×

Maisha

Uvumilivu Una Kikomo, Hata Kama Ni Mzuri Vipi Bora Umuache!

KUNA huu msemo usemao, mvumilivu hula mbivu. Hakuna ambaye ni mgeni wa msemo huu, hukuna asiyejua elimu tunayoipata kutokana na...

READ MORE

Marafiki, Wanajenga, Wanabomoa Uhusiano, Jifunze!

DUNIANI tunaishi kwa kutegemeana. Kwenye maisha kila mtu anamhitaji mwenzake kwa namna moja au nyingine. Anahitaji msaada wa mawazo, ushauri...

READ MORE

Madhara Ya Kumchunga Mpenzi Wako Bila Sababu!

  MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo...

READ MORE

Silaha 5 za Mwanamke Kumteka Mwanaume Kimapenzi

KATIKA maisha ya mapenzi watu wanapaswa kuelewana na kusikilizana mno. Hii ndiyo silaha kubwa zaidi kuliko zote na rahisi zaidi...

READ MORE

Madhara ya Wapenzi Kugombana na Kununiana Mara kwa Mara

MWISHONI mwa wiki iliyopita, nilipata bahati ya kukutana na mmoja kati ya wasomaji wangu wa siku nyingi ambaye amekuwa akiufuatilia...

READ MORE

Hata Kama Upo Naeye Kwenye Ndoa, Unapaswa Kumpa Uhuru Wake

  HATA Jinsi tulivyoumbwa, kila mmoja anapenda sana kuwa na ule uhuru wake wa faragha au kwa Kingereza wanaita privacy....

READ MORE

Kuna Maisha Baada Ya Kutendwa Soma Hapa Ujinasue!

MARA nyingi inapotokea umejeruhiwa penzini hususan kwa mtu ambaye ulikuwa na malengo naye ni vigumu sana kupenda tena. Ni vigumu...

READ MORE

Utajuaje Kama Umempata Mtu Sahihi? Soma Hapa

YAWEZEKANA kwa kipindi kirefu ulikuwa ukitamani kumpata mpenzi wa kweli ambaye atakupenda na kukufanya uyafurahie mapenzi na maisha kwa jumla....

READ MORE

Faida Za Wapendanao Kuwa Marafiki

UTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye...

READ MORE

Hakuna Mkamilifu, Msaidie Mwenza Wako Kubadilika!

DUNIA ya sasa kumpata mtu mwenye mapenzi ya dhati, mwenye moyo wenye huruma, anayejali na ambaye ana hofu ya Mungu...

READ MORE

Sifa 5 Za Mwanamke Ambaye Ni ‘Wife Material’

WIKI hii nitazungumzia sifa tano za mwanamke ambaye anastahili kuwa mke au kwa kizungu tunasema ‘wife material’. Nafanya hivi ikiwa...

READ MORE

Fahamu Namna ya Kulala Vizuri Wakati wa Ujauzito

MOJA ya mambo muhimu licha ya hali unayopambana nayo kama mjamzito ni ambavyo unalala hasa katika miezi mitatu ya mwisho...

READ MORE

Aina 10 Za Wanawake Wanaopendwa Na Wanaume

KARIBU jamvini mdau, ni siku nyingine tunakutana tena hapa kupeana elimu ya uhusiano wa kimapenzi na maisha kwa jumla. Nimekwishaeleza...

READ MORE

Usimuache kwa udhaifu wake, utampata wapi mkamilifu?

WATU wengi ambao wana matatizo katika ndoa au uhusiano wao wa kimapenzi, wanapokuja kwangu kwa lengo la kutaka ushauri, huwa...

READ MORE

Kuna Wakati Penzi Linakufa Jiandae Kwa Maamuzi Magumu!

KUNA wakati unafika, moyo huwa unakinahi. Hautaki tena kusikia kitu kinachoitwa mapenzi, hicho ni kipindi ambacho kinasababisha maumivu makubwa kwa...

READ MORE

Ukiwa Kwenye Ndoa, Mazoea Na Watu Wa Nje Ni Sumu Hatari

“MIMI nipo kwenye ndoa, huu ni mwaka wa tatu sasa. Tatizo lililonifanya niombe ushauri, mume wangu ana kawaida ya kuwa...

READ MORE

Jinsi Ya Kumpata Mwenza Katika Dunia Iliyojaa Wajeruhiwa

ULIMWENGU wa sasa, wapendanao wengi wanaishi kwa machale. Ni staili ile ya mguu pande, mguu sawa. Kwamba ukimzingua, anakuzingua. Mwaga...

READ MORE

Mbinu Sahihi Kwa Anayetaka Kuolewa!

Maisha yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Matokeo yake wengi...

READ MORE

Njia Tano Za Kudumisha Uhusiano Kimapenzi

UKWELI ni kwamba mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu ambavyo vinajulikana kuchangia katika kuboresha uhusiano baina ya...

READ MORE

Kuna Wakati Mapenzi Yanafika Mwisho, Usilazimishe!

NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya. Ni matumaini yangu kwamba na...

READ MORE

Haolewi? Hujui Sababu? SOMA HAPA!

  KUOLEWA au kutoolewa ni majaaliwa ya Mungu lakini zipo sababu ambazo zinaweza kumfanya mwanamke akawa anatanga na njia kila...

