×

Kimataifa

Zitto kabwe Amtembelea Samatta Ubelgiji

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemtembelea mchezaji wa Timu ya KRC...

READ MORE

Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung’oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48

  RAIS wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo huku Kiongozi mpya wa ANC, Cyril...

READ MORE

JAMBAZI SUGU WA MABENKI NA MAJENEZA AGEUKIA UCHUNGAJI!

John Kibera, raia wa Kenya,  ambaye sasa ni mchungaji alipitia maisha ya uhalifu tangu akiwa mdogo. Alianzia  wizi katika mabenki...

READ MORE

Rais Ellen Sirleaf Johnson Ashinda Tuzo ya Mo Ibrahim

RAIS wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ameshinda tuzo ya mwaka ya Mo Ibrahim kwa Uongozi wa Afrika, ambayo...

READ MORE

ANYIMWA CHAKULA NA KIBABU, ABAKI MIFUPA MITUPU!

MWANAMKE mmoja, raia wa Japan amefichua picha zinazomwonyesha alivyokonda na kubaki na uzito wa kilo 16.8 tu wakati anaokolewa kutoka...

READ MORE

WAKUZA MISULI KWA KUJIDUNGA MADAWA HATARI

    NDUGU wawili wa kiume, Tony ‘Hulk’ Geraldo  (49)  na Alvaro ‘Conan’ Pereira (50)  wa Brazil wamekuwa wakijidunga madawa...

READ MORE

AJIFUNGUA MTOTO KWENYE KORIDO HOSPITALINI

    JESICA HOGAN, mama wa watoto sita mkazi wa Riley, Kansas, Marekani, amejifungua mtoto pekee wa kiume katika korido...

READ MORE

Aliyemuapisha Odinga Atimuliwa Kenya

MWANASHERIA maarufu wa nchini Kenya Miguna Miguna aliyemuapisha Raila Odinga, amefukuzwa nchini Kenya (deported) na kupelekwa Canada, chini ya uangalizi...

READ MORE

Rihanna Atua Senegal, Apingwa Kisa Freemason

Msanii maarufu duniani wa muziki wa Pop Robyn Rihanna Fenty maarufu kama Rihanna, amewasili nchini Senegal licha ya watu wa...

READ MORE

Baunsa Anayedaiwa Kumuua Mowzey Radio Atiwa Mbaroni

Mtuhumiwa namba moja ambaye anayedaiwa kuhusika na kifo cha msanii muziki nchini Uganda, Mowzey Radio amekamtwa na Jeshi la Polisi nchini...

READ MORE

Kumbe Dokii ilikuwa Aolewe na Radio

  UKIPEWA ubuyu wa Zenji sharti uumun’gunye wenyewe mdomoni bila kitu kingine. Kufuatia kifo cha mwanamuziki wa Uganda, Mowzey Radio...

READ MORE

Aishtaki Serikali kwa Kumfunga Kizazi kwa Lazima

Mwanamke mmoja nchini Japan, ambaye alilazimishwa kufungwa kizazi miaka ya 1970 akiwa na umri wa miaka 15, ameishitaki serikali katika...

READ MORE

Mbunge na Mwanasheria Aliyemwapisha Odinga Atiwa Mbaroni

  JESHI la Polisi nchini Kenya, leo Januari 31, 2018 mchana limemtia mbaroni mbunge wa Jimbo la Ruaraka, Tom J...

READ MORE

Serikali Kenya Yamlinganisha Odinga na Alshabaab, Al Qaeda

Serikali ya Kenya kupitia kwa Waziri wa Usalama, Dkt Fred Matiang’i,  imelipiga marufuku kundi la National Resistance Movement (NRM) lililo...

READ MORE

LIVE UPDATES: Hali Ilivyo Kenya, ‘Raila Odinga Akijiapisha Kuwa Rais’

 NAIROBI: Hali ya wasiwasi imetanda nchini Kenya baada ya kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo Bwana Raila Odinga, kushikilia...

READ MORE

Trump Uso kwa Uso na Rais Kagame, Atuma Salamu Afrika

RAIS wa Marekani, Donald Trump amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja...

READ MORE

Moto Waua 39 na Kujeruhi 100 Hospitalini

  WATU 39 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika ajali ya moto uliyotokea katika Hospitali ya Sejong,...

READ MORE

UGANDA: Museveni Kusaini Kunyongwa Walihokumiwa Kifo

Rais Yoweri Museveni amesema atasaini kuidhinisha kunyongwa kwa wahalifu waliohukumiwa adhabu hiyo, akidai ni njia mojawapo ya kujenga hofu kwa...

READ MORE

Huyu Ndiye Mwanamme Mwenye Nywele Nyingi Zaidi Duniani

Mtandao wa World Ranking umemtaja Yu Zhenhuan wa China kuwa ndiye mwanaume mwenye nywele nyingi zaidi duniani. Mwili wa Yu...

READ MORE

SIMANZI! Mtoto Miaka 11 Ajiua Baada ya Kukataliwa Ombi Lake – Video

MTOTO mmoja mwenye umri wa miaka 11 ameamua kujiua kwa kujinyonga baada ya ombi lake la kuhamishwa shule kukataliwa huko...

