×

Kimataifa

Michelle, Sasha Obama Wapamba Shoo ya Beyonce, Jay-Z

  UHUSIANO wa wanamuziki nguli wa Marekani, Beyonce na Jay-Z,   na familia ya Obama unazidi kuimarika baada ya  Michelle na Sasha kujitokeza katika shoo ya nguli hao...

READ MORE

T.I. Amfanyia Mkewe Sapraiz ya Bethdei Yake

MKE wa rapa wa Marekani, T.I., aitwaye  Tameka ‘Tiny’ Harris,  amesherehekea bethidei yake ya 43 kwa kununuliwa gari ya bei mbaya na...

READ MORE

Prince William, Kate Watoa Picha ya Ubatizo wa Prince Louis

Duke na Duchess wa Cambridge Prince William na Kate Middleton wametoa picha rasmi ya ubatizo wa mtoto wao wa tatu, Prince Louis. Picha hizo...

READ MORE

Trump, Mkewe Wakutana na Malkia Elizabeth II

  RAIS wa Marekani Donald Trump na mkewe Melania Trump jana walikutana na Malkia wa Uingereza kwenye makazi ya Windsor...

READ MORE

Kombe la Dunia: Wanigeria 400 Wakwama Russia

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Russian liitwalo “Alternative” limefichua kwamba Wanigeria wapatao 400 waliokwenda kushuhudia Kombe la Dunia nchini Russia,...

READ MORE

BEYONCE MIMBA TENA

STAA wa R&B, Beyonce Knowles anadaiwa kuwa na ujauzito tena ikiwa imepita mwaka tangu ajifungue pacha na mumewe ambaye pia...

READ MORE

Meghan, Prince Harry Wawavutia Watoto Ziarani Ireland

KAPO maarufu iliyofunga ndoa hivi karibuni — Meghan Markle  na mwanamfalme wa Uingereza, Prince Harry,  ambao hivi sasa wako katika ziara huko...

READ MORE

Cardi B Ajifungua Mtoto wa Kike Aitwaye Kulture Kiari Cephus

MWANAMUZIKI wa rap, Cardi B  wa Marekani juzi (Jumanne) alijifungua mtoto wa kike katika hospitali moja huko Atlanta na kumpa jina la...

READ MORE

NMB YADHAMINI TANZANIA TOP 100 MID-SIZED COMPANIES AWARDS KWA USD 50,000

  MSIMU wa nane wa Tuzo za Wafanyabiashara, Kampuni 100 Bora nchini ‘Tanzania Top 100 Mid-Sized Companies Awards,’ umezinduliwa jijini Dar...

READ MORE

Watoto wa Wakimbizi Waungana na Wazazi Wao

WAKATI wazazi kadhaa wakimbizi,  wengi wao kutoka Mexico wakiunganishwa na watoto wao waliotenganishwa nao kwenye mpaka wa Marekani na Mexico...

READ MORE

Kim Kardashian: Wanawake Wakaguliwe na Wanawake Gerezani

MWANAMITINDO na mtangazaji wa televisheni nchini Marekani, Kim Kardashian West , ametaka ukaguzi magerezani ufanyiwe mabadiliko ili wafungwa wa kike wakaguliwe maungoni...

READ MORE

Sababu Saba Za Kusafiri Kwa Raha na Dreamliner

NDEGE iliyotengenezwa na kampuni ya Boeing 787 ya Marekani ambayo ni moja ya ndege zilizonunuliwa na serikali ya Tanzania,  ni...

READ MORE

Aua Wanafunzi Tisa Kwa Kisasi China, Ahukumiwa Kifo

ZHAO ZEWEI raia wa China anayesemekana ana umri wa miaka itapayo 28 amehukumiwa kifo na Mahakama ya Jiji la Yulin...

READ MORE

The Game: Kim Kardashian Agombee Urais Marekani 2020

The Game. RAPA wa nchini Marekani,  The Game,  amesema mwanamitindo, mtangazaji  wa kike, Kim Kardashian West, anafaa kugombea urais wa Marekani...

READ MORE

Trump Amteua Brett Kavanaugh Jaji Mahakama Kuu

  RAIS Trump wa Marekani amemteua Brett Kavanaugh kuwa Jaji wa Mahakama Kuu nchini humo kuziba nafasi iliyoachwa na Jaji Kennedy....

READ MORE

Ronaldo Ajinafasi Ugiriki ‘Akisubiri’ Kujiunga Juventus

WAKATI kuna uvumi mkubwa wa nyota wa soka wa Real Madrid,  Cristiano Ronaldo,  kujiunga na  Juventus  ya Italia, Mreno huyo hivi sasa,...

READ MORE

Dereva Amshtaki Trump kwa Kutompandisha Mshahara

ALIYEKUWA dereva wa Rais Trump wa Marekani, aitwaye Noel Cintron, anadai marupurupu mengi  yakiwemo kuongezwa mshahara, kulipwa kwa kazi za muda...

READ MORE

Bethidei ya Sylvester Rambo Yafana

NGULI wa filamu, Sylvester Stallone (Rambo),  wiki hii ametimiza umri wa miaka 72 ambapo alipata pongezi nyingi kutoka kwa watu kibao mashuhuri...

READ MORE

Rick Ross Kushitakiwa kwa Wizi

RAPA Rick Ross‘ wa Marekani, ametishiwa kushitakiwa na mwanamuziki Ishaq R. Muhammad  aka Young Muhammad (YM) kwa kile alichodai  mnamo Septemba 2017...

