×

Mahaba

Unaijua thamani yako kwenye mapenzi?

KUNA wakati inatokea kwenye uhusiano, mmoja wao (hasa mwanamke) akadhauriwa na mpenzi wake na kuonekana wa kawaida tu. Athari kubwa...

READ MORE

Nani kakwambia utamu wa dodo kula na maganda?

SILAHA ya mwanamke ni kujua kuchamba haswa kama unayo maneno bibi. Sio unamchamba mtu kwa maneno ya kwenye kamusi inahusu?...

READ MORE

Shangingi Mstaafu: Raha ya Ndizi Ujue Kumenya!

SILAHA ya mwanamke ni kujua kuchamba haswa kama unayo maneno bibi. Sio unamchamba mtu kwa maneno ya kwenye kamusi inahusu?...

READ MORE

Kuna Madhara ya Kumpenda Mtu Sana!

UKIPATA bahati ya kuzungumza na watu wengi juu ya suala la kumpenda mtu sana, ile penda ya kupitiliza, kila mmoja...

READ MORE

Madhara ya wapenzi kugombana na kununiana mara kwa mara-2

MADHARA Karibu tena katika ukurasa huu mzuri. Wiki iliyopita tuliianza mada hii kama inavyojieleza hapo juu. Nilianza kwa kukupa ushuhuda...

READ MORE

Ukikosa sababu; usivumilie kwenye Mapenzi

NIMEWASIKIA washauri wengi wakisema uvumilivu ni kitu muhimu katika mapenzi! Bila shaka hata wewe umewahi kuambiwa na wazazi au rafiki...

READ MORE

Ni sahihi kuoana kwa sababu ya UJAUZITO?-2

WEWE ni mwerevu kwa kuchagua kusoma ukurasa huu. Nakuhakikishia uamuzi wako ni sahihi kwa sababu baada ya hapa, utakuwa umeongeza...

READ MORE

Moto hafunikwi shuka

  MIMI sihitaji mkeka; kwani nataka kuswali? Miye hata chini naketi, kikubwa ujumbe ukufike bibiye upooo!?  Kuna mwenzenu mmoja kaninukisha...

READ MORE

UMEBEBA nini kwenye safari yako ya mapenzi?

TAMBUA kuanzia leo kwamba mapenzi ni safari; inayohitaji tafakuri na mazingatio.  Kusafiri bila kujua uwendako ni balaa kubwa; lakini hata...

READ MORE

Anakunyima ‘chakula cha usiku’ bila SABABU-2

INAPOTOKEA mwenzi wako akawa na tatizo kama tulivyoanza kujadiliana wiki iliyopita, jambo muhimu la kwanza unalotakiwa kulifanya, ni kutafuta chanzo...

READ MORE

Ni sahihi kuoana kwa sababu ya UJAUZITO?

WAKATI wa kuongeza kitu ubongoni kuhusu uhusiano na mapenzi umewadia. Ni imani yangu kuwa kila wakati umekuwa ukijifunza mambo mbalimbali...

READ MORE

Ubora wa radio iwe na pa kuzimia

SHOGAANGU miye upooo? Nishaupiga mswaki tena, ruksa kukupasha; ukiwa na nongwa ya senene kuficha kichwa watu watakuchezea mkia, heee heeeyaaa. ...

READ MORE

UMEKINAI UHUSIANO WAKO? PATA ELIMU HAPA!

 UKIPATA bahati ya kuzungumza na watu wengi waliopo kwenye ndoa au uhusiano wa kimapenzi au waliopo kwenye uchumba, wengi watakwambia...

READ MORE

Anakunyima ‘chakula cha usiku’ bila sababu? SOMA HAPA!

IJUMAA nyingine imewadia, bila shaka msomaji wangu uko sawa kimwili na kiakili, kwa wewe ambaye mambo hayaendi sawa, nakuombea Mungu...

READ MORE

UKIANGALIA MBELE UTAYAFURAHIA MAISHA YA UHUSIANO!-2

“KWELI jamaa amepatikana, mwanamke gani huyo anatembea naye? Halafu nasikia ana mpango wa kumuoa, yule si mwanamke hata kidogo. Ni...

READ MORE

Uzuri wa uwanja usafishwe

PAAAMBE SHOGA… wanakwambia mfuniko wa soda hautunzwi na ukitaka kujua kanga ina umuhimu nenda ukweni na taiti, upo nyonyo? Heee...

READ MORE

Hisia 8 za kuepuka katika mapenzi

MIONGONI mwa vitu vinavyochangia kuharibu uhusiano wa kimapenzi ni hisia mbaya. Wapenzi wengi wameachana kwa sababu si kwamba walithibitisha ubaya...

READ MORE

Kuzaa Bila Mpango ni Tatizo Jifunze

      KUNA asilimia kubwa kwa mwanamke kuweza kujua siku zake za hatari za kupata ujauzito japo pia, wapo...

READ MORE

FANYA MAMBO HAYA KUMFURAHISHA MUWAPO FARAGHA- 2

WIKI iliyopita tulianza kujadiliana kuhusu mambo ambayo ukiyafanya kwa ukamilifu muwapo faragha, utamfurahisha mwenzi wako na kumfanya kila siku awe...

