×

Kitaifa

Asakwa Tuhuma za Kumnyonga Mchumba’ke

PENZI la kifo! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kijana Yusuf Ally (25), mkazi wa Kijiji cha Msimbo Kata ya Msimbi wilayani...

READ MORE

Wenye Smart Phone Wapewa ‘Maujanja’ Kusoma Magazeti Mtandaoni

WAKATI Kampuni ya Global Publishers Ltd ikizidi kwenda kasi katika ulimwengu wa kidijitali  mtandaoni,  leo timu ya maofisa masoko wa...

READ MORE

JPM Aiomba China Mambo Matatu “Wanajua Hatuna Corona” – Video

Rais Dkt. John Magufuli leo Ijumaa, Januari 8, 2021, amempongeza Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi kwa...

READ MORE

Tanzania, China Zasaini Ujenzi SGR (Mwanza-Isaka)

  SERIKALI  ya Tanzania kupitia Shirika la Reli (TRC) na China zimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya kilomita...

READ MORE

Suala la Elimu Lamtesa Shigongo, Akutana na Wakuu wa Shule

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amekutana na wakuu wa shule za msingi na sekondari  na maafisa elimu...

READ MORE

14 Mbaroni kwa Kuiba Korosho za mil 160/=

POLISI  mkoani Mtwara inawashikilia watu 14 kwa tuhuma za kula njama, kuvunja ghala la korosho na kuiba gunia za korosho...

READ MORE

Rais Trump Arejeshewa Akaunti Yake ya Twitter

Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kuendelea kutuma ujumbe katika mtandao wa Twitter baada ya kufungiwa katika akaunti yake kwa...

READ MORE

Shigongo Aiomba Tamisemi Kuongeza Walimu Buchosa – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amekutana na Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Get Mweli pamoja na Mkurugenzi...

READ MORE

Rais Aapishwa Ghana Baada ya Ghasia Bungeni

NANA Akufo-Addo ameapishwa kuwa rais wa Ghana kwa muhula wa pili, siku moja baada ya ghasia kutokea bungeni. Askari waliagizwa...

READ MORE

China Yachangia Mil 358 Ujenzi Veta Chato – Video

CHINA itatoa ‘yen’ milioni moja  ambazo ni sawa na takriban sh. milioni 358 za Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa...

READ MORE

Polisi 4 Wafukuzwa Kazi Arusha – Video

  POLISI  mkoani Arusha imesema kuwa polisi William Joseph, aliyekutwa na gongo, viroba, misokoto 20 ya bangi na kujiunganishia umeme...

READ MORE

Una SmartPhone? Soma Hapa Uteleze Tuuu!

  Mapema leo timu ya Maofisa Masoko wa Kampuni ya Global Group wameingia katika viunga mbalimbali vya jiji la Dar...

READ MORE

Wananchi Wasema Viongozi Wamekopeshana Saruji ya Zahanati Buchosa – Video

WANANCHI wa Kijiji cha Kasheka, Kata ya Bangwe katika Jimbo la Buchosa, Wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza,  wamecharuka baada ya...

READ MORE

Tanzia: Mama Anna Bayi Afariki Dunia

MWENYEKITI wa zamani wa  Chama cha Netball Tanzania (CHANETA) na mke wa aliyekuwa nguli wa riadha Tanzania, Filbert Bayi, mama...

READ MORE

Arise B.V  Inamiliki 34.9% ya Hisa zilizokuwa za Rabobank katika Benki ya NMB  

Arise B.V inayo furaha kuwatangazia wadau wake wote kuwa inamiliki 34.9% ya hisa za Benki ya NMB ambayo imeorodheshwa katika...

READ MORE

Serikali Yatangaza Awamu ya Pili Ya Ajira 5000 za Walimu

Serikali imetangaza Awamu ya Pili ya ajira kwa Walimu 5,000 ili kufikia idadi ya Walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa...

READ MORE

Waziri Awasimamisha Kazi Vigogo Wawili wa Ruwasa

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasimamisha kazi, Meneja wa Wakala wa Huduma za Maji Mjini na Vijijini Mkoa wa Mara...

READ MORE

Wananchi Wafichua Manyanyaso ya Watumishi Kituo cha Afya Mwangika – Video

WANANCHI wa Kijiji cha Mwangika, Kata ya Bangwe, Jimbo la Buchosa, Mwanza, wamewalalamikia watumishi wa Kituo cha Afya Mwangika kwa...

