×

Michezo

Kikosi cha AL AHLY Chatua Nchini Usiku -Video

Kikosi cha Wachezaji 22 wa Al Ahly ya Misri wametua nchini Feb 19, 2021 usiku kucheza dhidi ya Simba SC...

READ MORE

Kaze: Tuna Wakati Mgumu, Hatujiamini

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze raia wa Burundi, amefunguka kuwa kwa sasa kikosi chake kinapitia wakati mgumu kwenye mechi...

READ MORE

Mashabiki Waitia Matatizoni Yanga

KLABU ya Yanga imeipa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), shilingi milioni moja baada ya mashabiki wa timu hiyo kutenda makosa...

READ MORE

Man City Kucheza Na Arsenal Jumapili Hii, Kitawaka

Chagua ushindi wikiendi hii! Soka likiwa linaendelea kurindima katika viwanja na ligi mbali mbali. Tunakusogezea ofa ya Odds kubwa ambazo...

READ MORE

Simba Yaitegea Mtego Al Ahly Dar

UONGOZI wa Klabu ya Simba umesema kuwa umejipanga kikamilifu kuhakikisha unafanikiwa kuvuna pointi tatu katika uwanja wa nyumbani dhidi ya...

READ MORE

Yanga Wadai Wanaonewa, Waibua Upya Sakata La Morrison -Video

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hautendewi haki kwenye masuala yao tofauti na wengine namna ambavyo wanafanyiwa ikiwa ni pamoja na...

READ MORE

Simba Yatua Dar Kwa Kishindo Kujiandaa Al Ahly – Video

KIKOSI cha Simba kimewasili salama Jijini Dar es Salaam asubuhi ya Leo Feb 19, 2020 na kwenda moja kwa moja...

READ MORE

Kaze Afunguka Kumuweka Tonombe Bench

BAADA ya baadhi ya mashabiki kutoa lawama kuhusu kiungo mkabaji wa Yanga, Mukoko Tonombe kuanzia benchi katika mechi ya juzi...

READ MORE

Tambwe Afafanua Deni Lake Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amefunguka kuwa Yanga bado hawajamlipa fedha zake anazodai Sh milioni 42 licha...

READ MORE

Simba Kumchomoa Beki Kisiki AS Vita

BAADA ya beki wa kulia wa timu ya AS Vita Club ya DR Congo, Shabani Djuma kuwasumbua Simba katika mchezo...

READ MORE

Yanga SC: Huu Ndiyo Mwisho wa Sare

KUFUATIAmatokeo ya sare ya tatu mfululizo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, nahodha wa kikosi cha Klabu ya Yanga, Lamine Moro...

READ MORE

Majeraha ya Saido, Yacouba Yazua Hujuma nzito Yanga

KUNA tetesi ambazo inawezekana zikawa siyo nzuri kwa mashabiki wa Klabu ya Yanga, hiyo ni kuhusu suala la vipimo vya...

READ MORE

Morrison Apeleka Kilio Biashara Utd

MABINGWA watetezi wa Ligi kuu bara Simba, leo Februari 18 wamefanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya...

READ MORE

Chikwende Apata Wakati Mgumu Simba SC

HAKUNA fundi wa mpira anayeweza kufanya kila jambo kwa usahihi uwanjani, hii imejidhihirisha kwa kiungo mshambuliaji mpya wa Simba raia...

READ MORE

Namungo Yachekelea Waangola Kuletwa Dar

UONGOZI wa Klabu ya Namungo, umesema kuwa maamuzi ya Kamati Maalum ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kupanga michezo yote...

READ MORE

Kagere + Chama +Luis = Biashara

BIASHARA United, leo Alhamisi ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Simba ambao ni wageni wao huku rekodi zikionesha...

READ MORE

Ingizo Jipya Yanga SC Lakingiwa Kifua

FISTON Abdol Razack ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga, amekingiwa kifua na Kocha Mkuu wa timu hiyo Cedric Kaze...

READ MORE

Yanga Yabanwa Mbavu na Kagera Sugar

LIGI kuu soka Tanzania bara iliendelea usiku wa leo 17 Februari 2021 kwa mchezo mmoja, vinara wa ligi hiyo, klabu...

READ MORE

Sportpesa Yaipa Mwaka Mwingine Namungo Fc

KAMPUNI ya mchezo ya kubashiri matokeo ya mpira, nchini ya Sportpesa, kupitia kwa mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa Sportpesa,...

