwelekeo mpya baada ya...

READ MORE

Marekani Yashambulia Iran, Drone Yaangushwa Mlango wa Hormuz – Video

WASHINGTON — Marekani imetekeleza mashambulizi dhidi ya Iran baada ya vikosi vyake kushambulia vizindua viwili vya roketi katika Kisiwa cha...

READ MORE

Kiongozi Wa Upinzani Akabiliwa Na Mashtaka Ya Uhaini Zambia

LUSAKA, Zambia — Mawakili wa kiongozi wa upinzani nchini Zambia, Brian Mundubile, wamethibitisha kuwa mteja wao amefikishwa mahakamani na kushtakiwa...

READ MORE

Khamenei Azitaka Nchi Za Kiislamu Kuungana Dhidi Ya Marekani Na Israel – Video

Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, amezitaka nchi za Kiislamu kuungana dhidi ya Marekani na Israel, akizitaja nchi hizo mbili...

READ MORE

Cardi B Avamia Jalada la Vogue Arabia, Aonyesha Mvuto wa Kiarabu

Msanii wa kimataifa kutoka Marekani, Cardi B, amepewa nafasi ya kipekee kwenye jalada la toleo la Septemba 2026 la Vogue...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 30, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Kengele Imelia! Pambano la TSh 5M Lafikia Tamati, Usikose Soma Hapa

Muda unakwenda kwa kasi na mashindano ya Expanse: Big Wins Start Here yanaelekea ukingoni. Ikiwa imesalia takribani wiki moja kabla...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 29, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mkuu wa CIA Afanya Ziara ya Siri Moscow, Putin Apewa Onyo Kali

Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA), John Ratcliffe, ameripotiwa kufanya ziara ya siri mjini Moscow kwa kutumia ndege...

READ MORE

UEFA Yaandaa Kesi ya Jinai Dhidi ya Infantino, Mashabiki Wamlipua

Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) linajiandaa kuanzisha mchakato wa kisheria nchini Uswisi dhidi ya Rais wa FIFA, Gianni Infantino, kwa...

READ MORE

Mafuriko Yaua Watu 100 Nepal, Zaidi ya 1500 Hawajulikani Walipo

  Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliotokea nchini Nepal imefikia 165, huku wengine 1,300 bado hawajulikani...

READ MORE

Droo Ya UEFA Yatoa Mapambano Makali, Barca, Man United Na Atletico Zapata Wapinzani Wazito

MONACO – Droo ya hatua ya  Ligi ya mabingwa (league phase ya UEFA Champions League) msimu wa 2026/27 imefanyika usiku...

READ MORE

Barcelona Yamsajili Livaković kwa Mkataba wa Miaka Minne

Klabu ya Barcelona imekamilisha usajili wa kipa wa kimataifa wa Croatia, Dominik Livaković, kutoka Fenerbahçe kwa mkataba wa miaka minne...

READ MORE

Rais Samia Ateua na Kuhamisha Wakuu Wa Mikoa, Makatibu Tawala

Dar es Salaam, Agosti 27, 2026 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi...

READ MORE

Dili la Sh Bilioni 418! Liverpool Yafikia Makubaliano na PSG kwa Barcola

Liverpool imefikia makubaliano ya awali yenye thamani ya takribani Shilingi bilioni 418 (£120 milioni) na Paris Saint-Germain (PSG) kwa ajili...

READ MORE

Shigongo Ahoji Serikali Kuhusu Barabara za Mitaa Nyehunge – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amehoji Bungeni jijini Dodoma kuhusu hatua za Serikali katika kuboresha barabara za mitaa katika eneo...

READ MORE

Moto Wazua Taharuki Hospitalini, Watoto Wachanga 14 Wafariki

Watoto wachanga 14 wamefariki dunia baada ya moto mkubwa kulipuka katika wodi ya kujifungulia na kuhudumia watoto wachanga katika Hospitali...

READ MORE

Real Madrid na Sociedad Kukutana, Macho yote Santiago Bernabéu

Je unajua kuwa siku ya leo unaweza ukaondoka na kitita cha mkwanja wa maana ukibashiri mechi zako sasa. Mechi nyingi...

READ MORE

Lissu Amaliza Kujitetea, Mahakama Yapumzika kabla ya Dodoso

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, leo Jumatano, Agosti 26, 2026, amehitimisha sehemu ya kwanza ya...

READ MORE

Karol G Atoa Bilioni 3.1 Kusaidia Waathirika wa Tetemeko Colombia

Msanii mkubwa wa muziki kutoka Colombia, Karol G, ameonyesha mshikamano na wananchi walioathiriwa na tetemeko kubwa la ardhi nchini humo...

READ MORE

Serayah Aachana na Mchumba wake Joey, Afichua Madai ya Usaliti

Muigizaji wa filamu na mwanamitindo Serayah ametangaza kuachana na mchumba wake, rapa Joey Bada$$, huku akidai kuwa msanii huyo alikuwa...

READ MORE

Marekani Yawasaka Makamanda Wa IRGC, Yaweka Zawadi Ya Bilioni 26.5 – Video

Marekani imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 sawa na TSh bilioni 26.5 kwa taarifa zitakazosaidia kuwabaini au kufichua baadhi...

READ MORE

Mmiliki wa Leeds na Rangers Afungwa Baada ya Kukamatwa Katika Operesheni ya Ukahaba

Ohio, Marekani — Mmoja wa wamiliki wa klabu za Leeds United na Rangers, Jed York, amehukumiwa kifungo cha siku moja...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 26, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Marekani Yaiondoa Syria Kwenye Orodha ya Wafadhili wa Ugaidi

WASHINGTON — Marekani imeiondoa rasmi Syria kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi, hatua inayowakilisha mabadiliko makubwa katika sera ya Washington...

READ MORE