×

Kitaifa

DC Gondwe: VODACOM Kinara Kwenye Mapinduzi ya Teknolojia Nchini

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe ameipongeza kampuni ya Simu ya Vodacom kwa kuwa mstari wa mbele kwenye...

READ MORE

RC Kilimanjaro Azindua ATM Ya Nmb ya Kubadili Fedha za Kigeni Uwanja wa KIA

  Benki ya NMB leo imezindua rasmi mashine ya kubadilisha fedha (Forex – ATM) katika uwanja wa ndege wa kimataifa...

READ MORE

Program Ya Dunia Yangu Bora ya CAMFED Yawanufaisha Wanafunzi 70,302

  JUMLA ya Wanafunzi 70,302  kutoka katika shule za sekondari mbalimbali nchini Tanzania wananufaika na  progamu ya Dunia Yangu Bora...

READ MORE

Absa Yazindua Kadi ya Malipo ya Visa Kwa Wafanyabiashara

  Benki ya Absa Tanzania imezindua kadi ya malipo ya Visa kwa wafanyabiashara ya benki hiyo ikiwa na lengo la...

READ MORE

Japan Yatoa Dola za Bilioni 30 Kusaidia Nchi za Afrika

  Serikali ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 –...

READ MORE

NMB na Wizara ya Mambo ya Nje Zasaini Makubaliano Kutengeneza Mfumo wa Diaspora

  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Benki ya NMB wamesaini Hati ya Makubaliano ya...

READ MORE

Mtoto wa Waziri Simbachawene Afikishwa Mahakamani, Ahukumiwa

Mahakama ya kinondoni imemhukumu Mfanyabiashara, James Simbachawene (24) ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,...

READ MORE

NMB Yatambulisha Kifurushi Maalum Kuwahudumia Walimu – Songea

  KWA kutambua umuhimu wa walimu na mchango wao katika mafanikio ya Benki ya NMB, taasisi hiyo kubwa kuliko zote za...

READ MORE

Waziri Balozi Pindi Chana Azindua Mafunzo ya Maafisa Uhamiaji, Ataka Wadau Kucheza na Pasi ya Rais Samia

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Balozi Dkt.Pindi Chana amezindua Programu ya uimarishaji huduma kwa kupitia mafunzo kwa wadau walioko...

READ MORE

Waziri wa Mawasiliano Aiomba TTCL Kusaidia Maboresho ya Mawasiliano Zanzibar

WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dk. Khalid Salum Mohamed ameliomba Shirika la Mawasiliano...

READ MORE

Katibu Mtendaji Baraza la Ushauri Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga Yuko Tayari Kuhesabiwa Agosti 23

Zikiwa zimebaki siku mbili kufikia like jambo letu la kitaifa, yaani Sensa ya Watu na Makazi linalotarajiwa kufanyika nchini more...

READ MORE

RC Makalla Atangaza Oparesheni ya Kukamata Matumizi ya Mifuko ya Plastiki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo August 19 ametangaza Operesheni ya kukamata Mifuko...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Siku ya Sensa ni Mapumziko

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa tarehe 23...

READ MORE

Wanafunzi 400 Waliosoma Nje ya Nchi Kushiriki Mahafali yao Jumapili

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolph Mkenda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya tatu ya wanafunzi...

READ MORE

Wiki ya Asasi za Kiraia Yazinduliwa Jijini Dar

  Imeelezwa kuwa jitihada za makusudi zinazofanywa na Asasi za kiraia katika kuimarisha ushirikiano miongoni mwa wadau mbalimbali wa sekta...

READ MORE

Dereva Daladala Akamatwa Kwa Tuhuma za Kumuua Mpenzi wake

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara...

READ MORE

BoT Yatoa Leseni Kwa Pesapal, Kufanya Biashara Nchini 

  Kampuni ya Pesapal Tanzania imepewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kufanya biashara nchini kama mtoa huduma wa...

READ MORE

Tanzania na Oman Kushirikiana Kukuza Sekta ya Nishati

  wa Nishati Mhe.January Makamba amekutana na Mhe. Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Saud Hilal Al Shidhani na kuzungumzia...

READ MORE

Kiwanda Cha Chai Mponde Chakamilika kwa Asilimia 95

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Mhe. Profesa Joyce Ndalichako ametembelea...

READ MORE

SADC Yaidhinisha Brigedia Jenerali Nkangaa Kuwa Mkurugenzi wa Asasi ya Siasa

  Baraza la mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) limeidhinisha jina la Mtanzania,Brigedia Jenerali Juma Nkangaa Sipe...

READ MORE

Waziri Gwajima Aipongeza Nmb Kuwajali Wamachinga

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameipongeza benki ya NMB kwa kutenga...

