×

Michezo

Simba Wanasa Siri za Al Merrikh

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh ya Sudan, tayari imebainika kwamba, Simba wamezinasa siri...

READ MORE

Kagere Bado Anawaza Kiatu Chake

MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba, amesema bado anaamini ataendelea kufunga mabao kila atakapopata nafasi ili aweze kutimiza ndoto yake ya...

READ MORE

Fiston Atangaza Kushusha Mvua ya Mabao Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, raia wa Burundi, Fiston Abdoul Razack, amesema kwa sasa mashabiki wa timu hiyo wakae mkao wa...

READ MORE

Liverpool Vs Chelsea Kukinukisha EPL Alhamisi Hii

Mwezi Machi kuanza kwa michezo kadhaa ya Ligi Kuu Uingereza – EPL sambamba na muendelezo wa mashindano mbalimbali barani Ulaya....

READ MORE

Yanga: Coastal Union Watatukamia

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa anaamini wapinzani wao Coastal Union watawakamia ndani ya Uwanja wa Mkwakwani ili...

READ MORE

Azam FC Yapeleka ‘Full Muziki’ Kagera

AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Geroge Lwandamina baada ya kutinga hatua ya 16 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi...

READ MORE

Kipa Yanga Amkingia Kifua Sarpong

KIPA namba mbili wa kikosi cha Yanga, Faroukh Shikhalo amesema kuwa anaamini mshambulijai wao Michael Sarpong ana uwezo mkubwa ambao...

READ MORE

Manula Kuikosa Al Merrikh? Kocha Afunguka

  KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa anaamini kipa wake namba moja Aishi Manula atakuwa sehemu ya kikosi...

READ MORE

Video: Aishi Manula Alivyokimbizwa Hospitali Baada Ya Kupata Majeraha

KIPA wa Simba, Aishi Manula Februari 1, 2021 amepakizwa kwenye gari la wagonjwa baada ya kuumia dakika ya 71 ya...

READ MORE

Rais wa Zamani Ufaransa Ahukumiwa

RAIS wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amekutwa na hatia katika kesi ya ufisadi iliyokuwa inamkabili. Rais huyo aliongoza kuanzia...

READ MORE

Mugalu. Miquissone, Bocco Waiangamaiza JKT Tanzania

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, leo Machi Mosi kimeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya...

READ MORE

Mastaa 10 wa Simba Kuikosa Kenya

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa atakosa huduma za wachezaji 10 wa...

READ MORE

Straika Mrundi Alilia Kusajiliwa Yanga SC

STRAIKA raia wa Burundi, Alex Kitenge ambaye aliwahi kucheza Ligi Kuu Bara misimu miwili iliyopita akiwa na Stand United, amemuomba...

READ MORE

Gomes Awashushia JKT Muziki Mnene

KUWACHAPA wababe wa Afrika, Waarabu Al Ahly kwa bao 1-0 kumewazidisha jeuri mashabiki wa Simba ambao kwa sasa wametamba kwamba...

READ MORE

Rais wa Barcelona Ashikiliwa na Polisi

Rais wa zamani wa Barcelona, Jose Maria Bartomeu anashikiliwa na polisi nchini Hispania baada ya kuhusishwa na tuhuma ya kurubuni...

READ MORE

Simba Kibaruani Tena Kuwavaa JKT Tanzania

Ligi Kuu soka Tanzania bara itaendelea leo kwa mchezo mmoja ukiwa ni mzunguko wa 22 katika uwanja wa Benjamini Mkapa,...

READ MORE

FC Platinum Yamtaka Luis Miquissone

DENZIL Mkandla, meneja wa wachezaji wa Klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe amesema kuwa mpango mkubwa wa kwanza katika usajili...

READ MORE

Chikwende Aahidi Mabao Simba SC

PERFECT Chikwende, kiungo mshambuliaji wa Simba, amesema malengo yake ni kuisaidia timu hiyo kufanya vizuri kwenye Kombe la FA na...

READ MORE

Dismas Ten: Hakuna Kama Haji Manara

OFISA Habari wa zamani wa Klabu ya Yanga, Dismas Ten, amesema Afisa Habari bora kwenye vilabu vya soka Tanzania ni...

READ MORE

EPL: Chelsea Yatoshana Nguvu na Man United

Mchezo kati ya Chelsea na Manchester United uliopigwa katika Dimba la Stamford bridge umemalizika kwa sare ya bila kufungana.  ...

READ MORE

Kocha Simba Aiwekea Mtego Yanga

WAKATI mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara zikiwa bado mbili, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amesema licha...

