×

Kitaifa

Washtakiwa 243 Wakiri Makosa, Walipa Fidia, Faini Bil 35.07

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kiasi cha shilingi bilioni 35.07 kimepatikana baada ya washtakiwa mbalimbali kukiri...

READ MORE

Mbunge Amtaka Prof. Kabudi Akalale Magereza

Mbunge wa Mlimba kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Godwin Kunambi, amemuomba Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, endapo...

READ MORE

Aweso: Hatutaki Bili Kichefuchefu Kuumiza Wananchi

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amezitaka Mamlaka za Maji kote nchini kuacha mara moja kuwapa malengo ya makusanyo yasiyo na...

READ MORE

Ummy Amtaja Shigella Kuwa RC Bora, Awataka Wengine Wajitafakari

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amemtaja Martine Shigella, Mkuu...

READ MORE

Rais Samia na Viongozi CCM Wakutana Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,...

READ MORE

Wachoma Mishkaki ya Mbwa Wanaswa Msamvu

Mbwa ni mnyama ambaye amekuwa akitumiwa na binadamu kwa muda mrefu kwa ajili ya ulinzi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo majumbani....

READ MORE

Naibu Waziri Gekul Atoa Maagizo BAKITA

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa kuongeza kasi ya...

READ MORE

Serikali Yasitisha Matumizi ya Vitamin C Kutibu COVID-19

WIZARA ya afya nchini Uganda imesitisha matumizi ya vitamin C katika kutibu virusi vya Covid-19 kutokana na matumizi mabaya ya...

READ MORE

Mawaziri Wakutana Kujadili Michezo ya Kubahatisha

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa na katibu mkuu wa wizara hiyo, Dk Hassan Abbas wamefanya mazungumzo...

READ MORE

Serikali Yaandaa Muswada wa Uvunaji, Upandikizaji Figo za Binadamu

SERIKALI imesema kuwa hadi Aprili 2021 hospitali ya Benjamin Mkapa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zimeshapandikiza figo kwa watu...

READ MORE

Rais Asitisha Mpango Wake Kuongeza Muda Madarakani

Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Farmajo, ameachana na mpango wake wa kuongeza muda wa kukaa madarakani kwa miaka miwili zaidi...

READ MORE

Shigongo: Mh. Spika Umewaletea Wagogo Heshima

MBUNGE wa jimbo la Buchosa mkoani Mwanza, Eric Shigongo, amempongeza kwa nafasi aliyonayo Spika wa Bunge Job Ndugai, kwa kuleta...

READ MORE

Wawili Wafikishwa Kortini kwa Tuhuma za Mauaji

Watu wawili wakazi wa Msakuzi Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kinondoni wakikabiliwa...

READ MORE

Hali ya Mzee King Kikii Bado ni Tete “Nisaidieni” – Video

GLOBAL TV imemtembelea msanii Mkongwe wa muziki wa dansi nchini aliyetamba zaidi na kibao chake cha ‘KITAMBAA CHEUPE’, Mzee King...

READ MORE

Hayati Magufuli Atimiza 40, Afanyiwa Ibada – Video

Misa maalum ya kumuombea Hayati Dk. John Pombe Magufuli, imefanyika leo katika Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es...

READ MORE

Miili ya Watu Wawili na Kichwa Kimoja Vyakutwa Hifadhi ya Ruaha

Miili ya watu wawili na kichwa cha mtu mmoja vimekutwa kwenye eneo la Hifadhi ya Taifa ya Ruaha Wilayani Mbarali...

READ MORE

Tume ya Madini Yafanya Makubwa

Tume ya Madini imefikia lengo kukusanya maduhuli kwa zaidi ya asilimia 100. Katika 2018/19 ilikusanya maduhuli ya sh bilioni 346.78...

READ MORE

Baadhi ya Hoteli za Ngurdoto Kupigwa Mnada Kulipa Madeni

MAHAKAMA kuu kanda ya Arusha masjala ndogo ya kazi imeamuru baadhi ya mali za Hotel ya Kitalii ya Ngurdoto Mountain...

READ MORE

Gekul Atawaka Wasanii Kutotumia Mitandao kwa Mambo Binafsi

NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul amewataka Wasanii nchini kuitumia vizuri mitandao ya kijamii kwa kutangaza...

