×

Kitaifa

Kamanda Sirro: Tumekamata Majambazi na Tunaendelea Kukamata!

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro akionesha baadhi ya silaha zilizokamatwa.Kamanda Sirro akionesha bastola zilizokamatwa...

READ MORE

Akamatwa na vipande 8 vya meno ya tembo Katavi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa Katavi Dhahiri Kidavashari akiwa ameshika meno ya Tembo aliyokamatwa nayo mtuhumiwa Nzuri Ndizu mkazi wa Kijiji...

READ MORE

Bakwata sasa kuratibu na kusimamia safari Hija ndogo

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), Suleiman Saidi Lolila, akitoa ufafanuzi wa jambo mara baada ya...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatoa Msaada kwa Mahabusu Watoto, Dar

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mahakama Kuu ya Tanzania Bw. Nurdin Ndimbe (kushoto) akimkabidhi Afisa Mfawidhi wa Mahabusu...

READ MORE

CCM Yaomba Radhi Kutokana na Maneno ya Kibaguzi Kwenye Bango, Z’bar

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja...

READ MORE

Taswira za sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Vikosi vya Ulinzi liliandaliwa rasmi...

READ MORE

Waislam nchini walaani mauaji ya Sheikh Bagir Nimr 

Sheikh Hemed Jalala akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Baadhi ya waumini wakiwa kwenye dua maalum. WAUMINI na viongozi wa Chuo...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amjulia hali Sumaye

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali ya...

READ MORE

Global yatoa mifuko 100 ya saruji ujenzi sekondari Kinondoni (Picha+Video)

DC, Makonda (kulia) akipokea mfuko wa saruji kutoka wawakilishi wa Global, Elvan Stambuli (katikati) na David Mwaipaja (kushoto). Wanahabari wakichukua...

READ MORE

Watu 331 wafariki dunia mkoani Mbeya kwa ajali za barabarani 2015

Jumla ya watu 331 wamepoteza maisha kutokana na ajali za barabarani mkoani Mbeya katika kipindi cha mwaka 2015 ikiwa ni...

READ MORE

Chadema watuma salamu za rambirambi kifo cha Leticia Nyerere

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SALAAM ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA LETICIA NYERERE Tumepokea kwa...

READ MORE

Polisi wa Usalama Barabarani, Vodacom Watoa Elimu Kwa Madereva

Msaidizi Mkaguzi Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Wilaya ya Mtwara (DTO) Ahmed Mutabuzi (wapili toka kushoto) akiwakiwaelimisha madereva...

READ MORE

Taarifa ya Uteuzi wa Wabunge Kwenye Kamati za Kudumu Za Bunge

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai. TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WABUNGE KWENYE...

READ MORE

CUF yakataa kurudia uchaguzi Zanzibar (Picha + Video)

VIDEO Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamadi (Cuf), akisoma taarifa yake mbele ya wanahabari (hawapo pichani) katika mkutano...

READ MORE

Hospitali ya Tumbi Yanufaika na Msaada wa Vodacom Foundation

Madaktari na Wafanyakazi wa Shirika la Elimu Kibaha, Mkoa wa Pwani wakiwa kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya kuwasaidia...

READ MORE

Rais Magufuli Amfariji Mama Maria Nyerere Kwa Kufiwa na Mkwewe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Mama Maria Nyerere kufatia kufiwa na Mkwe...

READ MORE

Wizara Ya Afya Yatoa Tathimini Kuhusu Ugonjwa Wa Kipindupindu

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khamis Kigwangala (kushoto) akisoma ripoti hiyo mbele ya...

READ MORE

Kesi ya Kiwia Kupinga Matokeo ya Uchaguzii Ilemela Yafutwa

Hyness Kiwia Agrey Laban ambae ni Katibu wa Highness Kiwia akizungumza na Wanahabari nje ya Mahakama. Mutabanzi Julius Lugaziya ambae...

READ MORE

JK ampongeza Samatta kwa Tuzo ya Afrika

Nahodha Mpya wa Taifa Stars na mshambuliaji wa TP Mazembe ya Congo, Mbwana Ally Samatta akimuonesha Rais Mstaafu wa Awamu...

READ MORE

Rais Magufuli amjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye Muhimbili

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya...

READ MORE

Tanzia: Leticia Nyerere afariki dunia

Leticia Nyerere enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere...

READ MORE

Mzee Majuto aibukia kwenye Bongo Fleva

Komediani the big name Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’. Gabriel Ng’osha. Vunja mbavu! Komediani the big name...

READ MORE

Ewura: Nchi  Ina Mafuta ya Kutosha

Felix Ngamlagosi (kulia) akisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani) kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Petroli, Godwin...

READ MORE

Waziri Nape Nnauye Akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari

 Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya Wakuu wa Idara ya...

READ MORE

Mwanasheria NEMC afukuzwa kazi

Nyumba ya Mchungaji Getrude Rwakatare. ..alama ya bomoa iliyowekwa na serikali kwenye nyumba hiyo.  TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU ZOEZI LA KUHAMISHA...

READ MORE

Serikali yatoa picha rasmi ya rais wa awamu ya tano

Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli itaanza kuuzwa Januari 08,...

READ MORE

Wafanyakazi Nida Wagoma Kushinikiza Kupewa Mikataba

Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda hicho wakiwa nje ya eneo la kiwanda. Wafanyakazi hao wakijikusanya kumsikiliza mmoja wao aliyekuwa akizungumza...

READ MORE

Audio: Wastara Afungukia Alivyoinadi CCM na Nyumba Zake Kuwekewa “X”

“Joto la Bomobomoa” limezidi kuapanda kwa Wakazi wa Dar es Salaam hususani wale wanaotakiwa kubomoa nyumba zao zinazodaiwa kujengwa maeneo...

READ MORE

Kadja: Rubby ‘cha mtoto’ sana kwangu

Mwanamuziki Kadijanito. Mwandishi wetu Mwanamuziki Kadijanito au ukipenda muite Kadja amefunguka kuwa, anawashangaa sana wanaomfananisha uwezo wake wa kuimba na...

READ MORE

Shilole: Tatizo nyota ndiyo maana nagandwa

Staa wa fi lamu za Kibongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’. NA HAMIDA HASSAN STAA wa fi lamu za Kibongo, Zuwena Mohammed...

READ MORE

Pam D achomolea dili la kuuza unga

Msanii wa muziki Bongo, Pamella Daff a ‘Pam D’. NA MAYASA MARIWATA MSANII wa muziki Bongo, Pamella Daff a ‘Pam...

READ MORE

Gigy adai kuporwa Ali Kiba wake

Muuza nyago machachari Bongo Gift Stanford ‘Gigy Money’. NA MAYASA MARIWATA MUUZA nyago machachari Bongo Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameonekana...

READ MORE

Kingwendu azua balaa studio

Kingwendu. Mwandishi wetu Kingwendu bana! Juzikati alitinga kwenye Studio ya Montesino Records iliyopo Buza jijini Dar kwa ajili ya kurekodi...

READ MORE

Serikali yasitisha safari za Meli ya Mv Serengeti kwa muda

Serikali imelazimika kusitisha safari za meli ya Mv Serengeti kwa muda wa siku tatu ili kupisha hatua ya matengenezo kutokana...

READ MORE

Washindi wa Droo ya Kwanza ya Shinda Nyumba Wapatikana

Mshiriki wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba, Lina Mbazi (kushoto) akipokea zawadi ya fulana kutoka kwa Mr. Uwazi. Mwakilishi...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Warioba Ikulu-Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Mh. Benjamini...

READ MORE