×

Michezo

Fiston, Sarpong Wapewa Masharti Magumu Yanga

MASTAA wa kimataifa wa Yanga akiwemo Fiston Abdoul Razack na Michael Sarpong, huenda wakakutana na makato ya mishahara yao ya...

READ MORE

Simba Yatoa Kipigo cha 5G kwa Mtibwa Sugar

MABINGWA wa Watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara Simba, wamerudi kwa kishindo kwenye ligi hiyo baada ya kuicharaza...

READ MORE

Yanga Wajibu Mapigo ya Simba

BAADA ya Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez kuweka wazi kuwa timu hiyo ipo katika mipango ya kupata basi jipya,...

READ MORE

Lwanga Apewa Kazi Maalumu Simba

MKATA umeme chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, Thadeo Lwanga, imebainika kwamba ana kazi maalum ndani...

READ MORE

Nado Aongeza Mkataba Mpya Azam Fc

Kiungo mshambuliaji wetu, Idd Seleman ‘Nado’, ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex. Nado...

READ MORE

TANZIA: Metacha Mnata Afiwa na Mtoto Wake

Golikipa wa Yanga, Metacha Mnata jana usiku Aprili 13, 2021 amefiwa na mtoto wake jana usiku. Pole sana  Metacha, Mwenyezi...

READ MORE

Ninja: Hii siyo Yanga Ninayoijua

BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, ameibuka na kukiri wazi kuwa anapata tabu kutokana na ugumu wanaopitia kwenye...

READ MORE

Mo Dewji Afunguka Mapya Kisa mabadiliko Simba

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameamua kuvunja ukimya kuhusu mchakato wa mabadiliko ya...

READ MORE

Prince Dube Atabiriwa Makubwa Azam FC

KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati, amefunguka kuwa straika wa timu hiyo, Prince Dube ana nafasi kubwa ya kutwaa...

READ MORE

Yanga Wana Hesabu na Simba

NAHODHA wa Yanga, Lamine Moro amefunguka kuwa, wanaodhani Yanga hawatachukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hawapo sahihi kwani...

READ MORE

Wasauz Mampandia Dau Manula

KIWANGO bora kinachooneshwa na mlinda mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula, kimezidi kuwavutia wababe wengi wa soka ndani ya...

READ MORE

Okwi: Simba Itacheza Fainali CAF

STAA wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi, amesema wala haitashangaza kuona timu hiyo ikitinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Dakika 90 Za Maangamizi Ligi Ya Mabingwa Leo na Kesho

Hii ni wiki ambayo tutazijua mbivu na mbichi za baadhi ya timu kunako Mashindano ya UEFA na Ligi ya Europa....

READ MORE

Gomes: Tutashinda Mechi Zetu Zote za Ligi

DIDIER Gomes ameweka wazi kuwa mpango wake kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ni kuona anashinda zote ambazo zimebaki ili...

READ MORE

Ratiba Ya Mechi Za Kombe La Shirikisho Hatua Ya 16 Bora

RAUNDI ya tano ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (16 bora) itapigwa mwishoni mwa mwezi huu kati...

READ MORE

Mwambusi Ashtuka, Amsuka Yacouba

BAADA ya kuanza na sare ya bao 1-1, Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kuwa amegundua tatizo katika kikosi...

READ MORE

Simba Mdomoni Mwa Waarabu

MABINGWA wa Tanzania Bara, Simba wanaweza kukutana na timu kutoka Uarabuni katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Mourinho: Son Ana Baba Bora Kuliko Ole Gunnar

Jose Mourinho amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hapo jana siku ya Jumapili baada ya kocha wa Manchester United Ole...

READ MORE

Namungo Kulipa Kisasi Kwa Nkana

NAMUNGO wamejinasibu kuwa, wamejipanga vizuri kulipa kisasi kwa kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo wa leo Jumapili wa Kombe la...

READ MORE

Mwambusi Aanza na Sare Yanga

BAO la David Bryson dakika ya 28, jana liliishtua Yanga wakati ikikabiliana na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Zulfa Macho, Vunjabei Watauana Leo

MABONDIA wa ngumi za kulipwa Halima Vunjabei na Zulfa Macho kila mmoja ametamba kumchakaza mwenzake leo Jumamapili katika pambano la...

