×

Kitaifa

Waziri Mkenda: RUWASA Ijitathmini Inamhujumu Waziri Aweso Usimamizi wa Maji Rombo

Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) umetakiwa kujitathmini kutokana na kadhia ya kushindwa kusimamia mradi wa maji...

READ MORE

Wizara ya Elimu yakutana na Wahariri, Yaeleza Vipaumbele Vyake

Elimu ujuzi ni miongoni mwa hatua na mikakati muhimu ambayo Serikali inaiendeleza kwa kuwa inatambua licha ya elimu ujuzi kuwa...

READ MORE

NMB Yaendelea Kuwa Kinara wa Ufanisi Nchini Tanzania

Benki ya NMB imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2022. Faida kabla ya kodi...

READ MORE

Wataalamu Kutoka Wizara ya Elimumsingi Afrika  Kusini Watembelea Shule ya Chief Albert Morogoro

Shule hii iko katika moja ya eneo waliloishi wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini wakati wa harakati za ukombozi wa...

READ MORE

RC Makalla Aipongeza Nmb Kuzindua Kifurushi Cha Mikopo Kwa Walimu

  Watumishi wa Umma wakiwemo Walimu wametakiwa kufanya maandalizi bora ya kustaafu mapema kwa kuchangamkia fursa ya Mkopo kwa kuanzisha...

READ MORE

NMB Yawagusa Wanafunzi Wilayani Temeke

Benki ya NMB imekabidhi msaada wa mabati 600, madawati 100, pamoja na viti 50 na meza 50, kwa ajili ya...

READ MORE

Barabara ya Kuelekea Hospitali ya Rombo ya Kilomita 5.5 Kujengwa Kwa Lami

Hivi karibuni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Philip Isidor Mpango wakati akiweka jiwe la...

READ MORE

Rais Museveni wa Uganda, Rais Ndayishimiye wa Burundi Waondoka Nchini, Waziri Mkenda Awaaga

  Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni pamoja na Rais wa Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye leo tarehe 23 Julai...

READ MORE

JPM Magufuli Daraja la Sita Afrika

Imeelezwa kuwa Daraja la JP Magufuli, linalojengwa jijini Mwanza litakalo ziunganisha wilaya za Misungwi na Sengerema kupitia Ziwa Victoria linatarajiwa...

READ MORE

Prof. Ndalichako: Kiwanda cha kuchakata Nyama Cha Ngulu Hills Kimeleta Mapinduzi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Profesa Joyce Ndalichako amesema kiwanda cha...

READ MORE

Asasi za Kiraia Zapewa Elimu Juu ya Masuala ya Kujitolea, Kutoa Msaada kwa Jamii

Shirika la Foundation of Civil Society (FCS) kwa kushirikiana na  East Africa Philanthropy Network (EAPN) wamewakutanisha asasi za kiraia kwa...

READ MORE

Rais Samia Amteua IGP Mpya Camillus Wambura, DCI Ramadhan Kingai

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa watumishi mbalimbali wa Serikali

READ MORE

Rais Ramia Amteua IGP Sirro Kuwa Balozi Nchini Zimbambwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi...

READ MORE

Waziri Mkuu: TCU Ongezeni Udhibiti wa Ubora wa Vyuo Vikuu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) iongeze jitihada katika udhibiti wa ubora wa vyuo vikuu...

READ MORE

Prof. Mkenda Aanza Ziara ya Siku saba Rombo, Rais Samia Atoa Bil 10 Mradi wa Maji

Mbunge wa Jimbo La Rombo ambaye ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda leo tarehe 19...

READ MORE

Waziri Jafo: Jiji la DSM Pitieni Mfumo wa Maji ya Mvua Kubaini Waliounganisha Kiholela

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Dkt.Selemani Jafo amelitaka Jiji la Dar es salaam...

READ MORE

NMB na Neema Mpya Kwa Wakulima,Wavuvi na Wafugaji Nchini

  KWA mara ya kwanza wakulima, wavuvi na wafugaji nchini wataweza kupata mikopo kutoka Benki ya NMB kwa riba nafuu...

READ MORE

Jaji Mkuu Prof. Juma Awaasa Mahakimu Wapya Kutofungwa na Kanuni za Kiufundi Wanapotoa Haki..

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amewaasa Mahakimu Wakazi wapya kutenda haki bila kufungwa kupita kiasi na masharti...

READ MORE

Wananchi Wanaomiliki Ardhi Mabwepande Waiangukia Serikali Inshu ya Uvamizi

WANANCHI wanaomiliki mashamba na viwanja eneo la Mabwepande wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kuingilia kati kwa kuwaondoa...

