×

Kitaifa

MA-RC WAKABIDHIWA AWAMU YA PILI YA VITAMBULISHO VYA WAMACHINGA

                                       ...

READ MORE

MAPYA YAIBUKA! SERIKALI YAMRUDISHA TIDO KORTINI

IKIWA ni siku tatu tu tangu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando,  aachiwe huru baada...

READ MORE

Kilichotokea Leo Mahakamani Polisi Waliosindikiza Dhahabu Mwanza

SHAURI namba 1/2019 la uhujumu uchumi, rushwa na kutakatisha fedha dhidi ya watu 12 wakiwemo askari polisi wanane katika mahakama...

READ MORE

Wananchi Wachoma Kanisa Wakidai Linaleta Pepo Wachafu

WANANCHI wenye hasira kali wanadaiwa kuvamia katika eneo la Kanyogoga Wilaya ya Gulu nchini Uganda na kuchoma Kanisa moja muda...

READ MORE

WANAFAMILIA WALIOFARIKI KWA KULA CHAKULA CHENYE SUMU WAONGEZEKA

IDADI ya wanafamilia waliokufa kutokana na kula chakula kinachosadikiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Shanake, Kiuyu-Mbuyuni Wilaya ya Micheweni,...

READ MORE

NMB yafuta tozo mbalimbali kwa wateja

KATIKA kuharakisha kasi ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla, ikiwemo kuchagiza idadi ya Watanzania wanaotumia huduma...

READ MORE

UNYAMA! Wavuvi 4 Wauawa Baharini Kikatili, Kisa Kitakuliza – VIDEO

WATU wanne ambao walikuwa wavuvi, wanadaiwa kuuawa kinyama huku wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo.   Katika tukio hilo lililojiri hivi...

READ MORE

Mbeya: Aliyeoa Yatima Mlemavu Gumzo, Wanavyoishi Utashangaa! – Video

  WAKATI wanandoa wasiyokuwa na ulemavu hata wa kidole gumba wakiishi maisha ya kutwangana makonde na kununiana, hali ni tofauti...

READ MORE

Inasikitisha! Watoto Watano wa Familia Moja Wafariki, Sumu Yatajwa

WATOTO watano wa familia moja wakazi wa Shehia ya Shanake, Wilaya ya Micheweni,  Pemba, wamefariki dunia na wengine wawili wamelazwa...

READ MORE

RC Makonda: “Mdee, Msigwa Ole Wenu Mtukane” – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda amezindua mabweni ya wanafunzi katika Shule ya Mtakatifu Joseph inayomilikiwa na Kanisa Katoliki,...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumbaka na Kumuweka Unyumba Mwanafunzi Darasa la 4

Linus Mayaya (35), mkazi wa kijiji cha Kateka, Kalambo mkoani Rukwa, ametiwa matatani kwa kudaiwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la...

READ MORE

AWESO AWASWEKA NDANI MHANDISI, MKANDARASI, KISA HIKI HAPA! – VIDEO

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso,  ameamuru kukamatwa na kuwekwa mahabusu kwa Mhandisi wa Maji wa Wilaya ya...

READ MORE

TEMEKE: Ili Upige Muziki Kwenye Shughuli Lazima Ulipe Tsh 50,000

Manispaa ya Temeke itaanza kutoza TZS 50,000 ili kutoa kibali kwa mtu anayetaka kufanya shughuli za kijamii zikiwemo kupiga muziki...

READ MORE

BOMBA LA MAFUTA: MAWAZIRI WA JPM, WA MUSEVENI WAKUTANA

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...

READ MORE

BREAKING NEWS: TIDO MHANDO ACHIWA HURU – VIDEO

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando, leo Ijumaa, Januari 25, 2019 ameachiwa huru na Mahakama...

READ MORE

Ofisi ya Waziri Mkuu Yafungukia Taarifa Zinazosambazwa WhatsApp

OFISI ya Waziri Mkuu inapenda kuujulisha UMMA wa Watanzania kuwa kumekuwepo na taarifa zilizozua taharuki baina ya wananchi kupitia mitandao...

READ MORE

DC KINONDONI  ATOA SIRI YA NYUMBA YAKE

    MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amefunguka kuwa toka ameezeka nyumba yake kwa kutumia  mabati ya kutoka ...

READ MORE

TAHARUKI! Rais Mpya wa CONGO Augua Ghafla Baada ya Kuapishwa

RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi (pichani kushoto) aliyeapishwa jana kushika nafasi hiyo ameugua ghafla alipokuwa akitoa...

