×

Mahaba

Inawezekana vipi uue, ujeruhi kisa hasira zako?

MAKALA: Na Amran Kaima | RISASI MCHANGANYIKO  | JITATUMBE NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia ukurasa huu ambao pamoja...

READ MORE

Shoga; Kumbuka Huu ni Mwezi Mubashara!

HAYA sasa shoga yangu sema wewe maana nikisema mimi utasema nasingizia, nasengenya, naona wivu, upo? Ni Jumanne tena nyingine tulivu...

READ MORE

Ndoa Siyo Nguo ya Kujaribisha na Kuacha

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA| XXLove NINA kila sababu ya kumshuku ru Mwenyezi Mungu kwa wema wake, kwa...

READ MORE

Wengi Wanaachika kwa Kutikisa Kiberiti, Jifunze!

Na ERICK EVARIST |RISASI JUMAMOSI| LOVE STORY “MWANAMKE wangu ukimuambia naomba uwe unazima friji kwa kipindi ambacho halina ulazima, huwa...

READ MORE

Acha Papara, Usikubali Wakuachie Majuto

NINA hasira kama nini hapa mnaponiona, yaani nimevurugwa kabisa. Mwenyewe nilijua timu yangu ndiyo tunachukua ubingwa msimu huu, mara eti...

READ MORE

Shoga chakula hakiliwi gizani

EEE heiiyaaa…shoga yangu ni Jumanne nyingine tamu hadi kumoyo, tumekutana tena. Najua wengi mtakuwa na furaha kwa kuwa leo ndo’...

READ MORE

Mali ya Bahili Huliwa na Wadudu- 2

SIKUTAKA kuendelea kuwaza zaidi huko kwa kuhofia kujitia wasiwasi na fadhaa. Nilitaka niwaze jinsi ambavyo ningeweza kulimaliza lile tatizo bila kuleta...

READ MORE

Umejifunza Nini Baada ya Kupata Mpenzi Sahihi?

Na Boniphace Ngumije| CHAMPIONI JUMAMOSI NI jambo jema kumshukuru  Mungu kila tuamkapo, tutembeapo na tuwapo katika shughuli zetu mbalimbali za...

READ MORE

Chuchu: Mtoto Ameongeza Mahaba kwa ‘Baby’

STORI: IMELDA MTEMA | RISASI MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kiume (Jayden),...

READ MORE

Wee’ Acha Maneno, Weka Muziki-5

ILIPOISHIA: WIKI iliyopita mpenzi msomaji tuliishia pale kijana machachari Frank akiwa ameshafika safari baada ya kumruhusu Selina atangulie kufika. Frank...

READ MORE

Ni Funzo Kubwa…. Liruhusu Likae Moyoni Mwako

Kuna jamaa alikuwa masikini sana mkoani Kigoma. Alikuwa akiishi na mke wake huku wakiwa na mtoto wao mdogo. Kutokana na...

READ MORE

Mmeshindwa kupata watoto? Soma hapa – 2

…Wapenzi wenye mgogoro katika mahusiano. NI Ijumaa nyingine ninapokukaribisha mpenzi msomaji kwenye ukurasa huu, mada yetu ni ile iliyoanza wiki...

READ MORE

Unafanya yapi kuzuia mpenzi wako asikusaliti?

Ni kweli mapenzi ni imani, yaani kuamini kwamba uliyenaye anakupenda hata kama ukweli unaweza usiwe hivyo. Wengi walio na wapenzi...

READ MORE

Wee’ Acha Maneno, Weka Muziki-5

ILIPOISHIA: WIKI iliyopita mpenzi msomaji tuliishia pale kijana machachari Frank akiwa ameshafika safari baada ya kumruhusu Selina atangulie kufika. Frank...

READ MORE

Kwa nini uchoshwe na chakula cha usiku?

Uhali gani shoga yangu? Kiafya mwenzako kama ulivyoniacha jana, kama ni mzima ni jambo la kumshukuru lakini pia kwa wale...

READ MORE

Kwa Hizi Tabia, Huwezi Kujiita Mwanamme

Huwezi kujiita mwanamme kama hujui wanao wanakula nini? Huwezi kujiita mwanamme kama hujui kama nguo walizovaa wanao pesa imetoka wapi?...

READ MORE

Ukiona anang’ang’ania mapenzi ya siri, ujue ana lake jambo

Uhali gani mpenzi msomaji, leo utakuwa nami, Lulu Diva, wengi wananifahamu kwa sababu ya kazi yangu ya uanamitindo, na msanii...

READ MORE

Tukutane tena wiki ijayo! Kuelekea kuuaga mwaka 2016, unalitathiminije penzi lenu?

Umebaki muda mfupi kabla ya kuuaga Mwaka 2016 na kuingia Mwaka Mpya wa 2017! Ni suala la kila mmoja wetu...

READ MORE

Mpenzi Wako Anapokusaliti, Lazima Ujifunze Kitu

Mpenzi msomaji wangu, bila shaka uko poa kabisa, bila kukupotezea muda wako twende moja kwa moja kwenye mada ambayo nimekuandalia...

