×

Michezo

Simba Yapania Rekodi Mpya Bara

KLABU ya Simba imeeleza kuwa licha ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini wanahitaji rekodi zaidi...

READ MORE

Yanga SC Yashtukia Ishu ya Morrison

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kiungo wao Mghana, Bernard Morrison asitegemee wao kutangaza kuvunja mkataba wake huku wakisisitiza kuwa mchezaji...

READ MORE

Mshindi Baba Lao: Nilidhani Matapeli, Leo Nimekabidhiwa Gari – Video

  HATIMAYE lile Shindano la promosheni ya  #ChomokaNaGari2020  #BabaLao, aina ya Toyota FunCargo limetamatika baada ya mshindi wa bahati nasibu...

READ MORE

Alichokifanya ‘Kigelele Yanga’ Mbele ya Manara – Video

SHABIKI wa Yanga, Nyambese Mwita Wambura maarufu kwa jina la Kigelegele, ameeleza alivyopata wakati mgumu kuchanganya maelfu ya kuponi za...

READ MORE

Simba, Yanga Waingiza Milioni 269

SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limeweka wazi mapato ya mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la FA kati...

READ MORE

Dkt. Mwakyembe Atekeleza Agizo la JPM Kuhusu COSOTA

KUFUATIA agizo la Rais Dk. Magufuli la kutaka Chama cha Haki Miliki Tanzania (COSOTA) kuhamishwa kutoka katika Wizara ya Viwanda...

READ MORE

Kessy: Nipo Tayari Kujiunga Yanga

JINA la beki la pembeni Mtanzania anayekipiga Klabu ya Nkana ya nchini Zambia, Hassan Kessy, limejadiliwa na Kamati ya Usajili...

READ MORE

Farid Mussa Agomea Mkataba Tenerife, Arejea Bongo

KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa, amerejea nchini baada ya kugoma kuongeza mkataba mpya na timu ya CD...

READ MORE

Kocha Namungo Aiweka Pembeni Fainali FA

KOCHA Mkuu wa Namungo FC ya Lindi, Mnyarwanda Hitimana Thierry, amefunguka kwamba kwa sasa anaiweka pembeni fainali ya Kombe la...

READ MORE

Viongozi Yanga, ishikeni mkono Yanga Princess, kuna shida mahali

WIKI iliyopita ilikuwa ni wiki ya dabi za Kariakoo, ninapozungumzia dabi ya Kariakoo namaanisha kuwa mchezo wa soka ambao ulizikutanisha...

READ MORE

Simba: Aisee Yanga Wamekaa!

Ni aibu kubwa kwa Yanga baada ya jana kuchezewa soka la kitabuni na kuchapwa 4-1 na Simba katika mchezo wa...

READ MORE

Kaseke, Makame Wazua Hofu ya Ushirikina

WACHEZAJI wawili wa Yanga, viungo Deus Kaseke na Abdulaziz Makame, walisababisha minong’ono na kuhisiwa kuwa wanafanya ushirikina baada ya wote...

READ MORE

Man City Yashinda Rufaa Kufungiwa na UEFA

KLABU ya Man City imeshinda rufaa yake dhidi ya Shirikisho la  Soka Ulaya (Uefa) Club Financial Control Body (CFCB) ambayo...

READ MORE

Msuva Akataa ofa China, Aitaka Ligi ya Uingereza

KIUNGO mshambuliaji Mtanzania anayekipiga Klabu ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco, Simon Msuva, amesema amepokea ofa nyingi na kati...

READ MORE

FT: SIMBA 4 Vs 1 YANGA, KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM (ASFC)

 Wafungaji wa timu ya Simba ni Gerson Fraga Vieira 21,Clatous Chama dakika ya 50 na Josee Miquisson 52, Mzamiru...

READ MORE

Simba vs Yanga Mwisho wa Ubishi!

KUNA ubishi huko mtaani unaendelea kwa mashabiki wa Simba na Yanga ambao kila upande unasema timu yake itaibuka na ushindi...

READ MORE

Morrison: Kocha Nipange Niwaonyeshe Kazi

SAA chache kabla ya watani wa jadi wakubwa nchini Simba na Yanga kukutana katika nusu fainali ya Kombe la FA,...

READ MORE

Eymael: Morrison Atawamaliza Simba

LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kiungo wake mshambuliaji Bernard Morrison yupo tayari kuimaliza Simba kwenye mchezo wa...

