×

Kitaifa

TATIZO LA UBAKAJI, ULAWITI KWA WATOTO NI JANGA

VITENDO vya ulawiti na ubakaji kwa watoto vimesababisha hofu kubwa katika jamii za Kitanzania na kuwafanya baadhi ya wazazi na...

READ MORE

IMEFICHUKA! Mzungu Aliyehukumiwa Miaka 26 Jela Atorokea Tanzania

  SIRI imefichuka kuwa, Gareth Johnson (pichani) ni Mzungu anayesakwa kwa udi na uvumba na Serikali ya Uingereza, Kitengo cha...

READ MORE

Watendaji wa Serikali, TENMET, APHRC wajadiliana kuboresha elimu

BAADHI ya watendaji wa Serikali, Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) na taasisi ya African Population and Health Research Center (APHRC)...

READ MORE

MWIGULU MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA MWANZA

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka linalotarajia...

READ MORE

JPM Afungua Mkutano Baraza la Biashara, Ashusha Neema kwa Wadaiwa Kodi – Video

Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC) amefungua mkutano wa 11 wa Baraza hilo...

READ MORE

SEMI TRAILER LAVAMIA DUKA, WATATU WANUSURIKA KIFO

  WATU watatu wamenusurika kifo mjini Morogoro baada ya kutokea ajali mbaya ya lori la mizigo, (Semi Trailer) ambalo dereva...

READ MORE

LIVE: Magufuli Akiongoza Mkutano wa 11 na Wafanyabiashara

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anaongoza Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la...

READ MORE

Mzee Mkapa Ataka Mjadala wa Kitaifa

RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini William Mkapa amesema ipo haja ya kuitishwa mjadala wa kitaifa wa kujadili hali...

READ MORE

Mrisho Mpoto Akunwa na Programu ya Waziri Lukuvi

  MWIMBAJI wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ambaye amekuwa kioo cha jamii kutokana na kazi yake ya nyimbo za...

READ MORE

MABAWA APINGA MAANDAMANO YA KWENYE MITANDAO

  MWANAHARAKATI  mzalendo ambaye alipata kuwa gumzo mwaka jana kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, Laurence Jumanne Mabawa, amejitokeza na...

READ MORE

MWANANCHI KINONDONI ALILIA MSAADA WA MAKONDA

  BAADA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,  Paul Makonda, kushughulikia kero mbalimbali za migogoro ya ardhi na kutolea...

READ MORE

Nabii ‘Mtoto’ Aliyetikisa Dar kwa Mkwanja, Afutiwa Usajili

KIONGOZI wa Kanisa la Bethel Ministry nchini, Nabii Daniel Daniel Shilla, amefutiwa usajili wa huduma hiyo kwa madai ya kujihusisha ...

READ MORE

Breaking News: Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania Ajiuzulu

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga amejiuzulu nafasi hiyo.  VIDEO: Hotuba ya Makonda Uzinduzi wa Kutangaza Utalii...

READ MORE

MAKONDA ATOA KIBALI KWA WASANII KUREKODI MOVIE ENEO LOLOTE  KUTANGAZA UTALII

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia wasanii kurekodi Video za nyimbo...

READ MORE

WAZIRI MKUU ATAKA WANAVYUO WAANDALIWE KUJIAJIRI

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema ni umuhimu mfumo wa ufundishwaji wa wanafunzi wa vyuo...

READ MORE

SHUHUDIA BASI LILIVYOSOMBWA NA MAJI SERENGETI -VIDEO

WATU wanne wanadaiwa kupotea baada ya basi la Kampuni ya Kimotco walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji ya mto huko Serengeti...

READ MORE

Vilio na Majonzi, Safari ya Mwisho ya Mmiliki wa Super Sami- Picha 11

VILIO, simanzi na majonzi vimetawala kwa mamia ya waombolezaji jijini Mwanza na maeneo jirani wakati wa shughuli ya mazishi ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: Trafiki Agongwa Gari Mataa ya Sayansi Dar

OFISA wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani ambaye jina lake halijatajwa amepata ajali ya kugongwa na gari wakati akiongoza magari...

