×

Kitaifa

NMB Yatangaza Neema kwa Wachimbaji Wadogo

    Benki ya NMB imetenga shilingi bilioni 32 kwa ajili ya mikopo kwa wachimbaji wadogo nchini. Akizungumza jijini Mwanza...

READ MORE

Tanzia: Mwanasiasa Mkongwe Moyo Afariki Dunia

HASSAN NASSOR MOYO ambaye ni mwanasiasa mkongwe na muasisi wa Mapinduzi Zanzibar amefariki usiku wa kuamkia leo, Agosti 18, 2020,...

READ MORE

Majaliwa: Tanzania ya Kwanza Afrika kwa Kusambaza Umeme Vijijini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia...

READ MORE

CHADEMA Yaaanika Warithi wa Mnyika, Lijualikali

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaja awamu ya tatu ya majina ya wabunge wake watakaogombea katika uchaguzi mkuu ujao,...

READ MORE

Dkt.Bashiru Awataka Watia nia Ubunge CCM Kubaki Majimboni Kusubiri Uteuzi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Bashiru  amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo...

READ MORE

Uchaguzi Mkuu: Dkt. Bashiru Azindua Kituo cha Mawasiliano CCM

  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally Kakurwa leo Agosti 17, 2020 amezindua kituo cha mawasiliano kuhusu...

READ MORE

Samia Aikabidhi Global Publishers Tuzo ya CRDB

MAKAMU wa Rais,  Samia Suluhu,  ameikabidhi Kampuni ya Global Publishers Tuzo kutoka Benki ya CRDB jana Agosti 16, 2020, ikiwa...

READ MORE

Mweka Hazina wa Harusi Atokomea na Michango

  AMA Kweli! Ukistaajabu ya Musa uyataona ya Firauni. Katika hali isiyotarajiwa, wageni waalikwa zaidi ya 150 katika sherehe ya...

READ MORE

Moro: Lori Laangukia Coaster, Watu Kadhaa Wahofiwa Kufa

WATU kadhaa wanahofiwa kufariki dunia kwa kubanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi dogo la abiria (coaster) katika...

READ MORE

Rais Magufuli Akabidhi Uenyekiti wa SADC Msumbiji – Video

Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. John Pombe Magufuli, leo Jumatatu, Agosti...

READ MORE

Naibu Waziri Waitara Azindua Maadhimisho Ya Juma la Elimu

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mh. Mwita Waitara ameupongeza Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) kwa jitihada inazozifanya pamoja...

READ MORE

Safari ya Kwanza ya MV New Victoria, Acha Kabisa!

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jeneral Marco Gaguti, ameongoza wakazi wa manispaa ya Bukoba na viunga vyake katika mapokezi...

READ MORE

Simbachawene Aagiza Polisi Kuwadhibiti Wanasiasa Watakaoleta Vurugu Uchaguzi

   WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amevionya vyama vya siasa nchini ambavyo vina wagombea katika ngazi...

READ MORE

Takukuru Yamnasa Mfanyabiashara Tuhuma za Kukwepa Kodi Bil 6.3

TAKUKURU inamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya White Star Investment Taalib Karim Mbowe, inayofanya biashara ya usafirishaji ndani...

READ MORE

Mr. Kuku Kufikishwa Kortini, A-Z Sakata Zima Kumbe Liko Hivi!

NI vilio tupu, ndivyo vimetawala miongoni mwa Watanzania waliowekeza katika Kampuni ya Mr Kuku Farmers Ltd ambayo inamiliki mradi wa...

READ MORE

Mume Amkata na Shoka Mkewe kwa Tuhuma za Kutoa Mimba

POLISI mkoani Rukwa wanamtafuta kijana mkazi wa mtaa wa Kanisa Katoliki Manispaa ya Sumbawanga, Joseph Kalolo ‘Mwamba’ (35) kwa tuhuma...

READ MORE

Aliyetoka kwa Msamaha wa Rais, Anaswa Wizi wa Ng’ombe

JESHI la polisi wilaya ya Igunga mkoani Tabora kwa kushirikiana na wananchi, wamemkamata Hamisi Juma (29) anayedaiwa kuwa mwizi sugu...

READ MORE

Mgombea Asiyekuwa na ‘Jinsia Yoyote’ Afunguka Mazito – Video

Dar: Baby John (26) mkazi wa Kivule-Msongola wilayani Ilala jijini Dar es Salaam ambaye hivi karibuni aligombea uteuzi wa nafasi...

