×

Kitaifa

Mmiliki wa Shule Mahakamani kwa Tuhuma za Mauaji ya Mwanafunzi

MMILIKI wa Shule ya Msingi na Sekondari ya Scolastica iliyopo mji wa Himo wilayani Moshi, mkoani kilimanjaro, Edward Shayo amefikishwa...

READ MORE

Kauli ya Zitto Baada ya ACT Wazalendo Kuambulia Patupu Kata Zote

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumatatu, Novemba 27, 2017 amefunguka kuwa, chama chao wameshapata matokeo ya...

READ MORE

Lowassa Amvaa RC Gambo, Asema Hana Mpango wa Kurudi CCM

ALIYEKUWA mgombea urais wa CHADEMA 2015 Edward Ngoyai Lowassa ambaye alihama CCM, ameweka wazi taarifa za kutaka kurudi CCM, na...

READ MORE

Breaking News: Jengo la Wizara ya Maji Labomolewa kwa Agizo la JPM (Video)

  Hatimaye Jengo la Wizara ya Maji na Umwagiliaji lililo ndani ya hifadhi ya Barabara ya Morogoro eneo la Ubungo...

READ MORE

Breaking News: Meya Ubungo Aachiwa kwa Dhamana

Meya wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob (Chadema) ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi...

READ MORE

BEATRICE SINGANO ALIVYOTUNUKIWA MASTERS (MBA)

Hongera Beatrice kufanikisha mpango wako. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya amehitimu na kutunukiwa Shahada ya Uzamili...

READ MORE

CCM Yaikamata Kaskazini, Yashinda Kata Nne Jimboni kwa Joshua Nassari

KATIKA Matokeo ya Uchaguzi mdogo uliofanyika katika kata 43 nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashariki...

READ MORE

WACHACHE WAJITOKEZA MARUDIO UCHAGUZI WA UDIWANI MBWENI, DAR

  UCHAGUZI  wa  marudio ya  udiwani  katika  kata 43 unaofanyika leo sehemu mbalimbali nchini,  umeleta  hali  ya  sintofahamu katika Kata...

READ MORE

700 WAHITIMU MAFUNZO CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU MWALIMU NYERERE

 Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo...

READ MORE

SHULE YA KIPINGU NAYO YAPIGWA MNADA

Mshereheshaji wa mnada huo (katikati) akiwapa masharti vigogo waliofikia kununua shule hiyo kwa ‘pesa mbuzi’ ya shilingi milioni 100.  ...

READ MORE

IGP SIRRO ATOA TAMKO WATAKAOHARIBU UCHAGUZI MADIWANI (VIDEO)  

  MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro amewatahadharisha wananchi kote nchini kutokuvuruga uchaguzi wa marudio wa udiwani unaotarajiwa...

READ MORE

MAHAKAMANI AKIDAIWA KUKUTWA NA ‘NYETI ZA MWANAMKE’ (VIDEO)

SALUM NKONJA (22) mkazi wa Ipililo wilayani Maswa mkoani Shinyanga leo  amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na...

READ MORE

KESI YA KINA RUGEMALIRAYAAHIRISHWA HADI DESEMBA 8

  KESI ya James Rugemalira na Harbinder Sing Sethi imeahirishwa hadi  Desemba 8 mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika.  ...

READ MORE

BREAKING NEWS: MAGUFULI AMTEUA DKT SLAA KUWA BALOZI

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, Leo Novemba 23, amemteua Dkt Willbord Slaa, kuwa balozi. Kwa...

READ MORE

Nyerere Ashtuka Kusikia ‘Vyuma Vimekaza’

NGURUMO na pepo kali zinaongezeka. Sauti za migongano ya miamba zinaendelea kuyapa shida masikio yangu, huku baridi nayo ikisumbuana na...

READ MORE

ALICHOKISEMA MBOWE KUHUSU WANACHAMA WAKE KUHAMIA CCM (VIDEO)

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amesema uamuzi uliochukuliwa na baadhi ya wanachama waliotangaza kukihama...

