×

Kitaifa

Rais Samia Awazawadia Viwanja Wachezaji Twiga Stars – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewapa zawadi wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake,...

READ MORE

Benki ya NBC Yaja na Kadi Mpya, Mteja anaweza kufanya miamala hadi ya mil 40 kwa mara moja

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kadi mpya ‘NBC Visa Debit Card’ yenye kuwawezesha wateja binafsi kufanya miamala inayofikia...

READ MORE

GGML Yakabidhi Vifaa, Zana za Thamani ya Milioni 132 kwa VETA Moshi

Kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu Geita (GGML) imekabidhi rasmi zana/vifaa mbalimbali kwa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi...

READ MORE

Kijana Aliyejiuza Akamatwa

POLISI ya Kiislamu katika Jimbo la Kano inayofahamika kama Hisbah imemkamata mwanaume mwenye umri wa miaka 26 kwa jina Aliyu...

READ MORE

Tanzania Yatoa Leseni ya Uchimbaji Mkubwa wa Nickel

SERIKALI ya Tanzania leo Jumatano, Oktoba 27, 2021 imetoa leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini kwa kampuni ya Tembo Nickel...

READ MORE

Jela Miaka 15 Kwa Kuiba Ng’ombe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Makoye Juma (19) mkazi wa...

READ MORE

RPC Kinondoni Afunga Ushahidi Kesi ya Mbowe

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamshna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ramadhani Kingai ametoa ushahidi wa maelezo ya mshtakiwa...

READ MORE

Mpiga Picha wa Sabaya “Mbowe Alinipigia Simu Nikaonana Naye Usiku”

SHAHIDI wa pili upande wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Justine...

READ MORE

Anaswa Live Akifanya Mapenzi na Mbuzi

JESHI la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Emmanuel Zakaria (38) Mkazi wa Lusahunga Wilayani Biharamulo Mkoani humo kwa kosa la...

READ MORE

Rais Samia Anakabidhiwa Kombe la COSAFA na Twiga Stars – Video

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Ubingwa wa COSAFA kutoka kwa Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake...

READ MORE

Wafugaji Wamshambulia Mwenyekiti

  WATU zaidi ya 20 ambao ni jamii ya wafugaji wanadaiwa kumshambulia Mwenyekiti wa Chama Cha Ushirika wa Wakulima wa...

READ MORE

Breaking: Ajali Yauwa Wawili Arusha – Video

Watu wawili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la kampuni ya Kimotco ya jijini...

READ MORE

Kingai Aeleza Mbowe na Makomando Walivyopanga Kumdhuru Sabaya

KESI ya Uhujumu Uchumi yenye Tuhuma za Ugaidi ndani yake inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mbowe...

READ MORE

Amuachia Ujumbe Mzito Mama Yake Kisha Kujinyonga

Kijana Michael Paul (18), mkazi wa Luanzari, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, amekutwa amefariki dunia kwa kujinyonga na shuka...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maagizo Wizara ya Fedha

Rais Samia Suluhu ameitaka Wizara ya Fedha na Mipango kufanya uratibu ujulikanao kama ‘Municipal Investment Financing’ ili kusaidia upatikanaji wa...

READ MORE

Jaji Tiganga Kuongoza Kesi ya Mbowe

Jaji Joachim Charles Tiganga ndiye ataendesha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Jaji...

READ MORE

Majaliwa: Sijaridhishwa na Gharama za Ujenzi wa Kituo cha Afya Naipanga

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na gharama zilizotumika katika upanuzi wa kituo cha Afya cha Naipanga kilichopo Wilayani Nachingwea...

READ MORE

Mwingine Auawa kwa Mlipuko Uganda

IKIWA ni takribani siku moja tu tangu tukio kama hili litokee, mtu mmoja ameuawa na wengine amba idadi yao haijajulikana...

READ MORE

Kundi la IS Laua Uganda

KUNDI linalojiita Dola la Kiislamu, IS limedai kuhusika na shambulizi la bomu lililoua Mtu mmoja kwenye Mji Mkuu wa Uganda,...

READ MORE

Mapinduzi Sudan: Nyumba ya Waziri Mkuu Yazingrwa

Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdok amewekwa chini ya ulinzi nyumbani kwake baada ya Wanajeshi ambao hawajafahamika kuvamia makazi yake...

