×

Michezo

Azam Yazipigia Hesabu Pointi za Yanga SC

UONGOZI wa Klabu ya Azam, umejinasibu kuwa kwenye mpango wa kutumia faida ya matokeo mabaya ya vinara wa Ligi Kuu...

READ MORE

Yanga Yatenga Mechi 12

  UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa bado una nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara licha ya kuwa kwenye...

READ MORE

Nchimbi Aumia Taifa Stars

KIKOSI cha Taifa Stars kikiwa kinaendelea na maandalizi ya mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya na za kufuzu AFCON dhidi...

READ MORE

Gomes Aja na Mikakati Mipya ya Ubingwa

KOCHA Mkuu wa Simba raia wa Ufaransa, Didier Gomes, amesema anafahamu ugumu umeongezeka wa Ligi Kuu Bara, lakini hataki iwe...

READ MORE

Ishu ya Saido Yanga Mapya Yaibuka

UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa kiungo wao mshambuliaji, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ni...

READ MORE

Dube Majanga Tena, Nje Wiki Mbili Azam FC

MAJANGA! Ndivyo utakavyoweza kusema kwa mshambuliaji wa Azam FC Prince Dube ambaye anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda wa...

READ MORE

PSG Yaiondoa Barcelona Champions League

Paris St Germain ilitoka sare ya 1-1 na Barcelona katika awamu ya pili ya kombe la klabu bingwa Ulaya nchini...

READ MORE

Rage Awapa Ushindi Simba Dhidi ya Merrikh

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, amesema kuwa Simba wanayo nafasi kubwa ya kushinda rufaa dhidi ya Klabu ya...

READ MORE

Simba Yabanwa Mbavu na Wajelajela

UWANJA wa Mkapa FT: Simba 1-1 Prisons Dakika ya 90+5 Konde Boy goaal Zimeongezwa dakika 5 Dakika 90 zimekamilika Dakika...

READ MORE

Halaand Awavuruga Messi na Ronaldo

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund ya Ujerumani Erling Braut Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 20 kwenye michuano ya Ligi...

READ MORE

Namungo Yaivaa Casablanca Kibabe Leo

WAKATI Namungo ikitarajia kucheza mchezo wa kwanza hatua ya makundi kwenye Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Raja Casablanca leo,...

READ MORE

Stars Yaanza Safari ya Kuitafuta AFCON

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars tayari kimeanza kambi ya kujiandaa na michezo ya kufuzu fainali za...

READ MORE

Pep: Kipigo Cha Man U Kimetupa Somo

KOCHA Pep Guardiola amekiri kuwa Manchester City kitendo cha kupigwa mabao 2-0 na majirani zao, Manchester United kimewapa somo. Bruno...

READ MORE

Pluijm Afungukia Kurejea Yanga SC

ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Muholanzi Hans De Pluijm amesema kuwa hajafanya mazungumzo na kiongozi wa timu hiyo kwa...

READ MORE

Fiston: Sisi Ndiyo wa Kulaumiwa

MSHAMBULIAJImpya wa Yanga raia wa Burundi, Fiston Abdoul Razak, amekiri kuwa, wao kama wachezaji ndiyo wanapaswa kubeba lawama kutokana na...

READ MORE

Mwamnyeto Kumsalimia Mara Mbilimbili Onyango

BEKI wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, akimuona Joash Onyango wa Simba, atalazimika kumsalimia mara mbilimbili kwa kuwa amempoteza jumlajumla...

READ MORE

Kocha wa Yanga Ataja Anayeihujumu Timu Hiyo

ALIYEKUWA kocha wa magolikipa wa Klabu ya Yanga, Mrundi, Vladmir Niyonkuru amefunguka mambo mengi baada ya benchi la ufundi la...

READ MORE

Kaze Ajibu Mapigo Yanga ‘Wachezaji Hawana Viwango’

KWA mara ya kwanza aliyekua kocha mkuu wa Young Africans ameushauri Uongozi wa klabu hiyo, baada ya kuonyeshwa mlango wa...

READ MORE

Rage: Yanga Walichelewa Kumfukuza Cedric Kaze

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amesema Yanga walichelewa kufanya maamuzi ya kumfukuza Kocha Cedric Kaze....

READ MORE

Gomes Avunja Kibabe Rekodi ya Aussems Simba

KOCHA wa Simba, Didier Gomes, amefanikiwa kuvunja rekodi ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems, baada kucheza mechi...

READ MORE

Msola: Sikumpigia Metacha, Simu Yangu Ilidukuliwa

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msola amesema kuwa namba yake walihack, ‘dukua’ jambo lililofanya aonekane amempigia mchezaji wa timu...

