×

Kimataifa

Ariana, Davidson Wahamia Makazi Mapya New York

Pete na Ariana. WACHUMBA ambao ni wasanii maarufu nchini Marekani, Ariana Grande na  Pete Davidson wamehamia katika makazi mapya jijini New York eneo la...

READ MORE

Drake Amzawadia Babaye Gari la Bentley ‘Siku ya Baba’ 👏🏽

MWANAMUZIKI maarufu wa Marekani, Drake,  juzi aliadhimisha Siku ya Baba Duniani  kwa kumnunulia baba yake, Dennis Graham, gari la pesa mbaya ...

READ MORE

Daktari Ashtakiwa kwa Kuiba Moyo wa Polisi

HII ni hatari sana! Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya daktari mstaafu nchini Kenya Dkt. Moses Njue ameshtakiwa katika Mahakama ya Meru...

READ MORE

MEYA AFUNGWA MIAKA TISA KWA KUFANYA NGONO NA MTOTO

Simon Thornton MEYA wa zamani wa Godalming, Surrey, Uingereza, amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela kwa kufanya ngono na mtoto...

READ MORE

Suge Knight Ategemea Magereza Kumruhusu Kwenda Kumzika Mamake

PRODYUZA na mfanyabiashara mkubwa wa masuala ya muziki nchini Marekani, Suge  Knight, anategemea mamlaka za magereza zitamruhusu kwenda kumzika mama...

READ MORE

Wizkid Akutana na Domenico Dolce, Campbell na Tempah huko Milan

MWANAMUZIKI Wizkid wa Nigeria juzi alikutana na mastaa Naomi Campbell mwanamitindo wa Uingereza, na rapa Tinie Tempah wa Uingereza kwenye ...

READ MORE

VOLKANO YAIBUKA HAWAII, YAHARIBU NYUMBA 467

VOLKANO imeibuka jana asubuhi katika visiwa vya Hawaii, Marekani, na kuharibu nyumba 467. Kuibuka kwa volkano hiyo ambapo ni pamoja...

READ MORE

Rihanna Atia Fora Maonyesho ya Mavazi ya ‘Oceans8’

NYOTA wa muziki wa Pop wa Marekani, Rihanna,  jana alitia fora kwenye maonyesho ya mavazi yajulikanayo kama  “Ocean’s 8″  yaliyofanyika Cineworld Leicester...

READ MORE

Jay-Z Ashitakiwa Kwa Kutomlipa Prodyuza Mrabaha

PRODYUZA wa muziki, Raynard Herbert, wa Marekani amefungua mashitaka dhidi ya  mwanamuziki Jay-Z wa Marekani kwa kutomlipa asilimia moja ya...

READ MORE

Jada Pinkett Azungumzia Alivyokwepa Mawazo ya Kujiua

MSANII wa Marekani, Jada Pinkett Smith ambaye ni mwimbaji, mnenguaji, mwigizaji na mjasiriamali, amezunguzia jinsi alivyokwepa,  hapo nyuma, mawazo mabaya...

READ MORE

Gavana Joshua Dariye wa Nigeria Afungwa Miaka 14 kwa Ubadhirifu

Seneta Joshua Dariye  wa Jimbo la Plateau Magharibi, Nigeria, amepatikana na hatia na kufungwa jela kwa ubadhirifu wa  Naira bilioni...

READ MORE

Ariana Aionyesha Pete ya 228bn ya Uchumba ya Pete Davidson

HATIMAYE  baada ya kuyaonyesha mapenzi yao wazi na kimwana wake,  Pete Davidson kamvisha mchumba’ke, Ariana Grande, pete ya thamani ya...

READ MORE

BLAC CHYNA: SINA UJAUZITO, NIMENENEPA TU

    MWANAMITINDO  maarufu wa Marekani, Blac Chyna, amesema hana ujauzito kama mashabiki wake wanavyoeneza, hususani kutokana na kufutuka kwa tumbo...

READ MORE

YAMETIMIA: Hatimaye Trump, Kim Watinga Singapore kwa Mazungumzo

HATIMAYE, Rais wa Marekani, Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili jana nchini Singapore kwa ajili ya...

READ MORE

Mbunge Auawa Kwa Kupigwa Risasi

  Mbunge wa Manispaa ya Arua nchini Uganda,  Ibrahim Abiringa, mmoja wa waliokuwa mstari wa mbele kushinikiza mabadiliko ya Katiba...

READ MORE

MCHUNGAJI ATAFUNWA NA MAMBA AKIBATIZA ZIWANI

  MCHUNGAJI ambaye aliyekuwa akiendesha ibaada ya kubatiza waumini ufukweni mwa ziwa amefariki baada ya kushambuliwa na mamba wakati akibatiza...

READ MORE

Vifo Vyazidi Kuongezeka Mlipuko wa Volkano Guatemala – Pichaz

IDADI ya vifo vilivyotokea kutokana na Mlipuko wa Volcano ulioikumba Guatemala, imefikia watu 65 hadi sasa huku vikosi vya uokoaji...

READ MORE

Mahakama Kenya Yazuia Matumizi ya Vifungu vya Sheria ya Mitandao

NAIROBI (Reuters) – Sheria mpya ya makosa ya mtandao imeanza kufanya kazi nchini Kenya jana (Jumatano), lakini ikiwa haikupiga marufuku...

READ MORE

KIJANA ALIYEMWOKOA MTOTO, AJIUNGA NA JESHI UFARANSA – Pichaz

KIJANA shujaa mhamiaji kutoka nchini Mali, Mamoudou Gassama aliyemwokoa mtoto aliyekuwa amening’inia kwenye kibaraza cha ghorofa ya nne katika jengo...

