×

Kitaifa

Instagram yaongeza urefu wa kupost video

Watumiaji wa Instagram sasa wanaweza kupost video zenye urefu wa sekunde 60 kutoka sekunde 15 za awali. Mabadiliko hayo yamefanyika...

READ MORE

Shinda Nyumba… droo ya 3 kufanyika leo

Mshindi wa droo ya pili ya Shinda Nyumba alivyokabidhiwa pikipiki. Na Mwandishi Wetu BAADA ya kufanyika kwa kishindo kwa droo...

READ MORE

Taarifa za Watumishi Hewa Zatua Ofisi ya Rais -TAMISEMI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS Mtakumbuka kwamba leo ni siku ya 15 ya utekelezaji wa Agizo la...

READ MORE

Wananchi wa Chato Wafurika Kumlaki JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Chato, Mkoani...

READ MORE

Rais Magufuli Apata Lunch Mgahawani Air Port Mwanza Akielekea Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi...

READ MORE

Uamuzi wa MCC utawaumiza wananchi wa vijijini – ACT-Wazalendo

ACT WAZALENDO TAARIFA KWA UMMA UAMUZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA MCC WA KUSITISHA MAHUSIANO NA TANZANIA YATAWAUMIZA WANANCHI WA...

READ MORE

Sumatra na jeshi la polisi wakamata mabasi 105, 36 yafikishwa mahakamani

Meneja Mawasiliano wa Sumatra, David Mziray (kushoto) akitoa taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani).Kulia ni Ofisa habari wa Idara ya...

READ MORE

Madaktari Kushambuliwa Kwa Maneno… Waziri Ummy Anena

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu. Ndugu Wananchi, Nachukua fursa hii nikiwa Waziri...

READ MORE

Airtel fursa yafikia vijana Wilayani Ngara

Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (wa 3 kushoto) akimkabidhi Kanizio Annatory (katikati) ambaye ni miongoni mwa vijana...

READ MORE

NMB sasa yawafikia wakazi wa Katoro pamoja na Nyamongo

  Mkuu wa Wilaya ya Geita – Manzie Mangachie (kushoto) akimpongeza Meneja Mwandamizi wa Mitandao ya Matawi ya NMB –...

READ MORE

Ongea Deilee yazidi kuleta unafuu kwa wananchi

Wananchi na wateja mbalimbali waifurahia huduma ya Ongea Deilee inayotolewa na Vodacom Tanzania ambayo ilizinduliwa mapema mwezi uliopita ambayo inazidi...

READ MORE

Mashirika 110 Yasiyo ya Kiserikali Kufutwa

KUFUTWA USAJILI KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (110) KWA KUJIENDESHA KINYUME CHA SHERIA KUANZIA TAREHE 30/03/2016. Msajili wa Mashirika Yasiyo...

READ MORE

Baadhi ya abiria kwenye ndege ya Misri iliyotekwa waachiwa

ABIRIA wengi waliokuwa katika ndege ya Misri iliyotekwa nyara na kulazimishwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Larnaca kusini mwa...

READ MORE

Chaguzi Dar, Zanzibar zimekwisha; tuchape kazi

Mshindi wa Urais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Cheti cha Ushindi. Kila mmoja nchini anajua uchaguzi wa Zanzibar...

READ MORE

Rais Magufuli, Sumatra iangaliwe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. NIWAPONGEZE wote waliovuka salama katika kipindi cha Sikukuu ya...

READ MORE

Jumanne MheroNgoma: Mvumbuzi wa Tanzanite-2

Baada ya kuibiwa jiwe lake hilo la Tanzanite, akili ya Ngoma ilifanya kazi haraka na akaamua kwenda kupata leseni ya...

READ MORE

Meja Jenerali Kisanko Azikwa Dar

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Jenerali Mstaafu, January Claudio Kisanko katika makaburi ya...

READ MORE

Rais Magufuli Amuapisha Mkuu wa Mkoa wa Songwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa mkuu wa...

