KUFUATIA maagizo aliyotoa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, kwa machinjio ya kisasa Vingunguti kuhakikisha wanarekebisha kasoro...
READ MOREMTOTO wa prodyuza maarufu hapa nchini anayemiliki studio ya Bongo Record, Paul Matthysse ‘P Funk’, Patricia, amemponza msanii wa Bongo...
READ MOREWananchi wanaoishi Mtaa wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam, wameliomba Shirika la Umeme Wilaya ya Kinondoni (Tanesco) Kufika haraka kwa...
READ MOREKATIBU Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza, amefariki dunia usiku huu wa kuamkia leo Desemba 25,...
READ MOREDesemba 25 kila mwaka, Wakristo kote duniani huungana katika kuadhimisha sikukuu ya Noeli kuzaliwa kwa mwokozi wao Yesu Kristo...
READ MOREMchungaji wa Kanisa la Shalom Internation lililopo Sinza jijini Dar es Salaam, Billioneire Mkeu miaka(44) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
READ MOREWAKATI mvua zikiendelea kunyesha katika Mkoa wa Rukwa kuna baadhi ya watu, hususan wale waitwao ‘lambalamba’ wanatumia fursa hiyo kuzika...
READ MOREMAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza leo Desemba 24, 2020, imewahukumu washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa...
READ MORERAIS John Magufuli amemwapisha Jaji wa Mahakama ya Rufani, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi, kuwa Kamishna wa Maadili, leo Desemba 24, 2020,...
READ MOREWATU wanne ambao ni abiria waliokuwa wakisafiri na basi la Frester lenye namba za usajili T915 CGU kutoka wilayani Kahama...
READ MOREDAR: Uwanja wa mpira wa miguu wa Kirumba jijini Mwanza umegeuzwa danguro linalotumiwa na akina dada wanaojiuza nyakati za usiku...
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa...
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemsimamisha kazi Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa...
READ MOREDAR: Kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye pia alikuwa miongoni mwa mabilionea wachache nchini Tanzania...
READ MOREMBEYA: MWANAFUNZI wa darasa la tatu (3) katika shule ya msingi Uhamila wilayani Mbarali mkoani Mbeya, Gilison Ngungulu (8) amefariki...
READ MOREDAR: TAHARUKI na mshangao wa aina yake umetokea kwa wakazi wa Mbagala Kwa Mbiku, jijini Dar es Salaam, baada ya...
READ MOREMWILI wa Mama wa Msanii maarufu wa vichekesho na mshereheshaji, Mc Pilipili, umefanyiwa ibada ya mazishi leo Desemba 23, na...
READ MOREWAFANYABIASHARA wawili wa madini, Haji Hassan (52) na Jamas Hassan (55) wamehukumiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Miaka Mitatu...
READ MOREJUMAA Hamidu Aweso ni mojawapo ya mawaziri vijana zaidi katika Baraza la Mawaziri lililotangazwa hivi karibuni na Rais John Magufuli....
READ MORESHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna sababu ya watu kuwa na wasiwasi mkubwa kwa kuwa ni kawaida ya virusi...
READ MOREALIYEKUWA Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Ruby, aitwaye Hamish ambaye wikiendi iliyopita alifariki dunia baada ya kupata ajali ya...
READ MORESPIKA Job Ndugai amewataka vijana kuacha fikra potofu ya kusubiri kuajiriwa na serikali, badala yake watumie fursa zilizopo kuibua miradi...
READ MOREMWILI wa aliyewahi kuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Maswa na Waziri, Dkt Pius Yasebasi Ng’wandu, umeagwa leo...
READ MOREPOLISI nchini imesema kwamba kuna raia wa Tanzania wanaohusika na mashambulizi yanayofanyika mpakani mwa Msumbiji na Tanzania. Kamishna wa...
READ MOREKAMPUNI ya Sigara Tanzania (TCC Plc) imetoa vifaa saidizi zaidi ya 800 kwa watu wanaoishi na ulemavu katika mikoa mitano...
READ MOREBenki ya NMB imewazawadia washindi 12 zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya milioni 28 kwenye bahati nasibu ya mwezi...
READ MORESerikali imedhamiria kuwasaidia kwa umakini mkubwa wananchi katika tasnia ya sheria ambapo imeagiza kuanza haraka uandaaji wa sheria kwa lugha...
READ MOREWaziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri 185 Nchini kuhakikisha wanafikisha zaidi ya 50% ya makusanyo ya mapato...
READ MORELilian Stanley (36) mkazi wa Tumbaku, Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro, anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani...
READ MORESHIRIKA la Hifadhi za Taifa (Tanapa), limejipangia mikakati ya mazao ya utalii ili kuhakikisha linatekeleza kwa kishindo Ilani ya...
READ MOREBABA mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, marehemu Urban Ndunguru, anatarajiwa kuzikwa leo Jumanne, Desemba 22, 2020,...
READ MOREKWA wakazi wengi wa mjini Moshi watakuwa ama wanamfahamu au wamewahi kumsikia Elizabeth Ng’wanza, ombaomba wa muda mrefu eneo la...
READ MORESERIKALI imesema ipo katika mchakato wa kutunga sheria itakayoweka utaratibu wa mafundi simu kusoma taaluma hiyo vyuoni na kupata cheti...
READ MOREMAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi, imeamuru mitambo ya kufua umeme ya Kampuni ya Symbion Power kupigwa mnada baada...
READ MOREMAMLAKA ya Udhbiti wa Mawasiliano nchini (TCRA) imesema ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza simu nchini unaotarajiwa kuanza mwakani utaweza kurahisisha upatikanaji...
READ MOREPOLISI Mkoa wa Mbeya linamshikilia Rashid Kindole (21) mkazi wa Mkunywa–Madibira Wilaya ya Mbarali kwa tuhuma za kupatikana na...
READ MOREWAKURUGENZI wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, wametakiwa kuainisha changamoto na...
READ MORESerikali imeutaka Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wenye maskani yake Jijini Dar es salaam kuanza mchakato wa haraka...
READ MOREWAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji wa Mzakwe wenye thamani ya zaidi ya sh....
READ MORERAIS Mteule wa Marekani, Joe Biden, jana (Jumatatu) amepokea chanjo dhidi ya virusi vya corona wakati akitazamwa moja kwa moja...
READ MORE