×

Kitaifa

Breaking: CCM Yaibuka Kidedea Arusha Mjini – Video

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kata 24 kati ya 25 za udiwani...

READ MORE

Mgombea Ubunge, Makamba Akamatwa na Polisi

POLISI mkoani Shinyanga wanamshikilia mgombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA), Salome Makamba, kwa tuhuma za kufanya...

READ MORE

Breaking: CCM Yashinda Ubunge Moshi Mjini kwa Mara ya Kwanza Tangu 1995

Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Moshi Mjini, amemtangaza Priscus Tarimo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa Jimbo la...

READ MORE

Dkt. Tulia Ambwaga Sugu Mbeya Mjini – Video

  MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Tulia Ackson ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya ubunge...

READ MORE

Mbowe Ashindwa Ubunge Hai, Mafuwe Kidedea

Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Saashisha Mafuwe, ameibuka mshindi katika Jimbo la Hai katika uchaguzi uliofanyika jana Jumatano,...

READ MORE

Barrick: Kampuni ya Twiga ni ‘Ushirikiano wa Ushindi

  MTENDAJI Mkuu wa kampuni ya Barrick Gold, Mark Bristow, ushirikiano uliopo katika kampuni ya Twiga Minerals Corporation baina yake...

READ MORE

NEC Yakanusha Kura Feki Kukamatwa Kawe, Pangani na Kigoma _ Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha uzushi unaoenea mitandaoni ukisambazwa na baadhi ya watu wakidai uwepo wa kura feki...

READ MORE

Polisi Yamkamata Halima Mdee

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni asubuhi ya leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 walimkata Mgombea Ubunge wa Kawe,...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali Apiga Kura Kilimani Dodoma

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,...

READ MORE

Majaliwa Apiga Kura Nandagala Ruangwa – Video

WAZIRI Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa,  amepiga...

READ MORE

NEC Kuanza Kupokea Matokeo ya Urais Leo Usiku

MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera, amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020, tume...

READ MORE

‘Anayesema Atamwaga Damu, Nataka Lita 7 za Damu Yake’ – Video

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametoa onyo kwamba yeyote ambaye anasema atamwaga damu mkoani humo, yeye anataka lita...

READ MORE

RC Dar “Wananchi Nendeni Mkapige Kura, Mkoa Upo Shwari”

  Katika jiji la Dar es Salaam nako Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge mapema leo amepiga...

READ MORE

Magufuli, Mkewe Wapiga Kura Chamwino -(Picha +Video)

ZOEZI la kupiga kura linaendelea katika maeneo mbalimbali nchi nzima, ambapo watu wengi wamejitokeza katika vituo vya kupigia kura tangu...

READ MORE

Dkt. Mwinyi Apiga Kura Zanzibar

MGOMBEA urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi,  amepiga kura Mjini Unguja ambapo ametoa rai...

READ MORE

Maalim Seif Apiga Kura Zanzibar

MGOMBEA urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif,  amefika katika kituo cha Garagara, Jimbo la Mwera,  na kupiga...

READ MORE

Shigongo Apiga Kura Buchosa – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, tayari ameshatia wino baada ya...

READ MORE

Polisi Zanzibar Wataja Sababu za Kutumia Mabomu ya Machozi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana...

READ MORE

Mastaa Wagombea Ubunge Matumbo joto

WAKATI zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu Oktoba 28 mwaka huu, imeelezwa kuwa mastaa waliojitosa kuwania...

READ MORE

Polisi Yakanusha Madai ya Mauaji Pemba – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa kwamba polisi imewapiga risasi na...

READ MORE

Watumiaji wa Mtandao Wamtabiria Ushindi Magufuli

  HUKU ikiwa imesalia siku moja Watanzania kupiga kura za kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani, baadhi ya Watanzania wanaotumia mtandao...

READ MORE

Asubuhi Hii! Kura Zaanza Kupigwa Zanzibar – Video

Zoezi la upigaji kura ya mapema huko Zanzibar limeanza saa moja asubuhi. Kwa hii leo wanaopiga kura ni wa chache...