READ MORE

JK Atoa Kauli kwa Jeshi la Polisi

RAIS Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’ amefunguka na kulipongeza jeshi la polisi Tanzania kwa kufanikisha...

READ MORE

TAJIRI BONGO AJIUA KWA RISASI

  MFANYABIASHARA ambaye ni tajiri maarufu mjini Mafinga wilayani Mufindi, Iringa, George Ndendya (50), anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kwa...

READ MORE

Babu Mbaroni kwa Kugushi Vyeti, Akutwa na Mihuri 54 ya Magumashi – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limamshikilia Selemani Masoud (60) mkazi wa Yombo Kialakala kwa tuhuma za...

READ MORE

Mwili wa Mmiliki wa Super Sami Wawasili Nyumbani Kwake

  MWILI wa mfanyabiashara na mmiliki wa Kampuni ya Mabasi ya Super Sami, Samson Josiah umewasili nyumbani kwake leo Ijumaa,...

READ MORE

Mafuriko Jangwani: Mabasi ya Mwendokasi Yashindwa Kutembea – VIDEO

DAR: Abiria wa mabasi ya mwendokasi wamekosa huduma ya usafiri leo asubuhi, baada ya kampuni ya UDART kusitisha huduma hiyo...

READ MORE

Picha 8: Hali Ilivyo Mafuriko Jangwani Dar

MVUA kubwa zilizonyesha kuanzia jana jioni hadi usiku zimesababisha adha kubwa ya usafiri kutokana na mafuriko ya maji kujaa katika...

READ MORE

JPM Ammwagia Minoti Mama Ntilie Morogoro – Video

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amempa Tsh. 100,000 mama aliyeibua kero ya kufukuza...

READ MORE

Binti Auwa Akitoka Kanisani, Kumwombea Mama Yake Kipofu! – Video

  DAR ES SALAAM: Inauma sana! Ndio unavyoweza kusema baada ya binti, Toto Aloyce (20), mkazi wa Buza kwa Lulenge,...

READ MORE

USHIRIKA WAMPA MAKONDA SARUJI  ZA UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo amepokea tani 120 za saruji ambazo ni sawa na...

READ MORE

UGANDA: MFANYAKAZI AJIRUSHA KUTOKA KWENYE NDEGE

Mfanyakazi wa shirika la ndege la Emirates jana jioni alijirusha kutoka kwenye ndege ya shirika hilo na kuanguka katika uwanja...

READ MORE

Breaking News: JPM Ampokea Afande Sele CCM

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli amempokea msanii mkongwe...

READ MORE

Viwanda vya Nyerere Vyamtesa JPM, Alia na Mafuta Machafu Nchini – Video

  RAIS wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza masikitiko yake kutokana na viwanda vingi vilivyoachwa na...

READ MORE

Mwandishi Dar Akimbia ‘Wasiojulikana’, Apewa Hifadhi Finland

MWANAHABARI Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi ambayo ofisi zake kuu zipo Dar es...

READ MORE

Mwili wa Mmiliki wa Mabasi ya Super Sami Waokotwa Mtoni

MWILI wa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah,  unadaiwa umekutwa na wavuvi mto Ndabaka eneo la Bunda –...

READ MORE

NABII NYAKIA NA VIONGOZI WENZAKE WATEMBELEA GLOBAL LEO

NABII James Nyakia ambaye ni kiongozi wa Kanisa la Jerusalem lililopo Kitunda Kinyantira Jijini Dar es Salaam,  leo ametembelea ofisi...

READ MORE

ASKARI MAHAKAMANI KWA MAUAJI YA ASKARI MWENZIYE

  ASKARI  wa Jeshi la Wananchi nchini (JWTZ) Ramadhan Mlaku (28) leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa...

READ MORE