READ MORE

Polisi Anaswa Kujiunganishia Umeme, Akutwa na Viroba…

  MKUU wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi, amemkamata polisi ambaye alikuwa akiiba umeme wa TANESCO ambao alijiunganishia kinyume na...

READ MORE

Shigongo Amwambia Jafo: Barabara Hazipitiki, TARURA Hawana Fedha

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amefunguka mbele ya Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...

READ MORE

Kina Mama Mwangika Walia na Ndoa Zao Kisa Maji – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Mwangika, Kata ya Bangwe, ambapo...

READ MORE

Kivuko Kipya Buchosa Kuanza Kujengwa Januari Hii – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amekutana na Mkurugenzi wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA), Eng. Abdu Diganga, ambapo wamefanya...

READ MORE

Kaze Akataa Bonge la Beki Yanga SC, Ataja Sababu

  UONGOZI wa Yanga umesitisha mipango ya kumsajili beki na nahodha wa Biashara United, Abdulmajid Mangaro aliyekuwemo kwenye mipango ya...

READ MORE

Hatimaye Vitambulisho vya NIDA Vyapata Mwarobaini

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema vitambulisho kutolewa kwa uchache kulitokana na mchakato wa manunuzi ndani ya serikali...

READ MORE

Kikwete Aomboleza Msiba wa Mtoto wa Nyerere

MBUNGE wa jimbo la Chalinze mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete, amefika nyumbani kwa familia ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius...

READ MORE

Tito Magoti na Theodory Waachiwa Huru

  OFISA wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti na mwenzake Theodory Giyan, leo wameachiwa huru...

READ MORE

Gigy Money Awaponza Wasafi, TCRA Yawafungia Miezi 6 – Video

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeifungia Televisheni ya Wasafi TV kutoa huduma kwa muda wa miezi sita kuanzia Januari 6,...

READ MORE

Mkurugenzi Aswekwa Ndani kwa Amri ya RC Mongela

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella ameamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Sengerema, Boniface Magesa, na afisa ardhi...

READ MORE

Waziri Jafo Aipa Tano Buchosa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo, ameipongeza Halmashauri ya...

READ MORE

Mbowe: Khenani Kuapa Amekaidi Msimamo wa Chama

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa mbunge pekee wa jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida...

READ MORE

Baba Amvunja Uti wa Mgongo Mwanaye Kisa Kuzurura

POLISI  mkoani Kagera, inamshikilia Amos Rudovick (39) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wake Dastan Amos (13), kwa kumchapa...

READ MORE

Shigongo Atua Maisome: Msiogope, Ni Pesa Zenu – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ameendelea na ziara katika maeneo tofauti ndani ya jimbo lake akitatua kero na kuwaelimisha...

READ MORE

IGP Akanusha Uzushi wa Traffic Kukusanya Mapato

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa si kweli kwamba Askari wa Usalama Barabarani, wanatoza faini...

READ MORE

 Straika Simba akubali kutua Coastal

MSHAMBULIAJI wa Simba, Charles Ilanfya, amesema kuwa hana pingamizi lolote iwapo uongozi wa klabu hiyo utaamua kumpeleka kwenye kikosi cha...

READ MORE

Mtoto wa Nyerere Kuzikwa Kesho Pugu

  MWILI wa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Julius Nyerere, Rosemary Nyerere utazikwa kesho Jumatano, Januari 6, 2020 katika...

READ MORE

Jumla ya Mil 20 Zatolewa Promosheni ya NMB MastaBATA

    BENKI ya NMB, tayari imeshatumia jumla ya shilingi milioni 20 kwaajili ya washindi 200 wa droo za wiki...

READ MORE

Wanaswa Wakifuga ‘Kijiji’ cha Wenye Ulemavu na Kujitajirisha – Video

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Ummy Ndeliananga, ameendelea na msako wa kuwatafuta vigogo wanaotumia watu wenye ulemavu kama biashara...

READ MORE

Majeruhi Ajali ya Treni Waruhusiwa Kutoka Hospitali

MAJERUHI  54 wa ajali ya treni iliyotokea Dodoma waliokuwa wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa huo, wameruhusiwa kutoka hospitali...

READ MORE

Ajifungua Kanisani Baada ya Kumuomba Mungu Mtoto wa Kike

MKAZI wa mtaa wa Kilimahewa kata ya Bulangwa wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita, Justina Lukilisha amejifungua mtoto nje ya...

READ MORE