READ MORE

Mkude Aibuka Simba Baada ya Siku 60

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude, ameubukia ndani ya kikosi cha timu hiyo baada ya kukosekana kwa takribani siku 60...

READ MORE

Beki Simba SC Atua Ghana

KLABU ya Medeama inayoshiriki Ligi Kuu ya Ghana, imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa zamani wa Simba raia wa Ivory...

READ MORE

Lokosa Apata Dili Norway

IMEELEZWA kuwa, nyota mpya wa Simba, Junior Lokosa, yupo kwenye hesabu za kusajiliwa na timu ya Stromsgodset Toppfotball inayoshiriki Ligi...

READ MORE

Barbara Ataja Mamilioni Yalivyowapa Ushindi CAF

MTENDAJI Mkuu wa Simba, mwanadada Barbara Gonzalez amefunguka kuwa jambo pekee ambalo linaweza kuleta mafanikio kwenye soka ni uwekezaji wa...

READ MORE

Pogba Kuikosa Chelsea Ligi Kuu

PAUL Pogba anatarajiwa kuendelea kuwa nje kwa zaidi ya muda ambao alitarajiwa kuwa angerejea kutokana na kuwa majeruhi.   Taarifa...

READ MORE

Yanga Yaiondoa Ken Gold Kombe La FA, Yashinda Bao 1-0

Mchezo wa kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) uliozikutanisha timu za Yanga na Ken Gold kutoka ya Chunya mkoani...

READ MORE

Fiston: Nipo Fiti, Nisipofunga Nitatoa Asisti

MSHAMBULIA JImpya wa Yanga raia wa Burundi, Fiston Abdoul Razack, amesema kuwa yupo fiti kuikabili Kengold FC leo na kama...

READ MORE

Kisa Simba, Senzo Avamia Kambi

KATIKA kuongeza morali na mzuka wa ushindi, Mshauri wa Yanga, Senzo Mazingisa, raia wa Afrika Kusini, juzi jioni alivamia kwenye...

READ MORE

Kimenuka, Sibomana Naye Aipeleka Yanga Fifa

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Patrick Sibomana ameibuka na kudai yupo kwenye mpango wa kuifungulia mashitaka Klabu ya Yanga kwenye...

READ MORE

Gomes Ampa Mapumziko Maalum Luis Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes ametoa mapumziko ya siku nne kwa baadhi ya nyota wake akiwemo Luis Miquissone....

READ MORE

Kocha Simba: Mechi Ya Merrikh Itakuwa Ngumu Zaidi

MARA baada ya kuondoka kwa Kocha Mbelgiji Sven Vandenbroeck ndani ya kikosi cha Simba mambo yalionekana kuwa yatakuwa magumu kwa...

READ MORE

Kocha Simba Aigeukia Yanga, Ligi Kuu na Kombe la FA

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes ameweka kando maandalizi ya mchezo unaofuatia wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...

READ MORE

Kim Amrejesha Yondani Taifa Stars

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanznaia Taifa Stars Kim Poulsen amemrejesha kikosini mlizi kisiki na mkongwe Kelvin Yondani kwenye...

READ MORE

Kocha Mpya Stars Awarejesha Yondani, Mkude – Video

 KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa  (Taifa Stars), Kim Poulsen, leo Ijumaa Februari 26, 2021, amewarejesha kikosini nyota Kelvin...

READ MORE

Saido Apona, Atimkia Burundi

STAA wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ametolewa kwenye kikosi cha Yanga kitakachomenyana na Kengold FC kwenye mchezo wa michuano ya...

READ MORE

Chelsea Uso Kwa Uso na Man United Wikiendi Hii

Ligi Mbalimbali kuendelea Wikiendi hii. Hii ni fursa kwako mteja na mpenzi wa michezo ya kubashiri, kuweka mkeka wako kupitia...

READ MORE

Hasira za Carlinhos Zamvuruga Kaze Yanga

UPO uwezekano mkubwa wa Kocha Mkuu wa Yanga Mrundi Cedric Kaze kukifumua kikosi chake cha kwanza na kumuingiza kiungo mshambuliaji...

READ MORE

Namungo Yalamba Milioni 635, Yatinga Makundi

LICHAya kwamba wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Namungo FC, jana Alhamisi walipoteza mechi yao ya marudiano dhidi...

READ MORE

Tamko la Namungo Wachezaji Waliobaki Angola

MWENYEKITI wa klabu ya Namungo, Hassan Zidadu amesema wachezaji watatu na kiongozi mmoja wa klabu hiyo waliokwama nchini Angola baada...

READ MORE