READ MORE

Mganga Mbaroni kwa Kuwapa Ujauzito Feki Wanawake

  POLISI nchini Guinea wamemkamata mganga wa kienyeji, N’na Fanta Camara kwa tuhuma za kuwalaghai mamia ya wanawake ambao ni...

READ MORE

Awazika Watoto Wakiwa Hai Kisa Wameiba Mahindi

  MTU mmoja nchini Burundi aliyefahamika kwa jina la Nyandwi Elias wa eneo la Bubanza, anatafutwa na Polisi kwa kosa...

READ MORE

Mabinti wa Chibok Waliotekwa na Boko Haram Wagoma Kurudi Nyumbani

Kundi la Boko Haram limetoa video mpya ikionyesha wasichana 14 waliotekwa katika mji wa Chibok, Kaskazini mwa Nigeria mnamo mwezi...

READ MORE

DARAJA LAANGUKA, LAUA WAFANYAKAZI TISA COLOMBIA

DARAJA liliokuwa linajengwa nchini Colombia limeanguka na kuua wafanyakazi tisa na kuwajeruhi wengine watano. Daraja hilo lililoko eneo la Chirajara...

READ MORE

MKE WA MUGABE ALIUNGA MKONO KUJIUZULU MUMEWE

GRACE MUGABE, mke wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ameripotiwa kwamba alimuunga mkono mumewe huyo katika hatua yake ya...

READ MORE

Kisa Obama, Trump Agoma Kuzindua Ubalozi Wake Uingereza

Rais wa Marekani, Donald John Trump amekataa safari yake ya kwenda nchini Uingereza ambapo mbali na mambo menginine ambayo angefanya,...

READ MORE

Botswana Wamvaa Trump Kwa ‘Kuzitusi’ Nchi za Afrika

SERIKALI ya Botswana imemshutumu Rais wa Marekani, Donald John trump kwa matamshi yake kuwa Mataifa ya Afrika ni “machafu” na...

READ MORE

Apple Kutoa Punguzo Ununuzi wa Betri Mpya za Simu

MTENDAJI mkuu wa kampuni ya Apple, Tim Cook, amewaomba radhi wateja wake kuhusiana na kwamba simu za kampuni hiyo hupungua...

READ MORE

Mugabe Apata Mafao Kibao Baada ya Kustaafu

ALIYEKUWA Rais wa Zambia na kuondolewa madarakani hivi karibuni, Robert Mugabe, amepatiwa mafao kibao ya kustaafu ambayo hutolewa na na...

READ MORE

Breaking: Mwanasoka George Weah Ashinda Urais wa Liberia

ALIYEWAHI kuwa mcheza soka bora duniani, George Opong Weah, ameshinda katika uchaguzi na kuwa Rais wa Liberia baada ya kushinda...

READ MORE

DRC: Nyumba ya Rais Kabila Yachomwa Moto

NYUMBA ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila imechomwa moto katika shambulizi linaloshukiwa kufanywa na waasi, ambapo...

READ MORE

Trump Ampa Mwaliko Kenyatta

SERIKALI ya Kenya chini ya Rais Uhuru Kenyatta imepokea mwaliko kutoka nchini Marekani kuhudhuria katika hafla ya kuwashukuru kwa kuendeleza...

READ MORE

Muuza Bangi Aingia Kimakosa Ndani ya Gari la Polisi Akidhani ni Teksi

MTU mmoja anayedaiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya amejikuta akipata wakati mgumu katika kipindi hiki cha Sikukuu ya...

READ MORE

Rais Aachiwa Gerezani kwa Msamaha wa Rais Mwenzake

Rais wa zamani wa Peru, Alberto Fujimori ameachiwa huru kwa msamaha wa Rais wa sasa wa nchi hiyo, Pedro Pablo...

READ MORE

Serena Williams Return After Giving Birth

Serena Williams will return to tennis in Abu Dhabi next week, almost four months after giving birth. The American, 36,...

READ MORE

Nabii Amnunulia Binti Yake wa Miaka 4 Gari la Mil. 926

NABII wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering, Shepherd Bushiri, amemfanyia sapraizi mwanayae wa kike, Israella Bushiri mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Kim Jong Un: Marufuku Kunywa, Kuimba Korea Kaskazini Wakati wa Krismasi

RAIS Kim Jong Un wa Korea ya Kaskazini amepiga marufuku kuimba, kunywa vileo na kufanya mikusanyiko ya aina yote nchini...

READ MORE

Askari JWTZ Walionusurika Shambulio la DRC Wanaendelea Vizuri – Pichaz

  KUFUATIA wanajeshi 14 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), waliouawa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

KABURI LA MME WA ZARI LAFUKULIWA UGANDA

POLISI wilayani Kayunda nchini Uganda inawatafuta watu waliojaribu kulifukua kaburi la marehemu Ivan Ssemwanga lililoko katika kijiji cha Nakaliro usiku...

READ MORE

Kaka wa Messi Mbaroni Baada ya Bunduki Kukutwa Kwenye Boti Yake Iliyotapaa Damu

  KAKA mkubwa wa nyota wa soka, raia wa Argentina, Lionel Messi, amekamatwa baada ya kukutwa na bunduki isiyokuwa na...

READ MORE