×

Kimataifa

BREAKING: NDEGE YAANGUKA BAHARINI NA WATU 47

ABIRIA 35 na wahudumu 12 wamenusurika kifo mapema leo Ijumaa baada ya ndege waliokuwa wakisafiria kukosea njia na kuanguka katikati...

READ MORE

Waziri Mkuu New Zealand Aenda UN na Mwanaye Mchanga

AKIWA amefuatana na mwanaye mchanga na mpenzi wake katika ukumbi wa mkutano, Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern,  ametoa...

READ MORE

BILL COSBY KUFUNGWA PAMOJA NA WAFUNGWA WENGINE

Bill Cosby akiwa amevaa nguo za jela. BAADA ya kutiwa hatiani na mahakama jana kwa unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya msichana...

READ MORE

Bill Cosby Afungwa Miaka 10 kwa Unyanyasaji Kingono

Mahakama ya Pennsylvania nchini Marekani imemshushia mvua ya kifungo cha kati ya miaka mitatu hadi kumi, mchekeshaji Bill Cosby mwenye...

READ MORE

MWANAMKE MBARONI KWA KUISHI NA WANAUME WAWILI CHUMBANI

MAAJABU YA DUNIA! Mwanamke Maurine Atieno, Raia wa Kenya amekamatwa na Jeshi la Polisi la Migori, nchini humo baada ya...

READ MORE

Wanawake Matajiri Zaidi Afrika, Cha Kujifunza Kutoka Kwao

Wanawake matajiri wanazidi kujitokeza barani Afrika.  Je, nini tunaweza kujifunza kutoka kwao? Folurunso Alakija – Nigeria 🇳🇬 Ni mmoja wa wanawake...

READ MORE

Mwanasiasa Kenya Akamatwa kwa Maadai ya Mauaji ya Mwanafunzi

Polisi nchini Kenya imemkamata Gavana Okoth Obado wa Jimbo la Migori Magharibi mwa nchi hiyo.  Obado ataaendelea kuzuiliwa huku uchunguzi...

READ MORE

MWANAFUNZI WA SEKONDARI AGUNDUA SIMU ISIYOTUMIA VOCHA

Kijana Simon Petrus ambaye ni Mwanafunzi wa Abraham Iyambo Senior Secondary School nchini Namibia amegundua simu inayofanya mawasiliano bila ya...

READ MORE

MENEJA AFUNGUKIA ‘U-FREEMASON’ WA DAVIDO

David Adeleke ‘Davido’MENEJA wa staa wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke ‘Davido’, Asa Asika amekanusha tetesi zilizoenea wiki iliyopita dhidi...

READ MORE

Bombadier 2 ‘Zaibwa’ Uwanja wa Ndege Lagos

  NDEGE mbili aina ya Bombardier Dash 8 Q300 zilizokuwa zinamilikiwa na kampuni ya Topbrass Aviation Services Limited, zimedaiwa kuibwa...

READ MORE

Prince William, Kukutana na Rais Magufuli

Mwanamfalme  (Prince) William wa Uingereza anapangiwa kukutana na Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli wiki ijayo wakati wa ziara yake...

READ MORE

Yusaku Maezawa Awa Abiria wa Kwanza Kwenda Mwezini!

Yusaku Maezawa ambaye ni mfanyabiashara na mwendesha shughuli za mitindo, atakuwa abiria wa kwanza kwenda kwenye mwezi. Mtu huyo ambaye ana...

READ MORE

Mwili wa Kofi Annan Wawasili Ghana, Kuzikwa Alhamisi – Picha

RAIS wa Ghana, Nana Akufo-Addo ameongoza mamia ya waombolezaji kuupokea mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Kofi...

READ MORE

MASTAA 10 WALIOFANYA UPASUAJI KUTENGENEZA SHEPU

MAKALA: OVER ZE WEEKEND WANAWAKE wengi wanapenda kuonekana warembo, wenye sura nzuri, maumbo yaliyogawanyika vizuri kiunoni, vifua vizuri na makalio.  Kwa...

READ MORE

SUNDAY SHOMARI WA VOA ANYAKUA TUZO MAREKANI

MTANGAZAJI maarufu wa Voice of America (VoA) ambao ni washirika wa Global TV Online, Sunday Shomari ameshinda Tuzo zilizoandaliwa na...

READ MORE

Madrid Wamtaka Sandro, Kumtoa Marcelo kwa Juventus

Marcelo. KLABU ya Real Madrid  ina nia ya kumtoa Marcelo kwa timu ya Juventus  ili wampate Alex Sandro kutoka klabu hiyo mnamo...

READ MORE

Samaki Wawekewa Macho Bandia Kuonyesha Wako ‘Fresh’

Jicho la bandia likiwa limewekwa kwenye samaki. DUKA moja la samaki nchini Kuwait limeguduliwa kuwawekea samaki macho ya bandia, yaliyotengeezwa...

READ MORE

Moto Wateketeza Makumbusho Kongwe ya Miaka 200 Brazil

KIKOSI cha zimamoto nchini Brazil kinajaribu kuzima moto mkubwa uliotokea katika moja ya makumbusho kubwa na ya kihistoria mjini Rio...

READ MORE

Watanzania 27 Wasio na Vibali Wakamatwa Mombasa

MAMLAKA ya usalama huko Mombasa, Kenya,  inaendelea na mipango ya kuwarejesha nchini Watanzania 27 wanaoshikiliwa na polisi katika kituo cha...

