×

Kitaifa

Aliyezusha Kifo cha Mwakyembe Akamatwa, Kamanda Muliro Aeleza

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, linamewakamata watuhumiwa wawili kwa makosa ya kimtandao kufuatia msako mkali unaoendelea...

READ MORE

UWT Sengerema Yapata Mwenyekiti Mpya

  Aliyekuwa mwenyekiti wa (UWT) wilaya ya Sengerema Costansia Faida ambaye alikuwa anatetea nafasi yake amepoteza nafasi hiyo baada ya...

READ MORE

Serikali Yaipongeza St Anne Marie Kwa Kutochuja Wanafunzi,Wanaofanya Vizuri Kupelekwa Mbuga za Wanyama

    SERIKALI imepongeza shule ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa iiwemo St Anne...

READ MORE

Wizara ya Elimu Kukutana na Wadau Kujadili Mapitio ya Sera ya Elimu na Mitaala Dodoma

  Serikali imeandaa mkutano maalumu kwa mara nyingine wa wadau wa elimu kutoka maeneo na sekta mbalimbali nchini kote nchini....

READ MORE

RC Dodoma Aeleza Manufaa ya Uwepo wa WCF Kwa Wafanyakazi

    MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema hivi sasa wafanyakazi wanao uhakika wa kinga na kipato...

READ MORE

Filamu ya “The Royar Tour” Ilivyotafsiriwa Kijapan Ikizinduliwa Japan

  Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 –...

READ MORE

Hati Fungani ya JASIRI ya NMB Yashinda Nishani Ya Platinum Upande wa Kundi la Dhamana

  Waandaaji wa Tuzo za Kimataifa za Mitaji kwa Wajasirimali wadogo na wa Kati kwa kushirikiana na Nchi za G20,...

READ MORE

Dkt. Hellen Kijo Bisimba: Asasi za Kiraia Zina Mchango Mkubwa Katika Kuharakisha Maendeleo Kwa Jamii

Jamii imeaswa kulipa umuhimu na kipaumbele suala la elimu kama nyenzo muhimu katika kuleta mabadiliko mbalimbali katika jamii sambamba na...

READ MORE

WCF Yasisitiza Matumizi Ya Tehama Katika Kuwasilisha Madai Ya Fidia

  MAAFISA Rasilimali watu na Utawala hapa nchini wamehimizwa kutumia TEHAMA wakati wa kutoa Taarifa kwenye Mfuko wa Fidia kwa...

READ MORE

NMB Yadhamini Mil 25 Kwa Ajili Ya Michuano Ya Golf Lugalo

Benki ya NMB imetoa udhamini wa Sh. Mil. 25 kwa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF...

READ MORE

Waziri Mkenda: Serikali Imetenga Bil 100 Ujenzi wa VETA Nchini

Serikali inayo azma ya kujenga Chuo cha Ufundi Stadi katika kila Mkoa na Wilaya nchini. Katika mwaka huu wa fedha...

READ MORE

HKMU, WKU kushirikiana kwenye tafiti za kitaaluma

  CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Western Kentucky cha Marekani (WKU)...

READ MORE

Zaidi ya 3,000 Wasajiliwa Kushiriki Nmb Marathon

  LICHA ya washiriki zaidi ya 3,000 kujisajili kushiriki Mbio za Hisani za NMB Marathon 2022, Benki ya NMB imeeleza...

READ MORE

Serikali ya Uganda na Tanzania Zapinga Azimio la EU kuhusu Bomba la Mafuta na Gesi

SERIKALI za Uganda na Tanzania zinapingana dhidi ya azimio lililopitishwa na Umoja wa Ulaya, linalotaka ulinzi wa mazingira na haki...

READ MORE

NMB Yazindua Tawi la 11 Mkoani Tanga 

WANANCHI wa Mkoa wa Tanga, hasa wanaojihusisha na kilimo, uvuvi, biashara na wajasiriamali, wametakiwa kutumia vema fursa zitokanzo na uzinduzi...

READ MORE

NMB, Bunge SC Hapatoshi Kivumbi na Jasho kesho Dodoma

MSIMU wa pili wa Tamasha la ‘NMB Kivumbi na Jasho,’ linalokutanisha timu za michezo mbalimbali za Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

Tanzania Yapongezwa kwa Kuwa Mwanachama Hai wa Umoja wa Afrika

Pongezi hizo zimetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Mhe. Monique Nsanzabaganwa alipokutana kwa mazungumzo na Waziri...

READ MORE

NMB Yawakutanisha Wafanyabiashara Mkoani Tabora

BENKI ya NMB inaendelea kutoa elimu kwa wafanyabiashara kwa lengo la kuhakikisha wanazielewa bidhaa na mipango ya benki hiyo ili...

READ MORE

Waziri Mkenda na Waziri wa Elimu Zanzibar Wapokea Taarifa ya Awali ya Sera ya Elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar...

