×

Kitaifa

BREAKING NEWS: Waziri Amtumbua Mkurugenzi wa Maji Musoma

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe , ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...

READ MORE

Majaliwa ‘Amtupa’ Kigogo Mikononi mwa TAKUKURU

  VIDEO: FUATILIA TUKIO HILO HAPA JPM: Kuanzia Leo Hakuna Kutoa Leseni kwa Meli Yoyote

READ MORE

Tahadhari Kuhusu Homa ya Chikungunya, Hakuna Tiba Mahusi Wala Kinga

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeutahadharisha umma kuhusu ugonjwa wa Homa ya Chikungunya ambao huambukizwa na mbu aina ya aedes...

READ MORE

JPM Aagiza Usajili wa Meli Mpya Usitishwe Mara Moja – Video

RAIS John Magufuli ameagiza kusitishwa kwa usajili wa meli mpya Tanzania Bara na visiwani hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo kufuatia kukamatwa...

READ MORE

Viongozi Waongeza Mchanga Kwenye Magunia ya Korosho

VIROBA vya mchanga vilivyowekwa ndani ya magunia ya korosho ili kuongeza uzito tayari kwenda kuuzwa nje ya nchi vyabainika katika...

READ MORE

KISUTU: Kesi ya Rugemarila na Sethi, Mapya Yaibuka Tena

KESI ya kuhujumu uchumi na kuitia serikali hasara ya mamilioni ya pesa, inayowakabili wafanyabiashara maarufu imezidi kugubikwa na utata dhidi...

READ MORE

Chadema Warejea Ulingoni Kushiriki Uchaguzi Kinondoni na Siha

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeridhia na kurejea kushiriki wa uchaguzi mdogo wa wabunge katika majimbo ya Kinondoni na...

READ MORE

KISUTU: Kaburu Achukuliwa na TAKUKURU

TASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemchukua Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ kwa...

READ MORE

Mbeya: Sugu Azidi Kusota Mahabusu

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mbeya imezuia dhamana ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema...

READ MORE

MWAKYEMBE AZINDUA KITABU CHA HUDUMA ZA MAWASILIANO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Atashasta Nditiye...

READ MORE

VIDEO: AOKOTA SARAFU YA MAJINI AKIDHANI DHAHABU, KILICHOMKUTA…

UKISTAAJABU ya Musa, utaona ya Firauni! Mwanaume mmoja mkazi wa Chamazi, Dar, Jafari Daudi amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya...

READ MORE

Kifo cha Mama… Dogo Janja, Mkewe Uwoya Wampa Nguvu Johari – Video

SO SAD! Kufuatia kifo cha mama mzazi wa Staa wa Bongo Movies, Blandina William Wilbert Chagula ‘Johari’, Bi. Asha Chagula,...

READ MORE

MBEYA: Askari 2 Wafariki kwa Ajari, 9 Wajeruhiwa

IYUNGA, MBEYA: Askari wawili wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Kutiliza Gjasi (FFU) wamefariki na wengine tisa kujeruhiwa baada ya...

READ MORE

DAWASCO Kuwatibu, Kuwalipa Fidia Waathirika wa Moto wa Gesi Buguruni

MAMLAKA ya maji safi na maji taka jiiji Dar Es Salaam imesema imepokea majeruhi watano waliounguzwa na moto uliosababishwa na...

READ MORE

MWANZA: Afarikii Dunia Baada ya Kuigonga Ndege ya Fastjet

Mkazi mmoja wa mkoa wa Mwanza amefariki dunia baada ya kuigonga ndege ya Fastjet iliyokuwa ikiruka katika Uwanja wa Ndege...

READ MORE

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la mto Mara linalounganisha  wilaya za Tarime na...

READ MORE

Polisi Yakamata Bunduki Iliyofungwa kwa Skafu ya CHADEMA

  Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limefanikiwa kukamata silaha ya kivita aina ya AK-47 iliyotupwa na watu wanaodaiwa kuwa...

