×

Kitaifa

MFUMUKO WA BEI FEBRUARI 2018 WAONGEZEKA KWA ASILIMIA 4.1

  OFISI  ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumuko wa bei wa taifa kwa mwezi  Februari 2018, umeongezeka kidogo hadi...

READ MORE

Mbunge Adai Kutekwa na Kuuawa ni Jambo la Kawaida

  MBUNGE wa Singida Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elibariki Kingu amedai kuwa vitendo vya watu kutekwa na kuuawa...

READ MORE

Polisi Wafungua Jalada Kuchunguza Iwapo Nondo Alitekwa au La! – Video

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limefungua kuchunguza ili kubaini kama ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP),...

READ MORE

Manyara: Mbunge CCM Ahojiwa Sentro kwa Amri ya DC

MBUNGE wa Jimbo la Hangang kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Mary Nagu amehojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi kwa...

READ MORE

Breaking News: Abdul Nondo Apatikana Mafinga Akiwa Ametupwa

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...

READ MORE

Sharobaro Yamkuta Mazito Muhimbili!

SHAROBARO mmoja ambaye jina lake halikujulikana mara moja wikiendi iliyopita alikutwa na mazito ndani ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...

READ MORE

Mtoto wa Mchungaji Apewa Kipigo Kanisani, Apasuliwa Kichwa

  DUNIA inatisha! Katika hali ya kushangaza mtoto wa mchungaji wa Kanisa la Emmaus Bible Church Pentecost lililopo Mlandizi, Pwani,...

READ MORE

MUME WA MJAMZITO ATEKWA USIKU! -VIDEO

  BADO pepo mchafu wa utekaji yupo kazini hivyo anahitaji kukemewa! Wakati mke wa Mwandishi wa Habari wa Kujitegemea wa...

READ MORE

Utekaji na Mauaji; Nape Ataka Bashe Aungwe Mkono

  MBUNGE wa Jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye leo Machi 07, 2018 amewataka wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

KAMATI YA USHAURI MKOA WA DAR YAMPONGEZA MAKONDA

  IKAO cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) kimepongeza kazi inayofanywa na Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

WATUHUMIWA SABA WIZI WA KOROSHO MAHAKAMANI

WATUHUMIWA saba raia  wa Zambia, leo Machi 7,  wamepandishwa katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na tuhuma za kula...

READ MORE

Mwenyekiti Mtandao wa Wanafunzi Hajulikani Alipo

TAARIFA zilizoenea mchana huu zinadai kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, ambaye pia ni mwanafunzi wa...

READ MORE

Rais Magufuli Amlilia Mbunge Dkt. Kaburu

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa masikitizo kifo cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti...

READ MORE

BODI YA BARABARA DAR YAANZA VIKAO KUJADILI KUBORESHA MIUNDOMBINU

  BODI  ya barabara ya Mkoa wa Dar es Salaam, inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda ambaye ni Mwenyekiti...

READ MORE

Pugu Wampongeza Meya Dar Kwa Huduma ya Maji  

    WANANCHI wa Kata ya Pugu, Mtaa wa Mustafa, wamempongeza Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya...

READ MORE

Ajali Mbaya Yatokea Kimara Mwisho Dar (Video)

Ajali mbaya imetokea Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam ambapo gari aina aya Toyota Noah namba T.871 BTU iliyokuwa ikitokea...

READ MORE

BREAKING NEWS: MOTO WAUNGUZA SOKO MBAGALA – VIDEO

Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi...

READ MORE

ABIRIA ADAIWA KUMNYONGA KONDA HADI KUFA!

  DAR ES SALAAM: Kondakta wa daladala aina ya Nissan Civilian lenye namba za usajili T 247 DDT lililokuwa likifanya...

READ MORE

SHINDANO LA MBIO MAGARI LAJERUHI WATANO TANGA – VIDEO

WATU watano wamejeruhiwa katika mashindano ya mbio za magari mkoani Tanga jana Jumapili asubuhi baada ya mmoja wa madereva wanaoshiriki mashindano...

READ MORE

NABII ‘MTOTO’ ATIKISA DAR, ANA MIAKA 22, UTAJIRI WAKE UNATISHA – VIDEO

KILA kukicha wanatokea manabii wanaokuja na staili mbalimbali za mahubiri na miujiza ya kila aina, wakati Nabii Tito ambaye alikuwa...

READ MORE

Boeing Dreamliner Ndege ya Tanzania Itakayotua Nchini Julai

SERIKALI kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, imesema kuwa...