READ MORE

Wakulima Acheni Kuanika Mahindi Chini Kuepusha Sumukuvu: Mgumba

    Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba amewashauri wakulima wa mazao ya mahindi nchini kuacha kuanika mazao yao chini...

READ MORE

Tanzia: Mtangazaji Wasafi TV ‘Kungwi’ Afariki Dunia

MTANGAZAJI wa Wasafi TV, Fatma Abdallah maarufu kwa jina la Kungwi Mkata Shombo amefariki dunia leo Jumamosi, Agosti 15, 2020....

READ MORE

Halima Mdee Kuanza Kujitetea Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Septemba 7, 2020, itasikiliza utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili aliyekuwa Mbunge...

READ MORE

Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Mauaji

WATU wawili wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia  ya mauaji ya mtu mmoja katika eneo la Kitendaguro...

READ MORE

Dawa ya Madagascar Yashindwa Kudhibiti Corona

HOSPITALI nchini Madagascar zimekuwa zikikabiliana na ongezeko la maambukizi ya Covid-19, huku rais akiendelea kunadi dawa ya mitishamba anayodai ina...

READ MORE

Polisi Yabaini Haya Ofisi za Chadema Zilizoteketea

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa moto uliounguza Ofisi za CHADEMA, Kanda ya Kaskazini usiku wa kuamkia leo,...

READ MORE

Polisi Yafafanua Kisa cha Mbunge Sugu Kukamatwa

MGOMBEA wa Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu pamoja na wanachama 15 wa chama...

READ MORE

Mahakama Yamwamuru Lissu Kufika Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwamuru kufika mahakamani mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, wanaokabiliwa...

READ MORE

Dodoma: Takukuru Yawafikisha Kizimbani Watatu Akiwemo Diwani

TAKUKURU inawatuhumu aliyekuwa Diwani wa Ntyuka, Theobald Maina; aliyekuwa Mtendaji wa Ntyuka, Benedict Mazengo na aliyekuwa Mwenyekiti Mtaa wa Chimala,...

READ MORE

Mbaroni Akidaiwa Kumuua Shemeji Yake

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro, linamshikilia Shinje Njilangila (30), mkazi wa Kijiji cha Mbamba, wilayani Kilosa kwa tuhuma za...

READ MORE

JPM Afanya Mabadiliko Wakuu wa Wilaya Wawili

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa Wakuu wa Wilaya wawili, ambapo amemhamisha Mkuu wa Wilaya Rorya,...

READ MORE

Mamia Wajitokeza Kuilaki Treni Baada ya Kuikosa kwa Miaka 34

MAMIA ya wananchi jijini Arusha wamejitokeza kwa wingi kwenye hafla ya mapokezi ya Treni ya mizigo ya majaribio iliyowasili ikitokea...

READ MORE

Tanzania Yajivunia Mafanikio Wakati Wa Uenyekiti Wa SADC

Tanzania imejivunia mafanikio yaliyopatikana wakati ikiwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), chini ya uongozi wa Rais...

READ MORE

Mhadhiri UDOM Aliyedaiwa Kuomba Rushwa ya Ngono Afunguliwa Shtaka

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma...

READ MORE

Majaliwa Akagua Ujenzi wa Kivuko cha Mafia, Kigamboni

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inafanya jitihada kuhakikisha tatizo la usafiri kwa wananchi wa Mafia linakwisha.   “Nataka niwahakikishie...

READ MORE

Mganga ‘Atoroka’ na Mil. 25 za Choo

MGANGA Mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji cha Kibena wilayani Iringa, Hope Mwale,  ametoroka katika kituo chake cha kazi baada ya...

READ MORE

Uchaguzi Mkuu: PM Majaliwa Atoa Maagizo Takukuru – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ihakikishe Watanzania hawarubuniwi ili watumie vizuri utashi...

READ MORE

TMA: Tetemeko Dar, Hakuna Tishio la Tsunami

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu hali ya bahari kufuatia tetemeko la ardhi chini ya Bahari...

READ MORE

Benki ya NMB yanogesha Siku ya Kizimkazi Zanzibar!

  Benki ya NMB inaendelea kuboresha miundombinu na mazingira ya shule visiwani Zanzibar kwa kutoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani...

READ MORE

Mwanamke Kortini kwa Tuhuma za Kukutwa na Risasi 45

MWANAMKE mmoja Mkazi wa Manzese Argentina jijini Dar es Salaam, Asha Juma amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa...

READ MORE