×

Kitaifa

Tecno Hawa Hapa Tena….Uko Tayari Kwa Jambo Kubwa?

  Kampuni inayoongozwa kwa kuuza simu bora na imara kwa bei nafuu, Tecno kila siku wanaumiza vichwa kuhakikisha kwamba una...

READ MORE

Kifo Chenye Utata cha Kigogo Mstaafu Jeshi la Magereza Uchunguzi Waanza

Dodoma: Naibu Kamishna mstaafu wa Magereza nchini (DCP), Luhusa Chiza (62) amefariki dunia katika mazingira ya utata kwenye Hoteli ya...

READ MORE

Ma-DJ wa Bongo Kuchuana Kesho Manzese

DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Muziki wa Disco Tanzania (TDMA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar...

READ MORE

Mrema Ataka Wafungwa Waliolipiwa Faini Waachiliwe

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Taifa Dk. Augustine Lyatonga Mrema akisoma taarifa yake. …Akionyesha nakala za malipo ya benki. Nakala za...

READ MORE

Waziri Mpango Mgeni Rasmi Siku ya Takwimu Afrika Kesho

Meneja Takwimu za Pato la Taifa (NBS), Daniel Masolwa, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mkutano na wanahabari ukiendelea. WAZIRI wa...

READ MORE

Rais JPM Asaini Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka...

READ MORE

Mwigulu Aonyesha Mfano kwa Wadaiwa Bodi ya Mikopo, Aanika Marejesho ya Mkopo wake

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameonyesha mfano bora kwa wadaiwa wa Mikopo ya Elimu ya Juu...

READ MORE

Lipumba Atishia Kumpiga Marufuku Maalim Seif Kufanya Mikutano Tanzania Bara

Mwenyekiti    wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema atampiga marufuku Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad kufanya...

READ MORE

Wanahabari Watimuliwa kwa Bunduki Kesi ya Lema, Mahakama Yalionya Jeshi la Polisi

Arusha: Wakati askari polisi saba watatoa ushahidi mahakamani katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema,...

READ MORE

Lwandamina Siwezi Kuwatema Wachezaji Kabla Ya Kuwaona

  Kocha mpya wa Yanga, George Lwandamina  (kushoto) akiwa na Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally. Na Saleh...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumatano Novemba 17, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumatano 17, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Makonda Amkaanga Kamanda Sirro, Adai anakula Rushwa za Wauza Shisha, Waziri Mkuu amgeuzia kibao

Dar es Salaam: Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa amesema atamwajibisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda iwapo hatasimamia...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme Dar

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Jiji la Dar es Salaam watumie fursa ya uwepo wa umeme wa uhakika...

READ MORE

Kigwangalla Akifunga Kiwanda cha Afro-American Kinachozalisha Viroba Feki

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla, ameendelea na usimamizi...

READ MORE

Mpemba Kinara wa Meno ya Tembo Aliyetajwa na Rais Magufuli Apandishwa Kortini

DAR ES SALAAM: MTUHUMIWA wa makosa ya kukamatwa na nyara za serikali, Yusuf Ali Yusuf maarufu kama Shehe Mpemba (35)...

READ MORE

Serikali Yatenga Bil 7 Kukabili Saratani ya Kizazi, Matiti

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu akiongea na wakazi wa Mwanza. Rais wa Chama...

READ MORE

Meya wa West Virginia Ajiuzulu Baada ya Kufurahia Andiko Lililomfananisha Mke wa Obama na Nyani

Meya wa mji wa Clay nchini Marekani, Beverly Whaling amejiuzulu wadhifa huo  baada ya kuunga mkono maandishi yenye ubaguzi wa...

READ MORE

Jumia Market Launches Black Friday 2016 This November

  Harrieth Mgongolwa, The Marketing Manager Jumia Market Tanzania addressing the media during the launch of Black Friday. Right is Lauritz Elmshause...