READ MORE

Mimi ni nani? stuka mapema

READ MORE

Ajali ya Basi Yaua 6 Iringa

WATU 6 wamekufa na  wengine  38 kujeruhiwa  vibaya  baada  ya  basi lenye  namba  za  usajili    T 798 AKV mali...

READ MORE

Miss Ubungo awapa zawadi ya Pasaka watoto yatima

Miss Ubungo 2014, Diana Joachim (kulia) akimkabidhi zawadi mtoto Anitha Constantine ambaye anayeishi katika Kituo cha Chakuwama- Sinza. Watoto wanaoishi...

READ MORE

Rais Magufuli ahudhuria ibada ya Pasaka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki...

READ MORE

Serikali: hatutateketeza Meno ya Tembo

Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne. Serikali ya Tanzania imetoa tamko kuwa kwa sasa haina mpango wowote wa kuteketeza meno ya...

READ MORE

DC Geita: Wananchi mrudieni mungu acheni mauaji ya albino, vikongwe‏

Mmoja wa Mashabiki wa Tamasha la Pasaka pamoja na mashabiki wengine waliohudhuria katika Tamasha la Pasaka lililofanyika mjini Geita Mkoani...

READ MORE

Majambazi Yaua Wawili Mwanza, Saba Wajeruhiwa

Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, SACP Justus Mamugisha, akitoa taarifa kwa wanahabari. Wanahabari wakifuatilia habari ya Kamanda Kamugisha. Mwanza WATU...

READ MORE

Mwanasheria Mkuu Zanzibar Aapishwa Rasmi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Bwana Said Hassan Said kuwa...

READ MORE

Wasanii Bongo Muvi wachangia damu Palestina

Mkongwe wa filamu, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’akishiriki zoezi la kuchangia damu. Anayemuhudumia ni muuguzi wa Hospitali ya Palestina. Mzee Chilo...

READ MORE

Dai Risiti Popote Utakapotoa Fedha Kupata Huduma

TUPO hapa kwa ajili ya kuiendeleza nchi yetu, kama tusipoiendeleza Tanzania, basi jua hakuna mtu atakayeweza kufanya hivyo, kama leo hautolia...

READ MORE

Wanakijiji Wala Nyama ya Ng’ombe Aliyegongwa na Nyoka

Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DODOMA: Hatari! Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Saji kilichopo wilayani Bahi, Dodoma wamejikuta wakila nyama ya...

READ MORE

Mutfi wa Tanzania Amuombea Dua RC Paul Makonda‏

 Mufti wa Tanzania, Abubakar Zubery (wa pili kushoto), akimuombea dua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati),...

READ MORE

Zebedayo Mafuru kuzikwa Kibamba, Dar leo

Zebedayo Maingu Mafuru enzi za uhai wake. Ndugu Asheri Mafuru, anasikitika kutangaza kifo cha ZEBEDAYO MAINGU MAFURU wa KIBAMBA DAR...

READ MORE

Wasomaji Wasubiri kwa hamu droo ya 3

BAADA ya kufanyika kwa kishindo kwa droo ya kwanza na ya pili, wasomaji wengi wameonesha kuingojea kwa hamu droo nyingine...

READ MORE

Tumekopi, tumepesti ‘Ngada’ inatunyoosha!

MOJA kati ya janga kubwa la vijana kwa sasa ni madawa ya kulevya (ngada). Kwa kipindi kirefu tumekuwa tukishuhudia vijana...

READ MORE

Magufuli okoa hiki kizazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. John Joseph, Dar es Salaam SIJAWAHI kuwa muumini wa...

READ MORE

Sarah Dumba azikwa jijini Dar

    Ndugu wa marehemu Sarah Dumba akishikilia picha ya marehemu enzi za  uhai wake.Waombolezaji wakiwa katika makaburi ya Magogoni, Kigamboni...

READ MORE

Aliyekuwa Mhasibu Mkuu Jeshi la Kuzima Moto Wahukumiwa

Aliyekuwa Mhasibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani katika jeshi la kuzima moto na uokozi na Bw. Naamini Hendry Sangiwa...

READ MORE