×

Kimataifa

Kimbuka Maria Chapiga Kisiwa Chote cha Puerto

KIMBUNGA Maria kimekata umeme katika kisiwa chote cha Puerto Rico, chenye watu zaidi ya milioni 3.5 huku kikiharibu vibaya makazi...

READ MORE

Kundi la Nyuki Lavamia Mahakama Kuu na Kuwashambulia Polisi -Video

TAARUKI imeibuka katika viunga vya Jiji la Nairobi baada ya waandamanaji na Jeshi la Polisi kikosi cha kutuliza ghasia wote...

READ MORE

Hii Ndiyo Miji Yenye Utulivu na Amani Zaidi Duniani

IWAPO amani ya mawazo au akili inamaanisha kutembea kwa utulivu nyumbani ukipita kwenye miti na maua, kuwa na fedha za...

READ MORE

Uchaguzi wa Rais Kenya Huenda Ukaahirishwa

UCHAGUZI wa marudio wa urais nchini Kenya huenda ukaahirishwa kutoka tarehe 17 mwezi ujao. Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC,...

READ MORE

Msigwa, Lema Watema Cheche Nairobi Wakihojiwa Kuhusu Lissu -VIDEO

  WABUNGE wawili wa Chadema wametumia mahojiano nje ya nchi kuzungumzia matatizo ya Tanzania wakisema hayawezi kumalizwa na mtu mmoja...

READ MORE

Watanzania 13 Wafariki kwa Ajali Uganda

WATANZANIA 13 wamefariki na wengine nane kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la biashara Lubanda takribani...

READ MORE

Usichokijua Kuhusu Vita ya Marekani Vs Korea Kaskazini – 3

KATIKA mfululizo wa makala haya, wiki iliyopita tuliona jinsi ambavyo Urusi na China zilivyoachana na mfumo wa Kikomunisti na kuiachia...

READ MORE

Mwanamke Mkongwe Zaidi Duniani Afariki

MWANAMKE mmoja wa Jamaica anayedhaniwa kuwa mtu mkongwe zaidi duniani, Violet Mos Brown amefariki akiwa na umri wa miaka 117 ...

READ MORE

Baada ya Kushutumiwa na UN, Tanzania Yaikana Korea Kaskazini

SERIKALI ya Tanzania imesema imeshtushwa baada ya kuorodheshwa miongoni mwa nchi za Bara la Afrika ambazo zimechunguzwa na Umoja wa...

READ MORE

Mbunge Ataka Jaji Mkuu Aondolewe kwa Kufuta Uchaguzi wa Rais

MBUNGE wa umoja wa kisiasa wa Jubilee nchini Kenya amewasilisha muswada bungeni akiitaka Mahakama Kuu nchini humo kumwondoa madarakani Jaji...

READ MORE

Lowassa Amtembelea Lissu Hospitalini Nairobi

MMOJA wa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia alikuwa mgombea wa urais katika uchaguzi uliopita, Edward...

READ MORE

Shambulio la Kigaidi la 9/11, Miaka 16 Baadaye Bado Osama Hatasahaulika

Osama bin Laden enzi za uhai wake. Osama. Taswira ya maghorofa ya World Trade Centre baada ya kushambuliwa. Hali ilivyokuwa...

READ MORE

Don Williams Afariki Dunia

MKALI wa muziki wa country, Donald Ray Williams ‘Don Williams’, amefariki dunia. Williams alifariki jana Ijumaa akiwa nyumbani kwake Alabama,...

READ MORE

Mbowe: Madaktari Bado Wanapigana Kuokoa Uhai wa Lissu Nairobi

MBUNGE wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye alipigwa risasi jana Alhamisi mjini Dodoma, anaendelea kupokea matibabu katika Hospitali ya Aga-Khan...

READ MORE

Marekani Yalaani Shambulio la Tundu Lissu

SERIKALI ya Marekani inayoongozwa na Rais Trump kupitia ubalozi wake ulioko hapa nchini, imeeleza kusikitishwa na tukio la kushambuliwa kwa...

READ MORE

Miaka 20 Tangu Princess Diana Azikwe, Dunia Bado Inamkumbuka

Princess Diana enzi za uhai wake. Siku ya mazishi ya Princess Diana. Siku ya mazishi ya Princess Diana. Mahali alipozikwa....

READ MORE

Odinga Apinga Tarehe Mpya ya Uchaguzi Kenya

KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ametangaza kuwa hayuko tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini humo....

READ MORE

Wahindi Wekundu; Wanaotembea Bila Nguo, Walaji Wa Nyani!-3

KATIKA mfululizo wa makala za safu hii, naendelea kukuletea Wahindi Wekundu wa Kabila la Huarorani, hawa wanaishi kwenye misitu ya...

READ MORE

LIVE: Matukio Yote Mahakama Kuu Ilivyofuta Uchaguzi Kenya

KUFUATIA Mahakama Kuu nchini Kenya kuyafuta matokeo ya Uchaguzi wa Rais yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta kutokana na kile kilichobainika kuwa...

READ MORE

Bweni la Wasichana Lateketea kwa Moto, Saba Wafariki Dunia!