READ MORE

Yanga Mpya Kuanza Kazi Leo, Saido na Yacouba Ndani

WAKATIkikosi chake kikitarajiwa kujitupa uwanjani leo, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi atakuwa na wakati mzuri kutokana na asilimia...

READ MORE

Wawa: Yanga Msijisahau, Bado Tunajambo Letu

BEKI wa kati wa Simba, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast ameibuka na kutoa kauli ya vitisho kwa wapinzani wao,...

READ MORE

Simba Queens na Yanga Princess Zafanya Mauaji

UTAFIKIRI wanataka sifa, baada ya Simba Queens na Yanga Princess kudondosha mvua ya mabao kwa wapinzani wao kwenye michezo ya...

READ MORE

Saido Apewa Jukumu Zito Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Said Ntibazonkiza ‘Saido’, amepewa jukumu zito na kaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mwambusi...

READ MORE

Twaha Kiduku Amtwanga Kibangu

BONDIA wa Tanzania, Twaha Kiduku maarufu kama ‘Mzee wa Shosho’ amempiga mpinzani wake, Tshibangu ‘Beberiko’ Kayembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia...

READ MORE

Azam FC Yaishusha Simba Nafasi ya Pili

PRINCE Dube, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC jana alikuwa nyota wa mchezo wakati ubao wa Uwanja...

READ MORE

Simba Yakamilisha Hesabu Misri Kibabe, Yaongoza Kundi

SIMBA SC imekamilisha michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi kibabe hiyo ni baada ya kupunguza idadi ya...

READ MORE

Grealish Awaliza Aston Villa

Kocha wa klabu ya Aston Villa, Dean Smith amethibitisha kuwa nahodha na kiungo wake tegemezi Jack Grealish ataendelea kuwa nje...

READ MORE

Okwi Awatembelea Simba Kambini Kuwamaliza Waarabu

KIKOSI cha Simba kinachojiandaa na mchezo wao wa mwisho katika hatua ya makundi leo jijini Cairo kwenye mashindando ya Ligi...

READ MORE

Lamine Moro Awaita Mashabiki kwa Mkapa -Video

NAHODHA wa Yanga, Lamine Moro sio mchezaji wa kukata tamaa katika majukumu yake, ameyasema hayo kuelekea mchezo wao dhidi ya...

READ MORE

Zamalek Watia Mkono Mechi ya Simba

HAKUNA kulala! Ndivyo utakavyosema mara baada ya kutua Cairo, Misri kikosi cha Simba kilifanya mazoezi kwa saa mbili katika kujiandaa...

READ MORE

Yanga SC: Tutakimbiza KMC Dakika zote 90

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kwa mwendo wa mazoezi wanayofanya wachezaji wake, anaamini kwamba kwenye mechi za...

READ MORE

Waarabu Waisaidia Simba iiue Al Ahly

NI kufuru ya matumizi ya fedha, ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kile ambacho Klabu ya Simba inaendelea kukifanya huko nchini Misri...

READ MORE

Mastaa wa Kike Waliowahi Kudumu Penzini na Mondi

WANASEMA raha ya mapenzi ni udumu na mwenzi wako kwa muda mrefu lakini pia akuweke hadharani ili ndugu jamaa na...

READ MORE

Simba Yamwaga Bil 1 Bonasi CAF

IMEFAHAMIKA kuwa Simba imetumia kitita cha shilingi bilioni moja katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu....

READ MORE

Yanga Yatoa Tamko kwa TFF Adhabu ya Mwakalebela

KLABU ya Yanga imepinga adhabu iliyotolewa na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) ya kumfungia Makamu Mwenyekiti...

READ MORE

Kikosi Cha Simba Chawasili Cairo, Misri – (Picha +Video)

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa leo Aprili 7, 2021 kimewasili salama nchini Misri...

READ MORE

Konde Boy Afunguka Mashabiki Kumuita Messi

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissoine ‘Konde Boy’ raia wa Msumbiji ameibuka na kuweka wazi juu ya mashabiki wa timu...

READ MORE

Miquissone, Chama Wapenya CAF

NYOTA wawili wa kikosi cha Simba Luis Miquissone na Clatous Chama wamepenya kwenye kikosi bora cha wiki kwenye mashindano ya...

READ MORE