×

Kitaifa

Prof. Mkenda Aomba Trilioni 1.49 Bajeti 2022/23 Wizara ya Elimu,Awasilisha Bungeni

  WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2022-2023 huku ikiweka vipaumbele katika kuboresha...

READ MORE

Mwimbaji Nyimbo za Injili Peter Lubango Azindua Kwa Kishindo ‘EP’ Yake

Msanii wa nyimbo za injili nchini, Peter Lubango  amezinduzindua albam ya gospol ‘EP’ usiku wa April 08, 2022 katika Ukumbi wa...

READ MORE

Meli Kubwa ya Magari 4397 Yawasili Bandari ya DSM, Yavunja Rekodi

MELI kubwa ya shehena ya magari yapatayo 4397 imewasili katika Bandari ya Dar es Salaam. Meli hiyo ya MERIDIAN ACEyenye idadi...

READ MORE

CRB Kuwakutanisha Wadau wa Sekta ya Ujenzi Dodoma Wiki hii

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Consolata Ngimbwa akizungumza kwenye mkutano wa makandarasi uliofanyika hivi karibuni mkoani Dodoma...

READ MORE

Bandari ya DSM Kuweka Rekodi Nyingine Jumatatu Hii

MELI kubwa ya shehena ya magari inatarajia kuwasili kwenye bandari ya Dar es Salaam. Meli hiyo kutoka Japan na Singapore itawasili...

READ MORE

Chuo Cha Ufundi Dodoma Kuanza Kudahili Wanafunzi 2023

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema Chuo cha Ufundi Dodoma kinachojengwa eneo la Nala Jijini...

READ MORE

Changamoto za Mashauri ya Mirathi Kupatiwa Ufumbuzi

  Uongozi wa Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia-Temeke kwa kushirikiana na Wadau wa Mahakama umeunda kikosi kazi maalum kwa...

READ MORE

Jinsi Tanzania Ilivyoadhimisha Siku ya Usalama na Afya Duniani

Aprili 28 kila mwaka ni siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Duniani ambapo Tanzania iliungana na mataifa mengine...

READ MORE

MEI MOSI Mtaka awa Kivutio

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ndugu Anthony Mtaka leo amekuwa kivutio wakati alipoongoza Walimu katika maandamano ikiwa sehemu ya Maadhimisho...

READ MORE

Waziri Kijaji : Changamkieni Fursa za SELF MF

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dr. Ashatu Kijaji amewataka wananchi wa mkoani Morogoro na watanzania wote kwa ujumla kuchangamkia...

READ MORE

Benki ya NMB yakusanya Bil. 74.3 kupitia Hati Fungani ya ‘NMB Jasiri’

Benki ya NMB imefunga mauzo ya Hati Fungani ya Jasiri (NMB Jasiri Bond) kwa mafanikio makubwa Iliyoweka rekodi ya makusanyo...

READ MORE

NMB Yaipa Kipaumbele Elimu ya Fedha kwa Vijana Nchini

  Serikali chini ya Benki kuu ya Tanzania (BOT) waliweka kipaumbele utoaji wa elimu ya fedha kwa Watanzania hususani vijana...

READ MORE

NBC Yazidi Kuinogesha Ligi Kuu, Yatoa Tuzo/Fedha Kwa Mchezaji Bora wa Mwezi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema itaendelea kuboresha masuala mbalimbali ya kimichezo sambamba na kutoa hamasa kwa wachezaji. NBC...

READ MORE

Mpango: Muungano Wetu ni Zaidi ya Hati ya Muungano

Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema ushirikiano na mwingiliano wa wananchi wa pande zote za muungano unadhihirisha kuwa Muungano...

READ MORE

Nmb Waanda Futari, Spika Dkt. Tulia Ackson Awaongoza Wabunge, Wateja

  Katika mwendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Benki ya NMB iliandaa Futari iliyohudhuriwa na Waheshimiwa Wabunge, viongozi wa Dini...

READ MORE

Vodacom, Smart Lab Watoa Fursa Kwa Kampuni Chipukizi Za Kiteknolojia

KATIKA kuendelea kukuza uchumi na vipaji kwa vijana, kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na Smart Lab wamezindua msimu...

READ MORE

Mpiga Debe Afariki kwa Kukanyagwa na Gari Akifukuzia Posho Yake

Mpiga debe mmoja wa eneo la Makambako mkoani Njombe amefariki dunia kwa kukanyagwa na gari katika kichwa chake kutokana na...

READ MORE

Aweso Awasimamisha Kazi Wanne Bwawa la Milioni 600 Handeni

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua...

READ MORE

Wamiliki wa Magari Sasa Kukata Bima Kupitia Nmb

Pata amani ya moyo ukiwa umebima gari lako kupitia Benki ya NMB.  Unaweza kupata mkopo wa bima na kuulipia...

READ MORE

Mtoto Auawa Kwa Kumwagiwa Maji ya Moto na Bibi Yake Lyabukande Wilaya ya Shinyanga

Mtoto aitwaye Joseph Juma mwenye umri wa miaka minne mkazi wa kijiji cha Lyabukande kata ya Lyabukande wilaya ya Shinyanga...

