×

Kitaifa

Mtendaji Aliyempiga Mwananchi Asimamishwa Kazi

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Hudson Kamoga, amemsimamisha kazi Ofisa Mtendaji wa kijiji cha Haydom, Adela...

READ MORE

Anusurika Kifo kwa Kuchomwa Kisu Tumboni Kisa ‘Buku’!

MWITA Buruna (30), mkazi wa kijiji cha Rung’abure Wilaya ya Serengeti mkoani Mara amelazwa hospitalini baada ya kuchomwa kisu tumboni...

READ MORE

Tanzia: Naibu Kamishna Magereza Afariki Dunia

NAIBU  Kamishna wa Magereza, Julius Sang’udi, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma leo Jumatano, Januari 20, 2021....

READ MORE

Mkuu wa Shule Atokomea na Michango ya Mitihani ya Form 4 & 2

Serikali mkoani Geita imeuagiza uongozi wa shule ya sekondari ya Geita Islamic, ifikapo leo asubuhi iwasilishe stakabadhi za malipo ya...

READ MORE

Saa Chache Kabla ya Kuapishwa, Biden Amwaga Machozi Kaburini

RAIS mteule, Joe Biden, alielekea Washington katika mkesha wa sherehe ya kuapishwa kwake, wakati mtangulizi wake Donald Trump ambaye atasusia...

READ MORE

Rais JPM Aitaka Wizara ya Madini Kutochelewesha Mradi wa Nikeli

RAIS Dkt John Magufuli amesema hatua ya kusainiwa kwa mradi wa uzalishaji madini ya Nikeli kati ya Serikali na kampuni...

READ MORE

TPA Yasikiliza Kilio cha Shigongo na Wananchi wa Buchosa – Video

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Eng. Deusdedit Kakoko, kuna watumishi wachache wa bandari bado hawajabadilika ambapo wapo baadhi yao...

READ MORE

Kesi ya Mdee, bulaya na Wenzao 27 Mahakamani – Video

UPANDE wa Mashtaka katika kesi inayowakabili wabunge wa viti maalum akiwemo, Halima Mdee na Ester Bulaya na wafuasi 27 wa...

READ MORE

Wanaodaiwa Kuiba Dawa Ukerewe Watumbuliwa

WATUMISHI watano wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa vyombo vya maadili ya utumishi wa...

READ MORE

Taifa Stars Kuwavaa Zambia Leo CHAN

KUELEKEA kwenye mchezo huo, kocha wa Taifa Stars, Mrundi Etienne Ndayiragije amesema “maandalizi yameenda vizuri, wachezaji wapo sawa. Kuhusu korona...

READ MORE

Mvua Yasababisha Maafa Songea

Mvua mkubwa iliyoambatana na upepo imesababisha maafa ya kuezuliwa paa katika madarasa matano, ofisi mbili na stoo moja kwenye shule...

READ MORE

Alichokisema Diamond Kuhudu Sakata la Baba Yake – Video

KWA mara ya kwanza wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ametoa kauli baada ya mama yake mzazi, Bi Sandrah kusema kuwa...

READ MORE

Mafunzo ya JKT 2020/2021 Yasitishwa

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesitisha kwa muda mafunzo ya kujitolea ya JKT kwa mwaka 2020/2021 yaliyokuwa yaanze hivi karibuni...

READ MORE

Spika Ndugai Aanika Kamati za Bunge

Spika wa Bunge, Job Ndugai juana Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17. Taarifa...

READ MORE

Waliotumuliwa Chadema Wapewa Rungu Kamati za Bunge

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, jana Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17, huku...

READ MORE

Atokwa Utumbo Njia ya Haja Kubwa Akidaiwa Kumuibia Mama Lishe

KUFUATIA kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha kijana mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi akiwa amechuchumaa huku utumbo...

READ MORE

Babu Miaka 80 Afia Gesti na Kibinti – Video

MWANAMME aliyejulikana kwa jina la David Makerege Mluli (80) amekutwa amefariki dunia ndani ya Hoteli ya Mbezi Garden iliyopo Mbezi...

READ MORE

Marekani! Taharuki ya Mlipuko Eneo la Uapisho wa Joe Biden, Zoezi Laahirishwa

MAZOEZI ya kuapishwa (rehearsal) kwa Rais wa Marekani, Joe Biden na makamu wake, Harris Kamala yameahirishwa leo Jumatatu, Januari 18,...

READ MORE

RC Kunenge Atembelea Shule Iliyotajwa na JPM, Wanafunzi Wanakaa Chini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge ametembelea Shule ya Msingi King’ongo iliyopo Manisapaa ya Ubungo kujionea uhalisia...