READ MORE

Nchi Zenye Utajiri Mkubwa Zaidi Afrika

BENKI ya Dunia imezitaja nchi za Afrika zilizo na utajiri mkubwa zaidi  wa asili licha ya kuwa miongoi mwake ni...

READ MORE

YEMENI YAGUNDUA TEKNOLOJIA YA KUJIKINGA NA KIPINDUPINDU

Mfumo mpya unaobashiri ni eneo gani ambalo mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaweza kutokea umesababisha kupungua kwa idadi ya watu...

READ MORE

PICHA: Uhuru Kenyatta Akutana na Trump Ikulu ya Marekani

RAIS Donald Trump wa Marekani amekutana na mwezake wa Kenya Uhuru Kenyatta mjini Washington na kuzungumzia masuala mbalimbali, zaidi wakiangazia...

READ MORE

BREAKING: Bobi Wine Akamatwa Upya Baada ya Kuondolewa Mashtaka

MBUNGE  wa Kyadonddo nchini Uganda,  Robert Kyagulanyi  maarufu Bobi Wine,  amekamatwa muda mfupi baada ya mahakama ya kijeshi kumuondolea mashtaka...

READ MORE

Breaking News: Bobi Wine Aachiwa Huru, Besigye Akamatwa

Taarifa za hivi punde kutoka Uganda ni kwamba mahakama ya jeshi imemuondolea mashtaka mbunge wa Kyadondo Robert Kyagulanyi. Inaarifiwa kwamba...

READ MORE

BOBI WINE HALI TETE

WANA-SHERIA wawili wa msanii wa muziki ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’, wamesema mwanasiasa...

READ MORE

Waziri Atumia Baiskeli Kwenda Hospitali Kuijifungua

Julie Genter kutoka chama cha kijani, Green party, amesema kuwa ameenda kwa baiskeli kwakua hakukua na nafasi ya kutosha ndani...

READ MORE

Wananchi 103 Mbaroni kwa Maandamano

Polisi nchini Uganda, imesema imewakamata watu 103, katika maandamano yaliozuka ya kupinga kukamatwa kwa mbunge wa upinzani Robert Kyagulanyi au...

READ MORE

USICHOKIJUA KUHUSU KOFI ANNAN

JUMAMOSI iliyopita ya Agosti 18, mwaka huu Afrika na dunia ilipata pigo. Baada ya Nelson Rolihlahla Mandela na waasisi wengine...

READ MORE

Mamba Mzee Anayeabudiwa Kama Miungu

Nchini Nigeria, kuna kabila moja ambalo humuabudu mamba kama miungu. Mamba huyo wanayemuabudu kwa sasa ana umri wa miaka 78....

READ MORE

Mabomu Yarindima, Wananchi Wapinga Mbunge Kukamatwa

POLISI wamelazimika kutumia mabomu ya machozi na kupiga risasi hewani kuwatawanya waandamanaji katika Jiji la Kampala wakipinga kukamatwa kwa mbunge wao,...

READ MORE

Museveni Akanusha Bobi Wine Kujeruhiwa

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha kwamba mbunge wa upinzani Bobi Wine amejeruhiwa. Katika taarifa yake ya kwanza kuhusu afya...

READ MORE

Figo ya Mbunge Bobi Wine Yaharibika kwa Kipigo

Wanasheria wa Mbunge wa Kyaddondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, wameitaka Tume ya Haki za Binadamu...

READ MORE

50 CENT, TEKASHI69 WARUSHIWA RISASI WAKISHUTI VIDEO

MARAPA Tekashi69 na 50 Cent, wote wa Marekani, walipata taharuki juzi (Jumanne) wakati wakishuti video ya muziki eneo la Brooklyn, New York, ambapo...

READ MORE

Mwanamke ‘Mtanzania’ Ateuliwa Ubunge Pakistan, Avunja Rekodi

MWANAMKE mwenye asili ya Tanzania, Tanzeela Qambrania (39) amekuwa wa kwanza wa asili ya Afrika kuteuliwa kuwa mbunge nchini Pakistan, na...

READ MORE

FAMILIA YA WATATU, 35 WAFARIKI AJALI YA DARAJA KUVUNJIKA

                               Enzi za wanafamilia waliofariki  wakati...

READ MORE

MAKAMPUNI MAKUBWA, YENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI

1. Industrial and Commercial Bank of China Benki hii ni kubwa na yenye uwezo zaidi duniani ikijulikana kwa kifupi ICBC...

READ MORE

Baada ya Dereva Wake Kuuawa, Bobi Wine Akamatwa

Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine amekamatwa na polisi saa kadhaa baada ya dereva wake kuuawa kwa...

READ MORE

Dereva wa Mbunge Auawa kwa Risasi Kwenye Kampeni

Mbunge wa Jimbo la Kyaddondo Mashariki nchini Uganda ambaye pia ni msanii wa muziki nchini humo, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu...

READ MORE

Mambo 9 Usiyoyajua Kuhusu Tendo la Ndoa Nchi Tofauti Duniani

INAAMINIKA kwamba, tendo la ndoa miongoni mwa mambo ya kale zaidi na kwamba binadamu na wanyama wengine wasingeendelea kuwepo bila...

READ MORE

Babu Afunga Smartphone 11 Kwenye Baiskeli Ili Acheze ‘Game’

KIBABU, Chen San Yuan, wa Taiwan, amefunga simu 11 kwenye baiskeli yake ili kila aendapo aweze kucheza  michezo ya Pokemon...

READ MORE