×

Kitaifa

Samia: Tutaendeleza Mazuri Yote ya Magufuli – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassana amesema Serikali yake itahakikisha inaendeleza mazuri yote yaliyokuwa yakifanywa...

READ MORE

Waziri Ndalichako Serikali Itaendelea kulinda Haki za Mtoto wa kike Kielimu

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha inalinda haki...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Watu Hawa Wachukuliwe Hatua – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassana ameagiza miradi 49 iliyokutwa na kasoro wakati wa kukimbiza...

READ MORE

Rais Samia Azuru Kaburi la Hayati Dkt. Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi, Oktoba 14, 2021 amezuru na kuweka Shada...

READ MORE

Yanga Mbaroni Tuhuma Za Mauaji

Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, linamshikilia Yanga Sesa,mkazi wa Mwanishai Meatu mkoani Simiyu kwa mahojiano kufuatia mauaji ya Machiya...

READ MORE

Ofisi za CHADEMA Zachomwa Moto – Video

Usiku wa kuamkia leo Oktoba 13, 2021 ofisi ya CHADEMA jimbo la Tunduma, Mkoa wa Songwe imechomwa moto na watu...

READ MORE

Eneo Hili la Volcano ya Tope ni Hatari Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelitangaza eneo la Kunduchi lenye Volcano ya Tope...

READ MORE

Forbes Yamtaja Rais Samia Kiongozi Thabiti

  Penresa Forbes 

READ MORE

Waziri Ummy Amlilia Mtendaji wa Mtaa Aliyeuawa Dar

Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Ummy Mwalimu amepokea kwa Masikitiko taarifa za kifo cha Mtendaji wa Mtaa wa...

READ MORE

Rais Samia Awapigia Simu Twiga Stars, Awapongeza – Video

Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga simu usiku katikati ya hafla ya Wizara ya Sanaa, Utamaduni...

READ MORE

Aibu Nzito ya Mchungaji Alawiti Watoto 13, Yamfika Mazito

HII ni aibu nzito kwa mchungaji na kanisa kwa jumla! Mchungaji Didas Mpagi almaarufu Pastor Bakulu yamemfika mazito maishani mwake...

READ MORE

RC Makalla Atuliza Mzuka wa Wananchi Waliopanga Kufunga Barabara

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewaelekeza TANROAD kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kitengo Cha...

READ MORE

Mbunge wa Kibiti Alivyotimiza Ahadi Ndani ya Kipindi Kifupi

  MBUNGE wa Jimbo la Kibiti mkoani Pwani, Twaha Mpembenwe amepata nguvu ya kurudi jimboni kwake kuwashukuru wapiga kura wake...

READ MORE

IGP Sirro Afanya Mabadiliko Makamanda wa Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro leo Oktoba 12, 2021 amefanya mabadiliko ya makamanda watatu wa jeshi...

READ MORE

Madiwani Watakiwa Kuachana na Migogoro

Buchosa, Sengerema. Madiwani wa Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza wametakiwa kuachana na migogoro ambayo inadidimiza maendeleo ya...

READ MORE

Watatu Wakamatwa kwa Mauji ya Mtendaji Dar – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mtendaji wa mtaa...

READ MORE

Waziri Ummy Apiga Marufuku Safari za Wakuu wa Mikoa – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu ametoa taarifa kuhusu Mpango wa Matumizi ya fedha za Mapambano...

READ MORE

Kilichojiri Hukumu Kesi ya Membe vs Musiba – Video

HUKUMU ya kesi ya madai ya kashfa iliyofunguliwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Mchungaji Amuua Mkewe Aliyechepuka na Kumwambukiza Ukimwi

MCHUNGAJI George Abisa kutoka katika Kaunti ya Nyamira, huko nchini Kenya anadaiwa kumuua mkewe kwa kisu baada ya kugundua alimuambukiza...

READ MORE

Mwanafunzi Kidato cha Nne Auawa Akigombania Mwanamke Baa

Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya upili ya Kapsinendet kaunti ya Bomet nchini Kenya amefariki dunia baada ya...

READ MORE

Afariki Kwa Kuanguka na Pikipiki Mtaroni

KIJANA Joseph Mushi mkazi wa Ndembezi Manispaa ya Shinyanga, amefariki dunia mara baada ya kuanguka na pikipiki kwenye Mtaro uliopo...