READ MORE

RAIS WA MALI AMTAKA ALIYEMWOKOA MTOTO UFARANSA ARUDI NYUMBANI

RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta amemtaka kijana shujaa, mhamiaji kutoka nchini kwake, Mamoudou Gassama aliyemwokoa mtoto mdogo aliyekuwa amening’inia kwenye...

READ MORE

Mugabe Agoma Kwenda Bungeni Kuhojiwa Upotevu wa Trilioni 34

RAIS wa zamani wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe, amepuuza wito wa Bunge la nchi hiyo likimtaka afike mbele ya kamati...

READ MORE

MHAMIAJI ALIYEOKOA MTOTO GHOROFANI, AKUTANA NA RAIS, APEWA URAIA, AAJIRIWA

MHAMIAJI kutoka nchi ya Mali ametunukiwa uraia wa Ufaransa baada ya kufanya tendo la kishujaa kwa kumuokoa mtoto mdogo aliyekuwa...

READ MORE

Kim Jong-un: Nipo Tayari Kukutana na Trump

KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amesema nia yake ya kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump ili kuzungumza na...

READ MORE

MAJENGO YANAYOVUTIA KWA UBUNIFU BORA ZAIDI DUNIANI

  PAMOJA na kwamba makazi au nyumba msingi wake mkubwa ni kumwezesha binadamu kupata mahali pa kuishi, bado ujenzi hubeba...

READ MORE

KIBA NA DIAMOND WANOGESHA KOMBE LA DUNIA …

KUANZIA leo Ijumaa, zitakuwa zimesalia siku 20 kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia ya mwaka huu ambayo...

READ MORE

IGP: POLISI WASIOJITAMBULISHA WAKAMATWE, WAPIGWE MAWE

MKUU jeshi la polisi nchini Uganda amewaamrisha wananchi kuwakamata au kuwapiga mawe maofisa wa polisi wasiojitambulisha wanapokwenda kuwakamata washukiwa hata...

READ MORE

SHUHUDIA LIVE PRINCE HARRY NA MEGHAN WAKIFUNGA NDOA

BOFYA HAPA KUSHUHUDIA LIVE NDOA YA Prince Harry na Meghan   HATIMAYE shughuli ya ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia...

READ MORE

LIVE: Mamilioni Kushuhudia Ndoa ya Kifahari ya Prince Harry na Meghan

BOFYA HAPA KUSHUHUDIA LIVE NDOA YA Prince Harry na Meghan MAMILIONI ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya...

READ MORE

Burundi Wapiga Kura Kumruhusu Nkurunziza Kuwa Rais Hadi 2034

WANANCHI wa Burundi, leo Alhamisi Mei 17, 2018 wanapiga kura ya maoni kwa kufanya marekebisho ya katika ya nchi hiyo...

READ MORE

MWANASAYANSI GOODALL ALIYEOMBA KUJIUA, YAMETIMIA

MWANASAYANSI wa Uingereza aliyekuwa akiishi Australia, Prof. David Goodall, ameaga dunia baada ya kujichoma sindano yenye sumu iliyochukua dakika moja...

READ MORE

KENYA KURUSHA SATELAITI YAKE YA KWANZA IJUMAA HII

 KENYA inategemea kurusha satelaiti yake ya kwanza Ijumaa wiki hii kutokea nchini Japan. Satelaiti hiyo inayofahamika kama First Kenyan University...

READ MORE

KENYA YAONGEZA MISHAHARA KWA WATUMISHI

SERIKALI ya Kenya imetangaza ongezeko la asilimia 5 kwa kima cha chini cha mshahara ili kuwalinda wafanyakazi na mfumuko wa...

READ MORE

MEYA SITTA AMTEMBELEA BALOZI DKT. SLAA, SWEEDEN

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mhe. Benjamin Sitta hivi karibuni alifanya ziara nchini Sweden katika Manispaa ya Strangnas ambayo ni marafiki...

READ MORE

Didi : Mtoto wa Koffi Anayembunia Mavazi

UKIE-NDA nchi ya Sierra Leone au Ghana ukaulizia maana ya jina la Koffi lazima utaambiwa ni Ijumaa. Katika mila nyingi...

READ MORE

Makaburi ya Vigae si Salama

  TAARIFA za watafiti zimeeleza kuwa matumizi ya maru maru (tiles, marble, terrazzo) katika kujengengea makaburi siyo salama kwa ardhi,...

READ MORE

YuMi: A robot capable of making shoes, food and bevarages

A FEW days ago, I was lucky to be one of the journalists who travelled to Johannesburg in South Africa...

READ MORE

Uingereza: Hatimaye Mwili wa Leyla Wakabidhiwa kwa Familia – Video

Mwili wa Mtanzania, Leyla Mtumwa, aliyeuawa Uingereza wiki chache zilizopita, umeachiwa huru leo na kukabidhiwa kwa ndugu zake ili kuusafirisha...

READ MORE

Mfalme Mswati III Abadili Jina la Nchi Yake

MFALME Mswati wa III wa Swaziland amebadilisha jina rasmi la taifa hilo kutoka Swaziland na kuliita Ufalme wa eSwatini (The...

READ MORE

Baada ya Kuibiwa, Siwa ya Bunge Yakutwa Kwenye Flyover – Video

Baada ya watu wenye silaha kuvamia Bunge la Senate la Nigeria na kuiba siwa juzi, hatimaye imekutwa chini ya Barabara ya...

READ MORE

OFISA CHUO KIKUU ASIMAMISHWA KWA KUMDHALILISHA MWANAFUNZI

KISUZE EDWARD ambaye ni Ofisa Utawala Mwandamizi Ofisi ya Usajili wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda, amesimamishwa kazi...

READ MORE