×

Kitaifa

Aliyemtukana Rais Magufuli Ahukumiwa Miaka 3 Jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa Wa Arusha,imemhukumu  Isack Habakuki(40) mkazi Wa Olasiti, kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini...

READ MORE

Dodoma: Bajeti ya JPM 2016/17 Hadharani Leo

TANZANIA kama zilivyo nchi nyingine za Afrika Mashariki, leo inawasilisha bungeni mjini Dodoma Bajeti ya Serikali ili Bunge liijadili na...

READ MORE

Bunge Lakanusha Uvumi Kuhusu Afya ya Spika wa Job Ndugai

Ofisi ya Bunge imesema Spika wa Bunge, Job Ndugai anatarajiwa kurejea nchini muda wowote akitokea India alipokuwa akifanya uchunguzi wa...

READ MORE

Zitto Kabwe Aitwa Polisi Kwa Mahojiano

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe jana tarehe 7/6/2016  aliitwa Polisi  na Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu ya...

READ MORE

Wapinzani Kuwasilisha Vipande vya Hotuba Kivuli ya Bajeti

Wakati hatua ya upinzani kumsusia Naibu Spika, Dk Tulia Ackson ikiingia siku ya nane, Kambi ya upinzani imesema leo itawasilisha...

READ MORE

Marekani yamwaga mbwa Airport Dar

Gladness Mallya na Ojuku Abraham, RISASI Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Katika kudhibiti biashara ya usafirishaji wa madawa ya kulevya nchini, ...

READ MORE

Ili Uichukue Nyumba… Sikia Siri Hii Usiyoijua

  Na Mwandishi Wetu, Risasi Mchanganyiko NAAMINI kila mmoja anaufahamu ule usemi maarufu wa bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi....

READ MORE

Sababu 7 Mauaji ya watu 8 Tanga

       Na Dege Masoli, UWAZI TANGA: Mauaji ya watu nane katika Kitongoji cha Kibatini, Kata ya Mzizima, nje kidogo ya...

READ MORE

‘Shinda Nyumba’ yatikisa Vikindu-Mkuranga

Shukuru Chamu (katikati) akielekezwa na Ofisa Masoko wa Global,Yohana Mkanda namna ya kujaza kuponi yake kushiriki bahati nasibu ya Shinda...

READ MORE

Airtel na VETA Kutoa Mafunzo ya Ustadi kwa Njia ya Simu

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu ya Ufundi...

READ MORE

NEC Iliokoa Bilioni 12 Uchaguzi wa Oktoba 25

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw.Kailima Ramadhani Kobwey...

READ MORE

Mwanakijiji Mlevi Kutozwa Faini ya Sh. 50,000

Serikali ya Kijiji cha Kikukwe, Kata ya Kanyigo wilayani Missenyi, imepongezwa kwa ubunifu wake wa kuunda Kamati ya Maadili chini...

READ MORE

Mikopo ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Joseph (SJUIT) Yafutwa

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha St Joseph (SJUIT) Kampasi ya Arusha (kilichofutiwa usajili), waliokuwa chini ya programu ya shahada ya...

READ MORE

Kanuni za Bunge zalinda posho za Upinzani

Naibu Spika, Dk Tulia Ackson. UDHAIFU wa Kanuni za Bunge katika kufafanua mambo mbalimbali ya uendeshaji wa Bunge, umeelezwa na...

READ MORE

Ugomvi wa Wazazi… Baba Amvunja Mguu Bintiye

Mtoto  Zainabu Shaban akiwa na magongo. Na Gladness Mallya, UWAZI DAR ES SALAAM: Ni shida! Mtoto  Zainabu Shaban, 16, (pichani)...

READ MORE

TRA Yakusanya Trilioni 1.032 Mwezi Mei

Ikiwa imewekewa lengo la kukusanya Sh12.054 kwa kipindi cha Julai 2015 hadi Mei 2016, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa...

READ MORE

Airtel na mhealth yawa msaada mkubwa kwa akinamama

Mratibu wa Kitaifa wa Uzazi Salama, Dr Koheleth Winani ( kulia) na Mkurugenzi Msaidizi Mkazi wa Center for Disease Control...

READ MORE

Naibu Waziri Mavunde: Nilivyomkamata Mmachinga wa Kichina

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Peter Mavunde mwishoni mwa wiki iliyopita...