READ MORE

Miaka 6 ya Halotel Yatua MOI, Wagonjwa Wapata Msaada

    Kampuni ya simu ya Halotel na wafanyakazi wake leo wamewatembelea watoto wenye changamoto ya kiafya ya vichwa vikubwa...

READ MORE

GGML Yakabidhi Jengo Jipya la Ofisi kwa Kamanda wa Polisi Geita

Katikajitihada za kuboresha mazingira bora ya kufanyia kazi kwa taasisi mbalimbali zaSerikali, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imekabidhi...

READ MORE

Benki ya Exim Yaandaa Chakula cha Jioni kwa Wateja Wake Iringa

Iringa; Oktoba 11, 2021: Benki ya Exim Tanzania, mwishoni mwa wiki iliandaa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja...

READ MORE

Mawaziri wa Elimu Bara, Zanzibar na Bodi Tume ya Taifa ya UNESCO Wakutana

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amezitaka Taasisi zilizo chini ya Wizara kufanyia kazi kikamilifu yale...

READ MORE

Wasiojulikana Wavamia Ofisi ya Mtendaji Dar, Wamuua kwa Mapanga

Mauaji ya kutisha yametokea eneo la Mbezi Msumi mkoani Dar es Salaam baada ya watu wasiofahamika kudaiwa kuvamia ofisi za...

READ MORE

Rais Samia Awaonya Wanaotaka Kujua Rangi Yake Halisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali kuanzia Mawaziri hadi Wakurugenzi...

READ MORE

Ukilikoroga Nakutumbua Bila Kutazama Kabila – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema amewataka viongozi mbalimbali  wa serikali kwenda kutumikia wananchi...

READ MORE

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Atoa Msaada Kilakala Sekondari

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna amefichua siri ya mafanikio yaliyopelekea kuongoza taasisi kubwa ya...

READ MORE

CCM Yawaonya Askari Kunyanyasa Wananchi

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kukomeshwa mara moja vitendo vya unyanyasaji...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Wadeni Watatu wa Exim Kukamatwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania (Idara ya Biashara) jijini Dar es Salaam imeagiza kukamatwa kwa wadeni watatu wa benki ya Exim...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Fimbo ya Mwalimu Nyerere

WATU wengi waliobahatika kumuona aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere walikuwa wanamuona...

READ MORE

Ndege ya Uswisi Yatua Tanzania Kuanza Safari Zake

Ndege aina ya Airbus A343 ya Shirika la Ndege la Uswisi EDELWEISS, imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Polisi Waliofukuzwa Kazi Walikuwa Wakikimbiza Magendo ya Sh 30,000

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema tukio la polisi saba waliovuka mpaka na kuingia nchini Malawi...

READ MORE

Mwanamke Auawa kwa Mapanga

Serengeti. Watu watatu ambao hawajajulikana wamemuua Sikujua Maghembe (51) mkazi wa Kitongoji cha Nyakitono Kijiji cha Makundusi Kata ya Natta...

READ MORE

Rais Mwinyi Apokea Ndege Mpya 2 – Video

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi amezipokea ndege mpya 2 za Serikali...

READ MORE

Dozi Nyingine 576,558 za Chanjo Zatua Nchini – Video

SERIKALI ya Tanzania imepokea dozi nyingine 576,558 za chanjo dhidi ya Uviko-19 aina ya Sinopharm kutoka China. Dozi hizi zimeletwa...

READ MORE

Uingereza Yaiondolea Zuio Tanzania

SERIKALI ya Uingereza imeondoa zuio la kusafiri kwa abiria kutoka Tanzania na nchi zingine 46 zilizokuwa zimepigwa marufuku mapema mwaka...

READ MORE

Waziri Mkuu Amsimamisha Kazi Afisa Mipango Liwale

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Bw. Omary Chingwile ili kupisha uchunguzi...

READ MORE

Aliyekatwa Mkono 2015 Aomba Msaada

LEMI Luchumi mwenye ulemavu wa ngozi, ambaye alikuwa mkazi wa Mamba, Mlele mkoani Katavi na kuhama kijijini hapo baada ya...

READ MORE