READ MORE

Al Ahly Yaitungua El Merreikh 3-0 (Video)

  MABINGWA Watetezi wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Al Ahly, ambao wapo kundi moja na  Simba SC  wakiwa nyumbani ...

READ MORE

Rekodi Zaibeba Yanga SC Dar leo

JESHI la Mrundi Cedric Kaze leo linatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam kuvaana na Kagera Sugar...

READ MORE

Namungo, Waangola Mechi Zote Kuchezwa Tanzania

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeamua mechi zote mbili za Kombe la Shirikisho kati ya CD 1 Agosto...

READ MORE

Mugalu Atoa Kauli ya Kibabe CAF

MFUNGAJI wa bao pekee la Simba katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi ya Ligi ya...

READ MORE

Simba Yaipigia Hesabu Al Ahly

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, amesema kuwa wapinzani wao wote ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa pamoja na...

READ MORE

Msikie Carlinhos Kuhusu Nafasi yake Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Carlos Fernandes ‘Carlinhos’, amefunguka kwamba hivi sasa tayari ameshapona majeraha yaliyokuwa yakimsumbua na kutoonekana kwake uwanjani...

READ MORE

Azam Kufunga Taa Kwenye Viwanja 4 Vya Ligi Kuu -Video

 SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na Azam wameleta mpango wa kufunga Taa katika viwanja 4 ili kuepuka...

READ MORE

Namungo: Tulichofanyiwa Siyo Fitina Za Soka, Ni Uhalifu

UONGOZI wa Namungo umesisitiza kuwa kile kilichofanywa na wenyeji wao nchini Angola, Clube Desportivo 1º de Agosto, si fitina za...

READ MORE

Ngorongoro Heroes Vitani Leo

TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, leo Jumanne inatarajiwa kushuka dimbani kwenye mchezo wa kwanza...

READ MORE

Kaze Awakomalia Mastaa Wake Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amewataka wachezaji wake kuhakikisha wanaendeleza wimbi la kutopoteza mchezo katika mechi zote za mzunguko...

READ MORE

Simba Sc Yaanika Mbinu Walioitumia Kuiua AS Vita

  OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, amesema ushindi ambao timu yao iliupata katika mechi ya kwanza ya Kundi...

READ MORE

Barcelona Kukiwasha Na PSG Leo Ligi Ya Mabingwa

Ligi ya Mabingwa inarejea Jumanne hii hatua ya 16 Bora, Barcelona anaialika Paris Saint German. Kupitia Meridianbet Barcelona amepewa Odds...

READ MORE

Mfaransa Simba Ashuka na Mipango Mizito Dar

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes, amefunguka kuwa hesabu zake ni kuhakikisha kwamba anapata pointi zote tisa katika mechi...

READ MORE

Beki Mpya Simba ni Kocha Mchezaji

KAMA Kocha Mkuu wa Simba, raia wa Ufaransa, Didier Gomes Da Rosa atamtumia beki wake mpya raia wa Zimbabwe, Peter...

READ MORE

Nyota Al Ahly: Tunakuja Kusaka Ushindi Dar

NYOTA wa Al Ahly, Walter Bwalya, amesema kuwa watakuja Dar kwa lengo moja la kusaka ushindi mbele ya Simba kwenye...

READ MORE

Kipigo Cha Azam FC Chamuibua Lwandamina

KIPIGO cha mabao 2-1 walichokipata Azam FC kutoka kwa Klabu ya Coastal Union kimemuibua kocha mkuu wa timu hiyo George...

READ MORE

Kaze Awatumia Ujumbe Mzito Simba SC

BIG bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Mrundi Cedric Kaze ametamba kwamba hakuna namna ambayo itawafanya wapinzani wao Simba...

READ MORE

Vita: Simba Walistahili

BAADA ya AS Vita kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Simba, wachezaji wa timu hiyo wamesema kuwa Simba walistahili...

READ MORE

Namungo Yarejea, Yasubiri maamuzi ya Caf

  BAADA ya kuahirishwa kwa mchezo wao wa hatua ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi Clube Desportivo 1º...

READ MORE

Namungo Yashindwa Kurejea Tanzania

KIKOSI cha soka cha Namungo FC kimerejea hotelini usiku wa kuamkia leo Februari 14 baada ya kushindwa kuondoka  jijini Luanda,...

READ MORE

Odd One Out Kutoka Expanse Studio Kupitia Meridianbet Pekee

Sloti mpya kutoka Expanse Studio imepewa jina la Odd One Out, ni mchanganyiko wa mchezo wa zamani na mpya. Ingia...

READ MORE