READ MORE

Dkt.Mpango akutana na Pope Theodoros II Ikulu DSM

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango jana Oktoba 24,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Baba Mtakatifu Beatitude Theodoros II (The...

READ MORE

The Cask Bar Yateketea kwa Moto – Video

The Cask Bar iliyopo Rocky City Mall Jijini Mwanza imewaka moto usiku wa kuamkia leo Oktoba 25, 2021 chanzo cha...

READ MORE

Prof. Lipumba Amdai IGP Sirro Saa Yake

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro kuitafuta...

READ MORE

Wanawake Tulikuwa Kama Daraja, Leo Tuko Wenyewe – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwa muda mrefu wanawake wamekuwa kama daraja la kuvusha...

READ MORE

Kutupa Pesa Kosa la Jinai

Wizara ya Katiba na Sheria imewatahadharisha baadhi ya watu ambao wanatupata fedha chini wakati wa kutoa zawadi kwenye sehemu zozote...

READ MORE

Mama Akamatwa kwa Kumtupa Mtoto wa Siku 3

JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limefanikiwa kumkamata mwanamke Janeth Peter (32), mkazi wa Kiwira wilayani Rungwe kwa tuhuma za kumtupa...

READ MORE

RPC Khamis: Wahamiaji Mmemaliza Chakula Chetu

  JESHI la Polisi mkoa wa Njombe linawashikilia raia 52 kutoka nchi za Ethiopia na Malawi wanaodaiwa kuingia nchini bila...

READ MORE

Machinga Makoroboi Kimeuma, Polisi Watimua Mbio – Video

WAFANYABIASHARA wadogo (Machinga) zaidi ya 5,000 waliopo katika eneo la Makoroboi jijini Mwanza licha ya kutii agizo la Mkuu wa...

READ MORE

Kigogo NIDA Afutiwa Mashtaka

MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP) amewafutia mashitaka 10 ya utakatishaji fedha washtakiwa watatu kati ya watano akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa...

READ MORE

Mimba ya Malkia Karen Bado Utata Mtupu!

Siyo stori kwamba, mrembo kunako Bongo Fleva, Malkia Karen ni mjamzito wa miezi mingi akikaribia kabisa kujifungua baada ya wadukuzi...

READ MORE

Ni Aibu Shule ya Msingi Ntanganyika Kukaa Chini

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joseph Mkirikiti amesikitishwa na kitendo cha Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kutokamilisha uwekaji madawati katika...

READ MORE

Majaliwa Asisitiza Mifumo ya Usalama Kupitia TEHAMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 170 kwa ajili ya ujenzi wa Mkongo wa Taifa katika mwaka...

READ MORE

Mama Achinja Watoto Wake Wawili – Video

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Mwanamke mmoja mkazi wa Lalago wilaya ya Maswa mkoani Simiyu ameuwa watoto wake wawili kwa...

READ MORE

Njombe: Wanandoa Wauawa kwa Kukatwa Mapanga – Video

ANES Haule (45) na mume wake Menluph Ngailo (45) wameuawa kwa kukatwakatwa mapanga wakiwa wamelala nyumbani kwao huko kijiji cha...

READ MORE

Waziri Mkuu Aipongeza TCRA kwa Kusimamia Masafa

Serikali imeitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza juhudi katika usimamizi wa Rasilimali za Mawasiliano nchini, zikiwemo namba za mawasiliano...

READ MORE

Mchungaji Aliyekataza Waumini Kutumia ARV’s Wakafariki Aomba Radhi

MHUNGAJI wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Emmanuel Mlundilwa amesema kukosa uelewa wa...

READ MORE

Makalla Awaonya Machinga Barabara ya Airport – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Amos Makalla ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaoendelea kufanya Biashara pembezoni mwa Barabara...

READ MORE

Maajabu! Binadamu Apandikizwa Figo ya Nguruwe

WANASAYANSI kutoka Marekani wamefanikiwa majaribio ya kupandikiza Figo ya Nguruwe kwa Binadamu na kugundua kuwa kiungo hicho kinaweza fanya kazi...

READ MORE