×

Kitaifa

Mkuu wa Upelelezi Aieleza Mahakama: “Zitto Aligoma Kuandika Maelezo”

MKUU wa Upelelezi Mkoa wa Morogoro, SP Albert Kitundu (49) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Mbunge wa Kigoma...

READ MORE

CCM Yafuta Kura za Maoni, Uchaguzi Kurudiwa – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na kuweka wazi madai ya kuwapo rushwa katika kura za maoni za Uchaguzi wa Serikali...

READ MORE

TTCL Kutoa Huduma za Mawasiliano Nchini Burundi

                                       ...

READ MORE

Ofisa TAKUKURU Amuua ‘Girlfriend’ Wake kwa Risasi -Video

OFISA Msaidizi (mlinzi) wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, James Paulo (27), ...

READ MORE

Mshindi wa Kubashiri Soka wa Premier Bet Alamba Mamilioni ya Pesa

Kampuni ya Kubashiri Soka ya Premier Bet Tanzania imemtambulisha  mshindi wa kubashiri soka ambaye ni Andrea Elias Sebastian mkazi wa...

READ MORE

DC Mjema Apiga Marufuku Ibada Katikati ya Wiki, Makonda ‘Amzima’

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Bi. Sophia Mjema,  amepiga marufuku shughuli zote za ibada zinazofanyika katikati ya juma katika wilaya...

READ MORE

Yatima Huyu Anahitaji Milioni 200 Kuokoa Maisha Yake – Video

  KIJANA Constantine Nguma (17) mkazi wa Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam mwenye gonjwa zito la ‘Aplastic Anemia’  tiba...

READ MORE

Mahakama Yataka Haki Itendeke Kesi ya Mhasibu Takukuru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetaka haki itendeke kuhusu kesi ya kudaiwa kumiliki mali zenye zaidi ya thamani ya Shilingi...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wapewa Siku 14 Kuanza Kujitetea

LEO Jumatatu, Oktoba 21, 2019, viongozi 9 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Vipodozi 16 Vyapigwa Marufuku TZ

MAOFISA wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wamefanya ukaguzi wa kushtukiza kwenye maduka ya vipodozi na kuondoa aina 16 za...

READ MORE

Watoto Wawili Wateketea kwa Moto Wakiwa Wamelala

WATOTO wawili wa familia moja wa kata ya kishanda katika Halmashauri ya Muleba Mkoani Kagera wameteketea kwa moto wa kibatari...

READ MORE

Wanaume Waongeza Safari Kukwepa Michepuko

HALI ya wanaume kuwakwepa wanawake kimapenzi ambayo tumekuwa tukiizungumzia kwa wiki kadhaa ilitufikisha mahali ambapo tuliona wanawake wengi wameamua kuachana...

READ MORE

Kondoo 2,000 Wasababisha Foleni Katikati ya Jiji

KATIKA hali isiyo ya kawaida, zaidi ya kondoo elfu mbili (2,000) wamekatisha katikati ya jiji la Madrid nchini HIspaia, jana...

READ MORE

Vodacom Yamwaga Neema kwa Wanafunzi 7000 Tabora

KAMPUNI inayoongoza kwa teknolojia ya mawasiliano ya Vodacom kupitia taasisi yake ya Vodacom Tanzania Foundation leo imemwaga neema kwa kutoa...

READ MORE

Anayetuhumiwa Kumchoma Moto Naomi; Upelelezi Wakamilika

HATIMAYE upelelezi wa kesi inayomkabili mfanyabiashara Khamis Said anayedaiwa kumuua na kisha kumchoma na moto wa magunia mawili ya mkaa...

READ MORE

Kijana Apotea Siku 8, Akutwa Vichakani Ameuawa

KIJANA mmoja aliyetambulikana kwa jina la Noel Jengeni Mlilo mwenye umri 27, mkazi wa Shehia ya Wawi Wilaya ya Chakechake,...

READ MORE

Tanzania Yakabidhiwa Jukumu Jingine Kubwa Kimataifa – Video

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan. amefungua mkutano wa Mawaziri wa Sekta za Mazingira,...

READ MORE

JPM Afichua Vigogo Walivyopiga Bil. 1.2 za Korosho – Video

RAIS John Magufuli amesema Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawashikilia viongozi wa vyama vya ushirika 92 mkoani...