READ MORE

Mapenzi Huwa Yanafika Mwisho, Kubaliana Na Ukweli

 NIANZE kwa kumshukuru Maulana kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya. Ni matumaini yangu kwamba na...

READ MORE

Kwa nini Wanaume Wanaongoza kwa Usaliti?

UHUSIANO wa kimapenzi, ni jambo gumu sana. Ugumu wake unatokana na ukweli kwamba, mwanaume aliyezaliwa na kulelewa katika mazingira tofauti...

READ MORE

WAOGOPE WANAWAKE WA AINA HII !

KATIKA kuangalia tabia za wanawake, ni vyema ukawa chonjo kwani ukiingia chaka wanaweza kuyafanya maisha yako ya uhusiano kuwa balaa....

READ MORE

Unavyoweza Kutumia Simu Kuboresha Penzi

TUNAISHI katika dunia ya utandawazi ambapo sasa karibu kila mtu anamiliki simu, hata wale wenye uwezo wa chini kabisa. Ukijaribu...

READ MORE

Unampenda Halafu Hakuelewi!

ASIKWAMBIE mtu, maumivu ya kumpenda mtu halafu yeye akawa hakuelewi huwa yanauma sana. Unateseka kisaikolojia, unafanya kila unalotakiwa kufanya ili...

READ MORE

Jinsi Ya Kumtambua Tapeli Wa Mapenzi

KWENYE ulimwengu wa mahaba, wengi wanaumizwa. Wengi hufikia hatua ya kukata tamaa na kusema hawatapenda tena. Hawaoni umuhimu, wameambulia karaha...

READ MORE

Jinsi ya Kumtambua Mwanaume wa Kukuoa!

WANAWAKE wengi wanateseka penzini kwa kutowatambua vizuri wanaume wenye mapenzi ya dhati. Wengi hujikuta kwenye maumivu makali kwa sababu ya...

READ MORE

Jinsi Ya Kumfanya Mwenza Wako Afurahie Penzi Lenu

NI IJUMAA nyingine ambayo Mwenyezi Mungu ametukirimia na mimi ninawakaribisha hapa jamvini, mahali ambapo tunajadili mapenzi na maisha kwa jumla....

READ MORE

Ukiwa na Sifa Hizi Lazima Uolewe!

MOJA kati ya kilio kikubwa cha mabinti ni kupata wanaume sahihi wa kuwaoa. Ishu si tu kuolewa lakini kupata mume...

READ MORE

Ni Kweli Wanawake Wazuri Hawaoleki? Soma Hapa

TUNAFAHAMUkwamba hakuna mwanamke mbaya. Ila katika mazingira ya kawaida wapo ambao wanakuwa na umbo fulani la kuvutia zaidi. Wanawake ambao...

READ MORE

Unategemea Akufurahishe Lakini Unaishia Kulia? Soma Hapa!

UHUSIANO wa kimapenzi una changamoto nyingi sana, idadi ya wanaolizwa na mapenzi inazidi kuongezeka kila kukicha, visa vya mapenzi vya...

READ MORE

Tabia 8 Za Wapenzi Wenye Pendo La Dhati

MAPENZI ni hisia. Unapompata mtu akakupenda kwa dhati, ni vigumu sana kuyatambua mateso ya wengine wanayopitia kwenye mahusiano yao. Wapendanao...

READ MORE

Mbinu Tano Za Kumvuta Msichana Mikononi Mwako Kwa Urahisi

MAPENZI ni sanaa ambayo kwa hakika haitaki hasira hata kidogo. Ubunifu, utulivu wa akili na utundu binafsi ni kati ya...

READ MORE

Madhara ya Kufanya Tendo la Ndoa Kupita Kiasi Yapo Hapa

WATAFITI wa masuala ya afya na saikolojia wanasema tendo la ndoa ndicho tendo ambalo humpa furaha kubwa zaidi binadamu na...

READ MORE

Kwanini Mapenzi Ndani ya Ndoa Zetu Yanapungua?

 HIVI mpenzi wako anapokuambia anakupenda, unafikiri nini zaidi kichwani mwako? Hapo ndipo kwenye msingi mzima wa mada yetu ya wiki...

READ MORE

Wanaume Wenye Wanawake Wanene Huishi Umri Mrefu Zaidi

WATAALAM wa masuala ya utafiti Duniani wamesema wanaume ambao wana wachumba/wake wanene huishi maisha marefu na yenye furaha ikilinganishwa na...

READ MORE

Promosheni bomba ya THE MAGICAL 22 kutoka Meridianbet inakusubiri!

Muda muafaka ni mwisho wa mwaka, katika michezo iliyochaguliwa ya Pragmatic Play! Kuanzia Desemba 26 mpaka Januari 4, 2023, shiriki...

READ MORE

Pumbulu: Mila ya Kisukuma Baada ya Mwanamke Kufariki Akijifungua

MILA na Desturi zina mchango mkubwa katika jamii endapo zitaenziwa kwa kuheshimu haki zingine za binadamu, hata hivyo wakati mwingine...

READ MORE

Maria Aweka Rekodi ya Kuvaa Gauni Refu Zaidi la Harusi

Maria Paraskeva, mwanamke kutoka nchini Cyprus, ndiye mwanamke aliyeweka rekodi ya kuvaa vazi la harusi refu zaidi Duniani. Maria aliolewa...

READ MORE