READ MORE

RC Tabora Kufungua Maadhimisho ya Elimu Igunga

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Burian anatarajiwa kufungua Maadhimisho ya wiki ya Elimu Aprili 25, 2022 Wilayani...

READ MORE

Mitihani ya Kitaifa Kusahihishwa Kidigitali

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo Aprili 18 2022 amekagua na kuridhishwa na majaribio...

READ MORE

Mufti Wa Tanzania Ashiriki Iftari na Wateja wa Nmb

  Kwa kutambua thamani ya Wateja wao na umuhimu Mwezi wa Ramadhani, Benki ya NMB imeshiriki Futari na Wateja na...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Ashiriki Mazishi ya Maunda Zorro, Awapa Pole Familia – VIDEO

Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika kuusindikiza mwili wa aliyekuwa msanii hapa nchini...

READ MORE

Mfalme Wa Morocco Aridhia Kufunguliwa Mskiti wa Kisasa

    Mfalme wa Morocco Mtukufu Muhammed wa sita ameruhusu kufanyika ufunguzi mdogo wa msikiti wa Mohamed wa sita na...

READ MORE

Bima ya Mkono wa Pole ya NMB Inavyoleta Matumaini kwa Wanavikundi

 Mwanakikundi anaweza kuchangia kwanzia Sh.500 mpaka Sh.2,000 kila mwezi na kupata fidia pale janga la kifo litakapotea kwanzia Sh....

READ MORE

TCB Kuendelea kuwa Mdau wa Maendeleo  Nchini

  Tanzania Commercial Bank TCB) imesema itaendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo  ili kuboresha uchumi wa Tanzania. TCB imeshirikia kikamilifu...

READ MORE

Waziri Mabula Ashangiliwa Baada ya Kumaliza Mgogoro Wa mda Mrefu Keko

Waziri wa ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa onyo kwa wananchi na makampuni yanayovamia maeneo ya...

READ MORE

Tazama Wateja wa NBC Mkoa wa Dar Walivyoandaliwa Iftar

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Theobald Sabi amesema NBC inaendelea kukuza mshikamano na maelewano katika...

READ MORE

Uwajibikaji Kwa Jamii wa Benki ya NMB Yaendelea Kugusa Wengi

  Kupitia sera yake ya uwajibikaji kwa jamii (CSR), Benki ya NMB imetenga asilimia moja ya faida baada ya kodi...

READ MORE

Chongolo Amtembelea Masoud Kipanya, Ajionea Gari Lake..

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo, ametoa siku saba kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS),  kufika...

READ MORE

Nmb Yatia Mkono Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR

  Kama ilivyokuwa katika miradi mbalimbali ya kimkakati, Benki ya NMB imeendelea kuwa mstari wa mbele kwenye kutoa ushirikiano kwa...

READ MORE

PM Majaliwa Azindua Teleza Kidigitali Ya NMB

BENKI ya NMB, imefanya mapinduzi makubwa ya kibenki ambapo imezindua huduma kubwa tatu kupitia kampeni yake ya Teleza Kidijitali zinazomwezesha mteja wa benki hiyo...

READ MORE

Tarura Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Faini za Wakwepa Kodi za Maegesho

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) unapenda kuwataarifu wananchi kuwa umeanza rasmi kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho...

READ MORE

DC Jokate Azindua Tawi Jipya la Tcb, Atoa Mwelekeo wa Serikali

  Benki ya Taifa ya Biashara (TCB) imeongeza uwepo wake jijini Dar es Salaam kwa kufungua tawi la 12 katika...

READ MORE

NBC leo Yazindua Kampeni ya ‘Jaza Kibubu na NBC’

Benki ya Taifa ya Biashara NBC leo imezindua Kampeni ya ‘Jaza Kibubu na NBC’  yenye lengo la kuweza kutoa elimu...

READ MORE

Msanii Bongo Muvi Afanyiwa Unyama, Vibaka Wamburuza na Bodaboda Barabarani

DOREEN Reguna almaarufu Queen Magali; ni mkongwe kwenye tasnia ya Bongo Muvi ambapo aliwahi kujizolea umaarufu na Kundi la Mishemishe...

READ MORE

Mbele ya Rais Samia, Nmb Yaeleza Ilivyomwaga Mabilioni Kwa Wakulima

  JUMLA ya Sh78.8 bilioni zimeshatolewa na benki ya NMB kwa wakulima kati ya Sh100 bilioni walizotengewa kwa ajili ya...

READ MORE

GGML yatoa Sh milioni 50 kwa Hospitali ya CCBRT

KAMPUNI ya AngloGold Ashati kupitia Mgodi wake wa dhahabu Geita (GGML) imetoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Hospitali ya...

READ MORE

Safari Kuelekea Mahakama Mtandao Yaongezwa Mwendo Kigoma

  Akizungumza hivi karibuni wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku (3) kuhusu mifumo ya uendeshaji wa mashauri kwa njia ya mtandao...

READ MORE