×

Kitaifa

JPM Ashuhudia Viboko Hifadhi ya Katavi – Video

RAIS  John Magufuli ameonyesha kwa vitendo maana ya utalii wa ndani kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Katavi. Amtembelea hifadhi...

READ MORE

Mhadhiri Alivyonaswa Akidaiwa Kuomba Rushwa ya Ngono

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeelezwa kuwa maafisa wa Takukuru walimkuta Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT),...

READ MORE

‘Mpemba wa Magufuli’ Aandika Barua Kukiri kwa DPP

MFANYABIASHARA Yusufu Ally, maarufu kwa jina la Mpemba wa Magufuli na wenzake,wanaokabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kujihusisha na...

READ MORE

Makonda Azindua Mfumo wa Kutoa Kero Kidigitali – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  jana Oktoba 9, 2019 alizindua mfumo wa kuwawezesha wananchi wa mkoa...

READ MORE

NMB Yawahakikishia Wateja Wake Wakubwa Huduma Bora

      BENKI ya NMB imewahakikishia wateja wakubwa nchini huduma bora na timilifu kulingana na mahitaji yao ya kifedha,...

READ MORE

Bi. Samia Ajiandikisha Kupiga Kura Dodoma – Pichaz

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari...

READ MORE

Katavi: Aliyjenga Kituo cha Afya Avunja Madirisha ‘Sijalipwa’

MKANDARASI aliyefahamika kwa Borniface Exavery, aliyetengeneza madirisha ya Aluminium na kuyapachika katika Kituo cha Afya cha Katumba, amevunja madirisha hayo...

READ MORE

Bobi Wine Awatoroka Polisi Kwa Bodaboda – Video

MWANAMUZIKI ambaye ni mwanasiasa pia, Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, amefanikiwa kutoroka ulinzi mkali wa polisi uliokuwa ukizingira nyumba yake...

READ MORE

Airtel Yaungana na Serikali Maandalizi Maandhimisho ya Miaka 20 Kumbukumbu ya Baba wa Taifa

  KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imeungana na Serikali kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kwenye...

READ MORE

Meja Jenerali Kingu Asisitiza Uwajibikaji Wizarani

  KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, ametoa wito kwa wakuu wa idara...

READ MORE

JPM Katavi: Mafisadi Wameanza Kurudisha Fedha – Video

RAIS  John Magufuli, leo Jumatano, Oktoba 9, 2019,  ameanza ziara ya siku tatu mkoani Katavi ambapo amefungua barabara ya Kanazi...

READ MORE

DCB Yazindua Akaunti Maalumu Ya Elimu iitwayo DCB Skonga

    BENKI ya Biashara ya DCB imezindua akaunti maalumu ya akiba ya mpango wa elimu ijulikanayo DCB SKONGA ikilenga...

READ MORE

Kigogo Aliyekiri Kuhujumu Uchumi NIDA Aachiwa – Video

MMOJA wa watuhumiwa wa uhujumu uchumi wa vitambulisho vya Taifa (NIDA), Astery Ndege, amehukumiwa kulipa fidia ya Sh 293,446,400.23 kama...

READ MORE

Waliotubu kwa DPP Kutorosha Kobe 201, Wahukumiwa – Video

WASHTAKIWA waliokuwa wakituhumiwa kutorosha kobe, wamehukumiwa kulipa fidia ya sh. milioni 40 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar...

READ MORE

Kessy Awachoma Wakandarasi kwa JPM – Video

MBUNGE wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy, amesema makandarasi wanashirikiana na baadhi ya watendaji na watumishi wilaya ya Nkasi kutafuna...

READ MORE

JPM Awaagiza DC, RPC Kulipa Mil 15 kwa Kumwachia Mwizi – Video

RAIS John Magufuli amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa  Rukwa na Mkuu wa Wilaya ya  Nkasi, Said Mtanda,  kuhakikisha...

READ MORE

JPM: Nimekupa Pesa za Shule, Usizitoe Mahari – Video

RAIS  John  Magufuli aliye  katika ziara ya siku tatu mkoani Rukwa kuzindua na kukagua miradi ya maendeleo, leo  amemkabidhi Mwalimu...

READ MORE

TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi Usalama wa Taifa Afariki Dunia

ALIYEKUWA kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Cornell Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia mchana wa leo,...

READ MORE

Breaking News: Wambura wa TFF Aachiwa Huru – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura, baada...