READ MORE

Kitimoto Yapigwa Marufuku Kahama

MKUU wa Wilaya ya Kahama Annamringi Macha amepiga marufuku biashara ya nyama ya nguruwe na usafirishaji wa nguruwe wenyewe baada...

READ MORE

Makaburi Yagundulika Katika Eneo la Kale

Wanaikolojia wametoa taarifa zaidi juu ya umuhimu wa eneo la makaburi lililogulika la Saqqara, katika eneo la kale la Misri,...

READ MORE

Mpinzani wa Rais Putin Mbaroni Baada ya Kutua Moscow

Kiongozi wa upinzani Urusi, Alexei Navalny alikamatwa jana katika uwanja wa ndege wa Moscow wakati akijaribu kuingia nchini humo akitokea...

READ MORE

Inatisha! Kijana Awaua Baba, Dada… Naye Auawa

MCHUNGAJI wa kanisa wilayani Nyamagana, jijini Mwanza na binti yake wameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu na mtoto wake wa kiume...

READ MORE

Chatu Awa Tishio Mabwepande, Wananchi Waiangukia Serikali

Wananchi wa eneo la Kitunda Mtaa wa Bunju B, Kata ya Mabwepande, Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kuwasaidia...

READ MORE

JPM Afungua Shule ya Ihungo, Aonya Wanafunzi Kuendelea Kukaa Chini Dar – Video

RAIS John Magufuli, akiwa katika ziara mkoani Kagera, leo Januari, 2021, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha...

READ MORE

Wenyeviti Kamati 14 za Bunge Kujulikana Leo Dodoma

UCHAGUZI wa Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge 14 utafanyika leo, baada ya vikao vya kamati...

READ MORE

Kuchimba Dawa! Madereva wa Mabasi, Wenye Hoteli Kitanzini

  “UKIFIKA hotelini, kama huna fedha, utaishia kununua maandazi.” Joackim Mwakalobo, mkazi wa Mbalizi mkoani Mbeya, analalamika kuhusu gharama kubwa...

READ MORE

Amuua Babu Yake Baada ya Kumuona Anateseka na Maradhi

Saidi Kihundwa (98), Mkazi wa Kijiji cha Mlangoni katika Kata ya Gararagua, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuuawa kikatili...

READ MORE

Sangoma Asakwa Kusababisha Kifo cha Mwanaye Akimsafisha Nyota

POLISI  Mkoa wa Shinyanga inamsaka mganga wa jadi, Dela Megejuwa Lwaho (44), kwa kusababisha kifo cha mtoto wake, Juma Dela...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Kubaka, Kumpa Ujauzito Binti Yake!

KIJANA mmoja mkazi wa kijiji cha Igunila kata ya Ziba wilayani Igunga mkoani Tabora, Sharif Idd Maganga (28) amekamatwa na...

READ MORE

Simbachawene: Nitawafagia Askari Hawa!

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema askari watakaoshindwa kuwabaini wahamiaji haramu hususani maeneo ya mipakani wanapoingilia...

READ MORE

Kisa Wafuasi wa Trump! Usalama Waimarishwa Bunge la Marekani

WAANDAMAJI nchini Marekani wamekusanyika nje ya majengo ya serikali kuunga mkono madai yasiyo ya msingi ya rais Donald Trump ya...

READ MORE

Wanachuo 13 Mbaroni kwa Udanganyifu Mtihani wa ‘Sup’

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 13 wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo...

READ MORE

Basi la Saratoga Lagongana na Hiace

AJALI  imetokea majira ya saa 11 alfajiri ya leo Jumamosi, Januari 16, 2021, baada ya basi la abiria, mali ya...

READ MORE

Wasichana, Wavulana 10 Bora Matokeo Kidato cha Nne 2020

LEO Januari 15, 2021,  ni siku ambayo watahiniwa waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2020, wanavuna walichopanda baada ya ...

READ MORE

Dar, Bagamoyo Vinara Matokeo Kidato cha Nne 2020

HALMASHAURI ya Wilaya ya Bagamoyo iliyopo Mkoa wa Pwani imeshika nafasi ya kwanza kati ya Halmashauri 10 zilizofanya vizuri katika...

READ MORE

Huyu Nd’o Kinara Matokeo Kidato cha Nne 2020

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) limemtangaza Paul Cosmas Luziga kama mwanafunzi bora wa mwaka 2020 katika matokeo ya kidato...

READ MORE

Shule 10 Bora Kidato cha Nne 2020, Matokeo Haya Hapa!

  BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato nne mwaka 2020 na kuzitaja shule 10...

READ MORE

Wanafunzi 10 Bora Kitaifa Matokeo ya Kidato cha Nne 2020

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne huku wavulana wakiongoza katika orodha ya wanafunzi 10 bora....

READ MORE