READ MORE

WANYAMA 10 WENYE AKILI ZAIDI DUNIANI

1. Sokwe Sokwe ni viumbe wa pili kwa kuwa na akili zaidi baada ya binadamu.  Kwa mujibu wa uchunguzi wa...

READ MORE

LeBron Asaini Lakers, Aenda Italia Kujivinjari

LeBron (kulia).   NYOTA mpya wa mpira wa kikapu wa timu ya Lakers ya Marekani,  LeBron James , hivi sasa anakula bata nchini Italia...

READ MORE

Mwanamke Apanda Mnara wa Liberty Akipinga Sera za Trump

Wafanyakazi wakimfuata mwanamke huyo (kulia, aliyepiga magoti).  MWANAMKE  ambaye hakufahamika jina, alikamatwa jana jijini New York, Marekani, kwa kupanda katika...

READ MORE

Beckham, Victoria Waadhimisha Mwaka wa 19 wa Ndoa

  WANANDOA David Beckham  na Victoria leo wametimiza mwaka wa 19 wa ndoa yao na ‘kupuuzilia mbali’ uvumi kwamba wametengana. Wawili...

READ MORE

Blac Chyna Aendelea na Viben-Ten ‘Under-20’

MWANAMITINDO maarufu wa Marekani,  Blac Chyna,  ameendelea na mtindo wake wa kuwa na washikaji wadogo chini ya umri wake — Viben-ten...

READ MORE

Cardi B Rapa wa Kwanza wa Kike Billboard Hot 100

Cardi B RAPA wa kike Cardi B wa Marekani ameweka hstoria ya kuwa rapa wa kwanza wa kike kushika nafasi mbili za...

READ MORE

Gari ya Bieber, Yaharibika Barabarani Akiwa na Baldwin

Bieber na Baldwin baada ya gari lao kuharibika. WAKATI mapenzi kati ya mwanamuziki wa Canada,  Justin Bieber   na mwanamitindo na mtangazaji...

READ MORE

Janet Jackson, Aongoza Maziko ya Baba Yake Kifamilia

MWANAMUZIKI nyota wa Marekani Janet Jackson,   jana (Jumatatu) aliongoza maziko ya baba yake,  Joe Jackson,  akiwa na ndugu wa familia hiyo katika...

READ MORE

ED SHEERAN AKOPI WIMBO, ADAIWA BIL. 225

STAA wa R&B, Ed Sheeran yamemkuta! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine baada ya familia ya aliyekuwa mkali wa muziki...

READ MORE

LeBron Asaini Bn. 350/= Kujiunga na Los Angeles Lakers

MFALME wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani, LeBron James,  amesaini kujiunga na timu ya  Los Angeles Lakers kwa kitita...

READ MORE

Beyonce Ashindwa Kuteremka Jukwaa ‘Automatic’, Aokolewa

Beyonce (katikati) na mumewe Jay-Z wakiwa katika ziara yao Ulaya. NYOTA wa muziki Beyonce juzi alishindwa kuteremka kwenye jukwaa maalum...

READ MORE

Mbunge Aponda Sera za Trump

Mbunge wa Congress, Pramila Jayapal. RAIS  Donald Trump wa Marekani ameshutumiwa na mbunge wa baraza la Congress,  Pramila Jayapal kuhusu sera zake...

READ MORE

Jay-Z, Blue Ivy Wajinafsi Bustanini Ziara ya ‘On the Run’ Berlin

RAPA mkali wa Marekani Jay-Z  jana (Ijumaa) alivutia mashabiki lukuki alipoamua kupunga upepo na binti yake,  Blue Ivy,   katika bustani moja jijini...

READ MORE

CHRIS BROWN AMPONZA KARRUECHE

GUNDU! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine baada ya mwanamitindo ambaye pia ni staa wa filamu, Karrueche Tran ‘kupigwa kibuti’...

READ MORE

Cardi B, Offset Wafanya ‘Baby Shower’

  WANAMUZIKI wa Marekani, Cardi B  na Offset waliooana Septemba mwaka jana, wamefanya ‘Baby Shower’ kwa ajili ya ‘kijacho’ wanayemtegemea.  Hafla hiyo ya...

READ MORE

Kanye Amuuzia Jirani Ofisi, Makazi Yake Kwa Sh. Bn 6

MWANAMUZIKI maarufu wa Marekani, Kanye West,   ameuza moja ya majengo yake ambayo ni ofisi na makazi jijini New York, kwa $3.14...

READ MORE

LeBron: Nyumba Yangu Anguilla Hugharimu Bn. 120 Kwa Wiki

NYOTA wa mpira wa kikapu wa Marekani,  LeBron James,  amesema nyumba yake ya ufukweni iliyoko visiwa vya Anguilla humgharimu Dola 75,000...

READ MORE

Rwanda Yaanza Kutengeneza Magari ya Volkswagen – Pichaz

RAIS Paul Kagame amezindua kiwanda kipya cha kampuni maarufu ya magari ya Volkswagen nchini Rwanda, leo Juni 27, 2018 ambapo...

READ MORE

Padri Kanisa Katoliki Anayehubiri kwa Ku-rap Yamkuta

  PADRI mmoja wa Kanisa Katoliki nchini Kenya aliyepata umaarufu kutokana na mtindo wake wa kuhubiri kwa kutumia muziki wa...

READ MORE

Picha za ‘Red Carpet’ Katika BET Awards 2018

Blac Chyna UTOAJI  wa tuzo za 2018 BET Awards  umefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa  Microsoft Theater jijini Los...

READ MORE

Prince William Kutembelea Israel, Palestina Mara ya Kwanza

Prince William akiwa  Jordan jana alikopokelewa na viongozi mbalimbali wa kiserikali na kifalme. MAKAO makuu ya kifalme ya Uingereza yamesema mwanamfalme...

READ MORE