READ MORE

Nchi 33 Zinatarajia Kushiriki Mkutano 13 wa Taasisi za  Jumuiya ya Skauti Wakike  Bara la  Afrika

AKRIBANI nchi 33 zinatarajia kushiriki mkutano 13 wa Taasisi za  Jumuiya ya Skauti wakike  bara la  Afrika (Taasisi ya Girl...

READ MORE

Nmb Yaahidi Kuendeleza Kunufaisha Sekta ya Kilimo Nchini

  Benki ya NMB imeweka adhma ya kuendelea kuiboresha sekta ya kilimo nchini kwa kutoa masuluhisho bora na nafuu kwa...

READ MORE

Serikali Yawataka Wenye Viwanda Kuijali na Kuilinda Nguvukazi

Serikali imewataka wamiliki wa viwanda nchini kuijali na kuilinda nguvukazi inayotumika katika uzalishaji ili kuwa na uzalishaji endelevu na wenye...

READ MORE

Parimatch Waidhamini Tena Mbeya City

KAMPUNI ya Michezo ya Kubashiri Mtandaoni hapa nchi ya PariMatch imeingia makubaliano na Timu ya Mpira wa Miguu inayomilikiwa na...

READ MORE

Spika Dkt. Tulia Atembelea Banda la Nmb, Wakulima Kunufaishwa na ‘Mshiko Fasta’

Benki ya NMB imekuja suluhisho maalum ya kuwakopesha mitaji kwa wateja wake unaojulikana kwa jina la ‘NMB Mshiko Fasta’ ambapo...

READ MORE

Mhe. Rais Samia: Maboresho Sekta ya Elimu Yanalenga Kuwapatia Watoto Elimu Inayowapatia Ujuzi

Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema maboresho ya Miundombinu yanayoendelea katika sekta ya elimu...

READ MORE

Wachezaji Simba Wako Tayari Kusensabika

    Wachezaji wa Klabu ya Simba Sc hii leo wakiwa katika maandalizi ya mwisho kuelekea tamasha kubwa la SIMBA...

READ MORE

Jaji Mkuu, Majaji wa Rufani Watembelea Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

  Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 6 Agosti, 2022 amewaongoza Majaji wa Mahakama ya...

READ MORE

Waziri Mkenda Autaka Uongozi Wilaya ya Rungwe Kutenga Eneo la Ujenzi wa Chuo cha VETA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Wilaya ya Rungwe kutafuta eneo la zaidi...

READ MORE

Wakulima, Wafugaji na Wavuvi Walio Katika Ajira ni wateja Wetu-WCF

  MKURUGENZI wa Huduma za Tathmini, Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Dkt. Abdulsalaam Omar, amesema Maonesho ya Nanenane mwaka...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Kwanza Zanzibar Aongoza Mbio za Marathon

Leo Agosti 7 , 2022 yamefanyika mashindano ya mbio Visiwani Zanzibar Maarufu kama  ” Tigo, Zantel Zanzibar International Marathon 2022...

READ MORE

Wawekezaji Sekta ya Nishati Kuendelea Kunufaika na Mikopo ya Nmb

Benki ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kutoa mikopo kwa wadau katika mnyororo wa thamani wa sekta ya nishati...

READ MORE

Shule ya Msingi Hazina Yaongoza Mock Darasa la Saba Kinondoni

·     SHULE ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, imeongoza kwenye matokeo ya mtihani wa utimilifu (Mock), darasa...

READ MORE

Tulitawaliwa Kwa Sababu ya Sayansi na Teknolojia: Waziri Mkenda

Katika kutekeleza kwa vitendo ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025 na mpango mkakati wa serikali kupitia...

READ MORE

Ufadhili wa Nmb Wafikia Trilioni 1.56 Katika Sekta ya Kilimo

  Serikali imezichangisha benki nchini kwa lengo la kuongeza wigo kwa wakulima, wafugaji na wavuvi kukopa ili kuongeza uwekezaji kwenye...

READ MORE

Nmb Yakabidhi Millioni 60 Maonesha ya Nanenane Mbeya

    Benki ya NMB imeendelea kuiunga mkono serikali katika kufanikisha maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima Kitaifa (Nanenane) kwa kukabidhi...

READ MORE

Waziri wa Elimu Aunda Tume Kuchunguza Utoaji Mikopo Kwa Wanafunzi Elimu ya Juu

  Wakati dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 likiwa wazi kwa muda wa siku 70 kuanzia...

READ MORE

Jaji Mkuu Atembelea Chumba Cha Mrejesho wa Taarifa za Kielektroni za Mahakama

  Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 29 Julai, 2022 ametembelea Chumba cha Mrejesho wa...

READ MORE

Mahakama Yakubali Halima Mdee na Wenzake 18 Kuhojiwa

Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam imewataka  Halima Mdee na Wenzake saba kufika mahakamani hapo Agosti 26 Agosti 2022...

READ MORE