READ MORE

Wanafunzi 8 Mbaroni Tuhuma za Mauaji ya Mwenzao

JESHI la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga linawashikilia wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Seeke kwa tuhuma ya kumshambulia na...

READ MORE

JPM Awaka: Wanaume wa Rukwa Msiwape Mimba Watoto – Video

Rais Dk. John Magufuli, leo Oktoba 7, 2019 amezindua Mradi wa Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira uliopo...

READ MORE

Bulaya Augua, Kesi ya Kina Mbowe Yakwama – Pichaz

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuanza kusikiliza utetezi wa viongozi tisa wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA )...

READ MORE

PM Majaliwa Aagiza Vigogo Hawa Wakamatwe – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Bw. Adili Elinipenda amkamate Afisa Manunuzi wa Chuo cha...

READ MORE

ATCL Yasitisha Safari Zake Afrika Kusini

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha rasmi safari zake kati ya Dar es Salaam na Johanessburg, Afrika Kusini,  kuanzia...

READ MORE

Chadema Yapata Pigo Tena

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepata pigo jingine baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Njombe Edwin...

READ MORE

Ni Zaidi Ya Unyama, Mtoto Miaka 3 Abakwa Hadi Kufa

DUNIA katili na inawezekana kabisa hizi ni dalili ya siku za mwisho! Ndiyo kauli inayoweza kukutoka unaposoma madai haya ambayo...

READ MORE

CEED TANZANIA YATOA MAFUNZO YA KUKUZA, KUSIMAMIA BIASHARA

    Kituo cha Ujasiriamali na Maendeleo ya Utendaji (CEED), kimewakutanisha wajasiriamali mbalimbali jijini Dodoma katika semina iliyolenga kutoa elimu...

READ MORE

Wafanyakazi NBC Watoa Elimu ya Fedha Kwa Wanafunzi Dar

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo cha Makampuni wa Benki ya NBC, Elibariki Ndossi (kushoto), akizungumza na wanafunzi wa Shule ya...

READ MORE

Mchungaji Anaswa na Denti Kichakani

  DAR ES SALAAM: Hii ni aibu iliyoje? Hebu vuta picha mtu mwenye heshima yake kwenye jamii kama mchungaji, halafu...

READ MORE

JPM Ampigia Simu IGP Sirro “Msimamishe Huyu Sasa Hivi” – Video

Rais John Magufuli ameagiza kamanda wa polisi wa Wilaya ya Sumbawanga, Polycarp Urio kusimamishwa kazi  kwa madai ya kushindwa kutekeleza...

READ MORE

JPM Ampa Siku 5 Mfugale Kuhama Jengo – Video

Rais Dkt. John Magufuli ametoa siku tano kwa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuhama katika jengo walilopanga na kuhamia katika...

READ MORE

Majaliwa Agoma Kuweka Jiwe la Msingi ”Mkabandue” – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Bw. Adili Elinipenda amchunguze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkalama,...

READ MORE

Dkt Mabula Avutiwa na Kasi ya Ujenzi Machinjio Vingunguti

      Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ametembelea mradi wa ujenzi wa...

READ MORE

Mrisho Mpoto Ajiunga Rasmi CCM

MSANII Mrisho Mpoto, leo Jumamosi, Oktoba 5, 2019 amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kukabidhiwa kadi ya Chama...

READ MORE

JPM Amuwashia Moto Mbunge “Acha Kumchongea Mwenzio, Simfukuzi” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameataka viongozi kuacha malumbano yasiyo na tija na badala...

READ MORE

Askari Sita Wakuhumiwa Kwa Kuiba Mafuta ya Ndege

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu askari sita akiwemo wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kulipa faini ya Sh...

READ MORE

JPM: Walisema TANESCO Ubungo Haibomolewi, Nikaibomoa – Video

Rais Dk. John Magufuli leo Oktoba 5, 2019 amezindua ujenzi wa barabara ya Mpemba – Isongole iliyopo katika Halmashauri ya...

READ MORE

NMB TAWI LA MIRERANI WAZINDUA MIKOPO YA AFYA LOAN

Wafanyakazi wa benki ya NMB Tawi la Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wamezindua wiki ya huduma kwa wateja kwa kutangaza...

READ MORE

Maskini familia hii! Ukisikia mateso yao, lazima utoe machozi

UKISIKIA mtihani mkubwa kwenye maisha ndiyo huu! Maskini, familia ya Mzee Lenati Semgweno ya Kijiji cha Makuyu wilayani Mvomero, Morogoro...

READ MORE