READ MORE

Video: Aeleza Alivyofungwa Miaka 26 Gerezani kwa Wizi wa Saa ya Sh 200 (Part 01 & 02)

HUNA sababu ya kujilaumu na kukata tamaa kwa sababu tu, unaamini unapitia kipindi kigumu sana katika maisha yako, kuna wengi...

READ MORE

Upelelezi wa Kesi ya Scorpion Wakamilika, Kuanza Kusikilizwa Novemba 30

DAR ES SALAAM: Upelelezi wa kesi ya kudaiwa kumtoboa macho, kumjeruhi tumboni na kumpora fedha na mkufu Said Mrisho inayomkabili...

READ MORE

Kigwangalla Anasa Kiwanda cha Viroba Feki, Dar

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla, akiwa ameongzana...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumanne Novemba 16, 2016 Yako Hapa

  Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumanne 16, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Lowassa Aeleza Kwanini Hakuhudhuria Misiba ya Sitta na Mungai

Dar es Salaam: Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametoa ufafanuzi kuhusu mjadala ulioibuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya...

READ MORE

Mbunge John Heche Anusurika Kifo Katika Ajali Morogoro

 Mbunge wa Tarime Vijijini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche leo amenusurika kifo baada ya...

READ MORE

Etihad Yatunukiwa Tuzo ya Wasafirashaji Bora Afrika

Shirika la Ndege la Etihad limeshinda tuzo ya ubora ya usafirishaji kwa daraja la kwanza na wasafirishaji bora wa mizigo...

READ MORE

Yaliyojiri Kwenye Kesi ya Lema na Mkewe Kwa Kumtukana RC Gambo

Kesi ya kumtukana Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless lema na...

READ MORE

Kituo cha Uwekezaji Kuwa Kivutio kwa Wawekezaji

KITUO cha  Uwekezaji nchini (TIC) kimetakiwa kuwa kivutio kikubwa kwa wawekezaji kwa kufanya kazi  kwa weledi  na bidii kwa kuwa...

READ MORE

Dkt. Shein Asaini Mswaada wa Sheria ya Uchimbaji Mafuta na Gesi Asilia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein amesaini Mswada wa Sheria ya Utafutaji na Uchimbaji...

READ MORE

Serikali Yatoa Mchanganuo Fedha za Maafa Kagera, Hadi Sasa Ahadi na Fedha Taslimu ni Bilioni 12.1

SERIKALI kupitia ofisi ya Waziri Mkuu leo imetoa mchanganuo kuhusu maafa ya tetemeko la ardhi lililotokea maeneo ya kanda ya...

READ MORE

Mastaa Walivyofunika Usiku Wa Mastaa Maisha Basement

Staa wa Bongo Fleva, Pam D (wa pili kutoka kulia) akiwa na Meneja wa masoko wa Maisha Basement, Geoffrey Jilla...

READ MORE

Rais Magufuli; ‘Katiba ya Warioba’ Ndiyo Jibu!

KWA Mtanzania yeyote — hususan kiongozi wa umma — mwenye nia ya kuona furaha, uadilifu na amani vikisambaa katika nchi...

READ MORE

NACTE Yafuta Leseni ya Vyuo vya Ufundi 26

  Nacte  yafuta leseni ya vyuo vya ufundi 26 20 vyasimamishiwa programu zisizosajiliwa na baraza hilo 2 vyasimamishwa kwa kutokuwa na...

READ MORE

Wadaiwa Sugu Bodi ya Mikopo Waanikwa… Majina Yao Bofya Hapa

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza orodha ya majina ya Wadaiwa Sugu ambao wamehitimu katika Vyuo...

READ MORE

Mfanyakazi wa Ndani ‘Amliza’ Mbunge Vitu vya Milioni 85 Ikiwemo Bastola, Risasi 23

Dar es Salaam: Mfanyakazi wa ndani wa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Angella Kizigha, Miraji Mkanga (41) amepandishwa kizimbani...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumanne Novemba 15, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumanne 15, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Mwijage Akaribisha Miradi Kutoka Nje

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, akizungumza na wafanyabiashara kutoka Ubelgiji. Meza kuu ilivyoonekana. Mwakilishi wa kundi la...

READ MORE