Bweni la Shule ya Wasichana ya Moi iliyopo Kibera jijini Nairobi, limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha...

READ MORE

LIVE: KENYATTA AHUTUBIA TAIFA BAADA YA UCHAGUZI KUFUTWA

IKIWA ni saa 5 baada ya Mahakama Kuu nchini Kenya kufuta matokeo ya Uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta...

READ MORE

LIVE: HOTUBA YA ODINGA BAADA YA UCHAGUZI KUFUTWA

Kiongozi wa Upinzani Kenya Raila Odinga amesema uamuzi wa mahakama wa kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais yanaashiria mwanzo wa...

READ MORE

LIVE: Mahakama Kuu Kenya Yafuta Matokeo ya Urais, Yaamuru Urudiwe

UCHAGUZI KENYA: Mahakama Kuu imefuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa nchi hiyo yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta. Imeamuru uchaguzi urudiwe...

READ MORE

BILIONEA WA FACEBOOK APATA MTOTO WA PILI

MKE wa Bilionea mwanzilishi na mmiliki wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Marc Zuckerberg ambaye ni daktari wa watoto nchini...

READ MORE

Kesi ya Kupinga Ushindi wa Kenyatta Yaanza Kusikilizwa Kenya

  Mahakama Kuu nchini Kenya imeanza kusikiliza kesi ya kupinga ushindi wa Rais wa Kenya,Uhuru Kenyata, iliyotakiwa kuanza kusikilizwa jana....

READ MORE

Kikwete, Mkapa Wakutana Sauzi

Marais wastaafu, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete wamekutana kwa mara ya kwanza katika jukwaa moja wakiwa nje ya nchi wakihudhuria...

READ MORE

Bilionea wa Samsung Afungwa Miaka 5 Jela

MAHAKAMA nchini Korea Kusini imemhukumu bilionea anayetarajiwa kurithi Kampuni Samsung, Lee Jae-yong kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa ya...

READ MORE

TRUMP JEURI, ATOA KAULI ‘NGUMU’ KUHUSU UJENZI WA UKUTA WA MEXICO

  Trump jeuri… RAIS Trump amewalaumu vikali wapinzani wa chama cha Democratic kuwa wanakwamisha ujenzi wa ukuta utakaotenganisha Marekani na...

READ MORE

Wahindi Wekundu; wanaotembea bila nguo, walaji wa nyani!

KATIKA mfululizo wa makala za safu hii, tuliwaeleza kuhusu watu weusi wa Papua New Guinea ambao licha ya kukaa bila...

READ MORE

KENYA: Odinga Auawa, Mwili Wake Watupwa Sokoni

JESHI la Polisi katika Kaunti ya Siaya linaendelea na upelelezi baada ya mwili wa mwalimu wa kike aliyetambulika kwa jina...

READ MORE

Watoto wa Lucky Vincent Waondoka Marekani Kuja Tanzania

  WATOTO watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent waliokuwa majeruhi wa ajali iliyotokea Karatu na kwenda kutibiwa nchini Marekani,...

READ MORE

Mamia Waliofariki kwa Maporomoko, Sierra Leone Wazikwa

  WIZARA ya Afya nchini Sierra Leone imesema takriban nusu ya maiti 400 zitokanazo na maporomoko ya udongo na mafuriko...

READ MORE

Nyaraka za Kughushi Zazidi Kuwasotesha Aveva na Kaburu Mahabusu (VIDEO)

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 16, 2017 imeahirisha kwa mara nyingine kesi ya kutakatisha fedha na kughushi nyaraka...

READ MORE

Rais wa Zambia Atangaza Kila Mwananchi ni Lazima Apimwe UKIMWI

Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ametangaza kwamba wananchi wote wanaofika katika vituo vya afya vya serikali wapimwe virusi vya Ukimwi...

READ MORE

Mke wa Mugabe Akamatwa na Polisi Afrika Kusini

  GRACE Mugabe, ambaye ni mke wa Rais Robert Mugabe aweza awe amewafanyia ubabe watu kadhaa nchini kwake lakini kitendo...

READ MORE

Msimamo wa Raila Odinga Kujulikana

  Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, leo anatarajiwa kuwaeleza wafuasi wake mwelekeo atakaochukua baada ya kutangaza kuwa hatambui ushindi...

READ MORE

Rais Uhuru Kenyatta Aruhusu Maandamano ya Wanaopinga Ushindi Wake

Rais Uhuru Kenyatta huenda akaingia katika vitabu vya kumbukumbu na historia kwa marais wa Afrika kwa kuamua kuruhusu maandamano ya...

READ MORE

Mke wa Mugabe Ampa Kipigo Binti

Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe anatuhumiwa kumpiga na kumsabababishia majeraha binti mmoja aliyemkuta na wanawe wawili wa kiume...

READ MORE

200 Wauawa Kwenye Maporomoko ya Ardhi, Sierra Leone

WATU 200 wameuawa na wengine ambao idadi yao haijafahamika hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya ardhi kuikumba Sierra Leone leo...

READ MORE