READ MORE

Ofisi ya Spika Yathibitisha Kupokea Hoja ya Kumwondoa Naibu Spika

Ofisi ya Spika imepokea taarifa ya kusudio la kuleta Bungeni Hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Mambo Matatu Yanayomkera Shehe Mkuu Mwezi Mtukufu

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa Salim. Na Mwandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Mwezi Mtukufu...

READ MORE

Vigogo Wizara ya Kilimo Wadaiwa Kutafuna Mamilioni!

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba Issa Mnally na Richard Bukos, UWAZI DAR ES SALAAM: Kimbembe Wizara...

READ MORE

Migogoro vyuo vikuu ishughulikiwe mapema isingoje vurugu

Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai leo na kutuwezesha kuwasiliana kupitia kona hii. Nianze kwa kusema kwamba wiki...

READ MORE

Vyandarua vya msaada vyazua tafrani Korogwe!

Na Mwandishi Wetu, Korogwe Wananchi wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga wamezua tafrani kufuatia kulalamikia mchakato wa ugawaji wa vyandarua vya...

READ MORE

Shinda Nyumba… Nunua kuponi leo, upate nyumba kesho

KUNA mtu mmoja aliwahi kusema, ukiona miti katika mitaa inayokupatia kivuli, usidhani ilijiotea yenyewe, isipokuwa mtu mmoja, miaka mingi nyuma,...

READ MORE

Idara ya Uhamiaji yafukuza raia wa kigeni 1,796

Kaimu Kamishna wa Idara ya Uhamiaji, Abbass Irovya akitoa taarifa yake mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Mratibu...

READ MORE

Ramadhani Tukufu Iwe ya Huruma kwa Watanzania

Kiongozi wa Chuo cha Kiislamu cha Hawaza Imam Swadiq ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa Dhehebu la Waislamu wa Shia...

READ MORE

Temeke Kutoa Elimu Bure ya Ufugaji Samaki

Ofisa Uvuvi wa Manispaa ya Temeke, Ernest Kamata (kushoto) akiwa na Ofisa Habari wa Manispaa hiyo,  Lynn Chawala. Viongozi hao...

READ MORE

Global Yatoa Zawadi Kwa Wajasiriamali Arusha

  Mratibu wa semina ya wajasiriamali na mwakilishi wa Global Publishers Kanda ya Arusha, Chocks Francisco Chokala (mwenye suti)  akiwa ...

READ MORE

Polisi Mwanza Wapambana na Majambazi kwa Saa 16, Waua watatu

Watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi,wameuawa katika majibizano ya risasi na askari polisi mkoani Mwanza,alfajiri ya kuamkia jana jumapili katika mapango...

READ MORE

Bunge Kuzungumzia Sakata la Naibu Spika

KATIBU wa Bunge, Dk Thomas Kashillilah leo ataeleza kinachoendelea kuhusu kusudio la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kutaka kumwondoa madarakani...

READ MORE

Shehe mkuu atoa neno

Na Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa ametoa neno...

READ MORE

JPM Akutana na Kiongozi wa Kikomunisti wa China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kiongozi  wa Chama cha Kikomunisti cha China...

READ MORE

Historia fupi ya Muhammad Ali

Muhammad Ali . Muhammad Ali alikuwa bondia kwa sababu kuna mtu aliyemuibia baskeli yake. Alikuwa na umri wa miaka 12...

READ MORE

Rais Magufuli Amuapisha Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gerson John Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu...

READ MORE

Denti wa darasa la sita ajinyonga

Stori: Stephano Mango, Risasi Jumamosi RUVUMA: Simanzi! Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mashujaa iliyopo Mahenge katika...

READ MORE

Wasomaji Wamelikubali Toleo Jipya Gazeti la Ijumaa

    Wasomaji wa Gazeti la Ijumaa toleo jipya wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Global, Yohana Mkanda na...

READ MORE

Wanafunzi Wa Shule ya Msingi Mlimani Wanufaika na Elimu ya Afya, Usalama

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la 6 katika shule ya msingi Mlimani jijini Dar es Salaam,Wakimsikiliza Mtaalamu wa Mazingira,Usalama na...

READ MORE

Upinzani Wapanga Kuandamana Nchi Nzima Kupinga Kusimamishwa Wabunge 7

TAARIFA KWA UMMA Leo Juni 3/2016 Chama cha ACT Wazalendo Kimeelezea msimamo wake juu ya uamuzi uliofanywa na Kamati ya...

READ MORE