READ MORE

Mamilioni Kiganjani Mwako na Bingo ya Parimatch

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeamua kuwapa fursa mpya wateja wake kwa kucheza Casino kiganjani ambayo imesheheni zaidi ya...

READ MORE

NMB Yachangia Milioni 120 Kufanikisha Mkutano Mkuu wa 36 Wa ALAT

  Benki ya NMB imechangia kiasi cha shilingi milioni 120 kufanikisha maandalizi na kufanyika kwa mkutano mkuu wa 36 wa...

READ MORE

NMB Marathon Kumekucha, Njia Zitakazotumika Zakaguliwa

  Benki ya NMB imewataka Wananchi kujisajili katika Mbio za NMB Marathoni Ili kwenda kuwasaidia wakina mama wenye matatizo ya...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Pole kwa Kifo cha Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza 

RAIS  wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Malikia Elizaberth II wa nchi ya Uingereza, kilichotokea jana Alhamisi...

READ MORE

Waziri Mkuu Awawashia Moto Wasimamizi wa Chuo cha Ufundi Mkoa wa Tabora

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Tabora, Musa...

READ MORE

TAMNOA: Punguzo la Tozo Larejesha Ukuaji wa Matumizi Huduma za Kifedha Kwa Njia Ya Simu

  Umoja wa waendesha huduma za simu za mikononi (TAMNOA) umebainisha kuwa kutokana na tozo za miamala ya simu zilizoanza...

READ MORE

Wanafunzi Sekondari Kupatiwa Elimu ya Mazingira na Afya

KATIKA kuhakikisha vipaji vinaendelea kukuzwa nchini, Taasisi ya Hakika Tunajifunza kwa kushirikiana na Kampuni ya Ushauri wa Kitaalamu ya GJS...

READ MORE

Nmb Jogging Mguu Sawa ” Mwendo wa Upendo”

    Wakati mbio za NMB Marathon zikitarajiwa kutimua vumbi Septemba 24 mwaka huu, klabu ya NMB Jogging yenyewe jana...

READ MORE

Meneja Mkuu Global Publishers Aungana na Waombolezaji Kuuzika Mwili wa Shakoor Jongo

Meneja Mkuu Global Publishers, Abdallah Mrisho ameungana na waombolezaji waliojitokeza kuuzika mwili wa Mwandishi nguli wa habari na mdau wa...

READ MORE

Wajumbe Wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Watembelea Miradi ya Kikanda ya EAC

  Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) chini ya Mwenyekiti wake,...

READ MORE

Waziri wa Elimu: Ratiba ya Kufungua Shule Ipo Vilevile, Akanusha Taarifa za Uzushi

  Serikali imekanusha taarifa za uzushi zilizotolewa kuhusu tarehe ya shule kufunguliwa iliyotolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na nia...

READ MORE

RC Mgumba Aupongeza Mfuko wa Self Microfinance Kwa Kukuza Mtaji Wake

MKUU wa Mkoa wa Tanga Omari Mgumba ameupongeza Mfuko wa Self Microfinance kwa kuweza kukuza mitaji yao kutoka Bilioni 57...

READ MORE

Kesi ya Akina Halima Mdee, Jaji Atoa Uamuzi Sasa Kuanza Kuhojiwa Mahakani

LEO ikiwa ni Septemba 2, 2022 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga Septemba 30, mwaka huu kuanza kusikiliza...

READ MORE

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba Atoa Majibu Kuhusu Tozo za Mitandao ya Simu, Benki na Kodi za Majengo

Waziri mwenye dhamana ya fedha, Mwigulu Nchemba amesema serikali imeyapokea maoni yote yaliyotolewa na wananchi kupitia vyombo vya habari na...

READ MORE

Waziri wa Afya wa Ureno Ajiuzulu Baada ya Mtalii Mjamzito Kufariki kwa Kushindwa Kuhudumiwa

Waziri wa afya wa Ureno, Dkt.Marta Temido amejiuzulu saa chache baada ya ripoti kuibuka kuwa mtalii mjamzito amefariki dunia. Mwanamke...

READ MORE

NMB Yatangaza Ushirikiano na Kituo cha Radio cha EFM na TVE, Mbio za NMB Marathon

  Benki ya NMB imetangaza ushirikiano na kituo cha Radio cha EFM na TVE kama washiriki wenza katika mbio za...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Upelelezi Ufanyike Kabla Ya Kuwekwa Mahabusu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa...

READ MORE

Askali Polisi Achomwa Mshale na Mtu Mmoja Aliyegoma Kuhesabiwa Sensa Mkoani Dodoma

ASKARI polisi wa kituo cha Mrijo wilaya ya Chemba mkoani Dodoma Konstebo William Werema amenusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa...

READ MORE

Takribani Watu wapatao 18 Wamefariki kwa Kupigwa Risasi Nchini Madagascar

POLISI nchini Madagascar walilazimika kutumia risasi ili kutawanya waandamanaji ambao walikua na gadhabu baada ya mtu mwenye ulemavu wa Ngozi...

READ MORE