READ MORE

Faida ya Benki ya NMB Yapanda kwa Asilimia 76 kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka 2020

Benki ya NMB imepata ongezeko la asilimia 76 la faida kabla ya kodi kwa kipindi kilichoishia Septemba 30, 2020. Kwa...

READ MORE

Simiyu: Minada Yasitishwa Kupisha Uchaguzi

MKUU wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, amesitisha minada na magulio yote mkoani humo siku ya uchaguzi mkuu ya Oktoba...

READ MORE

JPM Awaambia Wapiga Kura: Hamchagui Malaika – Video

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Dkt. John Magufuli, amesema kuwa anatamani taifa la Tanzania liendelee kuheshimika zaidi duniani...

READ MORE

JPM Kuendelea Kujenga Makanisa Chamwino – Video

RAIS Dkt John Magufuli, leo Oktoba 26, amezindua msikiti uliopo Chamwino mkoani Dodoma, ambapo tukio hilo limeshuhudiwa na Mufti mkuu...

READ MORE

Kamanda Muslim Aanika Chanzo cha Ajali ya Ngara

  Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim, leo Oktoba 26, 2020 amesema uchunguzi wa jeshi hilo umebaini...

READ MORE

Conde Atangazwa Mshindi Katika Uchaguzi Mkuu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Guinea, jana Oktoba 25, 2020 imemtangaza Rais Alpha Conde kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Live: Mwili wa Elisha Elia Watolewa Muhimbili Kwenda Kuagwa

MWILI wa mtangazaji Elisha Elia, umetolewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, na kufikishwa nyumbani kwao Tabata Segerea kwa ajili ya...

READ MORE

Mbowe: Lissu Atakuwa Rais, Mimi Waziri Mkuu

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda...

READ MORE

Membe Arejeshwa CCM, Dkt. Bashiru Afunguka!

DAR: Wakati ikiwa imesalia siku moja kabla ya Watanzania kufikia kilele cha Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, mwaka huu, Mgombea Urais...

READ MORE

NEC Yakanusha Madai ya Vituo na Wapigakura Hewa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wanasiasa na wagombea wanaodai kuwepo kwa vituo na wapigakura hewa kupeleka ushahidi na...

READ MORE

Membe Akiri Kuandika Barua Kujitoa Kugombea Urais

MGOMBEA wa Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe, ametoa sababu ya kuandika barua iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikieleza kuhusu...

READ MORE

Tanzia: Mtangazaji wa TBC, Elisha Elia Afariki Dunia

Mtangazaji wa Shirika la Habari Tanzania (TBC), ELISHA ELIA MWAKAGALI amefariki Dunia hii leo Jumamosi, Oktoba 24, 2020 katika Hospitali...

READ MORE

Watumishi wa Afya, Wadau Wakutana Karimjee

  Watumishi wa Idara ya Afya na wadau mbalimbali wa Afya jioni hii wamekutana na kupongezana kwa kazi kubwa wanayoendelea...

READ MORE

Breaking: Watu 13 Wafariki kwa Ajali, Ngara – Video

WATU  13 wamefariki dunia na wengine 11 wamejeruhiwa mkoani Kagera kufuatia ajali ya basi la Emirates ambalo hufanya safari zake...

READ MORE

Beyonce na Kauli Yake Iliyozua Jambo Sakata la Nigeria

RIHANNA, Kanye West na Nicki Minaj ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao wamejitokeza kuunga mkono maandamano dhidi ya ukatili wa...

READ MORE

Meneja Kampeni Mgombea Ubunge Afariki, Chanzo Hiki Hapa…

POLISI mkoani Mwanza wanachunguza chanzo cha kifo cha Deogratias Medard (42) mkazi wa Sengerema aliyefariki dunia muda mfupi baada ya...

READ MORE

Shigongo Na Mgombea wa Chadema Wakutana – Video

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo...

READ MORE

Kafulila: Chadema Kuweka Rehani Madini ya Nchi ni Ufisadi – Video

KARIBU katika ‘KIPINDI MAALUM’ kutoka Global Radio, ambapo mwanasiasa Mkongwe, David Kafulila, anazungumzia masuala mbalimbalu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka...

READ MORE