READ MORE

RAIS ATENGUA UTEUZI WA IGP NA WAZIRI, ATEUA MENGINE

RAIS  Yoweri Museveni wa Uganda ametengua uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo IGP Generali Kale Kayihura na...

READ MORE

VODACOM YAZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE

Mmoja wa wanawake aliyetunukiwa cheti kutoka Vodacom, Happynes Shuma (kulia) kutokana na mchango wake wa kuhamasisha, kujitambua kwa wanawake na...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kesi ya Nabii Tito Kutaka Kujiua

KESI ya kujaribu kujiua kwa kujichana tumbo na wembe inayomkabili mshtakiwa Onesmo Machibya maarufu Nabii Tito, imeahirishwa katika Hakimu wa...

READ MORE

Airtel yazindua bando za uhuru zaidi kwa wateja Yatosha Mitandao Yote

  KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania inayoongoza kwa kutoa huduma bora za smartphone leo imetangaza uhuru wa...

READ MORE

PICHA 7: MOTO ULIVYOTEKETEZA BWENI KOROGWE GIRLS

MOTO umeteketeza bweni katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe iliyoko mkoani Tanga na kuwaacha wanafunzi hao katika hali mbaya...

READ MORE

Breaking News: Mbowe Augua Ghafla, Alazwa KCMC

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Elikaeli Mbowe amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi kwa...

READ MORE

Spoti Xtra Lilivyokimbiza Viunga vya Jiji la Dar Jana

Gazeti jipya la michezo linaloongoza kwa ubora la Spoti Xtra kama kawaida yake jana Jumapili liliendelea kukimbiza ambapo kikosi cha...

READ MORE

Mashehe 5 Waliotoweka Zanzibar Wasimulia Baada ya Kuachiwa – VIDEO

MASHEHE watano waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha kuanzia Febuari 9 mwaka huu huko Zanzibar wameachiwa na kurejea katika familia zao...

READ MORE

Breaking News: Moto Waunguza Shule ya Wasichana Korogwe

Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe  iliyoko wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga, inaungua moto usiku huu, huku chanzo cha ajali...

READ MORE

JK Atoa Mifuko 300 ya Sementi Ujenzi wa Zahanati

  Rais Mstaafu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia mbunge wa zamani wa...

READ MORE

Julius Mtatiro Avuliwa Uanachama CUF

KADA wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro, amevuliwa...

READ MORE

SERIKALI YATOA BIL. 1.4 KUBORESHA VITUO VYA AFYA RUANGWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa sh. bilioni 1.4 kwa ajili ya uboreshaji wa vituo vitatu vya afya katika...

READ MORE

Wafanyabiashara wa Korea, Tanzania Wamtembelea Balozi Matilda

TIMU ya wafanyabiashara wa Korea na Tanzania waliopitisha mkataba wa kushirikiana, wakiongozwa na mratibu wa timu hiyo, diwani na mwenyekiti...

READ MORE

MADAI MAZITO: POLISI AMPIGA RISASI RAIA MWEMA! – VIDEO

  Haya ni madai mazito! Raia mwema aliyejitambulisha kwa jina la Hassan Yahaya, mkazi wa Mabibo-Farasi jijini Dar, anadaiwa kupigwa...

READ MORE

BARABARA STENDI YA MAKUMBUSHO KIVUTIO!

  MIUNDOMBINU ya barabara iliyokuwa korofi katika eneo la kuingia stendi ya Makumbusho jijini Dar na mitaa mingine inayozunguka stendi...

READ MORE

WAPINZANI WA SIMBA KUTUA KESHO

  Klabu ya Simba inatarajia kucheza mchezo wake wa Kombe la Shirikisho dhidi ya klabu ya Al Masry kutoka nchini...

READ MORE

Mr Nice Aipongeza BASATA

MKONGWE wa Bongo Fleva aliyetamba miaka ya 2000 kwa staili yake ya Takeu, Lukas Mkenda ‘Mr Nice’ amefunguka na kuwaasa...

READ MORE

Shule ya Miti Iliyompa Wakati Mgumu Nape Nnauye – VIDEO

  MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nauye amefanya mabadiliko makubwa kwa muda wa miaka miwili na nusu katika jimbo...

READ MORE

NAPE ‘KUWAPIGA’ WANAOBORONGA MRADI WA MAJI MTAMA – VIDEO

MBUNGE wa Jimbo la Mtama  mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye amesema atawashtaki bungeni wakandarasi wanaotekeleza mradi wa maji jimboni kwake...

READ MORE