×

Kitaifa

Askari 17, Viongozi 18 Wameuawa Mkuranga, Kibiti

STORI: WAANDISHI WETU|GAZETI LA UWAZI| HABARI PWANI: Idadi na watu, raia na askari polisi waliouawa kwa kupigwa risasi katika Wilaya...

READ MORE

Korea Kaskazini: Tutafanya Majaribio ya Makombora Kila Wiki

Pyongyang: Naibu Waziri wa Masuala ya Kigeni nchini Korea Kaskazini, Han Song-ryol amesema kuwa nchi hiyo itaendelea kufanya majaribio ya makombora yake, licha ya...

READ MORE

Mkurugenzi wa Jiji Arusha Atoa Semina Kwa Watendaji Wake

MKURUGENZI wa Jiji la Arusha Ndugu Athumani Juma Kihamia, amefanya kikao na watumishi wa serikali katika Kata ya Muriety na...

READ MORE

VIDEO: Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Bunge Dodoma Leo Aprili 18, 2017

Video hii ni hoja mbalimbali za waheshimiwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walivyokuwa bungeni leo. Tazama...

READ MORE

Binti Aliyedondoka Mlangoni Akidaiwa ni Msukule, Nduguze Waibuka

Na ISSA MNALLY| RICHARD BUKOS| GAZETI LA UWAZI| HABARI DAR ES SALAAM: Mwanamke aliyedondoka mlangoni kwenye nyumba ya mkazi wa...

READ MORE

Shinda Nyumba Droo ya 3, Aprili 26

ALLY KATALAMBULA | UWAZI | DAR ES SALAAM Zikiwa zimebaki siku nane ili ichezeshwe droo ndogo ya tatu ya Bahati...

READ MORE

Flaviana Matata Kweli ni Matata, Ajiachia na Wiz Khalifa, Rihanna, Keri Hilson

Mwanamitindo wa Tanzania, kupitia ukurasa wake wa Twitter, ametupia picha na video mbalimbali akiwa na mastaa wa Marekani. Flaviana Matata...

READ MORE

Mchungaji Rwakatale Amshukuru Rais Magufuli Kwa Kumteua kuwa Mbunge

Mchungaji  Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto  lililopo Mikocheni B,  Assembles of God, Dk. Getrude Rwakatale, amemshukuru Rais Dk....

READ MORE

Ujumbe wa Haji Manara Kwa Wema Sepetu

  Manchester United imeendelea kutengeneza njia ya kuignia kwenye nafasi nne za juu baada ya kuifunga Chelsea mabao 2-0 katika...

READ MORE

Mke wa Roma Mkatoliki Afunguka Tena

Mke wa msanii Roma Mkatoliki Nancy Mshana amefunguka kwa mara ya kwanza toka mume wake alipotekwa na kupatikana na kuwashukuru...

READ MORE

Uwanja wa Ndege Washambuliwa Mogadishu

TAARIFA kutoka Somalia zinaeleza kuwa mizinga kadha imerushwa dhidi ya uwanja wa ndege katika mji mkuu, Mogadishu. Shuhuda wa tukio...

READ MORE

Achana na Tukio la ROMA na Wenzake…. Mwinjilisti Dar Atekwa, Auwawa!

DAR ES SALAAM: Huku tukio la msanii wa Hip Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ na wasanii wenzake watatu kutekwa studio...

READ MORE

Waziri Majaliwa Kaagiza Mkurugenzi wa Kampuni ya 4×4 Tanzania Limited Akamatwe

Waziri Majaliwa wa kwanza (kulia) akizungumza jambo.WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema timu aliyoiunda ichunguze tuhuma za ubadhirifu kwenye Chama Kikuu...

READ MORE

Afa Kisa Goli la Simba

STORI:GLADNESS MALLYA | Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Kifo popote! Mechi ya Simba na Mbao FC iliyochezwa Aprili 10, mwaka huu...

READ MORE

Video: Duka la Kisasa la GSM Mall Lashika Moto Dar

 Magari ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yakiwa nje ya duka kubwa la GSM Mall, tayari kuzima moto uliokuwa unaunguza...

READ MORE

Video: Kiama cha wenye Vyeti feki, Watumishi Hewa Kimewadia! – Rais Magufuli

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mabweni mapya UDSM. Rais Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Rais Magufuli Akizindua Ujenzi wa Maghorofa Magomeni Kota

Rais Magufuli akihutubia Rais wa Jamhuri ya Serikali ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rasmi ujenzi wa...

READ MORE

Video: Walichokizungumza Viongozi Mbalimbali Uzinduzi wa Mabweni Mapya UDSM

HOTUBA YA WAZIRI NDALICHAKO UZINDUZI WA MABWENI MAPYA UDSM

READ MORE

Maamuzi Ya Kagera Sugar Baada Ya TFF Kuchukua Pointi Tatu

Uongozi wa Kagera Sugar umeandika barua Kwa Shirikisho  la Soka Tanzania (TFF), ukipinga klabu ya Simba kupewa Pointi tatu. Kagera...

READ MORE

Simba na Toto Kitaeleweka Leo Uwanja wa CCM Kirumba

Johnson James, Mwanza, Championi Jumamosi LEO Toto Africans inaikaribisha Simba kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa kuchezamechi ya Ligi...

READ MORE

Video: Wazazi wa Mtoto Mwenye Kipaji Wafunguka Mazito

ITHAM Mahfudh mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ambaye ana uwezo wa kuhifadhi,  kueleza na kujibu mambo mbalimbali...

READ MORE

Alichosema Rais Magufuli Baada Ya Polisi 8 Kupigwa Risasi na Kuuawa, Mkuranga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za...

READ MORE

Mwamuzi Simba, Toto azua balaa Mwanza

Sweetbert Lukonge Dar es Salaam, Championi Ijumaa KESHO Jumamosi kikosi cha Simba kitashuka kwa mara nyingine kwenye Uwanja wa CCM...

READ MORE

Ijue Siku ya Mateso ya Yesu Kristo

NA SALUM MILONGO| GPL IJUMAA KUU ni siku maalum ya mwaka ambayo waumini wa dini ya Kikristo ulimwenguni kote wanaadhimisha...

READ MORE

Maneno 20 Aliyoyasema Nape Nnauye Ijumaa Kuu

Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye asubuhi ya leo ametuma ujumbe kupitia akaunti yake ya Twitter akisema Leo ni Ijumaa...

READ MORE

Yanga Yawabadilishia Mbinu Waarabu

Wilbert Molandi, Dar es Salaam, Championi Ijumaa KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema ili wapate ushindi wa ugenini, basi...

READ MORE

BREAKING NEWS: Majambazi Waua Polisi Nane Mkuranga

Habari zilizotufikia hivi punde, zimeeleza kuwa, askari polisi nane wameuawa na majambazi huko Mkuranga, Mkoani Pwani. Habari hizo zinasema kuwa, askari...

READ MORE

Meya wa Dar Atuma Salamu za Pasaka kwa Wananchi Wake

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Charles, ametuma salamu za Pasaka kwa wananchi wake na kuwataka waumini...

READ MORE

Dkt. Ngwale Ateuliwa Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Majengo (TBA)

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa (Mb), kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa Sheria ya...

READ MORE