READ MORE

Dkt. Mashinji Akanusha Kuugua Ghafla na Kupelekwa Amana

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Vincent Mashinji  amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa, ni mgonjwa...

READ MORE

Fuatilia Spoti Hausi leo Saa 10:00 Jioni Kuhusu Okwi Kugoma Kucheza Simba

  SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni leo usikose kutazama wachambuzi wa...

READ MORE

Serikali Yazifutia Usajili Meli Zilizopeperusha Bendera ya Tanzania

  Serikali imetangaza kuzifutia usajili meli mbili zilizokamatwa zikisafirisha dawa za kulevya na silaha na kuzitaka kushusha bendera ya Tanzania....

READ MORE

Airtel Yagawa Bilioni 1.7 kwa Watumiaji wa Airtel Money

    KAMPUNI simu ya Airtel Tanzania leo Januari 18, mwaka huu imetangaza kugawa neema ya pesa za Kitanzania Shilingi...

READ MORE

Polisi Yafafanua Kamata Kamata ya ‘Vimini’ Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeeleza kuwa suala la kamata kamata ya watu waliovaa mavazi ambayo...

READ MORE

Viongozi 18 Watimka ACT Wazalendo, Polepole Adai CCM Itatawala Milele

SAKATA la kuhama hama vyama vya siasa hapa nchini bado linaendelea ambapo viongozi 18 wa chama cha ACT Wazalendo kutoka...

READ MORE

Walimu 28 wafukuzwa kazi

Serikali imewafukuza kazi waalimu 28 baada ya kubainikia walikuwa wakichukua mshahara muda mrefu bila kufanya kazi visiwani Zanzibar mbali na...

READ MORE

Kamati ya JPM ya Madini Yaanza Mazungumzo na Tanzanite One

Serikali imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kampuni ya Tanzanite One ambayo yanalenga kuhakikisha Tanzania inanufaika ipasavyo na rasilimali ya madini...

READ MORE

Waliopeperusha Bendera ya Taifa Kwenye Meli Washtakiwa

  WATUHUMIWA wawili akiwemo Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Breaking News: JPM Apiga Marufuku Michango kwa Wanafunzi – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 17, 2018 amepiga marufuku aina yoyote...

READ MORE

Mstaafu Aliyejiunganishia Bomba la Mafuta Afikishwa Mahakamani

MFANYAKAZI Mstaafu wa Bomba Kuu la Mafuta la Tanzania na Zambia (TAZAMA), Samweli Nyakirang’ani anayedaiwa kutoboa bomba kuu la mafuta...

READ MORE

Mfungwa Aliyesamehewa na JPM Afariki Kimiujiza Akijiandaa Kwenda Ikulu

   MACHOZI yametawala kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha maajabu cha mfungwa aliyeachiwa huru hivi karibuni kwa...

READ MORE

Juma Nkamia Azidi Kukomaa Muda wa Urais Uongezwe Kuwa Miaka 7

Mbunge wa Chemba kwa tiketi ya CCM, Juma Nkamia amefunguka na kusema amemsikia Rais kuhusu kutohitaji kufanya mabadiliko ya Katiba...

READ MORE

Watuhumiwa wa Ugaidi Arusha Wavua Nguo Mahakamani

WATUHUMIWA katika kesi ya matukio mbalimbali ya ugaidi mkoani Arusha, Leo January 16, 2018 wamevua nguo na kubaki utupu wakati...

READ MORE

Biteko Autaka Uongozi wa Chuo cha Madini Dodoma Kujitathimini

Uongozi wa Chuo cha Madini Dodoma kilichopewa ithibati kamili ya kutoa mafunzo ya umahiri yaani Competence Based Education and Training...

READ MORE

Mambosasa: Baadhi ya Wafungwa Walioachiwa na JPM Wanafukua Silaha Zao

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limedai kuwa linazo taarifa kwamba baadhi ya wahalifu walioachiwa kwa msamaha...

READ MORE