READ MORE

Waziri Kalemani Avunja Bodi ya Manunuzi TANESCO

Serikali imeagiza kuvunjwa kwa bodi ya manunuzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kutokana na kutoridhishwa na utendaji kazi wake....

READ MORE

Waziri Aweso Atoa Maagizo Mazito Sengerema

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amewataka mameneja wa Mamlaka za Maji nchini kuwaeleza Mameneja Masoko wenu wasiwape wasoma mita malengo...

READ MORE

Rais Samia Asamahe Wafungwa 5,001

Katika kuadhimisha miaka 57 ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,001 waliokuwa...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Pesa za Muungano Zigawanywe Bara na Zanzibar

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za Maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano zigawanywe...

READ MORE

Baba Matatani kwa Kuwachoma kwa Makalio Watoto Wake

  Mkazi wa Kata ya Marangu Mashariki wilayani Moshi, Baltazari Mtui anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaunguza makalio kwa...

READ MORE

NMB Yazindua Kampeni ya ‘NMB Mastaboda- Miliki Chombo’

BENKI ya NMB imezindua Kampeni ya NMB MastaBoda ‘Miliki Chombo,’ inayotoa mikopo ya pikipiki za miguu miwili na mitatu kwa...

READ MORE

Fahamu Historia ya Sanamu ya Askari, Dar

Sanamu ya Askari au Askari Monument ni sanamu iliyopo kwenye kitovu cha jiji la Dar es salaam kwenye mahali ambapo...

READ MORE

Breaking: Waziri Ummy Amsimamisha Kazi Mwakabibi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi...

READ MORE

Championi Lamwaga Fedha kwa Wasomaji Wake

  TIMU ya masoko ya Kampuni ya Global Publishers, leo Jumamosi, Aprili, 24 2021, ilimwaga fedha kwa wasomaji wao waliokutwa...

READ MORE

Mzee wa Kupapasa Wanawake Yamkuta

  Jamaa mmoja mtaani Pipeline, Nairobi nchini Kenya anajuta kuumizwa sehemu zake za siri na kisura aliyejaribu kumdhulumu (kumshikashika bila...

READ MORE

Ajichoma Kisu Mara 12 Baada ya Kumuua Mpenzi Wake

Kijana mwenye umri wa miaka 25 anaaminika alijaribu kujitoa uhai kwa kujidunga kisu baada ya kuripotiwa kumuua mpenzi wake huko...

READ MORE

Ajira Mpya 6,000 Walimu Waanza Kutapeliwa

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amesema amepata taarifa kuwa...

READ MORE

Mama Ataka Uchunguzi Kifo cha Mwanaye

KABURI la mtoto Abdul Bakari (9) lililofukuliwa eneo la Kaloleni wilayani Kiteto mkoani Manyara chini ya ulizi mkali wa jeshi...

READ MORE

Kimeumana! Mbunge Chadema ‘Tumefukuzwa’ Naibu Spika ‘Futa Kauli’

Mbunge Kishoa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye...

READ MORE

Gwajima: Wengi Wapo Mahabusu Wamebambikiziwa Kesi za Uhujumu Uchumi

  Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mchungaji Dkt. Josephat Gwajima, amesema, kuna idadi kubwa ya watu wako mahabusu kutokana na...

READ MORE

Wananchi Watahadharishwa Kimbunga Jobo – Video

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi wote hususan wa kanda ya pwani ya Mkoa wa...

READ MORE

Shirika la Posta Tanzania Sasa Kidigitali Zaidi

  SHIRIKA la Posta Tanzania limejidhatiti kuboresha huduma zake kidigitali kuendana na mabadiliko makubwa ya teknolojia kote duniani ili kurahisisha...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Taasisi za Serikali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wa taasisi mbalimbali kama ifuatavyo;...

READ MORE

Tahadhari: Kimbunga Jobo Kupiga Tanzania

KIMBUNGA hafifu kimeyapiga maeneo ya mwambao wa bahari ya Hindi nchini Tanzania jana kufuatia kujitokeza kwa mgandamizo wa hewa katika...

READ MORE

Samia: Hatutavumilia Uvivu, Uzembe, Wizi na Ubadhilifu – Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema jitihada zaidi zinahitajika kukuza uchumi na kupambana na umasikini kwa sababu licha ya...

READ MORE