×

Kitaifa

KIFO CHA MTOTO NORAH, ALICHOWEKA MTANDAONI MTUHUMIWA INATISHA!

SIKU chache baada ya kufariki dunia katika mazingira yenye utata kwa mtoto Norah Mareale, mtu ambaye anatuhumiwa kuwa mhusika wa...

READ MORE

Wavuvi Watatu Wapigwa Risasi

UMATI wa wavuvi kupitia chama chao cha Wavuvi Wadogowadogo Minazi Mikinda (WAWAMI) wa jijini Dar es Salaam, wameicharukia serikali baada...

READ MORE

VIDEO: OFM KAZINI… DAKTARI ‘MUUAJI’ ANASWA!

  Jamaa aliyejitambulisha kuwa ni daktari wa hospitali moja iliyopo maeneo ya Buza jijini Dar, aliyetajwa kwa jina moja la...

READ MORE

Exclusive: Maskini Jini Kabula! Ukimsikia Utalia, Anatia Huruma (VIDEO)

  Ikiwa ni takriban miezi miwili na siku kadhaa tangu kuzagaa kwa ishu za kuugua ugonjwa wa afya ya akili...

READ MORE

Kesi ya Wema; Wakili Apinga Ushahidi wa Mkemia Mkuu

KESI inayomkabili staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu, imeahirishwa hadi Agosti 4 mwaka huu ambapo Hakimu Mkazi, Thomas Simba, atatoa...

READ MORE

Prof. Mkumbo na Mikakati ya Kuboresha Miundombinu ya Maji, Dar na Pwani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo amesema wizara yake imeahidi kuboresha huduma ya maji katika...

READ MORE

Kesi ya Wema Kuunguruma Leo Mchana

  KESI inayomkabili mlimbwende wa Bongo Movie, Wema Sepetu ambaye anatuhumiwa kwa matumizi ya bangi imeahirishwa kusikilizwa kwa muda katika...

READ MORE

Kenyatta: Nipo Tayari Kukabidhi Madaraka Iwapo Nitashindwa

  Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema ikiwa atashindwa kwa haki, Uchaguzi Mkuu wa tarehe nane mwezi Agosti, atakubali matokeo...

READ MORE

Mume: Mke Wangu Amedai Mimi Siyo wa ‘Type Yake’, Amesepa (VIDEO)

  Mwanaume aliyejitambulisha kwa jina la Samson Segeli, amefunguka ya moyoni jinsi mkewe, Ester Gaspari alivyomkataa baada ya kuishi naye...

READ MORE

Sangoma Anaswa na Mguu wa Bundi, Mkia wa Nyumbu

  Mganga wa kienyeji ‘sangoma’ katika Kijiji cha Majimoto kilichopo katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Kambona Nkana anayejulikana kwa...

READ MORE

Tanesco Yagoma Kukata Umeme Kupisha Bomoabomoa Kimara

Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limedaiwa kugomea zoezi la ukataji umeme kwenye nyumba zinazotakiwa kuvunjwa eneo la Kimara na Kiluvya...

READ MORE

Mbunge Aliyeondolewa CUF Azuiwa Kuingia Kwenye Kikao cha Madiwani

Mbunge wa Viti Maalumu (CUF) aliyevuliwa ubunge hivi karibuni Salma Mwasa amesikitishwa na kitendo cha askari wa Manispaa ya Ubungo...

READ MORE

Majadiliano Serikali, Barrick Gold Yaanza

  Majadiliano kati ya kamati maalumu iliyoundwa na Rais John Magufuli na wawakilishi kutoka kampuni ya Barrick Gold Corporation kuhusu...

READ MORE

Mbowe Aitaka Serikali Iweke Hadharani Ripoti Zote Mbili za Madini

Serikali imetakiwa kuweka hadharani ripoti zote mbili za madini zilizoandaliwa na kamati zilizoundwa na Rais John Magufuli kuchunguza uendeshaji wa...

READ MORE

‘SHINDA NYUMBA’ YATIKISA MLANDIZI

  BAHATI Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili leo ilitembelea eneo la Mlandizi mkoani Pwani ambako Mr Shinda Nyumba...

READ MORE

Mbowe Aipinga Serikali Kuwanyang’anya Viwanda Wawekezaji

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Serikali haiwezi kujenga viwanda peke yake bila kuihusisha sekta binafsi ambayo ndiyo mdau mkuu...

READ MORE

Yaliyojiri Kesi ya Askofu Gwajima ya Kushindwa Kuhifadhi Silaha na Risasi

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Agosti 30, 2017 itatoa hukumu katika kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha na risasi inayomkabili...

READ MORE

VIDEO: Bomoabomoa Mpanda ni Vilio Tupu, Mamia ya Nyumba Zabomolewa

Bomoabomoa Mpanda ni Vilio Tupu, Mamia ya Nyumba Zabomolewa Wakazi wa maeneo ya Tambukareli, Mpanda Hotel na Msasani, wamejikuta katika...

READ MORE

TANZIA: Mume wa Mbunge Mary Nagu Afariki Dunia

Profesa Joseph Nagu ambaye ni mume wa Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara, Dk Mary Nagu amefariki dunia katika...