READ MORE

UKIANGALIA MBELE UTAYAFURAHIA MAISHA YA UHUSIANO

HELLO marafi ki! Naamini mtakuwa poa kabisa na maisha yanaendelea kwa kasi kama kawaida. Mimi kwa upande wangu ni mzima...

READ MORE

Shoga usipojitambua utasema umerogwa!

WANAKWAMBIA nazi nazi tu hata ivunjwe uile haiwezi kuwa embe, upo nyonyo? Heee heeeiya nashanga unavaa mini msibani kwenye sherehe...

READ MORE

Unakubalije Ndoa na ‘Chui’ Aliyeficha Makucha?

NI wiki nyingine tunakutana tena kupitia ukurasa huu nikiamini kwamba umzima, bukheri wa afya na unaendelea nyema na maisha yako...

READ MORE

Amani ya moyo ni muhimu, itafute kwa gharama yoyote!

WATU wanateseka sana kwenye mahusiano kwa kuipoteza amani ya moyo. Wanaishi kwenye maugomvi, wanapoteza kabisa muelekeo kutokana na visa mbalimbali...

READ MORE

Tatizo la kupoteza hamu na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa!

 HALI hii huwatokea wanaume na wanawake. Ni tatizo linaloathiri uwezo wa kisaikolojia na kimwili wa mtu yeyote aliye katika umri...

READ MORE

Unahakika uliyenaye ni wa ndoto zako? -3

HII ni mada itakayo-kusaidia kukuondoa kwenye giza na kukupa maarifa mapya kabla ya kuanzisha uhusiano lakini pia kujua aina ya...

READ MORE

Wapenzi waliogombana, tiba ni hii hapa

 KUGOMBANA ni jambo ambalo halikwepeki katika uhusiano wa kimapenzi. Upo ugomvi ambao ni wa kawaida na huisha kirahisi lakini upo...

READ MORE

KUNA WATU, KUNA WAUAJI KWENYE MAPENZI,JIELIMISHE

 NI Jumatatu nyingine tunakutana kwenye darasa letu. Hapa tunajifunza na kupeana misingi ya kuhusu masuala mbalimbali ya uhusiano na maisha...

READ MORE

MNAOCHAGUA WA KUWAOA SOMENI HII

ZAMA hizi ni za kusaidiana kwa kila kitu. Kama wewe ni binti ambaye unatamani na unataka ukute au upate mwanaume...

READ MORE

Acha kutamani vya nje, mtengeneze wako awe bora!

NI Ijumaa nyingine tuliyoj-aaliwa na Mwenyezi Mungu. Karibu kwenye uwanja wetu huu wa kupeana elimu juu ya uhusiano na maisha...

READ MORE

Dela la kuazima Halichafuki

WANAKWAMBIA ndege wafananao huruka pamoja nashanga wee bundi sijui utaruka na nani? Hehe heeeiyaaaaaa! Shoga mji wa moto huu, unaweza...

READ MORE

Kabla ya Kufikiria Harusi, Weka Haya Akilini!

WENGI wakiwaza kuhusu kufunga ndoa, mawazo yao huenda moja kwa moja kwenye namna sherehe ya harusi itakavyokuwa! Anataka gari kali...

READ MORE

Makosa Ya Wanawake Yanayosababisha Waume Zao Wachepuke

NI SIKU nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, kujuzana na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi....

READ MORE

Mnaotamani watoto kwa nguvu, hii inawahusu!

KADIRI miaka inavyozidi kuyoyoma, wimbi kubwa la wanawake kutaka kuzaa limezidi kuongezeka. Hii inatokana na suala zima la umri. Mwanamke...

READ MORE

Mahaba: Punguza Moto Wali Uive

HALOOOO eeeehhh shoga wanakwambia mjini raha jipe mwenyewe, hata kama mtu mzima nunua pampas kisha jikojolee, kwani bei gani! Unajifanya...

READ MORE

Umepoteza matumaini ya ndoa? Elimika!

UKIFANYA tathmini ya ndoa nyingi, ni wachache sana ambao watakuambia wanazifurahia. Wengi watakuambia wapo kwenye mateso mazito, wanatamani kutoka. Matatizo...

READ MORE

Wanaume Wanavyolizwa Magroup ya WhatsApp

WIKI iliyopita sehemu ya kwanza ya ripoti hii ilieleza jinsi ambavyo wanaume wakware wanaopenda ngono na kuchepuka wanavyolizwa kupitia ‘ma-group’...

READ MORE

Hata ukifanyia gizani, dunia haina siri

NI siku nyingine nzuri tunapokutana kwenye ukurasa huu, mahali ambapo tunajadiliana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

Namna ya kugundua, kuepuka utumwa wa Mapenzi

MUNGU yu mwema, kwa uwezo wake tunakutana tena leo hapa kwenye ukurasa wetu ambao tunajifunza kuhusu uhusiano na mapenzi. Naamini...

READ MORE

Jinsi ya kujinasua kwenye maumivu ya kuachwa

MARA nyingi sana inapotokea umejeruhiwa penzini, hususan na mtu ambaye ulikuwa na malengo naye, ni vigumu mno kupenda tena.  Ni...

READ MORE

Ebitoke Asimulia Alivyoanza Mapenzi Na Mlela

MIONGONI mwa stori zenye wafuatiliaji wengi kuhusu mastaa wa Bongo ni ‘couple’ mpya jijini inayowahusisha waigizaji Ebitoke na Yusuph Mlela...

READ MORE