READ MORE

Utamu wa Dabi ya London Unakujia Hapa!

Dabi ya London Kaskazini siku zote imekuwa ikiteka hisia za watu walio nje ya mipaka ya mji mkuu wa Uingereza....

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi Julai 11, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 11, 2020 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Video: Elfu 30 Tu Kuiona Simba vs Yanga Jumapili Taifa

MASHABIKI watakaoruhusiwa kuutazama mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali, Julai 12, 2020,  ni 30,000. Simba itakuwa uwanjani...

READ MORE

Yanga Yavuruga Shangwe Za Ubingwa Simba – Video

HOMA na hofu ya pambano la watani limepamba moto, ni baada ya Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji, Sven Vandenbroeck kuzuia...

READ MORE

Vodacom Waipongeza Simba Kwa Ubingwa VPL

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, PLC, ambayo ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), wameipongeza...

READ MORE

Juma Abdul Hatihati Kuivaa Simba

BEKI wa Yanga, Juma Abdul yupo katika hatihati ya kuivaa Simba katika mchezo wa FA watakaokutana Julai 12 kwenye Uwanja...

READ MORE

John Bocco Atuma Salamuyanga SC

MSHAMBULIAJI na nahodha wa Simba, John Bocco ametuma salamu kwa wapinzani wao Yanga katika mchezo wa Jumapili kwa kusema kuwa,...

READ MORE

Man UTD Yaizamisha 3-0 Aston Villa ya Mbwana Samatta -Video

PAUL Pogba, nyota wa Manchester United alikomelea msumari wa mwisho kwa Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu England wakati...

READ MORE

Jembe Jipya Yanga Lamtaja Morrison

WINGA wa AS Vita ya DR Congo, Tuisila Kisinda anayekaribia kutua Yanga, amesema anatamani kucheza pamoja na winga, Bernard Morrison...

READ MORE

Haijawahi Kutokea! Mapokezi Ya Simba Dar (Picha +Video)

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo Julai 9, 2020 wametua Dar wakitokea Lindi ambapo walikuwa na mchezo wa...

READ MORE

GSM Watupa Kombora Simba SC

MKURUGENZI Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Injinia Hersi Said, amesema kuwa ni aibu kwa timu hiyo kumaliza msimu bila ya...

READ MORE

Kina Samatta Mikononi Mwa Man United Leo

MANCHESTER United inaweza ikachochea vita ya nafasi ya nne leo Alhamisi pale itakapoivaa timu inayopambania kubaki Ligi Kuu ya England...

READ MORE

Niyonzima Ashusha Presha Yanga SC

AKIUKOSA mchezo wa jana Jumatano wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, kiungo mchezeshaji fundi wa Yanga raia wa...

READ MORE

Morrison Apewa Mazoezi Maalum Kuiua Simba

BAADA ya kurejea kikosini, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison ameonekana kupewa mazoezi maalum ya kufunga huku ikielezwa ni kwa...

READ MORE

Simba Yatuma Salamu Yanga, Yapewa Kombe Lao, Watua Dar (Picha +Video)

BAADA ya Simba jana kutoka 0-0 na Namungo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani...

READ MORE

FT: Yanga 1-0 Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba

 Yanga leo Julai 8, 2020 wanacheza dhidi ya Kagera Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara lakini baada ya...

READ MORE

Yanga SC Kurudi Dar Leo Usiku

LEO Jumatano Yanga watakuwa na dakika 90 za kupambana na Kagera Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara lakini baada...

READ MORE

Hizi Hapa Mechi Sita za Nguvu Seria A Kupigwa leo

Usiku wa kandanda safi umekaribia mbele yetu ambako pazia litafunguliwa kwa ligi chache, jioni hii inaweza kuwa ya kuvutia kwani...

READ MORE

Kocha Simba: Namungo ni Maandalizi ya Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa amepanga kuutumia mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo utakaopigwa...

READ MORE

Yanga Yampandisha Ndege Muuaji wa Simba

YANGA imeonekana imepania kuendeleza ubabe kwa mtani wake wa jadi, Simba baada ya jana kumpandisha ndege kiungo wake mchezeshaji fundi,...

READ MORE

Rais wa Barcelona; Messi Anataka Kumalizia Soka Lake hapa

RAIS wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu, amefunguka kuhusu tetesi zinazosambaa juu ya hatima ya supastaa Lionel Messi, akisisitiza kuwa Muargentina...

READ MORE