READ MORE

Aussems Atajwa Yanga, Mwambusi, Maxime Kukabidhiwa

Kocha mwingine aliyetajwa kuchukua mikoba hiyo, ni Mbelgiji, Patrick Aussems ambaye aliipa mafanikio Simba ya kufika robo fainali ya Ligi...

READ MORE

Kocha Barca Atarajia Miujiza Dhidi ya PSG

KOCHA wa Barcelona, Ronald Koeman, alifurahi kuona timu yake ikitoka nyuma na kuichapa Sevilla kisha ikatinga fainali ya Copa del...

READ MORE

Bale, Hazard Waongoza Kwa Mishahara Real Madrid

MISHAHARA ya Real Madrid imefichuka, huku ikionyesha kuwa wachezaji walioshindwa kukidhi matarajio ya mashabiki, Gareth Bale na Eden Hazard ndiyo...

READ MORE

Video: Mzee Wa Utopolo Amlipua Mshindo Msolla – “Ana Kadi Ya Simba”

GLOBAL TV imepiga stori shabiki kindakindaki wa Yanga, Mzee wa Utopolo, kuhusiana na mwenendo za klabu yake ya Yanga. ⚫️...

READ MORE

Mwambusi Akabidhiwa Mikoba ya Kaze

IMEELEZWA kuwa baada ya Cedric Kaze raia wa Burundi kufutwa kazi ndani ya kikosi hicho mikoba yake atakabidhiwa mzawa Juma...

READ MORE

Simba Waitumia Prisons Kuisogelea Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes raia wa Ufaransa, amefunguka kwamba, anataka kuitumia mechi yao ya kesho Jumatano dhidi ya...

READ MORE

Ligi ya Mabingwa – UEFA na Ligi ya Europa Kuendelea Wiki Hii!

Ukiacha ubora wa ligi mbalimbali za soka barani ulaya, kuna Ligi ya Mabingwa-UEFA pamoja na EUROPA ambapo huku inakutana miamba...

READ MORE

Simba Yatinga CAF Kuomba Uchunguzi Al Merrikh

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umepeleka barua Caf kwa ajili ya kuomba uchunguzi kuhusu Klabu ya Al Merrikh ya...

READ MORE

Caf Yafuta Mashindano ya Afcon Under 17

Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF limefuta mashindano ya fainali za Afcon kwa vijana chini ya umri wa...

READ MORE

Breaking: Metacha Ameondoka Yanga? – Video

  HIVI punde kumeibuka sintofahamu kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kufuatia kusambaa kwa posti inayoonesha imepostiwa na golikipa wa...

READ MORE

Kauli ya Kaze Baada ya Kutimuliwa Yanga

WIKI iliyopita kuliibuka tetesi kuwa Klabu ya  Yanga itaachana na kocha wake raia wa Burundi, Cedric Kaze endapo timu hiyo...

READ MORE

Simba Kupata Ushindi wa Mezani Dhidi ya Al Merrikh

KLABU ya Simba huenda ikapata ushindi wa mezani dhidi ya Al Merrikh kutokana na timu hiyo ya Sudan kudaiwa kuwatumia...

READ MORE

Kapombe: Simba Imejipanga

BEKI wa kulia wa kikosi cha klabu ya Simba, Shomari Kapombe ametamba kuwa kikosi cha timu hiyo kimejipanga vizuri kuhakikisha...

READ MORE

Yanga Yafunguka Sababu ya Kumtimua Kaze

MWENYEKITI wa Kamati ya Ufundi ndani ya Klabu ya Yanga, Dominick Albinus amesema kuwa sababu kubwa iliyowafanya waachane na benchi...

READ MORE

Kocha Simba Afungukia Sakata Lake Na Morrison

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa taarifa ambazo zinaeleza kwamba ana ugomvi na mchezaji wake Bernard Morrison zimemsikitisha...

READ MORE

Klopp: Tunapita Kwenye Mateso Makubwa Uwanjani

KUPOTEZA kwa kichapo mbele ya Fulham kumemfanya Kocha Mkuu wa timu ya Liverpool, Jurgen Klopp, aweke wazi kuwa mateso ambayo...

READ MORE

Azam FC Hawajakata Tamaa Ligi Kuu

VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Azam FC amesema kuwa bado hawajakata tamaa licha ya kupata sare ya bila kufungana mbele...

READ MORE

Hawa Nd’o Makocha Wanaotajwa Kumrithi Kaze Yanga

IMEELEZWA kuwa miongoni mwa makocha ambao wanatajwa kubeba mikoba ya benchi la ufundi ndani ya kikosi cha Yanga kilichokuwa kikinolewa...

READ MORE

Man United Yaitungua Man City Mbili Kavu

OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa vijana wake walipambana kwa hali na mali na kufanikiwa kusepa...

READ MORE