READ MORE

Siku ya Wakulima Yafanyika Monduli, TBL Yajidhatiti Kuboresha Mnyororo wa Thamani

  Tanzania Breweries Limited (TBL) na wadau mbalimbali wameadhimisha siku ya wakulima wa shayiri mwaka 2022, na kujidhatiti kuboresha mnyororo...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia Hataki Mzaha na Fedha za Umma

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan iko...

READ MORE

Naibu Waziri Katambi: Serikali Inajivunia Kuwa WCF

  SERIKALI imesema inajivunia Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa jinsi umeweza kufikia malengo yaliyokusudiwa kwa kuongeza matumaini kwa...

READ MORE

Katika Kuunga Juhudi za Rais Samia, Nmb Yatoa Vifaa Vya Afya, Elimu Wilya ya Lushoto

  Benki ya NMB imetoa msaada wa mabati 200 kwa Zahanati ya Kwemakame iliyopo wilayani Lushoto mkoani Tanga yenye thamani...

READ MORE

Waziri Jafo Aipongeza NEMC Kwa Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira

Pongezi hizo  zimetolewa na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe.Selemani Jafo alipokuwa akiongea na waandishi wahabari...

READ MORE

CRDB, IFC Kuongeza Upatikanaji wa Mitaji kwa Wajasiriamali Tanzania na Burundi

Benki ya CRDB na Shirika la Fedha la Kimataifa (IFC) leo wameingia mkataba wa uwezeshaji utakaongeza upatikanaji wa fedha kwa...

READ MORE

Waziri wa Elimu: Waombaji Mikopo 2022-2023 Someni Mwongozo

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewahimiza waombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023...

READ MORE

RC Mwanza Ashuhudia NMB Ikizindua Kifurushi cha Mikopo Kwa Walimu Kanda ya Ziwa

Benki ya NMB Plc imezindua kifurushi maalum cha mikopo yenye riba nafuu kwa walimu kuwawezesha kumudu gharama ya elimu kwa...

READ MORE

Mkurugenzi wa Jiji la DSM na Wenzake Tisa Wasimamishwa Kwa Tuhuma za Ubadhirifu wa Zaidi ya Sh. Bil 10

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam, Bw. Jumanne Shauri pamoja na...

READ MORE

NMB Kutoa Mkopo wa Bil 200 Kwa Wanafunzi Elimu ya Juu

  Wanafunzi wamepata ahueni baada ya Benki ya NMB katika mwaka wa fedha 2022/2023 kutenga Bilioni 200 kwa ajili ya...

READ MORE

Prof. Mkenda Aeleza Dola Mil 5 Zilivyotengwa Kukamilisha Chuo cha Bahari Zanzibar

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof. Adolf Mkenda akizungumza na watumishi. Wengine pichani ni Makamu Mkuu wa Chuo...

READ MORE

Naibu Waziri Pauline Gekul Azindua Kamati ya Kutatua Haki Miliki za Wasanii

  Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaaa na michezo. Mhe Pauline Gekul leo Julai 8,2022 amezindua Kamati maalum ya kuratibu mjadala...

READ MORE

Kesi ya Akina Mdee Kupinga Kufukuzwa Uanachama Chadema Mahakama Imetoa Uamuzi

  Mahakama Kuu kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imewaruhusu waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

CRDB Yaanda Semina ya Uwezeshaji kwa Wafanyabiashara Mtandaoni

  Katika kuendeleza jitihada zake za kuwajengea uwezo na kuwawezesha wajasiriamali vijana nchini, Benki ya CRDB leo imetangaza kuandaa semina...

READ MORE

NMB Yazindua Tawi Buhongwa Mwanza, Yasaidia Serikali Kukusanya Trilioni 8.6.

  Benki ya NMB imeendelea kujidhatiti kibiashara na kujiimarisha kulihudumia taifa kupitia mtandao wake wa matawi ambao sasa umefikia matawi...

READ MORE

Uamuzi wa Kesi ya Akina Halima Mdee, Wenzake Washindwa Kutolewa..

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha kutoa uamuzi wa maombi ya Halima Mdee na wenzake 18...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yapeleka Mbele Kesi ya Uhujumu Uchumi Inayomkabili Mfanyabiashara Jiteshi

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili fanyabiashara Jiteshi Ladwa, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirishwa mpaka Julai 18 mwaka huu...

READ MORE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yaridhishwa na Miradi Pori la Akiba la Mkungunero

 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati, Mhe. Daniel Sillo ( Mb) imefanya ukaguzi wa...

READ MORE

Waziri wa Elimu: India Itasaidia Tanzania Kuanzisha Taasisi ya Kiteknolojia

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania...

READ MORE

Gekul: Tumejipanga Kuendeleza Mashindano ya Utamaduni Kila Mwaka

  Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amefungua mashindano ya Utamaduni yanayohusisha ngoma na vyakula vya...

READ MORE