READ MORE

Chadema Yalia na Serikali Kuhusu Mfumuko wa Bei Nchini

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Serikali imeshindwa kusimamia mfumuko wa bei ya chakula nchini kwa sababu haitambui umuhimu wa...

READ MORE

Majaliwa Aagiza TAKUKURU Kukamatwa Viongozi Jiji la Mbeya kwa Ubadhirifu

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mbeya kuwakamata, kuwahoji na kisha...

READ MORE

KISUTU: Kesi ya Aveva na Kaburu Yasogezwa Mbele

Kesi ya madai ya utakatishaji fedha inayowakabili viongozi wa Simba, Rais Evans Aveva na Makamu wake, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ imeahirishwa...

READ MORE

TANZIA: Mmiliki wa Impala Afariki Dunia

Mfanyabiashara maarufu nchini, Maleu Mrema amefariki dunia jana akiwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini. Ndugu wa marehemu,Vincent Laswai alithibitisha msiba...

READ MORE

MR SHINDA NYUMBA ZAWADI MLANDIZI LEO

  BAHATI Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili leo itatembelea eneo la Mlandizi mkoani Pwani ambako Mr Shinda Nyumba...

READ MORE

Okwi: Nisubirini Uwanjani Niwanyooshe

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amefunguka kwa sasa anaendelea na mazoezi na kikosi hicho ambapo mashabiki ambao wana hofu...

READ MORE

Kampeni ya ‘Magufuli Baki’ Kuanza ‘Soon’

  KAMPENI ya ‘Magufuli Baki’ iliyoanzishwa karibuni na mwanaharakati ambaye pia aliwahi kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Sengerema kupitia...

READ MORE

MJEMA: TUNAWATHAMINI BODABODA KAMA WAFANYABIASHARA WENGINE

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amesema kuwa waendesha bodaboda wanathaminiwa na serikali kama walivyo wafanyabiashara wengine kwani wanaingiza...

READ MORE

Mbeya: Waziri Mkuu Atoa Siku 2 Madiwani Wamalize Tofauti Zao

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewapa siku mbili Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya kumaliza tofauti zao zinazokwamisha...

READ MORE

HAI: ‘Magumashi’ Yagundulika kwa Madiwani Waliohama Chadema

  Sakata la madiwani watatu waliojiuzulu wa Chama cha Demokransia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Hai, limechukua sura mpya...

READ MORE

Breaking News: Moto Umezuka Uwanja wa Ndege wa Songwe Mbeya

Moto mkubwa umezuka katika Uwanja wa Ndege wa Songwe jijini Mbeya leo Julai 29, 2017 majira ya mchana na kuzua...

READ MORE

VIDEO: Tazama Maajabu ya Maji Kupandisha Mlima Eneo la Kijungu- Rungwe

Maajabu! Inafahamika kwamba maji hayapandi mlima lakini je, unaweza kuamini kwamba maji eneo la Kijungu, Rungwe mkoani Mbeya maji yanapandisha...

READ MORE

Fatma Karume Amshtaki Polisi Aliyemzogoa Mahakamani, Adai Fidia Bil. 1

  WAKILI wa Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Tundu Lissu, Fatma Karume amefungua kesi...

READ MORE

Simulizi ya Kutisha ya Mwanamke ‘Mla Nyama za Watu’ Mbagala

  Duniani kuna mambo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia simulizi ya kutisha, ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Amina Mpindogani...

READ MORE

Maazimio ya Baraza Kuu la CUF Lililokutana Leo Zanzibar

  Baraza kuu la Uongozi la Taifa la CUF ijumaa ya Julai, 28 limekutana kujadili mambo mbalimbali ambayo yanahusu chama...

READ MORE

JPM na Museveni Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi Bomba la Mafuta

  Tarehe 05 Agosti, 2017 siku ya Jumamosi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Breaking News: Mfanyakazi wa Acacia Akamatwa Airport Dar Akiondoka Nchini

Kampuni ya Acacia imesema kuwa mmoja wa wafanyakazi wake wa kimataifa anayefanya kazi na Pangea Minerals Limited amezuiwa kuondoka Tanzania leo...

READ MORE

Wataalam wa Mionzi Wakutana Dar Kubadilishana Ujuzi

WATAALAM mbalimbali kutoka nchi tisa wamemaliza mafunzo maalum ya siku tano yaliyokuwa yakihusu masuala ya mionzi ambapo idara mbalimbali za...

READ MORE

Ester Bulaya Ambwaga Tena Wasira Kortini

Mahakama ya Rufani imetupilia mbali rufaa dhidi ya Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya (Chadema). Hukumu ya rufaa hiyo imesomwa...

READ MORE

Picha: Mawaziri 5 Watembelea Mpaka wa Tanzania na Uganda – Kagera

  Mawaziri watano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watembelea mpaka wa Tanzania na Uganda ili kutatua changamoto...

READ MORE

VIDEO: Serikali Yatangaza Kutokomeza Homa ya Ini

SERIKALI imesema itaweka mikakati ya nguvu katika kudhibiti na kuutokomeza kabisa ugonjwa wa homa ya ini kulingana na Mpango Mkakati...

READ MORE