READ MORE

JPM Awaapisha Viongozi Aliowateua, Ikulu Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Bazi Kabunduguru kuwa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Barick Waondoka Tanzania

 Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda...

READ MORE

Machozi! Watoto Walia Baba Yao Kufia Mikononi mwa Polisi -Video

MACHOZI! Hivyo ndiyo unavyoweza kusema kufuatia watoto wa dereva wa bodaboda, Thobias Joseph a.k.a Mchuwau, mkazi wa Temeke-Mikoroshini jijini Dar,...

READ MORE

GSM Yazindua Tokomeza Godoro Bovu

        KAMPUNI ya GSM Tanzania, imezindua kampeni kabambe itakayofanyika nchi nzima inayofahamika kama”Tokomeza Godoro Bovu tumia godoro...

READ MORE

Mbasha Yamkuta!

YAMEMKUTA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwimbaji wa Injili Bongo, Emmanuel Mbasha kuingia kwenye utata baada ya kuonekana klabu akicheza muziki...

READ MORE

Kurejea kwa Lissu TZ, Polisi Yatoa Neno

JESHI la polisi nchini limetoa neno la kumuondolea hofu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu...

READ MORE

JPM Awatumbua DC na DED Nachingwea

Leo Jumamosi Oktoba 19, 2019 Rais Dkt. John Magufuli amefanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali ambapo ametengua uteuzi wa Mkuu wa...

READ MORE

Waziri Mahiga: Kompyuta Zilizoibiwa Si za DPP

WAZIRI wa Katiba na Sheria wa Tanzania, Balozi Dkt. Augustine Mahiga amekanusha kuwa hakuna kompyuta za Ofisi ya Mkurugenzi wa...

READ MORE

Ruvuma: Mbaroni Akituhumiwa Kuua Mdogo Wake

JESHI la Polisi linamshikilia Mohamed Luambano (70) mkazi wa Mtelamwai wilayani Namtumbo kwa tuhuma za kumkata na kitu chenye ncha...

READ MORE

Muuguzi Asimamishwa Kazi Akituhumiwa Kubaka Hospitalini

BARAZA la Ukunga na Uuguzi Tanzania (TNMC) limeisimamisha kwa miezi mitatu leseni ya muuguzi aliyemchoma sindano ya usingizi na kisha...

READ MORE

Mbunge CCM Atishiwa Kuuawa

DAR: SIKU chache baada ya kuibua ufisadi mbele ya Rais John Magufuli, Mbunge Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM) amesema amekuwa...

READ MORE

Ombi la Mbowe, Wenzake Lakataliwa Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo...

READ MORE

Watoto wa Bilionea Msuya Warejeshwa Kwenye Nyumba Yao – Video

SERIKALI jana Alhamisi, Oktoba 17, 2019, iliagiza watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara mkubwa nchini, bilionea Erasto Msuya,  warudishwe kwenye makazi ya...

READ MORE

Orodha ya Wanafunzi Waliopata Mkopo 2019/20

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 30,675 wa...

READ MORE

Wauza Vyuma Chakavu Kufutiwa Leseni

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Simbachawene ameagiza kufutwa kwa vibali vya wafanyabiashara wote...

READ MORE

Undani Maiti Yanyofolewa Jicho Kwenye Jeneza

MBEYA: DUNIA ina mambo! Ndivyo inavyoweza kusemwa baada ya maiti ya Timoth Leonard kukutwa kwenye jeneza ikiwa imenyofolewa jicho la...

READ MORE

Sakata la Escrow, Serikali Yasema Haidaiwi na Standard Chartered

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID), imeiamuru Tanzania kulipa Dola za Marekani milioni 185 pamoja na...

READ MORE

PM Majaliwa Aagiza Ukuta wa Hospitali Ubomolewe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi na kusema kwamba hajaridhishwa na baadhi...

READ MORE

JPM: Mmefanya Upumbavu, Siogopi Kuwambia ni Wapumbavu – Video

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amewacharukia baadhi ya wananchi wa Masasi mkoani Mtwara kwa kuchoma Hospitali, gari la wagonjwa na...

READ MORE

JPM Amfuta Kazi Kamanda wa TAKUKURU Mtwara – Video

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo Jumatano, Oktoba 16, 2019 amemfukuza kazi Kamanda wa TAKUKURU...

READ MORE