READ MORE

MENEJA WA NYANZA AFUNGWA MIAKA 20

ALIYEKUWA meneja wa Nyanza Commercial Farm, Dilipkumar Pater,  leo amehukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

TPB Bank Plc, Multichoice kuwapatia Watanzania DStv kwa Mkopo

              . Hafla hiyo ya kusaini makubaliano imefanyika leo jijini Dar es Salaam, ambapo...

READ MORE

MWIJAGE AZINDUA KITUO CHA USAMBAZAJI VIFAA VYA UJENZI

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijange, leo ameweka jiwe la msingi katika kituo cha usambazaji  eneo la Tabata-Matumbi jijini...

READ MORE

Tajiri Bongo Ajiandalia Kaburi Kubwa La Mamilioni

  IRINGA:Mshangao! Mganga wa tiba asili maarufu ‘dokta’ Antony Mwandulami, mkazi wa kijiji cha Itunduma Wilaya ya Njombe mkoani Iringa...

READ MORE

BREAKING NEWS: JPM AMTEUA RUTAGERUKA KUWA MKURUGENZI MKUU TANTRADE

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John  Magufuli,  amemteua, Edwin Rutageruka kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo...

READ MORE

MEYA DAR AWAONYA WANAOUZA VIWANJA MABONDENI

  MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, amewataka wenyeviti wa serikali za mitaa kuepuka kujihusisha kwenye...

READ MORE

WAETHIOPIA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU KWA UHAIAJI HARAMU

RAIA wa Ethiopia zaidi ya kumi leo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakidaiwa kuwa wahamiaji haramu.   Awali watu...

READ MORE

JUHWATA WAMPONGEZA SPIKA NDUGAI

      JUKWAA Huru la Wazalendo Tanzania (Juhwata) limempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job...

READ MORE

JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAUNGUA MOTO (Pichaz + Video)

  SEHEMU  ya jengo la kituo cha Clouds Media Group lililoko Mikocheni jijini Dar es Salaam limeungua moto leo ambapo...

READ MORE

MAADHIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA KWA KISHINDO DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa amesema ni makosa kisheria kwa mtu yeyote kutoa takwimu...

READ MORE

VIGOGO WATANO SIX TELECOMS WAFIKISHWA MAHAKAMANI

VIGOGO watano wa Kampuni ya mawasiliano ya Six Telecoms Limited  wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na...

READ MORE

SCORPION AANZA KUJITETEA TUHUMA ZA KUMTOBOA MACHO MRISHO

SALUM NJWETE maarufu kama Scorpion anayetuhumiwa kumtoboa macho Said Mrisho, jana alianza kujitetea katika kesi inayomkabili kwenye Mahakama ya Wilaya...

READ MORE

Wananchi Washerehekea Uamuzi wa Mahakama Nairobi (Video + Pichaz)

  Wafuasi wa Bw Kenyatta wakisherehekea karibu na majengo ya Mahakama ya Juu, Nairobi baada ya majaji kuidhinisha matokeo...

READ MORE

MAKONDA AISAPOTI KAMPUNI YA UKAMATAJI KAZI ZA WASANII

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameipiga jeki Kampuni ya Msama Auction Mart inayojishughulisha na ufuatiliaji na...

READ MORE

MELI YA JESHI LA CHINA KUTOA MATIBABU NCHINI

  MELI ya jeshi la majini kutoka China (Navy) na ambayo ni ya pili kwa ukubwa duniani,   imeingia nchini ili...

READ MORE

Mugabe Adaiwa Kugoma Kula, Kuzungumza

  INASEMEKANA Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amekuwa akikataa kula na kuzungumza kwa siku kadhaa sasa akiwa amepania ‘kufa kwa...

READ MORE

Sakata la Lulu, Mama Kanumba Ageuziwa Kibao!

WAKATI msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ akianza kutumikia kifungo chake cha miaka miwili jela kwa kosa la kuua bila kukusudia, wadau...

READ MORE

MAKONDA ATEMBELEA WAGONJWA WALIOPATA MIGUU BANDIA CCBRT

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amewatembelea wagonjwa 21 kati ya 35 waliotakiwa kupewa miguu ya...

READ MORE

Lema Afunguka Kinachomuumiza Katika Siasa

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameweka wazi matatizo anayoyapata kama mbunge wa...

READ MORE