READ MORE

Unapoachwa Ni Muda Muafaka wa Kufikia Malengo -2

Mpenzi msomaji sote tuseme asante kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo analotutendea katika maisha yetu ya kila siku. Pasi na...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumanne Novemba 15, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumanne 15, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Unapoachwa Ni Muda Muafaka Wa Kufikia Malengo Yako!

Na Gabriel Ng’oshaMpenzi msomaji ni Jumatatu nyingine murua ambayo mwenyezi Mungu ametujalia, hivyo hatuna budi kumshukuru kwa hilo. Bila kupoteza...

READ MORE

Mmeoana ili mgawane vyumba au Vitanda?

KARIBU tena jamvini mpenzi msomaji wangu wa makala za XXLove kwa ajili ya kupata chakula cha ubongo ili uelimike na...

READ MORE

Kwa nini mapenzi yakupe huzuni kila siku?

Jumamosi iliyopita, nikiwa katika pilikapilika za kila siku, nilipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kwa jina moja la Nancy. Kwa...

READ MORE

Anakupiga Mzinga? Hii Inakuhusu!

U hali gani msomaji wangu wa safu hii ya Sindano za Mahaba. Mi mzima naendelea vyema na kazi, kwa wagonjwa...

READ MORE

Mwari we Unakimbilia Kwa Waganga, Nani Kakuroga?

Mmh! Kweli tuna macho lakini  hatuoni, tuna masikio lakini hatusikii tukiitwa masanamu tutakasirika? Nasema tena kwa mdomo mpana baadhi yetu...

READ MORE

Shoga: tui la nazi lazima lionjwe!

SHOGA yangu u hali gani? Ni Jumanne nyingine tena tulivu imefika na tumekutana kwenye kona yetu hii inayowaelimisha wengi hususan...

READ MORE

Utatakaje upendwe wakati mwenyewe hujipendi?-2

Uhali gani msomaji wangu, nakukaribisha tena kwa moyo mkunjufu kwenye ukurasa wetu huu mzuri. Wiki iliyopita tulianza kujadiliana kuhusu mada...

READ MORE

Ufanyeje unapompenda aliyependwa?

KWANZA nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ameniwezesha kuandika haya tena wiki hii tukiwa wazima. Lakini pia tumshukuru kwa kutuletea...

READ MORE

Shoga, mung’unya likikomaa haliliki!

Mmh! Makubwa madogo yana nafuu, kwa kweli katika tunda ambalo hunisikitisha maishani mwangu ni Mung’unya. Tunda hili ukitaka kulila liwahi...

READ MORE

Shoga; chakula hakiliwi kwa kufunikwa!

NAAM ni siku nyingine tena tumekutana katika kona yetu hii. Kwanza nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema natumai na...

READ MORE

Penzini, kazini, nyumbani, kila kona stress, duh!

MPENZI msomaji karibu tena kwenye Jamvi la XXLove. Ni Jumatatu nyingine tena tumepewa kwa kudra za Mwenyezi Mungu kwa ajili...

READ MORE

Mjue mpenzi mkorofi

NAAM ni siku nyingine tena tumekutana katika kona yetu hii ya Sindano za Mahaba. Kwa wale wazima kama mimi ni...

READ MORE

Shoga, Ona Aibu kuwa jike shupa

Kama kawa kama dawa, najua sasa hivi kila mtu yupo bize kwa vile kila kitu ni mwendokasi na mimi nawasalimia...

READ MORE

Chunga Tabia zako za asili ‘zitakukosti’ kwenye mapenzi!

MPENZI msomaji wa XXLove tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha kwa mara nyingine Jumatatu hii murua, tukiwa wenye siha tele. Tunasema...

READ MORE

Unatarajia kuoa/kuolewa? hii inakuhusu-3

NAAM tumekutana tena katika kona yetu hii ya Sindano za Mahaba. Kwa wale wagonjwa niwape pole Mwenyezi Mungu ataonesha njia...

READ MORE

Shoga; kuimba uwanjani kunaongeza upendo

Naamini wote mpo salama na kwa wale wagonjwa nawaombea Mwenyezi Mungu awape nguvu mtapona. Wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu wale mashoga...

READ MORE

Kumsifia mume/ mkeo kwa marafiki unakosea!

KAMA kawaida ni siku nyingine tena tunakutana katika kujadili mada za kuhusu maisha yetu ya kila siku kwenye uhusiano wa...

READ MORE

Nani kasema mwanamke aliyezaa haolewi?

Karibuni wapenzi wanajamvi. Ni siku nyingine tumepewa na Mungu tuweze kupeana elimu katika safu yetu hii ya uhusiano. Ninaamini Mungu...

READ MORE

Shoga, mbuzi yake kamba mnyororo unamuonea

Jamani shoga wa mie waooo naona kicheko hadi gego la mwisho kama vile huamini, ndiye mimi Nasra binti Kisoda mjukuu...

READ MORE