READ MORE

Mlinzi wa Zahanati Ajinyonga Kwenye Chumba cha Sindano

MLINZI wa zahanati ya Kijiji cha Katani, Kata ya Nkandasi wilayani Nkasi mkoani Rukwa Laudifasi Sokoni (60) amejinyonga katika chumba...

READ MORE

NECTA Yafuta Matokeo ya Watahiniwa 57 Kidato cha Nne

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limeyafuta matokeo ya watahiniwa 57 wa Shule ya Sekondari ya Tumaini Lutheran baada ya...

READ MORE

Basi la Fikoshi Laua Watu Wanne Kigoma, 42 Wajeruhiwa!

WATU wanne wamefariki dunia na wengine 42 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya FIKOSHI linalofanya safari zake kati ya...

READ MORE

Shule 10 zilizofanya vizuri zaidi mtihani kidato cha nne hizi hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) leo limetangaza matokeo ya mtihani wa Taifa kidato cha nne uliyofanyika Novemba 2018, na...

READ MORE

WATAHINIWA WALIOFANYA VIZURI KIDATO CHA NNE 2018, MATOKEO YAKO HAPA

Watahiniwa Kumi Bora (10) Kitaifa, Wasichana Kumi (10) waliofanya vizuri kidato cha nne 2018 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka...

READ MORE

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA QT 2018, TAZAMA HAPA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Dk Charles Msonde ametangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne...

READ MORE

MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018 HAYA HAPA

BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) leo limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.29...

READ MORE

Watumiaji wa Tigo Pesa App kufurahia huduma hiyo pasipo Mbs zao kutumika  

  Kampuni ya simu inayoongoza katika maisha ya kidigitali Tanzania, Tigo, imeanza mwaka 2019 kwa kutangaza uzinduzi wa App ya...

READ MORE

UDSM Watishia Kuingia Mgogoro na Serikali

JUMUIYA ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa), imesema watalazimika kuingia katika mgogoro na serikali, ikiwa haitawalipa...

READ MORE

TANZIA: NGULI WA MUZIKI AFRIKA, OLIVER MTUKUDZI AFARIKI DUNIA

MKONGWE wa muziki wa Jazz Barani Afrika, Oliver Mtukudzi (66) ‘Tuku’ amefariki dunia katika Hospitali ya Avenues Clinic, Jijini Harare...

READ MORE

JPM: “SIJAZUIA MIKUTANO YA SIASA”, AWATAJA MBOWE NA KUBENEA – VIDEO

Rais Dkt. John Magufuli leo Jumatano, Januari 23, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Dini,...

READ MORE

JPM AANIKA WIZI BUGANDO HOSPITAL, KISA CHA MTAWA KUJIUA – VIDEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Leo January 23, 2019, amekutana na viongozi mbalimbali wa Dini Ikulu Dar es Salaam na...

READ MORE

Mch. Mwingira: Mnataka Tuichukie Serikali? – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Leo January 23, 2019, amekutana na viongozi mbalimbali wa Dini Ikulu Dar es Salaam na...

READ MORE

KANISA LA MPEMBA LATEKETEA KWA MOTO MWANZA

KANISA la TFE KWA NEEMA lililopo Kiloleli wilayani Ilemela jijini Mwanza (almaarufu kama Kwa Askofu Mpemba) limeteketea kwa moto majira...

READ MORE

TTCL YAZINDUWA DUKA JIPYA LA HUDUMA KARIAKOO

  SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) leo limezindua duka jipya na kituo cha huduma Kariakoo eneo la Mtaa wa Mafia na...

READ MORE

Viongozi wa Dini Walilia Demokrasia: “JPM Watu Wamejaa Hofu”- Video

“Nimeona tujaribu kuukaribisha mwaka kwa namna nyingine kwa kuwakaribisha viongozi wa dini tuzungumze mambo mbalimbali na kuwasikiliza ninyi kwani ndio...

READ MORE

BENKI YA NMB YASAIDIA ELIMU WILAYA ZA MOMBA NA ILEJE

    WAKUU  wa Wilaya za Ileje na Momba Mkoani Songwe wamepongeza Benki ya NMB kwa msaada  wa kujitokeza kusaidia...

READ MORE

Kisa Usalama, Serikali Yawatimua Wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano

Serikali ya Uganda imewafukuza nchini humo viongozi wawili wa ngazi ya juu wa Kampuni ya Mawasiliano MTN, kutokana na kuhatarisha...

READ MORE

WATALII 61 KUTOKA SAUZI WATUA BONGO KWA TRENI

WATALII 61 kutoka nchi mbalimbali wamewasili Jijini Dar es Salaam leo kutoka Afrika ya kusini kwa kutumia treni ya kifahari...

READ MORE